×

Celebrities

Swizz Beatz, Alicia Keys Wampa Kazi Mondi

MTAYARISHAJI  nyota wa muziki nchini Marekani, Swizz Beatz, amejitokeza na kueleza juu ya alichofanya mwanamuziki maarufu wa Tanzania, Diamond Platnumz,...

READ MORE

Hatimaye Zuchu Avunja Ukimya Ku-date na Mondi

Msanii wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya Wasafi (WCB), Zuhura Kopa ‘Zuchu’ amekanusha vikali skendo ya kutoka kimapenzi na Bosi...

READ MORE

Harmonize Anawasha Moto Mpaka Zimbabwe – King 98

MSANII kutoka nchini Zimbabwe, King 98, amefunguka kuhusu kufanya kolabo na msanii na Boss wa Konde Gang, mtu mzima Harmonize,...

READ MORE

Wasanii Waliovishwa Kofia na JPM Hadi Sasa, Hawa Hapa…

MGOMBEA urais kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli ameendelea na utaratibu wa kuwavisha kofia wasanii...

READ MORE

Snura: Mwanamke wa Kwanza Kuvalishwa Kofia na Rais – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni mgombea anayetetea kiti chake kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt....

READ MORE

Country Wizzy Akiri Kumuiga Lil Wayne

GUMZO lililozungu mzwa siku chache zilizopita, lilikuwa ni usajili wa Ibrahim Mandingo ’Country Wizzy’ ambaye ametua pale kwenye lebo ya...

READ MORE

Mtoto wa Mondi Ampa Utajiri Tanasha, Akaunti Yasoma Bil 3

RIPOTI za mastaa walioingiza pesa ndefu kwa mwaka huu wa 2020, zimeanza kutoka ambapo kitendo cha msanii wa muziki wa...

READ MORE

Mbosso Kwenye Tuhuma Kama Zuchu!

DAR: Memba mwingine wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuf ‘Mbosso Khan’ ameingia kwenye tuhuma nzito ya wizi...

READ MORE

Nisha: Marehemu Majuto Kanifanya Nipotee!

ZAMANI watu walizoea zaidi kuona komedi zikichezwa na wanaume, lakini baadaye wakaibuka wachekeshaji wa kike.   Miongoni mwa wachekeshaji walioibuka...

READ MORE

Diamond Amfungukia Mimi Mars ‘Nakapendaga Sana Haka Katoto’

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, ameamua kuanika hisia zake kwa msanii mwenzake, Mimi Mars, kupitia ukurasa wa...

READ MORE

Ostadh Juma Afunguka Kuhusu Kufilisika

Meneja Ostadh Juma na Musoma amefunguka madai ya wasanii kumfilisi hadi kupelekea kuhama Jijini Dar Es Salaam na kuhamia Jijini...

READ MORE

Bonge la Nyau Aanika Alichokiona Kabla ya Ajali

MSANII nchini ajulikanaye kama Bonge la Nyau amesema kitu cha mwisho walichokiona kabla ya kutokea kwa ajali ambayo aliipata na...

READ MORE

Meneja Amlaumu Mondi ‘Kumhujumu’ Tanasha

MENEJA wa msanii na mtangazaji Tanasha Donna, Jamal Gadaffi,  akiwa kwenye mahojiano alidai kuwa msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz,...

READ MORE

Diva: Nimeamua Kuacha Kazi Clouds FM

MTANGAZAJI maarufu wa kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM,  Diva Loveness Malinzi, maarufu kama Diva the Bawse, ametangaza...

READ MORE

Queen Darleen na Mke Mwenza Gari Limewaka

MSANII wa Bongo Fleva ambaye kwa sasa ni mke wa pili wa Isihaka Mtoro, mwanadada ‘Queen Darleen’ ameanza kuvaana na...

READ MORE

Tommy Flavour Aanika Alivyomtuliza Official Lyyn

Msanii wa BongoFleva kutokea lebo ya Kings Music Records, Tommy Flavour amefunguka kuwa kilichosababisha kumtuliza Official Lyyn kwenye mahusiano yao...

READ MORE

Mbosso Alamba Dili Nono

MWANAMUZIKI maarufu wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya Wasafi (WCB), Mbwana Yusuph Kilungi maarufu kwa jina la Mbosso, ametangazwa kuwa...

READ MORE

Staa WNBA Aolewa na Mwanamme Aliyemtoa Gerezani

MCHEZAJI nyota wa mpira wa kikapu nchini Marekani, Maya Moore, ameolewa na Jonathan Irons mwanamme aliyemsaidia kumuondoa jela baada ya...

READ MORE

Nameless Awaonya Warembo: Msidanganywe na ‘Six Pack’

MSANII wa muziki nchini Kenya, David Mathenge almaarufu Nameless, kwa muda amekuwa akitoa maoni yake kwenye mitandao ya kijamii, huku...

READ MORE

Kanye West Aitupa Chooni Tuzo ya Grammy, Aikojolea

KANYE WEST ameitupa chooni tuzo ya Grammy na kuikojolea, tuzo ambayo ni ndoto ya kila msanii duniani kuja angalau kuishika...

READ MORE

Kim Kardashian Ajiunga na Mgomo Dhidi ya Mitandao ya Kijamii

MTANGAZAJI na mfanyabiashara maarufu duniani, Kim Kardashian West, na wasanii wengine wametangaza kufunga akaunti zao za mitandao ya kijamii kupinga...

READ MORE

Kanye West Akwama Kuwania Urais Marekani

NYOTA wa muziki wa hip-hop nchini Marekani, Kanye West, ameshindwa kufuzu kuwa mmoja kati ya wagombea wa urais katika mji...

READ MORE

Meneja wa Mobeto Amtamani Alikiba

MENEJA wa msanii Hamisa Mobetto, Max Rioba, amefunguka kuwa anatamani na atafurahi sana kufanya kazi na msanii Alikiba ili awe...

READ MORE

Maxrioba: Mimi Si Meneja Tena wa Wema, Mobeto

ALIYEWAHI kuwa meneja wa Hamisa Mobetto, Max Rioba, ameweka wazi kuwa kwa sasa yeye si meneja wa Hamisa Mobetto tena...

READ MORE

Petitman: Inaniuma Kuitwa Mbeba Pochi wa Wema

MENEJA na mjasiriamali Petitman Wakuache amefunguka kuwa alikuwa anaumizwa na maneno ya watu mitandaoni kiasi cha kufikia hatua ya kuchanganyikwa...

READ MORE

Kenya: Mchekeshaji wa Miaka 19 Apewa Mkataba na Rihanna

Mchekeshaji Elsa Majimbo ambaye amejipatia umaarufu kwa hotuba zake katika mtandao wa Twitter na Instagram tangu kuanza kwa mlipuko wa...

READ MORE

Mastaa Hawa ni Chui na Paka

KWENYE muziki, ni kama ilivyo kwenye maisha ya kawaida, kuna baadhi ya wasanii wao wamejikuta kutokana na sababu zao, hawapikiki...

READ MORE

Harmo: Naisimamisha Tena Dar!

STAA wa Bongo Fleva na bosi wa lebo kubwa ya muziki Bongo ya Konde Gang Music Worldwide, Rajab Abdul Kahali...

READ MORE

Baada ya Mwanaye Kukondeana, Mama Wema Ataja Wauaji wa Mwanaye

VUNJA ukimya! Mama wa mwigizaji Wema Isaac Sepetu, Mariam Sepetu amevunja ukimya na kuwataka wale wanaojadili kukonda kwa binti yake,...

READ MORE

Wolper Atulizwa Tuliii!

Pisi kali inayowakilisha tasnia ya Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe, amekiri kutulizwa tuliii na mpenzi wake mpya aitwaye Rich Mitindo....

READ MORE

Mpango Haramu Tanasha, Mobeto Kuvuruga Ndoa ya Mondi

Baada ya hivi karibuni Mwanamama anayefanya poa kwenye gemu la muziki nchini Kenya na mzazi mwenza wa mwanamuziki mkubwa wa...

READ MORE

Queen Darleen Afunguka Bifu Lake na Esma

Baada ya kuwepo kwa madai mazito kwamba, wapo kwenye bifu zito, hatimaye dada wa mwanamuziki mkubwa wa Bongo Fleva, Nasibu...

READ MORE

Gonjwa Linalomtesa Mbosso!

Staa mwingine wa Bongo Fleva anayetumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuph Kilungi ‘Mbosso Khan’ amekiri kuteswa na...

READ MORE

Rotimi wa Vanessa Mdee Aanza Kujifua Kiswahili

MPENZI wa msanii, Vanessa Mdee Rotimi, ameonekana akijifunza kuongea lugha ya Kiswahili ambapo alikuwa anafundishwa baadhi ya maneno na mpenzi...

READ MORE

Muna: Naenda Msikitini, Sipangiwi Imani

MTUMISHI wa Mungu na masanii, Muna Love, ameeleza kuwa hawezi kupangiwa kwenye imani na kuna wakati anaenda hadi msikitini kwa...

READ MORE

Country Boy Asimulia Harmo ‘Alivyomsevu’ Mafuta Usiku – Video

RAPA maarufu nchini ambaye hivi karibuni alisainiwa na Lebo ya konde Gang chini ya Harmonize, amefunguka mengi kuhusu ushikaji wake...

READ MORE

Miili 18 Waliokufa Mgodini Yapatikana

TAARIFA za wiki iliyopita zilieleza kuwa takriban wachimbaji 50 walifukiwa na kifusi baada ya mgodi mmoja wa dhahabu kuporomoka katika...

READ MORE

OFM Yanasa Siri Bifu la Wema, Batuli

UNAJUA bifu la msanii Wema Sepetu na Yobnesh Yusuph Hassan ‘Batuli’, lililoteka mitandao ya kijamii mwishoni mwa wiki iliyopita, limetokana...

READ MORE

Harmonize Amtambulisha Country Boy, Ampa ‘Jina la Baba’ – Video

MSANII wa Bongo Fleva, Harmonize, amemtambulisha msanii Country Boy kama msanii mpya wa lebo yake ya Konde Gang ambayo inakuja...

READ MORE