×

Celebrities

Ndoa ya Kim na Kanye Chali, Wapeana Talaka Tatu!

NDOA ya mastaa wakubwa duniani, rapa Kanye West na mwanamitindo Kim Kardashian imefikia mwisho ambapo wawili hao wameripotiwa kuachana baada...

READ MORE

Nicki Minaj Matatani kwa Kuiba Wimbo

MWANAMUZIKI Mmarekani, Nicki Minaj, ameripotiwa kushtakiwa na rapa aitwaye Brinx Billions kwa tuhuma za kuiba wimbo “Rich Sex” aliomshirikisha Lil...

READ MORE

Gigy Money Afungiwa na BASATA

Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), limemfungia miezi 6, Msanii Gigy Money kujihusisha na sanaa ndani na nje ya Tanzania...

READ MORE

Kajala Atoa Msimamo Kuolewa Tena!

  KAJALA Masanja wengi wao wanapenda kumuita ‘ ‘Kay’ wengine wanamuita boss lady, amewakata kilimilimi baadhi ya watu wanaosema kuwa...

READ MORE

Diamond, Alikiba Wakutana Sound City

Moja ya majarida makubwa katika bara la Afrika na duniani kote Soundy City ambalo makao makuu yake yapo Marekani ingawa...

READ MORE

Hamisi wa BSS: Harmonize Nisamehe, Nilidhani Nimetoboa

STORI zinazozungumza sana kwa sasa kwenye mitandao ya kijamii ni kuhusu aliyekuwa mshiriki wa Mashindano ya Kusaka Vipaji maarufu kama...

READ MORE

Dully Sykes Afunga Mjadala wa Ndoa

MWANAMUZIKI mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva, Abdul Sykes ‘Dullysykes’ amefunguka sababu ya kuwa bachela na kuufunga mjadala kuhusu suala...

READ MORE

Chuchu Awaponda Mastaa Wanaozindua Miradi Feki

MSANII wa filamu za Kibongo, Chuchu Hans amewaponda mastaa wenzake wanaozindua miradi mbalimbali ikiwemo maduka na saluni wakijifanya miradi yao...

READ MORE

Rosa Ree Hataki Mazoea Na Wanawake!

RAPA Rasary Robert ‘Rosa Ree’ amefunguka kuwa kitu ambacho kitamfanya agombane na mpenzi wake ni kuwa na mazoea na wanawake....

READ MORE

Papii Kocha Amshangaa Koffi!

MWANAMUZIKI wa dansi nchini, Johnson Nguza maarufu Papii Kocha amesema amemshangaa mkongwe wa dansi kutoka Congo DR, Koffie Olomide katika...

READ MORE

Gabo: Wanafiki Wanasaidia

  MSANII wa Bongo Muvi, Salim Ahmed ‘Gabo’ amesema kuwa kwenye maisha yake hapendi kabisa marafiki wanaong’ata na kupuliza. Akizungumza...

READ MORE

Baba D Amponza Mama Mondi!

DHORUBA ya msanii Nasibu Abdul ‘Diamond’ au Mondi kumbania matunzo baba yake mzazi mzee Abdul Juma, haijatulia, Risasi limebaini.  ...

READ MORE

‘Wamejilipua’… Vita Ya Harmo, Mondi Imenoga 2021

WAMEJILIPUA! Hiyo ndiyo hali halisi baina ya wasanii wawili wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Rajabu Abdul ‘Harmonize’....

READ MORE

Harmonize Akutana na Anjella, Wazama Kufanya Yao! – Video

MWANAMUZIKI Harmonize, amekutana na binti Anjella, ambaye ana kipaji cha kuimba na pia ni mlemavu wa miguu.   Harmonize alipomuona...

READ MORE

Esma Afunguka Skendo Ya Kuchoropoa Mimba

ESMA Khan, dada wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ naye ni maarufu. Umaarufu wake ulitokana na jina...

READ MORE

Hawa Jamaa Watasumbua Kinoma 2021

Wakati tumeuanza Mwaka wa 2021 leo, kuna mambo ya kuyatazama kwa kina kwenye gemu la Bongo Fleva. Kubali au ukatae,...

READ MORE

Exclusive: Makala Banda; Humwambii Kitu Kwa Kiba, Roma

  MSAKATA kabumbu wa kimataifa wa Tanzania, Abdi Banda aliyekuwa anaichezea Highlands Park inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Afrika Kusini...

READ MORE

Esma, Queen Darleen Kama Zamani

DAR: Zile taarifa zilizosambaa hivi karibuni mitandoani kuwa ndugu wawili wanaounganishwa na nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’...

READ MORE

Mondi Ataka Watoto 100

DAR: Kwenye vitabu vitakatifu imeandikwa kwamba Mungu aliwaagiza wanadamu wakaijaze dunia na hilo ndilo tamanio la staa mkubwa wa muziki...

READ MORE

Ukweli Vanessa Kubeba Mimba

DAR: Sexy lady kunako Bongo Flevani, Mariane Mdee almaarufu Mimi Mars, kwa mara nyingine amejitokeza na kutupilia mbali tetesi na...

READ MORE

Mastaa Hawa Bye Bye 2020…. Kicheko 2021

DAR: Wakati leo tukifungua pazia la Mwaka Mpya wa 2021, mikakati na malengo yaliyowekwa na Serikali na watu wa kada...

READ MORE

Mchuano Mkali Mtoto wa Zari, Mobeto

DAR : Mambo ni moto! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia watoto wa mastaa wawili mahasimu, Zarinah Hassan ‘Zari The Lady’, Latiffah...

READ MORE

Zuchu Aingia Top 10 Wanaotazamwa Watakaotikisa 2021

Msanii Zuchu aingia kwenye Top 10 ya BBC pamoja na wasanii wengine Afrika wanaopaswa kutazamwa zaidi 2021. Tumetazama ni nani...

READ MORE

Mrembo Aanika Picha Zake na Dangote, Atoboa Siri Nzito

MWANAMKE mfanyakazi katika mgahawa mmoja nchini Marekani aliyejulikana kama Bea Lewis, jana (Ijumaa) habari zake zilizagaa mitandaoni akidai kwamba tajiri...

READ MORE

Funga Mwaka 2020… Mondi Kicheko, Kiba Maumivu

AMA kweli mwaka huu ulikuwa kicheko kwa msanii wa Bongo fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ au Mondi huku wasanii wenzie akiwamo...

READ MORE

Jay Melody; ‘Mchawi’ wa Nandy!

UKIAMBIWA utaje wasanii waliotoka kwenye Jumba la Vipaji Tanzania (THT), lililokuwa likiasisiwa na marehemu Ruge Mutahaba, huwezi funga hesabu bila...

READ MORE

Shilole: Hapa Nimetulia Tulii

MSANII wa Bongo Fleva ambaye pia ni mjasiriamali Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amesema kwa sasa ametulia tuli kwenye penzi lake...

READ MORE

Harmo Atamba na Wanawake wa Mondi

KAMA ilivyo kawaida yake kuibua mambo mazito ya kumfanya azungumziwe au ‘kutrendi’, staa wa Bongo Fleva, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ ameliibua...

READ MORE

Hemedy PHD ‘Kumuoa’ Uwoya

VUTA picha! Mtoto mzuri, Irene Uwoya anaolewa na handsome boy anayefanya Bongo Fleva ambaye pia ni muigizaji Hemed Suleiman ‘Hemedy...

READ MORE

Mimi Mars: Vanessa Alikuwa na Kila Kitu Kwenye Muziki

UKIAMBIWA utaje listi ya warembo wanaofanya vizuri kwenye Bongo Fleva, basi nina imani kubwa kuwa hautaacha kutaja jina la mwanadada...

READ MORE

Aika Asimulia Msoto wa Kulala Chumba Kimoja!

  AIKA Mariale na Emmanuel Mkono ‘Nahreel’ ni moja kati ya kapo bora za mastaa hapa Bongo. Wamedumu pamoja bila...

READ MORE

Maua Sama Kuachia Ngoma Kama Zote 2021

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Maua Sama amefunguka kuwa kwa sasa anataka kufanya ngoma tofauti bila kupoa kuanzia mwishoni...

READ MORE

Huyu Nd’o Bilionea ‘Mtoto’ Zaidi Duniani

KYLIE JENNER amekuwa bilionea mwenye umri mdogo zaidi duniani, kwa mujibu wa orodha ya mabilionea ya gazeti la Forbes. Kylie ambaye...

READ MORE

Tanzia: Mwanamuziki Mao Santiago Afariki Dunia

NGULI wa muziki wa dansi aliyewahi kuwa mwanamuziki wa kundi la Chuchu Sound, Mao Santiago, amefariki dunia nchini Jamhuri ya...

READ MORE

Vanessa Avalishwa Pete na Rotimi -Video

MWANAMUZIKI wa Tanzania, Vanessa Mdee, amevalishwa pete ya uchumba na mpenzi wake Rotimi ambaye ni msanii wa filamu ambapo wote...

READ MORE

Harmonize – Wapo (Official Audio)

 Msanii wa muziki wa Bongo Fleva nchini, Harmonize Desemba 30, 2020 ameachia ngoma mpya ya Wapo Harmonize – AfroEast...

READ MORE

Shilole: Nimetulia Tuli Kwa Rommy3D

    MSANII wa Bongo Fleva ambaye pia ni mjasiriamali Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amesema kwa sasa ametulia tuli kwenye...

READ MORE

Mo Dewji: Sitamvumilia Atakayenivunjia Heshima

MFANYABIASHARA na Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Bilionea Mohammed Dewji ‘Mo’,  amesema mwaka 2021 hatAwavumilia wale wote wanaotoa lugha za...

READ MORE

Exclusive: Rose Muhando Aanika Mazito, Ahofia Usalama Wake – Video

MUIMBAJI mkongwe wa nyimbo za Injili, rose Muhando amefunguka na kuanika mambo mazito aliyoyapitia kuhusu maisha yake huku akidai kuwa...

READ MORE

Piere Liquid Apata Kigugumizi; Pombe na Mke Nani Zaidi?

MCHEKESHAJI, Piere Likwidi, amesema hawezi kuacha kunywa bia kwa sababu watu wengi wamemjua kwa ‘style’ hiyo ya unywaji ila endapo...

READ MORE