×

Celebrities

Aunt Ezekiel Inatosha kumlilia Kanumba!

STAA wa filamu za Bongo, Aunt Ezekiel amefunguka kuwa hakuna sababu ya kulia kila siku kuhusiana na kifo cha aliyekuwa...

READ MORE

DAVINA akiolewa tena, Maya anaandamana

MWIGIZAJI mkongwe Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa, siku mwigizaji mwenzake, Halima Yahya ‘Davina’...

READ MORE

Filamu ya Chemical vs Wema

THE Goethe Institut (Institute) ni taasisi iliyo chini ya Serikali ya Ujerumani. Ilianzishwa mwaka 1951. Makao makuu yake yapo jijini...

READ MORE

Kalio Lampatia Aunty Lulu Wachumba Watatu

KATIKA hali ya kushangaza, mwanadada ambaye ni mtangazaji wa zamani wa runingani na msanii wa filamu za Kibongo, Lulu Semagongo...

READ MORE

Masogange Sasa Chunga Sana Nyendo Zako!

KWAKO mrembo uliyechipukia kwenye kilinge cha u-video queen, Agness Gerald almaarufu Masogange. Mambo vipi? Habari za siku? Kitambo kidogo sijakutia...

READ MORE

Z Anto atamba kufuta vumbi ‘kiti’ chake

HIVI jifikirie duniani kusingekuwa na muziki wa aina yoyote ile maisha yangekuwaje? Kungekuwa na raha kweli? Watu wangewatumia nini wapenzi...

READ MORE

BILNASS ANGEFANYA NINI KAMA SIYO MUZIKI?

UNAWEZA kuwa umewahi kujiuliza kwamba, mbali na muziki, mkali wa kurap Bongo, anayefahamika zaidi kwa jina la Bilnass angefanya kazi...

READ MORE

Choki: Napumzika na Familia Yangu Kwanza

  BAADA ya kumaliza mkataba na Bendi ya The African ‘Twanga Pepeta’, mwanamuziki Ally Choki amefunguka kuwa, hana mpango wa...

READ MORE

Wastara atoboa siri kuachika mara tatu

BAADA ya kuolewa mara tatu na ndoa hizo kuvunjika, staa wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ameibuka na kueleza siri...

READ MORE

WOLPER: NISHA HANA VIGEZO VYA KUTEMBEA NA BROWN – VIDEO

STAA wa Bongo Movie, Jackline Wolper amepinga kwa nguvu zote stori zinazosambaa mitandaoni kuwa X-wake ambaye ni mwanamitindo, Brown ana uhusiano wa...

READ MORE

Mbivu,mbichi Yamoto Band Hizi Hapa!

USIKU wa Septemba 21, 2014 ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar kulikuwa na...

READ MORE

SIRI DIRECTOR CAMPOS KUIVURUGA BONGO

WAKATI madairekta wa video za muziki Bongo wakiwa wamelala, wanamuziki wameamka na wanataka kazi zao zipae mbali zaidi wakikimbilia bondeni...

READ MORE

SERIKALI: CHINA HAIJANYONGA MTANZANIA

SERIKALI kupitia Idara ya Habari (Maelezo) imesema kuwa, China haijanyonga Mtanzania yeyote aliyekamatwa na madawa ya kulevya. Kauli hiyo ya...

READ MORE

Mama Kanumba Atoswa Mazima!

WAMEMPOTEZEA? Ndivyo unavyoweza kujiuliza kufuatia mastaa wote wanaotamba mjini kushindwa kutokea kwenye hafla ya kumkumbuka ya miaka sita ya kifo...

READ MORE

Werrason kukinukisha Dar Jumamosi hii

MSANII wa muziki wa dansi kutoka  Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Werrason yupo nchini Tanzania kwa ajili ya kufanya shoo...

READ MORE

NDOA YA MWANAHERI YAKWAA SKENDO No.1

  MAMBO ni moto! Saa chache baada kufungwa, ndoa ya kimyakimya ya staa wa Bongo Movies na Tamthiliya, Mwanaheri Ahmed...

READ MORE

Hivi Ndivyo Wema Sepetu Anavyooga Mamilioni

BAADA ya kupewa Tuzo ya Msanii Bora wa Kike 2018 zilizokuwa zikitolewa na Sinema Zetu International Film Festival (SZIFF) zilizofanyika...

READ MORE

Nuh Mziwanda Alivyojichanga Kusimamisha Mjengo

DUSKODUSKO ni maneno maarufu kwa sasa mtaani, ambayo humaanisha fedha ndogondogo. Vijana wengi hupenda kulitumia pale wanapogawana, mtu anapojichanga kutunza...

READ MORE

Masogange Hataki Shobo na Mtu

VIDEO queen matata Bongo aliyeshaini kwenye video mbalimbali za wasanii wa Bongo Fleva, Agness Gerald ‘Masogange’ ameweka wazi kuwa, baada...

READ MORE

Johari Aikimbia Dar

MWIGIZAJI mkongwe Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’, ameamua kulikimbia Jiji la Dar kwa muda ambapo kwa sasa atakuwa anafanyia kazi zake...

READ MORE

Siri Bata la Zari Dubai Yaanikwa

DAR ES SALAAM: Wakati suala la mzazi mwenzake Nasibu Abdul ‘Diamond’, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kutanua pande za...

READ MORE

Diamond na Siri ya Kuvaa Msalaba

MWANAMUZIKI kiwango kwenye gemu la Muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, amefunguka kwamba watu wamekuwa wakimdis kutokana na...

READ MORE

Samaki wa Kukaanga na Ndizi Mzuzu

LEO tunaa-ngalia jinsi ya kupika ndizi mzuzu za kukaanga na samaki. Maandalizi: -Samaki sato vipande utakavyo. -Ndizi mzuzu zikatekate. -Mafuta...

READ MORE

SIRI NZITO: BIFU LA UWOYA, BATULI & WEMA

  UKIACHANA na madai ya wivu wa tuzo aliyotwaa Wema Isaac Sepetu ‘Madam’, mwigizaji huyo kinara na wenzake wa Bongo...

READ MORE

KITU CHA KUJIFUNZA TUZO ZA GABO & WEMA!

SIKU moja nikiwa ‘kijiweni’ maeneo ya nyumbani kwangu Sinza jijini Dar, ghafla ukaanza mjadala kuhusu Bongo Muvi. Mjadala huo ulikuja...

READ MORE

KAJALA AITIFUA NDOA YA P-FUNK

  MAMBO ni moto! Staa wa filamu za Kibongo, Kajala Masanja anadaiwa kuitifua vikali ndoa ya mzazi mwenzake, Paul Matthysse...

READ MORE

Irene Paul Amwagia Sifa Zari

MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Irene Paul amewakata vilimi mastaa wa Bongo kwa kuwaambia kuwa hakuna staa mkubwa Bongo kama Zarina...

READ MORE

JB: TASNIA HAIJATUFIA

MKONGWE wa sinema za Kibongo, Jacob Stephen ‘JB’ amesema kimsingi tasnia ya filamu Bongo haijafa kama wengi wanavyodhani.   JB...

READ MORE

BI KIDUDE ASHANGAA MZEE YUSUF KUACHA TAARAB!

MILIO ya ndege inasumbua masikio yangu, kijua cha jioni ndicho kinaonekana kuishiaishia, kwa mbali naona milima mingi. Nimetembea umbali mrefu...

READ MORE

CHIKOKA AFUNGUKIA MAANDAMANO!

MUIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Juma Chikoka, amesema kuna tatizo kubwa la uelewa wa Watanzania katika suala zima la matumizi...

READ MORE

MASTAA WAPINGA WEMA KUPEWA TUZO!

DAR ES SALAAM: BAADA ya wiki iliyopita staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu kushinda tuzo mbili katika hafla ya...

READ MORE

PRETTY KIND; AFUNGUKA KUTOKA KIFUNGONI, AMGUSIA ROMA!

  JINA lake kwenye vyeti ni Suzan Michael ‘Pretty Kind’. Huyu ni msanii wa muvi, moja ya filamu alizoigiza ni...

READ MORE

Kula Bata Kwamuumiza Roho Mai

MTANGAZAJI maarufu Bongo, Maimartha Jesse ‘Mai’ ambaye alijifungua hivi karibuni, ameibuka na kueleza kwamba katika kipindi hiki, hakuna kitu kinachomuumiza...

READ MORE

Pretty Aeleza Alivyokesha Akilia, Kisa Waziri

  BAADA ya kusamehewa na kuruhusiwa kuendelea na sanaa, msanii wa muziki na filamu za Kibongo, Suzan Michael ‘Pretty Kind’...

READ MORE

Nas B Akiri Kuporomoka Kisa Menejimenti!

Nas BAMINA ni msichana mrembo anayeishi Temeke Mikoroshini, kuhusu maisha yake ni msumari na nyundo, wazazi wote masikini, walijiganga ganga...

READ MORE

Mimba ya Zamaradi Yazua Gumzo

MIMBA ya mtangazaji maarufu wa TV, Zamaradi Mketema usiku wa Aprili Mosi ilizua gumzo katika ukumbini kutokana na kwamba, hapo...

READ MORE

Sholo,Man Fongo watunishiana misuli Dar Live

  ILIKUWA ni Pasaka ya aina yake ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar...

READ MORE

Kwa Mara ya Kwanza FA Amfagilia Jide

MARA baada ya kushuka jukwaani katika shoo ya Anaweza iliyofanyika usiku wa kuamkia Aprili Mosi, ndani ya Ukumbi wa Police...

READ MORE

Prof J Kumtembelea Lulu Gerezani

MKONGWE kwenye gemu la Muziki wa Hip Hop Bongo ambaye pia ni Mbunge wa Mikumi, Joseph Haule ‘Prof J’, amefunguka...

READ MORE

Majibu 4‘ Waraka’ wa Ray C

MEI 15, 1982 katika mkoa wa Iringa alizaliwa msanii mkongwe mwenye sauti tamu katika Muziki wa Bongo Fleva, Rehema Chalamila...

READ MORE