×

Celebrities

Tanasha: Sijali Diamond Kumuoa Zuchu

SUPASTAA wa Tanzania, Diamond Platnumz na msanii wake wa WCB, Zuchu wamekuwa wakitrendi tanguDesemba, mwaka jana wakidaiwa ni wapenzi kutokana...

READ MORE

Darassa: Namheshimu Alikiba

RAPA Darassa amefunguka jinsi ambavyo wimbo wake #ProudofYou alioimba na Ali Kiba ulivyofanyika ambapo pia ameeleza kuwa wimbo huo ulikaa...

READ MORE

Diamond Akiwasha Mbaya Tuzo za Grammy

SUPASTAA wa Muziki wa Bongo Fleva, Nasib Abdul maarufu Diamond Platnumz ameingia kwenye rekodi ya kuwa msanii wa kwanza kutoka...

READ MORE

Muna Love: Namkataa Shetani

MSANII wa Bongo Movies, Rose Alphonce Nungu maarufu kama Muna Love baada ya kuwaasa Watanzania kutofanya sajari za kubadilisha maumbo...

READ MORE

Jux ni Mzee wa Old Skuli

Msanii wa Bongo Fleva, Juma Jux, anasema yeye huwa anapenda kusikiliza nyimbo za zamani zaidi tofauti na anavyosiki­liza mikwaju ya...

READ MORE

Kylie, Travis Wapata Mtoto wa Pili

SUPASTAA wa shoo ya Kimataifa ya Keeping Up With The Kardashians na mfanyabiashara, ambaye ni mdogo wake na mwanamitindo maarufu,...

READ MORE

Wema: Hata Nikifa, Nyota Yangu Itang’aa

MTU anaweza kuwa staa kwenye eneo lake kwa muda f’lani, lakini akatokea mwingine kwenye mazingira yaleyale akawika huku baadhi wakiamini...

READ MORE

Petit Man: Familia Ndiyo Kila Kitu

MENEJA wa wasanii mbalimbali nchini Tanzania, Hemed Manungwi almaarufu Petit Man anasema kuwa, hakuna kitu kinachompa furaha hivi sasa kama...

READ MORE

Rayvanny Akwama Kuondoka Wasafi

KUMEKUWA na tetesi nyingi kuwa msanii Raymond Mwakyusa au Rayvanny yupo mbioni kuondoka kwenye Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB)...

READ MORE

Zuchu Aishi Nyumba Ya Mil. 44 Kwa Mwaka

MSANII wa Bongo Fleva kutoka WCB, Zuchu ameweka wazi sababu ya kuishi kwenye nyumba ambavyo analipa shilingi milioni 44.4 kwa...

READ MORE

Dully: Pesa Ziliishia Kwenye Starehe

LEJENDARI wa Bongo Fleva, Dully Sykes anasema kuwa, sababu za wasanii wengi wa zamani kufulia au kutofanikiwa kulitokana na kuendekeza...

READ MORE

Anna Mbawala, Mtangazaji Bora wa Kike, Radio Bora ya Mtandaoni, Global Radio

WASHINDI wa tuzo za  Tanzania Digital Awards 2021 wametangazwa rasmi, ambapo washiriki 58 kati ya 278 wameibuka washindi wa tuzo...

READ MORE

Esha Buheti Atamani Kumpamba Rais Samia

MWANAMAMA mwigizaji wa Bongo Movies na mjasiriamali, Esha Buheti anasema amehitimu mafunzo ya utengenezaji wa keki zitakazokuwa gumzo kwa kuwa...

READ MORE

Paula: Mtanikoma Nikirejea Bongo

PAULA Kajala ni modo, video vixen na mrembo maarufu kwenye mitandao ya kijamii ambaye ni binti wa staa wa Bongo...

READ MORE

Kolabo ya Kiba, Harmonize Yatabiriwa

BAADA ya Mfalme wa Bongo Fleva, King Kiba na Harmonize kuoneka kama wana ukaribu f’lani, mtangazaji na mwigizaji Mwijaku ametabiri...

READ MORE

Sakata la Mtoto Kuunganishwa TikTok, Kim Amjibu Kanye

IKIWA ni saa chache baada ya rapa Kanye West kuonesha kutoridhishwa kwake na mwenendo wa jinsi mzazi mwenzie anavyomlea mtoto...

READ MORE

Kanye Ataka Maelezo Mwanaye Kuunganishwa TikTok

Bado rapa Kanye West anapitia wakati mgumu tangu atengane rasmi na mke wake Kim Kardashian kitendo kilichosababisha rapa huyo kuwa...

READ MORE

Kocha Mkuu wa Misri yamkuta, Kuikosa Fainali ya AFCON

Kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya Misri, Carlos Queiroz amefungiwa michezo miwili na kutozwa faini ya dola 10,000 kufuatia...

READ MORE

Wolper: Tupunguze Mazoea Ya Hovyo

Staa wa filamu na pia mwanabiashara kutoka Tanzania, Wolper amewataka mashabiki wake na binadamu wote kwa jumla kupunguza kuzoeana na...

READ MORE

Millard Ayo na Meena Ally Kitu na Boksi?

SIKU ya kumbukumbu ya kuzaliwa (birthday) ya mtangazaji Millard Ayo (Mtu wa Nguvu) wiki iliyopita, mtangazaji mwenzake Meena Ally aliibua...

READ MORE

Country Boy Amefuata Nyayo za Rich Mavoko

WATU huigana, ndivyo unavyoweza kusema. Msanii wa Bongo Fleva kutoka Konde Music Worldwide ya Rajabu Abdul Kahali almaarufu Harmonize katika...

READ MORE

Diamond na Zuchu, Tanasha Na Kidume

WAKATI Diamond Platnumz akiendelea kutrendi na Zuchu kwamba ni wapenzi, baby mama wa jamaa huyo naye ameona asibaki nyuma hivyo...

READ MORE

Rayvanny, Paula Mwisho wa Reli Kigoma?

MWISHO wa reli Kigoma? Ndivyo unavyoweza kujiuliza kufuatia kile kinachoonekana sasa mara baada ya Rayvanny kumu-unfollow mpenzi wake, Paula Kajala...

READ MORE

Nyie Mai Zumo Anatisha Mjue

MAMA wa mtoto komediani Mai Zumo, Habiba Zumo anasema ni faraja na hatua nzuri kwa mzazi kuona mafaniko ya kipaji...

READ MORE

Hamisa Amrejesha Rick Ross Kwenye Himaya Yake

BAADA ya ukimya huku akidaiwa kupigwa teke au kibuti na Rapa wa Marekani, Rick Ross, hatimaye mwanamitindo na msanii wa...

READ MORE

Kiba Awalaza Watu na Viatu

MFALME wa Bongo Fleva, King Kiba anadaiwa kuwalaza na viatu mahasimu wa kimuziki baada ya kufanya maajabu makubwa. Achana na...

READ MORE

Best 20 Mastaa Waliokomba Mirahaba ya Nguvu COSOTA

SERIKALI ya Tanzania kupitia Chama cha Haki Miliki (COSOTA) imeanza zoezi la ugawaji wa mirabaha kama alivyoagiza Rais Samia Suluhu...

READ MORE

Mwijaku: Sasa Hivi Msinifananishe na Baba Levo

MTANGAZAJI, mwigizaji na Mhamasishaji wa Klabu ya Simba, Mwijaku anasema kuwa, baada ya kutajwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

Mrembo wa ‘Utu’ ya Kiba Afunguka Pesa Anayolipwa

MREMBO maarufu kwa kuuza sura kwenye nyimbo za wasanii Bongo, Nana Dollz ambaye ameing’arisha Video ya Utu ya King Kiba...

READ MORE

Lulu Diva: Nawashukuru Sana

MUIGIZAJI na msanii wa Tanzania, Lulu Diva amewashukuru wote waliomshika mkono kipindi mama’ke mzazi alipofariki dunia.   Lulu Diva ametoa...

READ MORE

Kumbe Uwoya Alimkimbia Alikiba Kwenye Utu

ACHANA na Video Vixen anayeonekana kwenye video ya Utu ya Alikiba, kumbe ishu ni kwamba muigizaji wa Bongo Movie, Irene...

READ MORE

Kwa Mara ya Kwanza, Meena Ally Afunguka Kila Kitu

IKIWA ni wiki chache baada ya mtangazaji wa Clouds Media, Meena Ally kuchafuliwa mitandaoni kwa kusambazwa picha ya ngono asiyohusika...

READ MORE

Arnold Schwarzenegger Kuja na Zeus

Siku ya Alhamisi, mwigizaji “Arnold Schwarzenegger” alishiriki picha ya filamu yake mpya “Zeus” kwenye Instagram ambapo alionekana amevaa kama miungu...

READ MORE

Mastaa Waliooa Pisi Kali

ASILIMIA kubwa ya vijana wanaamini kuwa wasichana wazuri ni nadra sana kuolewa au kupata mume wa kueleweka kutokana na sababu...

READ MORE

Sugu arejea kwenye muziki

RAPA mkongwe na mmoja wa waasisi wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania, Joseph Mbilinyi almaarufu Sugu, anarejea rasmi kwenye...

READ MORE

Mimi Mars: Najua Nina Shepu Mbaya

MUA, Ex, Shuga, Kodoo na nyinginezo kibao ni miongoni mwa ngoma kali kutoka kwa mwanadada mrembo Marianne Mdee au Mimi...

READ MORE

Nuh: Sijawahi Kumchukia Shilole

“Nipe-leke kwa mganga na mimi nataka wanga… Maana mapenzi yamenikoroga kinoma… Anichanje chale mwili mzima… Nisimkumbe hata jina… Yule gaidi...

READ MORE

Mirabaha: Wasanii Wamiminika COSOTA

BAADHI ya Wasanii waliokidhi vigezo vya kisheria na kukidhi masharti ya kupata mgawo wa mirabaha wameendelea kumiminika katika ofisi za...

READ MORE

Rihanna Aanika Ujauzito Wake

Mwanamuziki Rihanna pamoja na mpenzi wake rapa ASAP Rocky wameweka wazi kuwa wanatarajia kupata mtoto siku za usoni. Wawili hao...

READ MORE

Wababe Waliotazamwa Zaidi YouTube Mwaka 2021

MTANDAO wa YouTube umeachia orodha ya wasanii 10 waliopata watazamaji wengi katika mtandao wa YouTube kwa 2021 ndani ya nchi...

READ MORE