×

Celebrities

YAJUE MAISA YA UTOTONI YA SNURA

SNURAMWANAMUZIKI wa miondoko ya mdu­ara, Snura Mushi ameifunua siri ambayo wengi hatuijui, eti kwenye makuzi yake alikuwa ni mvivu sana...

READ MORE

ALIYEZAA NA GOD ZILLA AIBUKA , ANENA

DARE SALAAM SIKU chache baada ya kifo cha msanii wa Hip Hop, Golden Mbunda ‘Godzilla’ kutokea, mzazi mwenzake, Desta Minde...

READ MORE

THEA, MIKE SANGU MAHABA BADO YAPO

MASTAA wa filamu za Kibongo, Mike Sangu na Salome Urassa ambao walikuwa ni mume na mke kabla ya kutengana kwa...

READ MORE

RAYVANNY AWASHANGAA WANAOSEMA ANAJICHUBUA

MSANII wa lebo ya Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Ray­mond Mwakyusa ‘Rayvanny’ amewashangaa wanaomsema vibaya kuwa anajichubua, kitendo ambacho hajawahi kukifikiria...

READ MORE

NYOTA WAZIRI: MFUNDAJI ALIYEDUMU NA NJENJE KWA MIAKA 30

Nyota Waziri ni mmoja wa wanamuziki wa kike wakubwa nchini ambaye alianza kufahamika kupitia Kilimanjaro Band ‘Njenje’ aliyoanza nayo tangu...

READ MORE

WASANII GLOBAL TV KUIPEPERUSHA BENDERA FAINALI SZIFF

LEO ndiyo leo! Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa, ya utoaji wa tuzo za Sinema Zetu Fil festival (SZIF)...

READ MORE

MC MAARUFU BONGO AKWAA SKENDO YA UTAPELI

PAMELA Mboma ‘Mc Pam Tony’ ambaye ni mshereheshaji wa kwenye maharusi na shughuli mbalimbali, amekwaa skendo ya kudaiwa kutapeli kiasi...

READ MORE

KIM NANA APATA KIGUGUMIZI ‘KUBANJUKA’ NA MTANGAZAJI

MUUZA nyago maarufu Bongo, Lilian Kessy ‘Kim Nana’ ambaye amewahi kutajwa kulionja penzi la staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

READ MORE

UWOYA:USITHUBUTU KUOLEWA NA USIYEMPENDA

STAA wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya ameibuka na kuwaasa wanawake kuwa kamwe wasikurupuke kuolewa na wanaume kama moyo wao...

READ MORE

SHETTA KUTOKA KUTENGWA NA BABA HADI KUMILIKI TAASISI

YAWEZE-KANA ulikuwa hujui! 2007 katika mitaa ya Mchiki-chini Boma pande za Ilala jijini Dar kulikuwa na dansa mmoja hatari ambaye...

READ MORE

PRETTY KIND AGEUKIA GOSPO

MSANII wa filamu na muziki wa Kizazi Kipya, Suzan Michael ‘Pretty Kind’ amegeukia kuimba muziki wa Injili ‘Gospo’ kwa kile...

READ MORE

ZARI AJILIPUA KAMA MOBETO

IMEFICHUKA! Alichokifanya zilipendwa wa mwanamuziki wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ (30), Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ (40) kimeendelea...

READ MORE

UWOYA NOMA AWAKALISHA WEMA, AUNT

HII ni noma! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya staa wa filamu za Kibongo, Irene Uwoya kufanya kufuru ya aina yake...

READ MORE

 WASANII WAGUSWA NA UGONJWA WA RUGE

ZIKIWA zimepita siku kadhaa tangu kaka wa Mkurugenzi wa Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, Mbaki aeleze hali ya...

READ MORE

IRENE PAUL: Situmii Gharama Kujichubua!

MWIGIZAJI mkali anapokuwa mbele ya kamera, Irene Paul ameamua kuwahamasisha mastaa na watu mbalimbali kuepuka gharama ya kujitengeneza badala yake...

READ MORE

ZAMARADI AELEZA SABABU ZA KUMCHANGIA RUGE

UBINADAMU kwanza! Aliyekuwa mtangazaji wa kipindi cha filamu cha Take-One kilichokuwa kikirushwa na Televisheni Clouds, Zamaradi Mketema ‘Zama’ ambaye pia...

READ MORE

PENNY AJIPODOA KUFICHA SHIDA ZAKE

KUMBE! Kama ulikuwa hujui, basi chukua hii kutoka kwa mtangazaji wa Kipindi cha Harusi Yetu kinachorushwa kupitia Magic Swahili, Penniel...

READ MORE

NDOA YA KINYAIYA, KAPUYA…NANI ANATESEKA ?

DAR ES SALAAM: Gumzo la aina yake limeibuka mitandaoni baada ya picha ya ndoa ya Waziri wa Zamani wa Ulinzi...

READ MORE

MAKONDA AMTEMBELEA CASSIAN WA BSS MUHIMBILI – VIDEO

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo Alhamisi, Februari 21, 2019 amemtembela aliyekuwa Mshindi wa Bongo Star...

READ MORE

Tuzo za Brit zatua kwa Drake, Ariana, Ed Sheeran & The Carters

TUZO kubwa duniani za 39 za Brit Awards 2019 (mastercard) zilizofanyika nchini Uingereza, zimemalizika vizuri usiku wa kuamkia leo, Februari...

READ MORE

LULU DIVA: HAKUNA MWANAUME KAMA IDRIS

MSANII wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ juzikati amefunguka kupitia ukurasa wake wa Instagram kwa kuandika kuwa, hakuna mwanaume...

READ MORE

Karl Lagerfeld Afariki, Paka Atajwa Kurithi Utajiri Wake Bil 456

DIZAINA maarufu wa mavazi wa kampuni za Chanel na Fendi,  Karl Lagerfeld, amefariki jijini Paris, Ufaransa, baada ya kuugua kwa...

READ MORE

CHADA BOY APATA SHAVU NIGERIA

MKALI wa Ngoma ya Waue, Joseph Januari ‘Chada Boy’ amepata shavu la kuwa Mtanzania wa kwanza kufanya shoo katika tamasha...

READ MORE

WOLPER AUZA GARI ANUNUA MATIRIO YA GAUNI

MUIGIZAJI Jackline Wolper ameamua kuliuza gari lake aina ya Toyota Brevis na kununua ‘matirio’ ya kutengenezea magauni.     Wolper aliiambia...

READ MORE

SHOO YA MAHABA… MASTAA WATETEMA !

MJINI kuna vituko! Ndivyo unavyoweza kusema kutokana na mastaa mbalimbali wal­ivyotetema kwenye shoo ya Valentine iliyofanyika Ijumaa kwenye ukumbi wa...

READ MORE

BABA DIAMOND KUKATWA MIGUU! – VIDEO

MUNGU amsaidie! Ndivyo walivyosikika, majirani wa baba wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Jumaa waliofika kumuona...

READ MORE

MAKONDA AMPA FID Q MIL 5 AMPELEKEE MAMA WA GODZILLA

MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda, leo Jumanne, Februari 19, 2019 amemkabidhi rapa Farid Kubanda ‘Fid Q’...

READ MORE

PROFILE: Usichokijua Kuhusu GODZILLA, Elimu, Muziki, Kifo! – VIDEO

Golden Jacob Mbunda ni kijana aliyezaliwa Januari 5, 1988 huko mkoani Morogoro. Mbunda alifahamika zaidi kwa jina la Godzilla jina...

READ MORE

KAULI YA CHID BENZ KWA RC MAKONDA

KUNA msemo wa Kingereza usemao; “Don’t judge a book by it’s cover”. Zipo tafsiri zisizo za moja kwa moja za...

READ MORE

MTOTO WA GODZILLA AWATOA WATU MACHOZI

  INAUMA sana! Mbali na waombolezaji kuguswa na kifo cha Rapa Golden Mbunda ‘Godzilla’, mtoto pekee wa marehemu ait­waye Shawn...

READ MORE

BREAKING NEWS: BODI YA FILAMU WAMFUNGULIA WEMA SEPETU

BODI ya filamu nchini imetangaza leo kumfungulia muigizaji Wema Sepetu baada ya adhabu ambayo ilitokana na video yake ya kimahaba...

READ MORE

MONA, MWANAYE WAANGUA KILIO HADHARANI

  MUIGIZAJI wa kitambo kwenye tasnia ya filamu Bongo, Yvonne Cherry ‘Mo­nalisa’ na mtoto wake Sonia George juzikati waliangua kilio...

READ MORE

MTOTO WA KIM APATA RAFIKI WA KIUME

MAISHA kweli hayana usawa! Mtoto wa mwanamitindo Kim Kardashian, North West ametengeneza ‘headlines’ kibao mitandaoni baada ya kupata rafiki wa...

READ MORE

ESTER KIAMA APONDA PENZI LA MAPEDESHEE

 MSANII wa filamu za Kibongo, Ester Kiama amewaponda mapedeshee wa mjini waliokuwa wakimwaga pesa kwa wanawake kuwa kwa sasa wame­kuwa...

READ MORE

HIZI NDO NGOMA 5 ZINAZOMKUNA LULU

KILA mcheza filamu huwa ana ngoma zake kutoka kwa wanamuziki mbalimbali ambazo anazipenda na kila akikaa anapenda kuzisikiliza, wengine maudhui...

READ MORE

HATIMAYE CARDI B, OFFSET NDOA RASMI

KWA mara ya kwanza tangu wafunge ndoa ya siri mwaka jana, rapa wa kike anayetikisa kwenye muziki wa Hip Hop...

READ MORE

MCHUMBA WA GODZILLA AIBUA UTATA

SIKU chache baada ya kifo cha msanii wa Hip Hop, Golden Mbunda ‘Godzilla, mrembo aliyejinasibu kuwa ndiye alikuwa mchumba wa...

READ MORE

MADAI YA KUFUNGA NDOA, KUVAA PETE, KUNASA UJAUZITO, LULU AANIKA UKWELI WOTE

STAA wa filamu za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’, hivi karibuni alifungukia madai yote yaliyokuwa yakizungumzwa mitandaoni juu yake kuvua pete...

READ MORE

Dada wa DIAMOND Kutoka Uingereza “Baba Ana Hali Mbaya Sana!” – Video

IKIWA ni siku chache zilizopita, mwanadada anyedai kuwa ni dada wa Staa wa Muziki Bongo, Diamond Platnumz, aitwaye Zubeda kutua Bongo...

READ MORE