×

Celebrities

‘Kinachomtesa Chid ni hiki!’

MTAALAM wa saikolojia, Mkang’u Lyadunda amesema kinachomtesa staa wa Hip Hop, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ ni kutopata tiba sahihi baada...

READ MORE

Q Chillah, Snura ‘Live’ Tamasha la Full Dozi Dar Live

KITANUKA! WAKALI wawili wasioshikika kunako gemu ya Bongo Fleva, Snura Mushi ‘Mamaa Majanga’ na Aboubakar Katwila ‘Q Chillah’ wanatarajiwa kuungana...

READ MORE

Saida Karoli, Belle 9 na G Nako Kwenye Kichaka (VIDEO)

MSANII mkongwe wa muziki wa asili, Saida Karoli ambaye hivi karibuni amekuwa akitamba na wimbo wake wa Orugambo baada ya...

READ MORE

KAJALA: Sina Mpango wa Kuolewa Tena

UKITAKA kutaja majina ya mastaa wakali katika kiwanda cha Bongo Muvi, huwezi kuacha jina la muigizaji Kajala Masanja ‘Kay’ ambaye...

READ MORE

KISA ‘SEDUCE ME’, KIBA AMPONZA DIMPOZ ISHU YA USHOGA

DAR ES SALAAM: Msanii Grade One Bongo, Ali Saleh Kiba ‘Alikiba’ amemponza msanii mwenzake, Omary Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ baada ya...

READ MORE

AIKA: MNAOSUBIRI NIOLEWE NA NAHREEL MTASUBIRI SANA

  BAADA ya tetesi kuzagaa kuwa mwanadada Aika Mariale na mpenzi wake wa siku nyingi, Nahreel, wanaounda kundi la muziki...

READ MORE

FAIZA KUFANYA UPASUAJI WA MATITI

MSANII mwenye vituko kutoka tasnia ya Bongo Fleva, Faiza Ally amefunguka kuwa akimaliza kunyonyesha tu mtoto wake wa pili aliyejifungua...

READ MORE

Shuhudia Hoteli ya Kisasa ya Mbunge Sugu Aliyofungua Mbeya (PICHA)

HABARI njema kwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘Sugu’ wa Chadema ambaye amefungua hoteli yake mpya na...

READ MORE

PICHA ZA UTUPU: AMBER LULU MIKONONI MWA BASATA

  ZIKIWA zimepita siku chache tangu kuachiwa mtandaoni picha zinazomuonesha msanii wa Bongo Fleva na muuza nyago, Lulu Auggen ‘Amber...

READ MORE

MAJIRANI WACHARUKA, WAWAVUA NGUO MASTAA!

  ZAMANI maisha ya mastaa wengi wa kike Bongo yalikuwa ni ya mitoko karibu kila siku, usiku kwenda katika kumbi...

READ MORE

Mobeto Ampukutisha Zari

DAR ES SALAAM: Mwanamitindo Hamisa Mobeto amedaiwa kuwa sehemu ya kupungua mwili kwa mwanadada mjasiriamali maarufu, Zarina Hassan ‘Zari The...

READ MORE

Chid Benz: Nimefanya Ngoma Mpya na Tupac, Namshusha Bongo Soon

RAPA mkali wa ngoma Dar es Salaam Stand Up, Chidi Benz amezua jipya baada ya kudai kuwa aliyekuwa Rapa wa...

READ MORE

NANDY: KWA BILLNASS, DOGO JANJA, HUNIAMBII KITU

  HIT maker wa ngoma ya Wasikudanganye, Faustina Charles ‘Nandy’ amesema kuwa anavutiwa na kila kitu ambacho wasanii wenzake wawili;...

READ MORE

Picha za Utupu na Young D, Amber Lulu Afikishwa Polisi

MUUZA sura maarufu kwenye video za Bongo, ambaye pia ni msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Amber Lulu jana Jumanne...

READ MORE

MATITI YAMTESA LULU

  MUIGIZAJI nyota wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ mwishoni mwa wiki iliyopita aligeuka kuwa gumzo baada ya nguo aliyovaa...

READ MORE

BILIONEA WA FACEBOOK APATA MTOTO WA PILI

MKE wa Bilionea mwanzilishi na mmiliki wa mtandao maarufu duniani wa Facebook, Marc Zuckerberg ambaye ni daktari wa watoto nchini...

READ MORE

KIBA akinukisha: MASTAA, VIONGOZI WAJITOSA!

  DAR ES SALAAM: Amekinukisha! Si kwa ubaya, la hasha. Kwa wema tu. Mkali wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba...

READ MORE

Dully Sykes: Sigangi njaa

  MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya, Dully Sykes ‘Mr Misifa’ amejinasibu kuwa anafanya sanaa hiyo kwa vile iko ndani...

READ MORE

STEVE NYERERE: BONGO MOVIE NI KIWANDA KIKUBWA

KAULI mbiu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli ya Tanzania ya viwanda, inaelekea kuanza kueleweka...

READ MORE

JOYCE KIRIA AELEZA BANGI ZILIVYOMKOMESHA

MTANGAZAJI maarufu Bongo, Joyce Kiria amefunguka jinsi alivyokomolewa na kitendo chake cha kuvuta bangi, akidhani kingempa ujasiri, lakini badala yake...

READ MORE

MWANA FA: SIJAWAHI KUHONGA

RAPA asiyechuja kwenye muziki wa Hip Hop Bongo, Hamis Mwijuma ‘Mwana FA’ ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa...

READ MORE

Ali Kiba Seduce Me ni Zaidi ya Muziki Mzuri

  Makala: Hashim Aziz “DO not do like that, I’m too smart dada, seduce me like what the hell (ah...

READ MORE

Vita ya ‘Views’ YouTube… ROMA Kichwa Ngumu

VIDEO kutazamwa na watu wengi kwenye Mtandao wa YouTube ni suala la kujivunia kwa wanamuziki wengi duniani hivi sasa. Ndiyo...

READ MORE

UIGIZAJI WAMKOSESHA DUMA MKE

MWIGIZAJI wa kiume wa sinema za Kibongo, Daud Michael ‘Duma’ ameeleza namna alivyokosa mke, kisa kazi ya uigizaji na kuishia...

READ MORE

NDIKU: ATAKAYEMUOA UWOYA ANAJITAKIA KIFO!

  PICHA linaendelea! Baada ya hivi karibuni gazeti tumbo moja na hili, Risasi Mchanganyiko kufanya mahojiano maalum na staa mkubwa...

READ MORE

Ray C: Kwa Sasa Najisimamia Mwenyewe

MWANADADA aliyerejea vizuri kwenye Bongo Fleva, Rehema Chalamila ‘Ray C’ au Kiuno Bila Mfupa, ameibuka na kumtaka mwanamuziki mwenzake ambaye...

READ MORE

BELLA: NITATAMBULISHA NGOMA MPYA DAR LIVE

  KING Of The Best Melodies, Christian Bella ‘Obama’ kwa mara ya kwanza baada ya kuwa kimya kwa muda mrefu...

READ MORE

Brandy atelekezwa na ujauzito

  MKONGWE katika Muziki wa R&B, Brandy Rayana Norwood ni mjamzito ambaye ametelekezwa na aliyekuwa mpenzi wake, Rapa Sir The...

READ MORE

Haa! Dimpoz Unaanzaje Kutembea na Mama?

MUZIKI wa kizazi kipya maarufu kama Bongo Fleva hivi sasa ni kitu kikubwa barani Afrika. Ile shida ya waasisi wake...

READ MORE

NISHA Agoma Kumzalia ‘Benten’ Wake!

MSANII wa filamu Bongo, Salma Jabu`Nisha’ amezima uvumi unaosambaa kuwa amebeba kibendi kutoka kwa ‘benten’ wake anayejulikana kwa jina moja...

READ MORE

WEMA SEPETU KUACHIA FILAMU YA MIL. 40 LEO

STAA ‘grade one’ kunako filamu Bongo, Wema Sepetu amewajibu watu wanaoendelea kumsema kuwa hajui kuigiza kwamba, wajaribu kutupia jicho la...

READ MORE

MIMBA YA ‘MATAMBARA’ YAMUUMBUA HUSNA

MIMBA ya Husna Maulid ilikuwa ya  kughushi.  Imemuumbua baada ya kugundulika kuwa hakuwa nayo, badala yake alikuwa akiweka matambara tumboni...

READ MORE

Senga Atoboa Siri Anavyopiga Mkwanja

MCHEKESHAJI mkongwe, Ulimboka Mwakisikye ‘Senga’ amesema kwa sasa sanaa imekuwa ngumu hivyo kitu pekee kinachomuingizia pesa ni kufanya vichekesho vya...

READ MORE

MCHUMBA: RUKSA SHILOLE KUVAA NUSU UTUPU!

JAMAA ambaye ndiye usingizi wa staa wa Bongo Fleva, Zuwena Mohamed, Ashrafu Uchebe, ameibuka na kumpa ruksa mpenzi wake ya...

READ MORE

ROMA: UKINICHANJA DAMU YANGU NI LOWASSA MTUPU

KWA sasa, ulimwengu wa burudani umetekwa na Ibrahim Musa ‘R.O.M.A’ baada ya kuchafua hali ya hewa na songi la Zimbabwe....

READ MORE

NANDY AKESHA AKISALI ASIBUME

MSANII wa muziki Bongo, Faustina Charles ‘Nandy’ amesema kwa sasa anatumia muda mwingi kukesha kwenye maombi kwa lengo la kuendelea...

READ MORE

AMBER LULU AANIKA SABABU ZA KUSTAAFU KUUZA NYAGO

  MWANADADA machachari Bongo, Lulu Eugen ‘Amber Lulu`ameamua kustaafu kazi ya u-video queen kutokana na watu wanavyoidharau kazi hiyo na...

READ MORE

AUNTY AIGOMEA NDOA YAKE

DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya kuenea kwa madai kuwa mume wa ndoa wa mkali wa sinema za Kibongo,...

READ MORE

UWOYA: HUU NDIYO UKWELI WA MIMI NA NDIKU

  DAR ES SALAAM: Siku chache baada ya aliyekuwa mume wa ndoa wa muigizaji nyota, Irene Uwoya aitwaye Hamad Ndikumana...

READ MORE

ESTER KIAMA AKWAA SKENDO MBAYA

STAA wa filamu za Kibongo, Ester Kiama ameingia kwenye skendo mbaya baada ya baadhi ya wasanii wenzake kudai katika siku...

READ MORE