×

Celebrities

Mbasha Amtolea Povu Binti ‘Anayedai Kumpachika Ujauzito’

MSANII wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha, amefunguka na kuwatolea uvivu mabinti wa Bongo akisema wengi wao hawaolewi kwa sababu...

READ MORE

Kisa Ndoa Yake, Uvumilivu Umefikia Kikomo, Dogo Janja Aanika Haya!

MSANII wa Bongo Fleva, Dogo Janja ‘Janjaro‘ ambaye ni mume wa ndoa wa muigizaji wa Filamu Bongo, Irene Uwoya, amesema...

READ MORE

JIKE SHUPA AVUNJIWA MLANGO, KISA WANAUME TATA

  UBUYU wa wiki hii ni wa embe, ukiumung’unya, lazima mwishoni ukutane na ugwadu! Ubuyu wenyewe unamhusu muuza nyago aliyepata...

READ MORE

MAN FONGO, SHOLO WATAMBIANA

SIKU zikiwa zinah-esa-bika kufikia Aprili Mosi (Sikukuu ya Pasaka), wakali wawili wanaotikisa katika Muziki wa Singeli Bongo, Sholo Mwamba na...

READ MORE

UKISIKIA MANENO YA MKE WA ROMA, UTATOA MACHOZI

MKE wa Rapa maarufu Bongo, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’, Nancy Mshana ‘Mama Ivan’ amefunguka kuwa mume wake kwa sasa anapitia...

READ MORE

Uwoya: Tangu Niolewe na Dogo Janja, Natongozwa Mpaka Basi

  MUIGIZAJi wa Bongo Movies, Irene Uwoya amesema anashangaa tangu aolewe na Dogo Janja, mwishoni mwa mwaka jana, wanaume wengi...

READ MORE

Wastara Kusaidia Wanawake Wenye Matatizo – Video

Msanii wa Filamu nchini Wastara Juma, amesema kuwa ameamua kujitolea kusaidia wanawake wote wenye maisha magumu wakiwemo wanaoishi katika mazingira...

READ MORE

Msanii Bongo Movie Aukacha Uigizaji, Kisa… – Video

MSANII mkongwe wa Filamu nchini, Waridi Kurudi, ambaye kwa miaka kadhaa alikuwa ameitupa mkono tasnia ya uigizaji, amesema kuwa kisa...

READ MORE

WEMA: Hakuna wa Kunigombanisha na Aunt

MKALI wa Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu amelifungukia Ijumaa Wikienda kuwa, hakuna mtu wa kum-gombanisha na staa mwenzake, Aunt Ezekiel...

READ MORE

SKYNER NDIYO KAPOTEA MAZIMA

MWIGIZAJI wa Bongo Movies ambaye amepotea, Sykner Ally ameweka wazi kuwa, kupotea kwake mazima kwenye filamu ni kwa sababu alijitumbukiza...

READ MORE

Utu Uzima Wamtuliza Kajala

MWANAMAMA mkali kwenye Bongo Movies, Kajala Masanja ‘Kay’ amesema kuwa, ukimya wake unatokana na umri wake alionao kwa sasa (miaka...

READ MORE

UCHEBE HAJAWAHI KUMZIBUA SHILOLE

MUME wa staa wa Mduara B0ng , Zuwena Mohammed ‘Shilole’ ambaye alifunga naye ndoa miezi kadhaa iliyopita, Ashiraf Uchebe amefunguka...

READ MORE

Sholo Aomba Radhi, Aahidi Makubwa Pasaka

  KUFUATIA kuingia mitini katika tamasha la Mwaka Mpya, Mkali wa Singeli, Sholo Mwamba ameweka wazi kuwa kilichotokea ni kwamba...

READ MORE

Penny: Ningemzalia Diamond Lakini…

UKITAJA orodha ya mastaa wa kike Bongo ambao siku za nyuma walisumbua kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii, basi huwezi kuacha...

READ MORE

SKENDO YA KUTOA MIMBA 8… TUNDA AFUNGUKA!

  DAR ES SALAAM: Haya ni mahojiano maalum! Baada ya kusambaa kwa skendo ya kudaiwa kuchoropoa mimba takriban nane, muuza...

READ MORE

Huku Drama za Diamond na Wema Zikinoga, Kule Zari Bata Batani – Picha 7

WAKATI Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz akiendeleza drama ya mapenzi na aliyekuwa girl friend wake, Wema Sepetu kupitia mitandao...

READ MORE

Wema Amchanganya Diamond, Mahaba ni Moto, Insta Pamechafuka!

  STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz ameshindwa kujizuia baada ya mpenzi wake wa zamani na Malkia wa Bongo Movies,...

READ MORE

Hatimaye Wema Avunja Ukimya, Amwandikia Diamond Ujumbe Mzito

  STAA wa sinema za Kibongo, Wema Sepetu amevunja ukimya na kuamua kumwandikia ujumbe mzito huku akimwagia misifa mpenzi wake...

READ MORE

Wastara Alamba Shavu Sweden

Wastara Juma. STAA wa filamu za Kibongo, Wastara Juma ambaye hivi karibuni alikuwa nchini India kwa matibabu, baada ya kurudi...

READ MORE

Ushoga Wake na Wema… Aunt Atoa Povu Unafiki Wake kwa Zari

DAR ES SALAAM: Baada ya picha mpya kusambaa na kuonesha muigizaji Aunt Ezekiel akiwa karibu na Wema Sepetu, wafausi wa...

READ MORE

Riyama Aeleza Sababu za Kufutuka

  STAA wa filamu za Kibongo, Riyama Ally ameeleza sababu zilizomfanya anenepeane baada ya watu kumponda kwamba, amekuwa na ‘minyama...

READ MORE

Yah TMK Waipiga Mkwara Jahazi

Kundi la Muziki wa Taarab Yah TMK KUNDI la Muziki wa Taarab linakuja kasi katika anga la burudani, Yah TMK wamechimba...

READ MORE

PRODYUZA WA HARMONIZE AJIWEKA KWA SNURA

Msanii wa Bongo Fleva Snura FRANK Mshumbusi almaarufu Fraga ambaye ndiye prodyuza wa Wimbo wa Happy Birtyhday wa msanii kutoka...

READ MORE

WOLPER; KIBOKO KWA KOPI & PASTE

HAKUNA kitu kizuri duniani kama kubarikiwa kuwa na kipaji ambacho unaweza kukifanya na jamii ikakukubali. Jacqueline Wolper ni mmoja kati...

READ MORE

Enock Bella Alamba Shavu Burundi – Video

  MSANII wa Bongo Fleva, Enock Bella anayetamba kwa nyimbo mbalimabli kama Sauda, Ngoja Kidogo na zingine nyingi hivi amelamba...

READ MORE

DULLA MAKABILA KUMTAMBULISHA MREMBO WAKE DAR LIVE

MKALI wa Muziki wa singeli, Dulla Maka­bila amefunguka kuwa atamtambulisha mwa­namke wake wa sasa katika shoo ya Usiku wa Mwisho...

READ MORE

Mafufu Amwanika Mrithi wa Mkewe!

DAR ES SALAAM: Baada ya miezi kadhaa kupita tangu aamue kuokoka na kuachana na mambo ya kidunia hali iliyosababisha mkewe...

READ MORE

ZARI KUWAPELEKA WATOTO KANISANI KIBABE, KIMENUKA!

  DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya Zarina Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kuonekana akiwapeleka watoto wake kanisani, imeelezwa...

READ MORE

Uzinduzi wa Albamu ya Diamond Watikisa Kenya – (Pichaz)

MSANII wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz amezindua rasmi albamu yake mpya ‘A Boy From Tandale’ jijini Nairobi na kufanya bonge...

READ MORE

DAVINA: KAMWE SIJIHUSISHI NA UNGA

 Halima Yahaya ‘Davina’ MUIGIZAJI mahiri wa Bongo Movies, Halima Yahaya ‘Davina’ amefungukia safari zake zake za Dubai akisema ni kwa...

READ MORE

KAJALA Achomoa Kurudiana na P Funk

Kajala Masanja ‘Kay’ STAA wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘Kay’, amekanusha vikali madai ya kurudiana na baba mtoto wake,...

READ MORE

Ngoma Hizi ni TBT ya Kibabe

THROUGH Back Thursday (TBT), ni ‘trend’ ambayo ipo kwenye mitandao ya kijamii hasa Instagram, Facebook na Twitter ambapo watu huposti...

READ MORE

P Funk Afichua Siri Ngoma za Zamani Kuishi!

P Funk ‘Majani’ MKALI wa midundo kutoka Bongo Records, P Funk ‘Majani’ amesema siri kubwa ya wasanii wa zamani ngoma...

READ MORE

Wa Kuolewa na Diamond ni Huyu!

DAR ES SALAAM: Mara baada ya kumwagana na mama watoto wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kisha kumuahidi mama...

READ MORE

Mwana, Niva Bifu Zito

Mwanaheri Ahmed ‘Mwana’ WAIGIZAJI wa Bongo Movies, Mwanaheri Ahmed ‘Mwana’ na Zuber Mohamed ‘Niva’ wanadaiwa kuwa kwenye bifu zito, kisa...

READ MORE

WASANII HAWA WANAONGOZA KWA AHADI FEKI!

NOVEMBA 3, 2016 mwanazuoni na mwandishi nguli duniani mwenye asili ya Nigeria, Wole Soyinka akiwa katika bustani ya kisasa ndani...

READ MORE

PRETTY KIND Amwangukia Waziri Shonza

KUTOKANA na hivi karibuni kufungiwa kujihusisha na sanaa kwa miezi sita na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,...

READ MORE

FEROOZ Atoboa kilichompoteza!

MUZIKI ni lugha inayozungumza na watu wengi. Inaweza kuwaweka watu chini, mataifa kwa mataifa hata yakasikilizana hata kama hayazungumzi lugha...

READ MORE

G Nako Afungukia Ndoa Yake

MKALI wa michano, George Mdemu ‘G Nako’, amefunguka kwamba siku za hivi karibuni amekuwa akiwaona wakongwe na mastaa wengi wakifunga...

READ MORE

PAMBANO LA RAY NA JB LAZIDI KUTIKISA

WASANII wa filamu nchini, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Jacob Steven ‘Jay B’ wanaotarajiwa kuzichapa katika pambano la ndondi linalotarajiwa kufanyika...

READ MORE