KOCHA Mkuu wa Simba, Mbelgiji, Patrick aussems amesema haoni nafasi ya wachezaji wake watatu kutoka Brazil kupata namba za kudumu...
READ MOREKOCHA wa Yanga Mwinyi Zahera, ameanza jeuri kwa kutamka kuwa kwa safu bora ya ushambuliaji aliyonayo hivi sasa hakuna mabeki...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems amesema kuwa beki mpya wa timu hiyo, Mbrazili, Tairone Santos Da Silva ameanza kujifunza...
READ MOREISMAIL Aden Rage ambaye ni mwenyekiti wa zamani wa Simba, ameweka wazi kuwa timu hiyo imelamba dume kwa kuwasajili mshambuliaji...
READ MOREMSIMU mpya wa Ligi Kuu Bara unazinduliwa rasmi leo Jumamosi kwa mchezo wa Ngao ya Jamii ambao utazikutanisha timu za...
READ MOREACHANA na mechi ya Man city na Spurs, ngoma leo saa 1 usiku iko kwenye Uwanja wa Taifa kwa Simba...
READ MOREKIFO cha msanii wa Kundi la The Mafik, Abdallah Yusufu Matimbwa ‘Mbalamwezi’ kimegubikwa na utata mkubwa kufuatia madai mwili wake...
READ MOREKLABU ya Ligi Kuu ya England maarufu kwa jina la Premier League, zimetumia takribani pauni bilioni 1.4 (Sh trilioni 3.8)...
READ MOREWINGA wa Yanga, Mnyarwanda, Patrick Sibomana ambaye anaongoza kwa kufunga mabao kwa wachezaji wote wa Yanga msimu huu hadi sasa,...
READ MOREKWA jinsi Beno Kakolanya alivyoipania Azam, Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, Yanga lazima udenda uwatoke. Simba na Azam FC zitacheza...
READ MOREPASCAL Wawa, beki wa Simba maarufu kwa jina la Sultan amesema mashabiki wasiwe na presha kuelekea mchezo wa marudiano wa...
READ MOREJKT Tanzania imejichimbia visiwani Zanzibar kwa ajili ya maandalizi na mchezo wao wa kwanza dhidi ya Simba Agosti 23 na...
READ MOREBEKI wa pembeni wa Yanga, Paul Godfrey ‘Boxer’ ana hatihati ya kuukosa mchezo wa marudiano dhidi ya Township Rollers, lakini...
READ MOREKIUNGO mshambuliaji mpya wa Simba, Ibrahim Ajibu, amekiangalia kikosi cha timu yake na kutamka kuwa hawana sababu ya kuukosa ubingwa...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Azam, Mrundi Etienne Ndayiragije amefunguka kuwa mchezo wao na Simba utakuwa na ushindani kwa kuwa sasa wote...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amefunguka kuwa atatumia fedha ili tu awafunge Township Rollers katika mechi ya marudiano kati...
READ MOREKIUNGO wa Simba raia wa Zambia, Clatous Chama, Jumamosi iliyopita ilikumbana na balaa katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika...
READ MOREKIUNGO mshambuliaji machachari na tegemeo hivi sasa wa Yanga Mnyarwanda, Patrick Sibomana amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaahidi...
READ MOREBEKI wa kati wa Yanga, Kelvin Yondani amekubali yaishe na juzi Ijumaa jioni aliingia kambini kujiunga na wenzake baada ya...
READ MOREAIBU kubwa imemkuta winga wa zamani wa Tottenham, Mcameroon, Clinton N’Jie ambaye hivi karibuni alijikuta akitazamwa na mamilioni akifanya ngono,...
READ MOREKASI ya winga wa Yanga, Patrick Sibomana raia wa Rwanda ya kushuka na kupandisha mashambulizi imemkosha kocha mkuu wa timu...
READ MOREIKICHEZA kwa kujiamini na mbinu za hali ya juu, juzi Jumamosi Simba ililazimisha suluhu ugenini dhidi ya wenyeji, UD Songo...
READ MOREHATIMAYE aliyekuwa beki wa Simba, Mghana Asante Kwasi amejiunga na Baroka FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Afrika Kusini timu aliyokuwa...
READ MOREHARUNA Shamte, beki mpya ndani ya Simba ambaye amesaini kandarasi ya miaka miwili amesema kuwa moto wake haupoi msimu ujao...
READ MOREKIUNGO mkabaji wa Yanga Mkongomani, Papy Tshishimbi amekiangalia kikosi kipya cha timu hiyo na kutamka kuwa msimu huu utakuwa mzuri...
READ MOREALIYEWAHI kuwa straika wa Simba na sasa anaichezea Royal Eagles ya Afrika Kusini, Uhuru Selemani amefunguka kuwa Simba inapaswa kuwa...
READ MOREUONGOZI wa Yanga umeweka hadharani viingilio vyake kuelekea mchezo wa dhidi ya Township Rollers ya Botswana wa Ligi ya Mabingwa...
READ MOREAMISSI Tambwe amepaza sauti kutoka Burundi hadi Tanzania akimtaka Kocha wa Yanga, Mwinyi Zahera amrudishie kitambaa cha unahodha beki Kelvin...
READ MOREKUTUA kwa aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu Simba kutawapa ugumu wa namba viungo wenzake Mkenya, Francis Kahata na...
READ MOREALIYEKUWA mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi juzi jioni amewaaga rasmi wachezaji wenzake aliokuwa nao katika kikosi cha Simba msimu...
READ MOREKIPA mpya wa Yanga, Metacha Mnata, amefunguka kuwa anafurahi kupata nafasi ya kucheza timu moja na beki Kelvin Yondani kwa...
READ MOREKOCHA Mkuu wa Azam FC, Ettiene Ndayiragije, amesema, anachokifanya kwenye michuano ya Kagame nchini Rwanda ni kusaka rekodi ikiwemo kutetea...
READ MOREUONGOZI wa Simba umesema kuwa, wachezaji wa timu hiyo walianza kutua nchini kuanzia juzi Jumatatu na wanatarajiwa kuingia kambini Julai...
READ MOREWACHEZAJI wapya wa Yanga, Patrick Sibomana na Issa Bigirimana ambao wote ni raia wa Rwanda, wamekuwa kivutio katika kambi yao...
READ MOREKIKOSI cha timu ya Yanga kimewasili mkoani Morogoro juzi tayari kwa kujiandaa na msimu mpya wa ligi kuu ambapo kimejichimbia...
READ MOREHivyo ndivyo unavyoweza kusema, hali ya mambo ilivyo hivi sasa huko mitaani baada ya timu za Simba na Yanga kuwa...
READ MOREWAKATI Yanga ikianza maandalizi ya msimu ujao kesho Jumapili, Kocha Mkuu wa kikosi hicho, Mwinyi Zahera amekuja na mkakati mpya...
READ MOREWAKATI uongozi wa Yanga ukiwa katika harakati zake za kukisuka upya kikosi chake kwa ajili ya msimu ujao, mshambuliaji mpya...
READ MORELANCHI ya juzi haikuwa na raha kwa mashabiki wa Yanga, baada ya Simba kumtambulisha rasmi Ibrahim Ajibu kwamba amerejea Msimbazi....
READ MOREMSHAMBULIAJI wa zamani wa Yanga, Mganda, Hamis Kiiza ameusifu usajili mpya wa mshambuliaji, Juma Balinya aliyetokea Polisi ya Uganda. ...
READ MORE