×

Championi

Zahera Awaka Kuhusu Gadiel Michael “Mnambembeleza wa Nini?”

KOCHA Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera amesikia taarifa za beki wake wa pembeni, Gadiel Michael kugomea kusaini mkataba akasonya...

READ MORE

BABA WA NEYMAR ATUA BARCELONA

MABOSI wa Barcelona juzi walikutana na mwakilishi wa mshambuliaji wao wa zamani Neymar wakifanya naye mazungumzo ili arudi kwenye timu...

READ MORE

Kocha Yanga: Wabrazili Wataibeba Simba Kimataifa

KOCHA wa timu ya wanawake ya Yanga, Mohamed Hussein ‘Mmachinga’, amesema kuwa wachezaji wote wa kigeni ambao wamesajiliwa na Simba,...

READ MORE

Sonso Achota Sh mil 20 Yanga

IMEFAHAMIKA kuwa beki kiraka mpya wa Yanga, Ally Sonso amekubali kusaini mkataba wa miaka miwili kwa dau la Sh milioni...

READ MORE

Okwi ataka 115m kwa mwaka Simba

STRAIKA wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi ameyaamsha tena mambo ndani ya klabu yake hiyo baada ya kuwaambia viongozi kwamba kama...

READ MORE

Manula avunja rekodi ya dau usajili Simba SC

  KIPA namba moja wa timu ya taifa, Taifa Stars na Klabu ya Simba, Aishi Manula, anatajwa kuwa mchezaji wa...

READ MORE

Jeshi zima la Yanga hili hapa

yangaYANGA ndiyo timu pekee iliyofanya usajili wa haraka na kukamilika kabla dirisha la usajili kufunguliwa rasmi jana. Dirisha hilo la...

READ MORE

Kisa Kiti, Misri Watia Aibu Zone V Uganda

WAKATI mchezo wa mpira wa kikapu kati ya Tanzania dhidi ya Kenya upande wa wanaume ukichezwa juzi Jumamosi kwenye Uwanja...

READ MORE

KMC Waiwahi Mapema Mazembe Rwanda

KIKOSI cha timu ya KMC Alhamisi hii kinatarajia kukwea pipa kuelekea nchini Rwanda kwa ajili ya kuwawahi wapinzani wao TP...

READ MORE

KAMA MISRI TUMEJIFUNZA, BASI TWENDENI CAMEROON

LEO Jumatatu, Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itacheza mechi ya mwisho ya hatua ya makundi ya Kombe la...

READ MORE

Wengine Simba kutimkia Sauz

WAKATI usajili ukizidi kushika kasi inatajwa nyota wawili wa kikosi hicho wanatarajia kujiunga na Klabu ya Black Leopards ya Afrika...

READ MORE

Taifa Stars Yamweka Njiapanda Tanasha

DAR ES SALAAM: Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imemuweka njia panda mrembo wa Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Tanasha...

READ MORE

Mbelijiji wa Simba Aleta Kiboko ya Tshabalala, Kwasi

BAADA ya kumuongezea mkataba mpya wa miaka miwili ya kuendelea kubaki Simba, uongozi wa timu hiyo umepanga kusajili beki mwingine...

READ MORE

Gadiel: Tutakufa na Kenya

BEKI wa kushoto wa Taifa Stars, Gadiel Michael, amewaondoa shaka Watanzania na kuahidi kupambana kufa na kupona katika mchezo wa...

READ MORE

Yanga Itatisha Afrika Nzima

ACHANA na Yanga mbovu ya msimu uliopita wa Ligi Kuu Bara, kwani ya msimu ujao itakuwa tishio kutokana na aina...

READ MORE

Chelsea Yazigomea Barca na Atletico

CHELSEA inadaiwa imezigomea Barcelona na Atletico Madrid zinazomgombea winga wake, Willian. Klabu hiyo inaaminika kuwa imekataa kumwachia winga huyo baada...

READ MORE

Namungo Yasajili Straika wa Vital’O

UONGOZI wa Namungo FC, juzi usiku ulikamilisha usajili wa mshambuliaji wa Vital’O ya Burundi, Jerome Sina na kiungo wa Bugesera...

READ MORE

Tambwe Awaonya Simba kwa JembeJipya la Yanga

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Mrundi Amissi Tambwe ametamba kwamba Yanga wamelamba dume kwelikweli kwa kumsajili beki Mustapha Suleiman huku akiwaambia washambuliaji...

READ MORE

Matola Kusajili Majembe Mapya 13

KOCHA mpya wa timu ya Polisi Tanzania, Seleman Matola kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu Bara amepanga kukitengeneza kikosi chake...

READ MORE

Biashara, Mwadui FC wamgombea straika Azam FC

KLABU za Biashara United na Mwadui FC, zipo katika vita ya kumuwania mshambuliaji Waziri Junior ambaye ni mchezaji huru baada...

READ MORE

Baada ya siku 23, Okwi kukinukisha Simba SC

HUKO ulipo weka kumbukumbu kabisa kwamba itakapofika Julai 19, straika wa Simba, Emmanuel Okwi ndiyo itakuwa siku ambayo ataanika juu...

READ MORE

Balinya Amtikisa Kagere Bongo

MSHAMBULIAJI mpya wa kikosi cha Yanga, Juma Balinya aliyesajiliwa na klabu hiyo kutoka Polisi ya Uganda, amefunguka kuwa moja ya...

READ MORE

Beki Mbrazil wa Simba Kazi Wanayo!

SIMBA jana mchana waliposti posti ya usajili wao mpya kwenye mtandao wao, Yanga wakaanza kusonya na kubeza wakidhani ni straika...

READ MORE

Jurgen Klopp kushusha mashine kali Liverpool

Kocha wa liver, Jurgen Klopp amechimba mkwara kuwa timu yake itashusha mastaa wengine wa hatari ili kuimarisha timu hiyo kwa...

READ MORE

Balinya: Okwi kanileta Yanga SC

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Juma Balinya raia wa Uganda amefunguka kwamba moja ya watu ambao wamechangia yeye kutua Yanga ni...

READ MORE

Siri Yafichuka Mganda wa Simba Alivyotua Yanga

BAADA ya Yanga juzi Jumamosi kutikisha katika usajili kwa kumsajili mfungaji bora wa Ligi Kuu ya Uganda, Juma Balinya ambaye...

READ MORE

KMC Yaizima Yanga

UONGOZI wa KMC umezima ndoto za Yanga baada ya kuwaongezea mikataba nyota wake wawili Charles Hassan Kabunda pamoja na Charles...

READ MORE

Pasipoti Yamzuia Aiyee kwenda Sweden

STRAIKA wa Mwadui Salim Aiyee ameshindwa kwenda nchini Sweden baada ya Pasipoti yake kutokukamilika kwa wakati.   Aiyee alitakiwa kusafiri...

READ MORE

Simba SC kumtambulisha Ibrahim Ajibu Ijumaa

TIMU ya Simba inatarajia kucheza mchezo wa kirafiki Juni 21, mwaka huu dhidi ya timu ya Gwambina FC, ambapo Mchezo...

READ MORE

Simba Yaagiza Straika wa Kimataifa

MAMBO ni moto Simba! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya uongozi wa timu hiyo kuingia msituni kutafuta bonge la Straika...

READ MORE

Misri, Zimbabwe watatupa taswira ya Afcon

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, jana Alhamisi ilikuwa na mechi ya kirafiki dhidi ya Misri ikiwa ni sehemu...

READ MORE

GAZETI LA CHAMPIONI LAPEWA TUZO MWANZA

  UONGOZI wa timu ya Pamba SC ya jijini hapa, umetoa cheti cha shukrani kwa Gazeti la Championi ikiwa ni...

READ MORE

Mama asitisha mkataba wa Ajibu Simba, ambakisha Yanga FC

UONGOZI wa Yanga upo kwenye taratibu za mwisho za kumbakisha kiungo wake mshambuliaji, Ibrahim Ajibu huku mama yake akihusishwa.  ...

READ MORE

Simba, Walter Bwalya Mambo Safi

STRAIKA namba moja wa Nkana ya Zambia, Walter Bwalya ameweka wazi kwamba amepokea ofa ya Simba na Sportif Sfaxien ya...

READ MORE

Simba: Usajili Mpya ni Balaa Tupu

SIMBA imesisitiza kwamba watafanya usajili wa aina yake msimu huu lakini wachezaji wawili watakaowasajili ni mshtuko.   Kikosi hicho kilichopo...

READ MORE

Kagere Abeba Tuzo ya Tatu

MSHAMBULIAJI wa Simba, Meddie Kagere amechaguliwa na kamati ya tuzo iliyo chini ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kutwaa Tuzo...

READ MORE

Yanga Yampa mkataba kipa akiwa Misri

MABOSI wa Yanga baada ya kusikia kwamba Azam FC wanamnyemelea kipa Metacha Mnata, wameamua kumpa mkataba kipa huyo fasta akiwa...

READ MORE

Fowadi Mpya Yanga Uspime!

HUYO Makambo wenu mtamsahau! Ndivyo unaweza kusema kufuatia fowadi mpya ya Yanga kuonekana ni moto na hii ni kutokana na...

READ MORE

Zahera: Fowadi Yote Yanga ni Mapro

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amemnasa beki wa KMC, Ally Ally huku akiibomoa Lipuli FC kwa kusajili mabeki wawili...

READ MORE

Ishu ya Ajibu Kufeli TP Mazembe Yavuja

BAADA ya dili la Ibrahim Ajibu Migomba kutoka Yanga kwenda TP Mazembe ya DR Congo kufeli, mapya yamevuja. Kumbe mshikaji...

READ MORE