×

Championi

Niyonzima: Kocha kayaelewa mambo yetu na Chama

KIUNGO mnyumbulifu wa Simba raia wa Rwanda, Haruna Niyonzima amesema kinachomfanya kocha wao Mbelgiji Patrick Aussems awapange kwa pamoja yeye...

READ MORE

Beki Mpya Mghana Aandaliwa Mkataba Simba

AKICHEZA mechi yake ya kwanza akiwa na Simba, beki mpya Mghana, Lamine Moro inadaiwa amemkosha Kocha Mkuu wa timu hiyo...

READ MORE

LIGI KUU YA ITALIA LIGI YA WABISHI

LIGI Kuu ya Italia imeendelea kushika kasi na Juventus wameonekana kuwa moto sana kwa sasa wakiwa wanapewa nafasi kubwa ya...

READ MORE

Kagere: Sasa hasira tutawamalizia Al Ahly

STRAIKA wa Simba, Mnyarwanda Meddie Kagere amefunguka kwamba kipigo walichopokea kutoka kwa AS Vita kinabaki kama historia na sasa wanageukia...

READ MORE

Mo aiondoa Simba Bongo

BILIONEA na mwanachama wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’, ni kama ameiondoa klabu hiyo katika fikra za kushindana Bongo pekee, baada...

READ MORE

Kisa Simba, Kocha wa Thomas Ulimwengu Atimuliwa

KUMEKUCHA Afrika! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya Simba kuzua balaa nchini Algeria katika Klabu ya JS Saoura. Simba iliichapa...

READ MORE

Pacha wa Kagere anakuja Simba SC

SIMBA kwa sasa inafanya mchakato wa kuhakikisha inamsajili pacha wa mshambuliaji tegemeo kikosini humo, Meddie Kagere, Jacques Tuyisenge. Tusiyenge na...

READ MORE

CHAMPIONI LINAVYOMWAGA FEDHA KWA WASOMAJI WAKE!

GAZETI la Championi limeanza kurejesha kidogo linachokipata kwa wasomaji wake, hivyo zawadi kemkemu zitamwagwa. Msomaji atakayenunua gazeti hili na mengine...

READ MORE

Zahera Ataja Kilichoimaliza Simba kwa AS Vita

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mcongoman, Mwinyi Zahera, ametaja sababu ya watani wake Simba kupoteza mchezo wake wa makundi wa Ligi...

READ MORE

Chama: Tupo Tayari Kwa Vita na AS Vita

KIUNGO wa Simba, Claytous Chama, ameizungumzia AS Vita Club kuwa ni timu ngumu, lakini watapambana kuhakikisha wanafanya vizuri katika mchezo...

READ MORE

Ibrahim Ajibu alivyoweka rekodi Taifa

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajibu ameweka rekodi mpya Uwanja wa Taifa katika mchezo waliocheza juzi dhidi ya Mwadui FC...

READ MORE

Kotei Aahidi Kuwapoteza Wacongo

KIUNGO mkabaji wa Simba, Mghana James Kotei amefunguka kuwa wameenda kupambana na AS Vita Club kuhakikisha wanaondoka na ushindi.  ...

READ MORE

Mbelgiji awashtukia Vita

  KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Aussems raia wa Ubelgiji ametamka kwamba anaelewa mechi yao na AS Vita itakuwa ngumu...

READ MORE

Nunua Gazeti La Championi Ujishindie Simu na Mkwanja

GAZETI la Championi kuanzia leo litakuwa na zawadi mbalimbali kwa ajili ya wasomaji wake. Msomaji atakayenunua gazeti hili na mengine...

READ MORE

Kocha Simba si mtu mzuri, awafanyia umafia Waarabu

ILIZOELEKA katika mechi za nyumbani za Simba za Ligi ya Mabingwa Afrika, kocha mkuu wa timu hiyo, Mbelgiji, Patrick Aussems...

READ MORE

Kesi Yanga ikiunguruma, Manji kurudi kwa kishindo

KUM EKUCHA Yanga! Hivyo ndi­vyo unavyoweza kusema baada ya taarifa mpya kuibuka klabuni hapo mara tu baa­da ya uchaguzi wa...

READ MORE

Jembe jipya Yanga kuibuka Taifa kesho

KIUNGO mpya wa Yanga, Mohammed Issa ‘Banka’, kesho Jumanne anatarajiwa kuibukia Uwanja wa Taifa wakati kikosi hicho kikipambana na Mwadui...

READ MORE

Mwana FA: Hata waje Barcelona kwa Simba hii hawatoki

MKALI wa michano Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’, ameungana na msemaji wa Wekundu wa Msimbazi, Haji Manara, kusema kwamba hata Barcelona...

READ MORE

SINGIDA UNITED YAMCHUKUA ‘KOCHA WA SIMBA’

KLABU ya Singida United imemwajiri Kocha Mserbia Dragan Popadic kuchukua Mikoba ya Kocha Moroco mwenye majukumu ya kitaifa ya maandalizi...

READ MORE

Ulimwengu: Simba Wazuri, Ila Hatuwaogopi

STRAIKA wa JS Saoura, Mtanzania Thomas Ulimwengu amefunguka kuwa kikosi cha wapinzani wao Simba ni bora kutokana na kuwa na...

READ MORE

Juma Hana noma na Ajibu

BAADA ya Kocha Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera kumvua kitambaa cha unahodha, Kelvin Yondani na kumpa kitambaa Ibrahim Ajibu, Juma...

READ MORE

MZEE AKILIMALI AMVAA YONDANI

  KATIBU wa Baraza la Wazee wa Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali amemgeukia aliyekuwa nahodha wa timu hiyo, Kelvin Yondani kwa...

READ MORE

Chama Amtaja Fei Toto, Ajibu Yanga

KIUNGO mwenye vionjo vya kipekee ndani ya kikosi cha Simba, Claytous Chama raia wa Zambia ameweka wazi kwamba ndani ya...

READ MORE

Zahera Awachimba Mkwara Simba

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, ametamba kwamba kwa sasa hana wasiwasi na mechi yao dhidi ya Simba kutokana na...

READ MORE

Ishu ya Yondani, Uongozi Yanga Wakubaliana na Zahera

UONGOZI wa Yanga umemaliza Sakata lililojitokeza hivi karibuni kati ya kocha mkuu wa timu hiyo raia wa DR Congo, Mwinyi...

READ MORE

Yanga Princess Yaongeza Ushindani Ligi ya Wanawake

WAKATI Ligi Kuu Soka ya Wanawake Tanzania Bara (SWPL) iliyoanza hivi karibuni ikipamba moto, ushindani wa ligi hiyo umezidi kushika...

READ MORE

Mwinyi Zahera amuonya Chama

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, Amemuonya kiungo wa Simba, Claytous Chama raia wa Zambia, baada ya kusema kuwa, asitarajie...

READ MORE

Wambura amuandikia barua Karia

AMEANZA kazi! Unaweza kusema hivyo kufuatia Makamu wa rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Richard Wambura, kumuandikia barua...

READ MORE

Tambwe ampora Okwi tuzo, ampa Makambo

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Heritier Makambo, ametabiriwa kuwa ndiye atakayekuwa mfungaji bora msimu huu tena kwa kuzivunja rekodi mbili...

READ MORE

Zahera Ataja Kinachombakisha Yanga

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, raia wa DR Congo ameweka wazi kuwa kitu pekee ambacho kinachomfanya aendelee kubaki kuifundisha...

READ MORE

Kakolanya Atuma Ujumbe Muhimu Yanga

KIPA wa Yanga, Benno Kakolanya amewatumia salamu wenzake kwenye kikosi chake huku akiwataka wazidi kupambana ili kulinda nafasi wanayoishikilia kwa...

READ MORE

Simba yaanza kazi Zanzibar, Waarabu wajipange

KIKOSI cha Simba kipo mjini Unguja kwa ajili ya michuano ya Kombe la Mapinduzi na leo kitashuka uwanjani kupambana na...

READ MORE

Bocco: Tunaanza Na Ubin Gwa Wamapinduzi

NAHODHA na mshambuliaji wa Simba, John Bocco ametamba kwamba watauanza mwaka huu mpya kwa kulichukua Kombe la Mapinduzi ambapo litakuwa...

READ MORE

Rekodi ya Makambo Yaitesa Simba

MAMBO ni moto! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema baada ya mshambuliaji wa Yanga, raia wa DR Congo, Heritier Makambo, kuandika rekodi...

READ MORE

Bocco: Tutawazima Waarabu, Tulieni

NAHODHA wa Simba, John Bocco, ameweka wazi licha ya kupangwa na timu mbili kutoka mataifa ya Uarabuni katika Ligi ya...

READ MORE

Tshishimbi Aizimia Simu Yanga SC

KIUNGO aliyesajiliwa kwa mbwembwe nyingi ndani ya kikosi cha Yanga, raia wa DR Congo, Papy Tshishimbi Kabamba, amedaiwa kuwazimia simu...

READ MORE

Aliyewafunga Yanga Hat Trick Atoweka

  YULE straika wa Stand United aliyeweka rekodi ya kuwafunga Yanga mabao matatu ‘hat trick’, Alex Kitenge, raia wa Burundi,...

READ MORE

Ajibu Awatikisa Wazungu

KIUNGO wa Yanga Ibrahim Ajibu ameweka rekodi ya kipekee baada ya hadi sasa kuwa kinara wa pasi za mwisho (asisti)...

READ MORE

Kakolanya Amponza Kigogo Yanga

MAMBO ni moto ndani ya Yanga. Hivyo ndivyo u n a v y o w e z a kusema baada...

READ MORE

YANGA: TUKUYU STARS TUNAWANYOOSHA

UONGOZI wa Yanga umesema kuwa hauna mashaka na kikosi cha Tukuyu Stars ambacho watacheza nacho katika mchezo wao wa leo...

READ MORE