×

Celebrities

Mwana, Niva Bifu Zito

Mwanaheri Ahmed ‘Mwana’ WAIGIZAJI wa Bongo Movies, Mwanaheri Ahmed ‘Mwana’ na Zuber Mohamed ‘Niva’ wanadaiwa kuwa kwenye bifu zito, kisa...

READ MORE

WASANII HAWA WANAONGOZA KWA AHADI FEKI!

NOVEMBA 3, 2016 mwanazuoni na mwandishi nguli duniani mwenye asili ya Nigeria, Wole Soyinka akiwa katika bustani ya kisasa ndani...

READ MORE

PRETTY KIND Amwangukia Waziri Shonza

KUTOKANA na hivi karibuni kufungiwa kujihusisha na sanaa kwa miezi sita na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo,...

READ MORE

FEROOZ Atoboa kilichompoteza!

MUZIKI ni lugha inayozungumza na watu wengi. Inaweza kuwaweka watu chini, mataifa kwa mataifa hata yakasikilizana hata kama hayazungumzi lugha...

READ MORE

G Nako Afungukia Ndoa Yake

MKALI wa michano, George Mdemu ‘G Nako’, amefunguka kwamba siku za hivi karibuni amekuwa akiwaona wakongwe na mastaa wengi wakifunga...

READ MORE

PAMBANO LA RAY NA JB LAZIDI KUTIKISA

WASANII wa filamu nchini, Vincent Kigosi ‘Ray’ na Jacob Steven ‘Jay B’ wanaotarajiwa kuzichapa katika pambano la ndondi linalotarajiwa kufanyika...

READ MORE

Bethidei ya Amber Lulu… Pombe + Mahaba Vyatikisa

Mambo ni moto! Msanii wa Bongo Fleva, Lulu Eugen ‘Amber Lulu’, usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita alifanya sherehe ya kumbukumbu...

READ MORE

PAM D KUTIMKIA SAUZ

SIKU chache mara baada ya kuachia Ngoma ya Umepenya akiwa amemshirikisha Mfalme wa Singeli, Selemani Jabir ‘Msaga Sumu’ staa wa...

READ MORE

Madee Afungukia Ndoa Yake

MEMBA wa Kundi la Tip Top Connection ambaye pia ni Mkurugenzi wa Lebo ya Manzese Music Baby ‘MMB’, Hamad Ally...

READ MORE

Sholo Mwamba uso kwa uso na Man Fongo, Dulla Makabila

  WAKATI siku zikielekea kukatika kufikia Aprili Mosi (Sikukuu ya Pasaka), Staa wa Singeli, Sholo Mwamba kwa mara ya kwanza...

READ MORE

KISA DULLAH MAKABILA… SAJENT, TIKO HAPATOSHI

  UBUYU una tabia moja ya ajabu, ukiula sana, lazima ukuchubue mdomo, lakini siku zote mlaji haachi kuumung’unya! Msanii maarufu...

READ MORE

SARE ZA SEKONDARI ZAMTOA MACHO SNURA

STAA wa miondoko ya mduara Bongo, Snura Mushi amefunguka kuwa amejikuta akizitolea macho sare za wanafunzi wa sekondari baada ya...

READ MORE

CHEGE APATA MTOTO WA KIKE

MSANII Mkongwe wa Bongo Fleva, Saidi Juma Hassani maarufu kama Chege Chigunda amepata mtoto wa kike baada ya mkewe anayefahamika...

READ MORE

Mama Kanumba Afanya Yake Stendi ya Mabasi

MAMA wa aliyekuwa mwigizaji kinara wa Bongo Movies, marehemu Steven Kanumba, Flora Mtegoa, kama kawaida yake ameangua kilio cha nguvu...

READ MORE

SAMIR WA KINYULINYULI AZINDUKA

MSANII wa Bongo Fleva aliyepata kutamba na ngoma zake kali zikiwemo Kinyulinyuli na Ukipenda, Samir Kassim amezinduka usingizini baada ya...

READ MORE

QUEEN DARLEEN: NAMPENDA SANA ZARI!

MWANAHAWA Abdul ambaye wengi humfahamu kwa jina la Queen Darleen ni ‘first lady’ wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB)...

READ MORE

SAKATA LA MTOTO, FLORA AMJIBU MBASHA

MWIMBAJI wa nyimbo za Injili ambaye pia alikuwa mke wa mwimbaji wa muziki huo, Emmanuel Mbasha, Madam Flora amefunguka kuhusu...

READ MORE

DARASSA; ACHA MANENO WEKA MUZIKI!

MKALI wa michano Shariff Thabeet ‘Darassa’ ni mwanamuziki anayekubalika. Ukisikiliza ngoma zake za Shida, Hasara Roho, Too Much na nyingine...

READ MORE

Mapya Tena! Mbasha Amwangukia Flora

  MWIMBAJI wa injili Emmanuel Mbasha amefunguka na kumshukuru aliyekuwa mkewe, Madam Flora kwa kumzalia mtoto wa kike mzuri huku...

READ MORE

Diamond Atikisa Nairobi, Shoo Yake Asikwambie Mtu – (Pichaz)

AMAZING! Hiyo ndiyo kauli pekee unayoweza kuitamka kuakisi shoo baab’kubwa aliyoifanya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, jijini Nairobi...

READ MORE

ESHA BUHETI ACHARUKA UBONGE WAKE

MSANII wa filamu Bongo, Esha Buheti ameibuka na kuwataka wanaoujadili ubonge nyanya wake kuacha akijitetea kuwa, hiyo imetokana na kwamba...

READ MORE

DOGO JANJA AKOSHWA NA CAROL NDOSI

KATIKA kuisindikiza Siku ya Wanawake Duniani, iliyofanyika juzi (Alhamisi), mkali wa michano Bongo, Abdulaziz Chende ‘Dogo Janja’, amefunguka kwamba, kwa...

READ MORE

CHIDINMA ALIZALIWA KIPOFU, LEO NI MWANAMUZIKI TAJIRI!

SAFARI ya mafanikio ina mabonde na milima, lakini ikiwa na siri kubwa ambayo ni kushikilia na kuamini kile ambacho unafikiri...

READ MORE

IDRIS ADAIWA KUNASA KIFAA KIPYA

MCHEKESHAJI kiwango Bongo na mshindi wa Shindano la Big Brother 2014, Idris Sultan, anadaiwa kunasa kifaa kipya kutoka nje ya...

READ MORE

Ray Ammwagia Misifa Kibao Chuchu Hans

LEJENDARI wa sinema za Kibongo, Vincent Kigosi ‘Ray’ amemwaga sifa nyingi kwa mzazi mwenziye, Chuchu Hans, kwa kusema kuwa ni...

READ MORE

SIRI YA KITAMBI CHA JB KUYEYUKA!

MUIGIZAJI maarufu wa filamu Bongo, Jacob Stephen ‘JB’ amefunguka kuwa kupunguza msosi na kufanya mazoezi kumemfanya kuondoa kitambi chake ambacho...

READ MORE

MAMA’KE MKUBWA DIAMOND ALILIA TALAKA BAKWATA

  DAR ES SALAAM: Wakati mama yake mzazi Nasibu Abdul ‘Diamond’, Sanura Kassim ‘Sandra’ akila bata na mumewe ambaye amemzidi...

READ MORE

MASTAA HAWA… MISTARI NDO’ MAISHA YAO!

SUALA la wanamuziki kuimba mambo ambayo yanatokea kwenye maisha yao huwa ni la nadra sana kutokea. Wanamuziki wengi huwa wanaimba...

READ MORE

CHIKOKA: TUSOME ALAMA ZA NYAKATI

MUIGIZAJI mkongwe wa sinema za Kibongo, Juma Chikoka ‘Chopa’ amewataka waigizaji wenzake pamoja na jamii kwa ujumla kusoma alama za...

READ MORE

PAPII: MTOTO WANGU ANANIPA USHUJAA

MWANAMUZIKI mahiri wa Dansi Bongo, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ anaona fahari na ushujaa kila anapomuangalia mtoto wake, Asha ambaye alimuacha...

READ MORE

BLACK PASS COMEDY: Gubu la Kiziwi Chizi/Mr.Director (Bonus)

Video za msanii machachari wa Comedy, BLACK PASS COMEDY. Unaweza kuzitazama kwa urahisi zaidi commedy kupitia application ya Global Publsihers,...

READ MORE

DIAMOND, DERULO KUOGELEA MAMILIONI!

  “HUWA najisikia kama kipepeo hivi pindi ninapotoa wimbo mpya. Lakini kwa huu wa sasa hivi najiona tofauti kabisa…” Jason...

READ MORE

SNURA KUFUNDISHA KWAYA SHULENI

MSANII wa Muziki wa Bongo Fleva, Snura Mushi ameibuka na kueleza kwamba anajipanga kufundisha kwaya kwenye shule mbalimbali kwani muziki kila...

READ MORE

PAM D AHUZUNISHWA NA MKE WA ROMA

SIKU chache baada ya staa wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Mussa ‘Roma Mkatoliki’ kufungiwa na Naibu Waziri wa Habari, Sanaa,...

READ MORE

Wachina Wagombea Kalio la Aunty Lulu! – Video

KATIKA hali ya kustajabisha, Wachina ambao hawakuweza kufahamika majina yao, wamenaswa wakipagawa na kugombea kumshika kalio, mtangazaji maarufu Bongo, Lulu...

READ MORE

TIKO AWATAKA MASTAA KUHESHIMU SERIKALI

MREMBO wa Bongo Movies na Bongo Fleva, Tiko Hassan ameibuka na kuwataka mastaa wenzake kutii serikali pindi wanapoitwa kwa ajili...

READ MORE

Kumbe! Mimba ya Shamsa Imechoropoka

KUMEKUWA na matukio mbalimbali yanayowakusanya wasanii, lakini tofauti na zamani, Shamsa Ford kwa sasa amekuwa haonekani akijichanganya na wenzake, jambo...

READ MORE

SASA ENZI ZIMERUDI

WAMEAMKA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya wanamuziki wa Bongo Fleva kuona kuwa mtindo wa kutoa albam una umuhimu tena kwa...

READ MORE

WASTARA AMEMUONA ISRAEL MTOA ROHO MARA NYINGI

MWANAMAMA wa Bongo Movies aliyepitia masahibu mengi ya kimaisha, Wastara Juma amesema kuwa kutokana na mateso na magonjwa yanayomkabili, ameshamuona...

READ MORE

PAPII KOCHA YALIYOPITA SI NDWELE

MWANAMUZIKI mahiri wa dansi Bongo, Johnson Nguza ‘Papii Kocha’ ambaye sauti yake ilimisika kwa muda kwa miaka 14, amefunguka kuwa,...

READ MORE