×

Celebrities

Wema Agoma Kumtusi Zari!

STAA wa Bongo Movies; Wema Isaac Sepetu, amekanusha taarifa kuwa, ameungana na timu ya wazazi wenza wa aliyekuwa mwandani wake,...

READ MORE

R Kelly Akutana na Kisanga Gerezani!

STAA wa muziki wa kiwango cha Dunia kutoka nchini Marekani, Robert Kelly ‘R Kelly’, amekutana na kisanga cha kushambuliwa na...

READ MORE

Msanii Bongo Movie Azua Simanzi

HAYA ni zaidi ya mateso! Ukisema wewe unaumwa, lakini unapata usingizi, kumbe hujawaona wagonjwa wenyewe! Hawa Ibrahim almaarufu Carina kwa...

READ MORE

Jeuri ya Fedha! Shuhudia ‘Akon City’ Senegal

MSANIIAkon wa muziki wa R&B nchini Marekani na ambaye amekuwa akizungumzia kujenga mji mpya nchini Senegal tangu 2018 amesema shughuli...

READ MORE

Mr Blue na Mkewe Wapata Mtoto

MIONGONI mwa stori zilizotengeneza headlines kwenye social media ni kuhusu msanii Khery Sameer Rajab maarufu kama Mr Blue ambaye kupitia...

READ MORE

Bwana Misosi: Harmonize Hawezi Kunilipa – Video

MKONGWE wa muziki wa Bongo Fleva, Bwana Misosi, amesema amewasaidia baadhi ya wasanii kama Man X na Harmonize kwenye kazi...

READ MORE

Dada wa Shilole Asimulia Alivyoteseka Kuolewa na Harmorapa

DADA wa msanii Shilole ambaye amejitambulisha kwa jina la Khadija Ziota ameeleza kuwa amepitia wakati mgumu na kuteseka wakati anataka...

READ MORE

Kwa Mamilioni Haya, Mondi Katoboa

NASIBU Abdul almaarufu kama Diamond Platnumz, amekuwa ni nembo ambayo inatangaza vizuri muziki wetu kwa hapa Afrika.   Katika burudani,...

READ MORE

Harmo Amfunika Mondi Kibabe Uwanja wa Mkapa

Dawa ya moto ni moto! Ndivyo unavyoweza kusema, kufuatia, Rais wa Kruu la Konde Gang, Rajab Abdul ‘Harmonize’ kumuonesha bosi...

READ MORE

Uwoya: Niko Sawa na Tessy!

Malkia wa Bongo Movies, Irene Uwoya, ameweka wazi kuwa yuko sawa na aliyekuwa hasimu wake mkubwa, Tessy Abdul ‘Tessy Chocolate’....

READ MORE

Shilole Ayapa Kisogo Mapenzi!

Msanii na mmiliki wa Shishi Food anayefanya poa kwenye miondoko ya mduara Bongo, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa, kwa sasa...

READ MORE

Magari ya Mondi Yazua Jambo

WANANZENGO sio watu wazuri! Wakati ikiaminika ‘yadi’ ya msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au Mondi imesheheni magari...

READ MORE

🔴#LIVE: G Nako Afunguka Ujio wa Aalbamu ya Weusi

MSANII G Nako pamoja na msanii kutoka Marekani Reime Schemes wametambulisha wimbo wao mpya ‘DEBE’ ndani ya +255GlobalRadio na kuahidi...

READ MORE

Makonda Apata Watoto Mapacha, Asema Aliitwa Tasa

ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  na mkewe, Maria,  wamepata watoto wengine wawili ambao ni mapacha...

READ MORE

Skendo Nzito Gari la Dada wa Mondi

Dar: Jambo limezua jambo! Lile gari la kifahari aina ya BMW X5 ambalo alizawadiwa dada wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond...

READ MORE

Gigy Amvua Nguo Nwana’ke!

Dar: Siku chache baada ya msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Gift Stanford ‘Gigy Money’ kutengena na aliyekuwa bwana’ke, Hunchy...

READ MORE

Tanasha Awajia Juu Waliomtusi!

Dar: Msanii wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Kenya, Tanasha Donna Oketch amewajia juu mashabiki waliomtusi baada ya kuomba pesa...

READ MORE

TANZIA: Mfalme T’Challa wa Black Panther Afariki Dunia

Muigizaji maarufu duniani CHADWICK BOSEMAN amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 43 jijini Los Angeles nchini Marekani kwa matatizo...

READ MORE

Giza Nene Jack Patrick

DAR: BAADA ya kufungwa miaka 6 jela kwa kosa la kunaswa na madawa ya kulevya nchini China, modo maarufu Bongo,...

READ MORE

Dude Apata Ajali, Akimbizwa Hospitali

MsSANIIwa filamu, Kulwa Kikumba maarufu kama Dude, amekimbizwa Hospitali ya Magomeni jijini Dar es Salaam baada ya kupata ajali baada...

READ MORE

Aslay Alia Kuzushiwa Kifo

MSANII Aslay Isihaka ameitaka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuvichukulia hatua baadhi ya vyombo vya habari vya mitandaoni “Online Media”...

READ MORE

Uchebe Kortini kwa Kumpa Vipigo Shilole

ASHRAFU GEUZA  maarufu ‘Uchebe’,  amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam akikabiliwa na kosa la kumjeruhi...

READ MORE

Rosa Ree Amfungulia Kesi Harmonize

MSANII wa muziki Bongo, Rosa Ree, amefunguka kuwa kesi yake dhidi ya msanii Harmonize kwa sasa ipo kwenye mikono ya...

READ MORE

Kimnana Aeleza Ugumu Kulea Bila Mwanaume

VIDEO Queen maarufu Bongo, Lilian Kessy ‘Kimnana’ amesema kuwa katika maisha yake, hakuwahi kuwaza kuwa single mama, lakini kumbe kuna...

READ MORE

Mzee Yusuf Ataja Siri Wanaotaka Awaoe

MFALME mwenye Taarabu yake Bongo, Mzee Yusuf amesema kuwa kwa sasa hayupo tayari kuoa tena mwanamke mwingine, aliyenaye kwa sasa...

READ MORE

Mastaa wa 5 wa Kiume Wakali wa Pamba Bongo

MWAKA jana mbunifu wa mavazi nchini; Martin Kadinda, aliwahi kusema kuwa, asilimia kubwa ya wasanii wa kiume Bongo, hawajui kuvaa....

READ MORE

Mzee Yusuf: Tulieni Taarab Inarudi Mahali Pake!

MWANAMUZIKI mkubwa wa Taarab hapa Bongo, Mzee Yusuf ‘Mfalme’ amesema kurejea kwake kutaufanya muziki huo kurejea mahali pake kama zamani....

READ MORE

S2Kizzy Aanika Ugumu Kufanya Kazi na Mondi!

KWENYE kundi la watayarishaji wa muziki (producers) Bongo na wenye ubunifu na kipaji cha hali ya juu, huwezi kumwacha Zombie....

READ MORE

Rayvanny Afungukia Kuficha Uhusiano Mpya!

STAA wa Bongo Fleva na memba wa Lebo kya Wasafi Classic Baby (WCB), Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, amefunguka sababu ya kuficha...

READ MORE

Shamsa, Siwema Ushoga Pambe!

STAA wa fi lamu za Kibongo, Shamsa Ford na mzazi mwenza wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Elibariki Emmanuel ‘Nay wa...

READ MORE

Wema Akataa Mahari Milioni 500!

NDOA sasa inanukia! Kama ulikuwa hujui, taarifa ikufi kie kwamba, bidada Wema Isaac Sepetu yupo kwenye uchumba ‘siriaz’, lakini mwenyewe...

READ MORE

Nandy amnyima usingizi Darey wa Nigeria!

MWANAMUZIKI wa Afro-Beat, Mnigeria Dare Art Alade ‘Darey’ ameibuka na kusema anatamani kufanya kolabo na wasanii wa Bongo Fleva, akimtaja...

READ MORE

Baba Abariki ndoa ya Mondi na Zuchu!

LICHA ya miluzi kupigwa mingi na kubaki kuwa kitendawili kisichokuwa na majibu juu ya binti atakayeolewa na staa wa Bongo...

READ MORE

Kajala Amtaja Shetani Bifu na Wema!

MWANAMAMA mkali mbele ya kamera za Bongo Movies, Kajala Masanja, amesema kuwa, alijua tu kwamba angepatana na mwigizaji mwenzake, Wema...

READ MORE

Mbosso Akosa Mamilioni!

MWANAMUZIKI pendwa wa Bongo Fleva, Mbwana Yusuf Kilungi ‘Mbosso Khan’ anayetumikia Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), ameeleza namna alivyokosa...

READ MORE

Malaika Atumia Mamilioni kwa Ishu Hii!

SEXY lady wa Bongo Fleva, Diana Exavery ‘Malaika’ amesema ametumia mamilioni kwenye ‘teeth braces’ (urembo wa meno) ili kuongeza mvuto...

READ MORE

Ronaldinho Aachiliwa Huru Paraguay

  MCHEAJI wa soka wa Brazil,  Ronaldinho,  ameachiliwa kutoka kifungo cha nyumbani nchini Paraguay baada ya kufungwa kwa kumiliki paspoti...

READ MORE

Harmo: Shoo ya Yanga Sishindani na Mtu, Mtashangaa – Video

  MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Harmonize amefunguka kuwa shoo yake atakayoifanya  Uwanja wa Mkapa kwenye kilele cha Sherehe...

READ MORE

Kumbe Jide Alikuwa Rapa!

  MWANAMUZIKI mkongwe kwenye gemu la Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ au Jide, amefunguka kuwa mwanzo kipindi anaanza muziki,...

READ MORE

Wana Vipaji Vikubwa, Tatizo Nyota!

  KWENYE gemu la muziki, mbali na kufanya kazi nzuri za kuwafi kia mashabiki, ila pia inabidi msanii akubalike kwa...

READ MORE