×

Championi

Majimaji:Tukibaki Ligi Kuu Ni Mungu Tu

UONGOZI wa Majimaji FC umesema kuwa, ni Mungu tu ndiye anaweza kuwaokoa kutoshuka daraja kwani kwa jinsi mambo yalivyo, wakiteleza...

READ MORE

Mzee Akilimali: Yanga Ni Kama Wameshatoka

BAADA ya Yanga kufungwa huku Simba ikiambulia sare katika michuano ya kimataifa, Katibu wa Baraza la Wazee la Yanga, Ibrahim...

READ MORE

Mwarabu Hachomoki Leo Taifa Michuano ya Kombe la Shirikisho

LEO Jumatano, kikosi cha Simba kinachoiwakilisha Tanzania Bara katika Kombe la Shirikisho Afrika, kitakuwa na mchezo wa kwanza wa hatua...

READ MORE

Yanga SC Wawaomba Jezi Za Waarabu

  KATIKA hali ya kush­angaza juzi Jumatatu, baadhi ya makoman­doo wa Yanga na mashabiki waliamua kuvamia mazoezi ya Al Masry...

READ MORE

Kikosi Kitakachowavaa Waarabu Leo

KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa, Pierre Lechantre, tayari ameshakipanga kikosi chake ambacho kitaanza leo Jumatano kwenye mchezo wao dhidi ya...

READ MORE

KOCHA AL MASRY AMUOGOPA OKWI

KOCHA Mkuu wa Al Masry, Hos­sam Hassan akiri kuifahamu Simba vizuri kwa kuwa ametumia muda mwingi kuangalia video za mechi...

READ MORE

YANGA SC WAWAOMBA JEZI WAARABU

KATIKA hali ya kush­angaza juzi Jumatatu, baadhi ya makoman­doo wa Yanga na mashabiki waliamua kuvamia mazoezi ya Al Masry na...

READ MORE

MSUVA AZIDI KUNG’AA, ATWAA UCHEZAJI BORA MOROCCO

KLABU ya Difaa El Jadida ya nchini Morocco anayoichezea Mtanzania, Simon Msuva, imemtangaza mchezaji huyo kuwa mchezaji bora wa mwezi...

READ MORE

Wachezaji Simba, Yanga Msituangushe Kimataifa

  WAKATI wapenzi na mashabiki wa Simba wakiwa bado wanajiuliza juu ya matokeo ambayo timu hiyo iliyapata Ijumaa iliyapata dhidi...

READ MORE

Banda: Ukiwaambia Sauz Mimi Mtukutu, Watakushangaa

  MJI mdogo wa Polok­wane upo Kaskazini mwa jimbo maarufu zaidi nchini Afrika Kusini la Gauteng. Makao makuu ya Gauteng...

READ MORE

Kamusoko: Naanza na Waswana

Mzimbabwe, Thabani Kamusoko, amethibitisha kuanza kucheza mechi yake ya kwanza dhidi ya Township Rollers ya nchini Botswana. Yanga itacheza na...

READ MORE

SIMBA: YANGA NDIYO WATATUPA UBINGWA

SARE ya Simba dhidi ya Stand United ni kama imewaamsha Yanga kutetea ubingwa wao lakini uongozi wa timu hiyo, umeweka...

READ MORE

KESSY: DK 90 TU TUTAWAPOTEZA WASWANA

  BEKI wa kulia wa Yanga aliye kwenye kiwango cha hali ya juu kwa sasa, Hassan Kessy, ameibuka na ku­weka...

READ MORE

Kamusoko, Chirwa Warudi Yanga SC

NYOTA wa Yanga, Obrey Chirwa na Thabani Kamusoko wakiwa na wachezaji wenzao jana Ijumaa waliingia kambini kujiandaa na mchezo wa...

READ MORE

Straika wa Al Masry Aipa Mbinu za ushindi Simba

STRAIKA wa zamani wa Al Masry ya Misri, Jackson Mayanja, ameipatia Simba mbinu zitakazoiwezesha kuibuka na ushindi katika mchezo wa...

READ MORE

Mo Ibrahim Akubali Yaishe Simba SC

KAIMU Rais wa Simba, Salum Abdallah ‘Try Again’, amesema kiungo wa timu hiyo Mohamed Ibrahim ‘Mo Ibrahim’ amemwambia ku wa...

READ MORE

Banda Kutoka Kuonekana Hafai Bongo Hadi Tegemeo Sauz

  GAZETI la Championi ndilo linaloongoza kwa kusafiri sehemu mbalimbali duniani kuhakikisha wasomaji wake wanapata kile ambacho kitakuwa huenda kilionekana...

READ MORE

Niyonzima Mambo Yake Mazuri

KIUNGO wa Simba, Haruna Niyonzima ametoa kauli za matumaini kwa mashabiki wa timu yake akisema anaendelea vizuri na matibabu ya...

READ MORE

Pluijm: Yanga Waje, Tunaanza na Azam

KOCHA wa Singida United, Hans van Der Pluijm amesema hana wasiwasi kupangwa na Yanga katika robo fainali ya Kombe la...

READ MORE

Yanga: Hangaikeni Tu, Chirwa Haendi Popote

MWENYEKITI wa Kamati ya Usajili wa Yanga, Hussein Nyika, amewaondoa hofu mashabiki wa timu hiyo kwa kusema mshambuliaji wao, Obrey...

READ MORE

Uwanja wa Old Trafford Kutanuliwa

KLABU ya Manchester United ipo katika mikakati ya kuutanua Uwanja wa Old Trafford katika upande wa majukwaa ili kuingiza watu...

READ MORE

Hesabu Zaigomea Majimaji Ligi Kuu Bara

  UONGOZI wa Klabu ya Majimaji, umesema hesabu zao za msimu huu za kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara zimegoma,...

READ MORE

Okwi Mchezaji Bora wa Simba

MSHAMBULIAJI Mganda wa Simba, Emmanuel Okwi amefanikiwa kuibuka mchezaji bora wa mwezi Januari- Februari kwa Klabu ya Simba baada ya...

READ MORE

TFF ya Misri Yawabeba Al Masry

KATIKA kuhakikisha timu ya Al Masry inafanya vyema kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika, Chama cha Soka cha Misri...

READ MORE

Lwandamina Aonyeshwa Mlango Wa Kutokea Yanga

BAADA ya kuwepo taarifa kuwa huenda Kocha Mkuu wa Yanga, George Lwandamina akatimkia katika Klabu ya Zesco, uongozi wa Yanga...

READ MORE

Ngassa Atafuta Sifa Kwa Yanga SC Nangwanda

  KIKOSI cha timu ya Yanga, leo Jumatano kinapambana kufa au kupona kuhakikisha kinavunja rekodi yake mbaya kwenye Uwanja wa...

READ MORE

Kidogo Heshima ya Ligi Inarejea, Simba, Yanga Wasibweteke

WiKi iliopita, Tanzania tulibarikiwa kwa kupokea ugeni mzito wa viongozi wa juu kabisa wa soka ulimwenguni ambapo Rais wa Shirikisho...

READ MORE

Yanga: Subirini Ubingwa Mali Yetu

YANGA wamedai kwamba kikosi hicho ambacho wapinzani wao wanakibeza, basi kitabeba Kombe la FA na Ligi Kuu Bara kimiujiuza. Mwenyekiti...

READ MORE

Bocco Afungukia Tuzo ya Mchezaji Bora Bongo

MSHAMBULIAJI wa Simba, John Bocco amefungukia tuzo yake ya uchezaji bora aliyokabidhiwa juzi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar, kwa...

READ MORE

Yanga Yakabidhiwa Majina Hatari ya Wabotswana

TIMU ya Yanga, imepewa majina matatu ya nyota wanaokipiga kwenye kikosi cha Township Rollers ya Botswana ambao wanatakiwa kuwachunga ili...

READ MORE

Kwasi Ajichanganya Na Mbao, Asoma Mbinu Zao

BEKI wa Simba, Asante Kwasi amewafanyia kitu mbaya timu ya Mbao FC ya jijini Mwanza katika mchezo wa juzi uliochezwa...

READ MORE

Beki Mbao: Kichuya, Okwi Walituvuruga

BEKI wa Mbao FC, David Mwasa amefunguka kuwa mabao mawili ya haraka ambayo yalifungwa na Simba kwa kipindi kifupi ndiyo...

READ MORE

TFF Yawapa Yanga Muda wa Kuwamaliza Wabotswana

YANGA kwa sasa watakuwa na uhakika wa kuwamaliza wapinzani wao, Township Rollers ya Botswana katika mchezo wa hapa nyumbani baada...

READ MORE

Neymar Aumia, Azua Hofu PSG

KUFUATIA nyota wa PSG ya Ufaransa, Neymar Jr kuumia wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Ufaransa kati ya timu...

READ MORE

Rage: Hakuna Kitakachoizuia Simba SC Ubingwa

MWENYEKITI wa zamani wa Simba, Ismail Aden Rage, amesema kuwa hakuna kitu kitakachoizuia timu hiyo kutangaza ubingwa mapema msimu huu....

READ MORE

CHIRWA: NIENDE SIMBA KUNA NINI!

STRAIKA mahiri wa kupachika mabao wa Yanga, Mzambia, Obrey Chirwa amewahoji mashabiki wa soka waliokuwa wakimuambia aachane na Yanga ili...

READ MORE

Rais wa Fifa achukua Ushauri wa Championi, Aahidi Kuufanyia Kazi

SHIRIKISHO la Soka la Kimataifa (Fifa), liliamua kufanya mkutano wake mkuu nchini Tanzania ikiwa ni nchi mbili tu zilizopata nafasi...

READ MORE

Mzee Akilimali: Simba Sc Wamepewa Chuma…

KATIBU wa Baraza la Wazee wa Yanga, Mzee Ibrahim Akilimali amesema haoni dalili yoyote ya watani wao Simba kusonga mbele...

READ MORE

Niyonzima Anusurika Kupigwa Kisu India

KIUNGO wa Simba, Haruna Niyonzima amenusurika kufanyiwa oparesheni mguuni mwake baada ya vipimo vya uchunguzi wa jeraha lake kutoka na...

READ MORE

BUKU TU, SHIMO LINATEMA Mil. 100, 000, 000

NDANI ya miaka kadhaa iliyopita kumekuwa kuki­ibuka kampuni nyingi zinazojihusisha na masuala ya michezo ya kubashiri, miongoni mwa kampuni hizo...

READ MORE