×

Celebrities

Zuchu – Sukari (Official Music Video)

 SECOND lady kutoka lebo kubwa ya muziki Bongo, Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Zuhura Othman ‘Zuchu’ leo Januari 30, 2021...

READ MORE

Breaking: Ishu ya Polisi Kusitisha Tamasha la Wasafi Dar

  Kamanda wa polisi Mkoa wa Temeke, Amon Kakwale amekanusha taarifa zilizosambaa kwenye mitandao ya kijamii kwamba limesitisha tamasha la...

READ MORE

Nandy Apewa Vyombo Baada ya Vichambo – Video

MSANII wa Bongo Fleva, Fausta Charles ‘Nandy’ amepewa zawadi ya vyombo na mtangazaji Dina Marius baada ya kupokea vichambo kutoka...

READ MORE

T.I, Mkewe Watuhumiwa Kuwafanyia Ukatili Wanawake 25

WANAWAKE zaidi ya 25 wamejitokeza na kudai kuwahi kufanyiwa vitendo vya kikatili na rapa Mmarekani, T.I. pamoja na mkewe Tiny...

READ MORE

Sukari ya Zuchu Yamfunika Nandy

  SECOND lady kutoka lebo kubwa ya muziki Bongo, Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Zuhura Othman ‘Zuchu’ anazidi kutisha kisanaa.Taarifa ikufikie...

READ MORE

Diamond Amtaja Baba Yake Mzazi, Fungua Hapa Kumjua

MSANII nyota wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul almaarufu Diamond Platnumz, leo Januari 28, 2021 kwa mara ya kwanza amefunguka kuhusu...

READ MORE

Agness Amkana Uchebe Kweupe!

MSANII wa Bongo Muvi, Agness Suleiman kwa mara ya kwanza amefunguka madai ya kuhusishwa kimapenzi na aliyewahi kuwa mume wa...

READ MORE

Lady Jay Dee: Sikumbuki Idadi Za Kolabo Nilizofanya

MSANII mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’ amesema kuwa mpaka sasa hakumbuki idadi kamili za...

READ MORE

Maua Sama ft Aslay – Wivu (Official Music Video)

 MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Maua Sama ametoa video ya ngoma yake mpya ya Wivu akimshirikisha msanii Aslay....

READ MORE

Jide Afunguka: Sina Mpango wa Kufungua Record Label – Video

  MWANAMUZIKI mkongwe kwenye gemu ya Bongo Fleva, Lady Jay Dee, ametinga ndani ya studio za Global Radio kwenye kipindi...

READ MORE

Mazito Yaibuka Watoto Wa Diamond Platnumz

MJI mzito! Mambo kila siku yanaibuka mapya, lile suala la mama yake Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’ kutamka...

READ MORE

Kumekucha! Acharuka Kuachana na Kusah

KUMEKUCHA! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia staa wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel kucharuka ile mbaya kufuatia dua ya kumuombea aachane na...

READ MORE

Exclusive: Mazito Yaibuka Watoto Wa Mondi

MJI mzito! Mambo kila siku yanaibuka mapya, lile suala la mama yake Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Sanura Kassim ‘Sandra’ kutamka...

READ MORE

Penzi la Harmo na Kajala Mapya Yaibuka

LICHA ya muigizaji Kajala Masanja kunanusha vikali kuwa na uhusiano wa kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’,...

READ MORE

Davina Anika Maumivu Ya Kukosa Ubunge

  MIONGONI mwa waigizaji wa kitambo ambao bado wanafanya vizuri kwenye tasnia ya Bongo Movies ni Halima Yahya. Mashabiki wake...

READ MORE

Mtv Mama…Modi, Harmo, Zuchu, Rostam Kimewaka Huko

KIMEWAKA huko! Ndivyo unavyoweza kusema kuelekea mwezi mmoja wa lala salama huko kwenye kinyang’anyiro cha tuzo kubwa za muziki wa...

READ MORE

Uwoya Atamba Bado Ana Muda Kula Ujana

LICHA ya kwamba ni mama mwenye mtoto mkubwa tu, Krish Ndikumana, staa wa Bongo Movies, Irene Uwoya, eti ametamba kwamba,...

READ MORE

Tanasha Atua Nchini, Gari La Diamond Lampokea – Video

MZAZI mwenza wa supastaa wa Bongo Fleva barani Afrika, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha Donna Oketch, usiku wa jana Januari...

READ MORE

Dortmund Kuwalaza Njaa Wenyeji Wake? Chagua wa Kushinda Naye!

Mchaka mchaka wa soka unaendelea kuleta burudani kwa wapenzi wa soka, ligi zote zimepamba moto huku mashabiki wakiendelea kutambiana mtaani....

READ MORE

Melania Trump Kupewa Mabilioni, Kisa ‘Interview’

MELANIA TRUMP na mumewe Donald Trump jana jioni waliondoka rasmi Ikulu ya Marekani na kuelekea kwenye makazi yao mjini Florida....

READ MORE

Rasmi! Shetta Athibitisha Kuachana na Mama Qaillah

MSANII wa Bongo Fleva, Nurdin Bilal Ali maarufu kwa jina la Shetta, amethibitisha kuwa kuachana rasmi na mke wake “Mama...

READ MORE

Lulu Diva:Sipendi Kumwaga Mchele Kwenye Kuku Wengi

SEXLADY kunako anga la muziki wa Bongo Fleva, Lulu Abasi ’Lulu Diva’ amesema hakuna kitu ambacho anakichukia kama kuweka mambo...

READ MORE

Monalisa Ajibu Mapigo: Waangalie Wanao, Je ni wa Kwako?

MWIGIZAJI wa filamu nchini, Yvonne Cherrie, maarufu kwa jina la Monalisa, amewataka wanawake ambao wapo kwenye ndoa waache kumshambulia kwa...

READ MORE

Ronaldo Aweka Rekodi ya Dunia

CRISTIANO RONALDO ameweka rekodi ya kuwa kinara wa ufungaji mabao kwenye historia ya mpira wa miguu duniani kwa kufikisha magoli...

READ MORE

Prof. Jay: Siyo Lazima Uimbe Matusi

MSANII mkongwe wa Hip Hop Bongo, Joseph Haule maarufu kama Prof. Jay, amewakemea wasanii kuendekeza kuimba mambo ya chumbani katika...

READ MORE

Alikiba: Kwangu Muda wa Kuvaa Ulishapita

  MSANII wa muziki Bongo, Alikiba amesema suala la uvaaji kwenye video zake halimsumbui tena maana mambo mengi ameshayapitia kwenye...

READ MORE

Burna Boy Kusikika Uapisho wa Joe Biden Ikulu ya Marekani

MSANII wa Nigeria, Burna Boy, amejumuishwa katika orodha ya nyimbo ambazo zitapigwa wakati wa sherehe ya kuapishwa kwa rais mteule...

READ MORE

BASATA Yamwekea Mtego Diamond

BARAZA la Sanaa Taifa ( BASATA ) limewataka wasanii wote ambao watatumbuiza katika Tamasha la ‘Tumewasha’ linaloendeshwa na Wasafi Media...

READ MORE

Live: Diamond Anavunja Ukimya, Anazungumza Na Wanahabari Muda Huu…

 MWANAMUZIKI Diamond Platinumz, Januari 19, ameitisha mkutano na wanahabari katika ofisi zake zilizopo Mbezi jijini Dar.. ⚫️ Kwa UPDATES...

READ MORE

Meridian Bet Yaendelea Kutoa Msaada Kwa Jamii Na Kupokea Changamoto

Kampuni inayojihusisha na Mchezo wa kubahatisha ya Meridian Bet imetoa msaada wa vitu mbalimbali kwa walemavu wanaosali katika kanisa la...

READ MORE

Mwasiti Afunguka Kuacha Muziki

MWANAMUZIKIaliyekula chumvi nyingi kunako Bongo Flevani, Mwasiti Almasi ‘Mwasiti’, naye amefunguka juu ya wimbi la wasanii kuacha muziki akisema kwa...

READ MORE

Leicester City Kukiwasha na Chelsea Leo

Ligi Soka nchini Uingereza itaendelea tena leo usiku. Baada ya London Derby, tunakutana tena kwenye wiki ya 19 – Leicester...

READ MORE

Kumbe Mkali Wenu ni Ticha!

MSANII wa vichekesho anayefanya poa kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii, Jackson Supakila Miraji ‘Mkali Wenu’ amesema kuwa ukiachilia mbali...

READ MORE

Achana na Kelele, Huu Ndio Ukweli Kuhusu Baba Mondi – Part 1

BAADA ya kuwepo kwa maneno mengi juu ya ukweli wa Baba wa msanii Diamond Platnumz, Global TV Online imezungumza na...

READ MORE

DStv Yamwaga Ofa Kwa Wateja Wake ‘Panda Tukupandishe’

MultiChoice Tanzania Januari 16, 2021 imetangaza promosheni maalum kwa wateja wa DStv ambapo kwa kipindi cha miezi mitatu itakuwa ikiwapandisha...

READ MORE

Exclusive: Mke wa Ricardo Momo Aifungukia Familia ya Mondi – Video

MWEZI Septemba, mwaka jana 2020, GLOBAL TV ilifanya interview na, Malaika, Mke wa Ricardo Momo ambaye ni meneja wa Lavalava...

READ MORE

Video: Mzee Abdul Alipuka – “Mama Dangote, Diamond Wanadharau Kisa Pesa”

 Mzee Abdul Juma ambaye wengi wanamjua kama baba mzazi wa Diamond, si baba Mzazi wa Diamond kwani wakati wanaingia...

READ MORE

Mzee Abdul: Nitamshitaki Diamond, Tulitoa Mimba ya Kwanza -Video

IKIWA ni saa chache baada ya mama mzazi wa msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, Bi. Sandrah,  kuanika kuwa...

READ MORE

Mama Dangote Alisanua: Mzee Abdul Siyo Baba’ke Mondi, Alishakufa!

MAMA mzazi wa msanii maarufu wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz, Bi. Sandrah,  ameamua kumaliza utata na kuweka wazi kuwa Mzee...

READ MORE