×

Championi

Aussems Awagomea Wabrazil Simba SC

KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick aussems amesema haoni nafasi ya wachezaji wake watatu kutoka Brazil kupata namba za kudumu...

READ MORE

Sibomana Ampa Zahera Kiburi cha Mabao

KOCHA wa Yanga Mwinyi Zahera, ameanza jeuri kwa kutamka kuwa kwa safu bora ya ushambuliaji aliyonayo hivi sasa hakuna mabeki...

READ MORE

Mbrazili Simba Aanza Kujifunza Kiswahili

KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa beki mpya wa timu hiyo, Mbrazili, Tairone Santos Da Silva ameanza kujifunza...

READ MORE

Rage: Kwa Deo Kanda, Kahata Simba SC Imelamba Dume

ISMAIL Aden Rage ambaye ni mwenyekiti wa zamani wa Simba, ameweka wazi kuwa timu hiyo imelamba dume kwa kuwasajili mshambuliaji...

READ MORE

Hawa Watapiga Penati, Faulo, Kona

MSIMU mpya wa Ligi Kuu Bara unazinduliwa rasmi leo Jumamosi kwa mchezo wa Ngao ya Jamii ambao utazikutanisha timu za...

READ MORE

Simba Vs Azam: Mtakula za Kutosha!

ACHANA na mechi ya Man city na Spurs, ngoma leo saa 1 usiku iko kwenye Uwanja wa Taifa kwa Simba...

READ MORE

Utata kifo cha Mbalamwezi wa The Mafik – Video

KIFO cha msanii wa Kundi la The Mafik, Abdallah Yusufu Matimbwa ‘Mbalamwezi’ kimegubikwa na utata mkubwa kufuatia madai mwili wake...

READ MORE

Premier League Usajili wa Sh Trilioni 3.8

KLABU ya Ligi Kuu ya England maarufu kwa jina la Premier League, zimetumia takribani pauni bilioni 1.4 (Sh trilioni 3.8)...

READ MORE

Sibomana Atoa Kauli ya Kibabe Yanga

WINGA wa Yanga, Mnyarwanda, Patrick Sibomana ambaye anaongoza kwa kufunga mabao kwa wachezaji wote wa Yanga msimu huu hadi sasa,...

READ MORE

Kakolanya Apania Kuwaonyesha Yanga Taifa

KWA jinsi Beno Kakolanya alivyoipania Azam, Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, Yanga lazima udenda uwatoke. Simba na Azam FC zitacheza...

READ MORE

Wawa Ashusha Presha Simba, Mashine Zarejea

PASCAL Wawa, beki wa Simba maarufu kwa jina la Sultan amesema mashabiki wasiwe na presha kuelekea mchezo wa marudiano wa...

READ MORE

Dilunga na Kagere Wanawaumiza Watu Huko..

JKT Tanzania imejichimbia visiwani Zanzibar kwa ajili ya maandalizi na mchezo wao wa kwanza dhidi ya Simba Agosti 23 na...

READ MORE

Boxer, Yondani Wabadili Ukuta

BEKI wa pembeni wa Yanga, Paul Godfrey ‘Boxer’ ana hatihati ya kuukosa mchezo wa marudiano dhidi ya Township Rollers, lakini...

READ MORE

Ibrahim Ajibu Aingia Anga za Al Ahl

KIUNGO mshambuliaji mpya wa Simba, Ibrahim Ajibu, amekiangalia kikosi cha timu yake na kutamka kuwa hawana sababu ya kuukosa ubingwa...

READ MORE

Azam Yaitambia Simba

KOCHA Mkuu wa Azam, Mrundi Etienne Ndayiragije amefunguka kuwa mchezo wao na Simba utakuwa na ushindani kwa kuwa sasa wote...

READ MORE

Zahera: Tutalipa Fedha Kuwafunga Rollers

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amefunguka kuwa atatumia fedha ili tu awafunge Township Rollers katika mechi ya marudiano kati...

READ MORE

UD Songo Wamfanyia Kitu Mbaya Chama

KIUNGO wa Simba raia wa Zambia, Clatous Chama, Jumamosi iliyopita ilikumbana na balaa katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika...

READ MORE

Sibomana: Msiogope, Tunawapiga Kwao Botswana

KIUNGO mshambuliaji machachari na tegemeo hivi sasa wa Yanga Mnyarwanda, Patrick Sibomana amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaahidi...

READ MORE

Yondani Akubali Yaishe, Arejea Kikosini

BEKI wa kati wa Yanga, Kelvin Yondani amekubali yaishe na juzi Ijumaa jioni aliingia kambini kujiunga na wenzake baada ya...

READ MORE

Winga Ajirekodi Akifanya Ngono, Awatumia Video Mashabiki

AIBU kubwa imemkuta winga wa zamani wa Tottenham, Mcameroon, Clinton N’Jie ambaye hivi karibuni alijikuta akitazamwa na mamilioni akifanya ngono,...

READ MORE

KASI YA SIBOMANA YAMKOSHA ZAHERA

KASI ya winga wa Yanga, Patrick Sibomana raia wa Rwanda ya kushuka na kupandisha mashambulizi imemkosha kocha mkuu wa timu...

READ MORE

Aussems: Tukutane Machinjioni

IKICHEZA kwa kujiamini na mbinu za hali ya juu, juzi Jumamosi Simba ililazimisha suluhu ugenini dhidi ya wenyeji, UD Songo...

READ MORE

Rasmi Kwasi Arithi Mikoba ya Banda Sauzi

HATIMAYE aliyekuwa beki wa Simba, Mghana Asante Kwasi amejiunga na Baroka FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini timu aliyokuwa...

READ MORE

Beki Mtaalamu Simba Awatumia Salamu Yanga

HARUNA Shamte, beki mpya ndani ya Simba ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili amesema kuwa moto wake haupoi msimu ujao...

READ MORE

Tshishimbi Atamba, Kisa Sibomana

KIUNGO mkabaji wa Yanga Mkongomani, Papy Tshishimbi amekiangalia kikosi kipya cha timu hiyo na kutamka kuwa msimu huu utakuwa mzuri...

READ MORE

Simba Yapewa Onyo Kali Kwa UD Songo

ALIYEWAHI kuwa straika wa Simba na sasa anaichezea Royal Eagles ya Afrika Kusini, Uhuru Selemani amefunguka kuwa Simba inapaswa kuwa...

READ MORE

Kuwaona Balinya, Falcao Sh 50,000

UONGOZI wa Yanga umeweka hadharani viingilio vyake kuelekea mchezo wa dhidi ya Township Rollers ya Botswana wa Ligi ya Mabingwa...

READ MORE

Tambwe: Zahera mpe unahodha Yondani

AMISSI Tambwe amepaza sauti kutoka Burundi hadi Tanzania akimtaka Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amrudishie kitambaa cha unahodha beki Kelvin...

READ MORE

Ajibu Awatetemesha Chama, Kahata

KUTUA kwa aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu Simba kutawapa ugumu wa namba viungo wenzake Mkenya, Francis Kahata na...

READ MORE

Okwi Awaaga Simba, Aacha Ujumbe Mzito

ALIYEKUWA mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi juzi jioni amewaaga rasmi wachezaji wenzake aliokuwa nao katika kikosi cha Simba msimu...

READ MORE

Kipa Yanga: Kucheza na Yondani ilikuwa ndoto

KIPA mpya wa Yanga, Metacha Mnata, amefunguka kuwa anafurahi kupata nafasi ya kucheza timu moja na beki Kelvin Yondani kwa...

READ MORE

Ndayiragije apania rekodi Azam FC

KOCHA Mkuu wa Azam FC, Ettiene Ndayiragije, amesema, anachokifanya kwenye michuano ya Kagame nchini Rwanda ni kusaka rekodi ikiwemo kutetea...

READ MORE

Simba yampeleka Ajibu hospitali

UONGOZI wa Simba umesema kuwa, wachezaji wa timu hiyo walianza kutua nchini kuanzia juzi Jumatatu na wanatarajiwa kuingia kambini Julai...

READ MORE

Dakika 120 za Wanyarwanda Yanga zatikisa

WACHEZAJI wapya wa Yanga, Patrick Sibomana na Issa Bigirimana ambao wote ni raia wa Rwanda, wamekuwa kivutio katika kambi yao...

READ MORE

Dakika 120 za Mazoezi Yanga Zatikisa Morogoro

KIKOSI cha timu ya Yanga kimewasili mkoani Morogoro juzi tayari kwa kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu ambapo kimejichimbia...

READ MORE

Simba SC KAZI imeanza sasa!

Hivyo ndivyo unavyoweza kusema, hali ya mambo ilivyo hivi sasa huko mitaani baada ya timu za Simba na Yanga kuwa...

READ MORE

Zahera Aanza na Yondani Yanga

WAKATI Yanga ikianza maandalizi ya msimu ujao kesho Jumapili, Kocha Mkuu wa kikosi hicho, Mwinyi Zahera amekuja na mkakati mpya...

READ MORE

Balinya apewa dawa ya kuimaliza Simba

WAKATI uongozi wa Yanga ukiwa katika harakati zake za kukisuka upya kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao, mshambuliaji mpya...

READ MORE

Ajibu Kufuru Simba, Kulipwa Tsh.Mil 1,250,000 kwa Wiki

LANCHI ya juzi haikuwa na raha kwa mashabiki wa Yanga, baada ya Simba kumtambulisha rasmi Ibrahim Ajibu kwamba amerejea Msimbazi....

READ MORE

Kiiza: Kwa Balinya, Yanga imelamba dume

MSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Mganda, Hamis Kiiza ameusifu usajili mpya wa mshambuliaji, Juma Balinya aliyetokea Polisi ya Uganda.  ...

READ MORE