×

Celebrities

Aunty Lulu Ampa Tano RPC wa Kikohozi

BAADA ya hivi karibuni aliyekuwa Kamanda wa Polisi Mkoa wa Magharibi ambaye kwa sasa amehamishiwa Mkoa wa Kaskazini Pemba visiwani...

READ MORE

Wastara: Nawacheka Wanaotumia Afya Yangu Kunitukana

STAA wa sinema za Kibongo, Wastara Juma amesema kuwa, amejikuta akibaki akiwacheka wanaomtukana mitandaoni kuhusiana na afya yake kwani hawana...

READ MORE

Kadjanito: Christian Bella Alinishawishi Niache Gospel

UKIRUDI nyuma miaka sita kisha ukaulizia miongoni mwa wasanii wa kike waliokuwa wakitisa kwenye Muziki wa Bongo Fleva ni wazi...

READ MORE

Sabby Aapa Kuilipa Ndoa Kiba

STAA wa filamu ambaye kwa sasa amegeukia Muziki wa Bongo Fleva, Sabrina Omary ‘Sabby Angel’ ameapa lazima naye aolewe na...

READ MORE

Baba Kanumba Ampa Lulu Masharti Mazito

MUNGU ametenda! Ndiyo maneno ya kwanza kutoka kinywani kwa baba wa aliyekuwa staa wa filamu za Kibongo, Steven Charles Kanumba,...

READ MORE

Ben Pol Apondwa Kisa Vazi Lake

MWANAMUZIKI anayekimbiza kwenye gemu la Bongo Fleva, Benard Paul hivi karibuni amefungukia mashuti aliyopewa na mashabiki wake baada ya kuposti...

READ MORE

LINAH Najivunia kuwa Mama

MKALI wa Bongo Fleva, Esterlina Sanga ‘Ndege Mnana’ au Linah, amesema anamshukuru Mungu kwa kumjalia kupata mtoto kwa sababu kuna...

READ MORE

ESHA: JOKATE USINICHUKIE KISA KIBA

ESHA Buheti amefunguka kuwa kama mwanamitindo maarufu Jokate Mwegelo, anamchukia kisa mwanamuziki Ali Saleh Kiba ‘AliKiba’ kuoa, atakuwa anamkosea sana....

READ MORE

Mama Diamond Asota Polisi kwa Saa 6

  UCHUNGU wa mwana aujuaye mama! Hicho ndicho kilichotokea kwa mama mzazi wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

Diamond, Kipozeo Wazindua ‘Nyumba ya Imani’ Wasafi TV

MKALI wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’,  na Shekhe maarufu jijini Dar, Shekhe Kipozeo, usiku wa kuamkia leo walishirikiana...

READ MORE

Johari Abariki Ndoa ya Ray na Chuchu

MKONGWE wa sinema za Kibongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amefunguka kuwa hakuna kitu kitakachomfurahisha kama mwigizaji mwenzake, Vincent Kigosi ‘Ray’ akimuoa...

READ MORE

Baby J: Kuolewa na Staa ni Stress

MSANII wa Bongo Fleva kutoka Zanzibar, Jamila Abdallah ‘Baby J’, aliyewahi kutamba na ngoma za Bwashee Bwashee, Mpenzi Wangu pamoja...

READ MORE

Sajenti Ampindua Johari Kwa Mtasha (Video)

MASTAA wetu bwana! Ndivyo unavyoweza kusema kufautia habari hii inayowahusu mastaa wa filamu Bongo, Husna Sajenti na Blandina Chagula ‘Johari’...

READ MORE

Davina Aanika Siri ya Wazo la Pafyumu Yake

STAA wa filamu za Kibongo, Halima Yahaya ‘Davina’ ameeleza alikopata wazo la kutoa pafyumu yenye jina lake na kufunguka kuwa...

READ MORE

Lulu Diva Aanika Siri Uhusiano na Rich Mavoko

  BAADA ya tetesi kusambaa kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, kwamba mwanamuziki Lulu Abbas ‘Lulu Diva’, anatoka kimapenzi na mwanamuziki...

READ MORE

Nikki wa Pili Awachana Mastaa Wanaojipoteza Kisa Ujana

MWANAMUZIKI anayekimbiza na ngoma ya Mawindo, Nickson Simon ‘Nikki wa Pili’ amefunguka kwamba kuna mastaa wengi na vijana mbalimbali ambao...

READ MORE

LIVE: Mamilioni Kushuhudia Ndoa ya Kifahari ya Prince Harry na Meghan

BOFYA HAPA KUSHUHUDIA LIVE NDOA YA Prince Harry na Meghan MAMILIONI ya watu duniani leo wanatarajiwa kushuhudia ndoa ya kifahari ya...

READ MORE

FARAJA NYAL ANDU; MKOMBOZI WA ELIMU KUPITIA MTANDAO

NAMPENDA Faraja. Naota kuwa kama yeye na nifike mahali alipo. Niisaidie jamii na niheshimike, niwe mke na mama bora. Hayo...

READ MORE

KISA PICHA, CORAZON ACHAFUKA MTANDAONI!

MWANAMITINDO mwenye shepu ‘tata’ Corazon Kwamboka amechafuka mtandaoni mara baada ya kutupia picha ya nusu utupu akiwa na Mzungu anayedaiwa...

READ MORE

Good Idea: Kiba, Ben Pol, Dimpoz, Harmonize Kubadili Mwonekano

IMEKUWA jambo la kawaida kwa wasanii wengi wa nje ya nchi kuja na mbinu tofauti ili kuwateka mashabiki na kuuza...

READ MORE

Shilole Atokwa na Machozi Kisa Tuzo ya Aunt Ezekiel

  SIKU chache baada ya msanii wa Bongo Movie, Aunty Ezekiel kumtunuku Tuzo ya Mama Bora ndani ya Ukumbi wa...

READ MORE

DJ Khaled ‘Life Style’ Yake ni Balaa

U NAMFAHAMU, unampenda na pengine huwezi kujitenga naye. Hivyo ndivyo ambavyo DJ Khaled ameingia kwenye maisha yako, akilini mwako na...

READ MORE

Mama Diamond: Nilimdunda Mobeto, Kila Akikanyaga Kwangu Kipigo

BAADA ya kuvuma kwa taarifa mitandaoni kuwa mama wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’...

READ MORE

Madai ya Kuringa, Rammy Awa Mbogo

MUGIZAJI wa kiume Bongo, Rammy Galis amefunguka kuwa anachukizwa na minon’gono ya watu wanaombeza kuwa anaringa kitu ambacho kinamkera sana...

READ MORE

Kiba, Namba Hazidanganyi Mzee Baba

ALI Saleh Kiba ndiyo ma­jina matatu yanayo­tambulika kiseri­kali. Mengine ni King Kiba au Ali Kiba. Mzee Baba ni swaga tu...

READ MORE

Prezzo Azichukia Pombe

MKONGWE kwenye gemu la Hip Hop Kenya, ametoa ujumbe wa kushtua kwa mashabiki wake baada ya kusema kuwa anazichukia pombe....

READ MORE

STEVE NYERERE AMLIPUA MAMA KANUMBA, AFUTA NAMBA ZAKE

MKALI wa Bongo Movies ambaye pia ni kiongozi wa wasanii wa filamu nchini, Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ amevunja ukimya na...

READ MORE

Mwanaheri: Sina Papara ya Kuzaa

MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Mwanaheri Ahmed amesema kuwa japokuwa ameingia kwenye ndoa hivi karibuni lakini hana parapara ya kupata...

READ MORE

HEEE! Eti Tiwa Savage Anatoka na Wizkid!

HABARI za chini ya kapeti zinaeleza kuwa mastaa wawili wasioshikika kwenye muziki, Wizkid na Tiwa Savage ni wapenzi. Ishu nzima...

READ MORE

VIDEO QUEEN MBARONI KWA WIZI

MUUZA sura kwenye video za Kibongo ‘Video Queen’ aliyejipatia umaarufu kwa kutupia picha za utupu mitandaoni, Agness Mmasi, yamemkuta mazito,...

READ MORE

Davina: Kuachika Kumenifunza

MUIGIZAJI wa Bongo Muvi, Halima Yayaha ‘Davina’ amefunguka kuwa hata kama hajapata bahati ya kukaa na mume muda mrefu kama...

READ MORE

AUNT Acharuka Iyobo Kuitwa Dansa

MREMBO wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel ameibuka na kuwacharukia wale wanaomchukulia baba watoto wake, Mozes Iyobo kama dansa wakati yeye...

READ MORE

Bill Nas Afungukia Tuzo ya ‘Akwilina’

IKIWA ni siku kadhaa zimepita tangu msanii wa Muziki wa Bongo Fleva, William Lyimo ‘Bill Nas’ kutunukiwa Tuzo ya Heshima...

READ MORE

OFM Wamfungia Kazi Lulu kwa Saa 9

DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya mrembo  Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuachiwa gerezani na kutumikia kifungo cha nje, kikosi cha...

READ MORE

Video ya Utupu Yamkwamisha Nandy Kupanda Daladala

MKALI wa Ngoma ya Ninogeshe, Faustina Charles ‘Nandy’, amesema kuwa anatamani sana apande daladala ili akutane na mashabiki wake uso...

READ MORE

Lulu Diva Avunja Ukimya, Nampenda Rich Mavoko – Video

Msanii wa Bongo Fleva, Lulu Diva, amefungukia ishu ya inayodaiwa kuwa anatoka kimapenzi na mwanamuziki wa WCB, Rich Mavoko. Lulu...

READ MORE

Esha Buheti Afungukia Kumtafutia Mke Alikiba – Video

Muigizaji nguli wa Filamu Bongo, Esha Buheti amefungukia kuhusu tetesi zilizokuwa zikisambaa mitandaoni kuwa yeye ndiye aliyemtafutia mke Mfalme wa...

READ MORE

Maskini Dotnata, Apata Pigo!

MASKINI! Mwanamama mkongwe wa filamu za Kibongo, Illuminata Poshi ‘Dotnata’, amepata pigo baada ya kufiwa na mama yake mzazi, Ildegalda...

READ MORE

Lulu Auvaa Moto wa Mama Kanumba

MAMBO ni moto! Wakati chozi la furaha ya kupunguziwa adhabu likiwa bado halijamkauka muigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’, mama wa aliyekuwa...

READ MORE