×

Championi

Haji Mwinyi Apewa Mkataba Kenya

IMEBAINIKA kwamba uongozi wa timu ya AFC Leopards ya Kenya umemalizana na beki wa kushoto wa Yanga, Mwinyi Haji na...

READ MORE

Mbao Yavuruga Sherehe Za Yanga SC Mwaka Mpya

KILICHOTOKEA jana kwenye Uwanja wa CCM Kirumba ilikuwa ni noma sana. Yanga walichezewa mpira kama vile siyo mabingwa watetezi na...

READ MORE

Omog Kasepa na Mabegi Saba

WAKATI Simba wakiota ndoto ya mwisho pale Mtwara usiku wa kuamkia leo Ijumaa, huku Dar es Salaam bosi wao aliyepigwa...

READ MORE

Chirwa, Kwasi Uso Kwa Uso Zenji

KWA sasa wote wawili hawapo katika vikosi vya timu zao, lakini Januari mwakani straika Obrey Chirwa wa Yanga na beki...

READ MORE

Yanga Yaizidi Ujanja Mbao Mwanza

YANGA imeizidi ujanja Mbao FC kwani licha ya kutanguliza watu wake wa kuweka mambo sawa, viongozi wa timu hiyo Tawi...

READ MORE

Yanga Yawasili Mwanza Kuikabili Mbao FC

Kikosi cha Yanga kimetua salama Mjini Mwanza tayari kwa pambano lake la Jumapili dhidi ya wenyeji Mbao FC, pambano la...

READ MORE

Van Dijk Asaini Liver Kwa Rekodi Ya Dunia

  HATIMAYE Liver­pool wamekamili­sha mchakato wa kumsajili Virgil van Dijk kutoka Southampton kwa ada ambayo imeweka re­kodi.   Ada ya...

READ MORE

Wenger: Mourinho Pambana Na Hali Yako

KOCHA wa Arsenal, Ar­sene Wenger amesema Jose Mourinho wa Man­chester United anatakiwa kupambana na hali yake na kuacha kulialia kuhusu...

READ MORE

Madaktari Wagundua Tatizo la Mbaraka Yusuf

Mshambuliaji wa Azam FC, Mbaraka Yusuf amegundulika kuwa hana tatizo kubwa sana kama ilivyoelezwa hapo awali. Madaktari wa Afrika Kusini,...

READ MORE

Yanga Kuivaa Mbao FC Bila Ibrahim Ajibu

Pamoja na wachezaji kadhaa majeruhi ambao itawakosa katika mechi yao dhidi ya Mbao FC, Jumapili, Yanga itamkosa Ibrahim Ajibu. Yanga...

READ MORE

MASOUD DJUMA: OMONG KANIACHIA MTIHANI MKUBWA

KOCHA aliyeachiwa mikoba ya aliyekuwa kocha wa Simba Mcameroon, Joseph Omog, Mrundi Masoud Djuma, amesema kuwa anasikitishwa na kitendo cha...

READ MORE

Buswita Aanza Mikwara Yanga

BAADA ya kufunga bao lake la pili tangu atue Yanga, kiungo mshambuliaji wa timu hiyo amewaambia mashabiki wa timu hiyo:...

READ MORE

Simba Yawatupa Jukwaani Okwi, Niyonzima

KOCHA wa Simba, Masoud Djuma amesema kuwa kutokana na mshambuliaji wake, Emmanuel Okwi raia wa Uganda kutokuwa sawa, amelazimika kumpatia...

READ MORE

Simba SC Yaifuata Ndanda Kibabe

KIKOSI cha Simba, kesho Alhamisi kinatarajiwa kwenda mkoani Mtwara kibabe huku kikiwa na lengo moja tu la kurudi Dar na...

READ MORE

Tambwe: Nawapa ubingwa Yanga

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Amissi Tambwe aliyekuwa majeruhi kwa kipindi kirefu ameibuka na kufunguka kuwa amerejea kwenye makali yake.   Tambwe...

READ MORE

OMOG AGOMA KUONDOKA

ALIYEKUWA Kocha Mkuu wa Simba Mcameroon, Joseph Omog, amegoma kuondoka jijini Dar es Salaam akisubiria malipo yake kutoka kwa mabosi...

READ MORE

Omog: Nilikuwa Nina Presha Simba SC

ALIYEKUWA kocha mkuu wa timu ya Simba, Joseph Omog raia wa Cameroon amefunguka kuwa kabla ya mabosi wa timu hiyo...

READ MORE

Hans Poppe: Kwasi Mali Yetu!

UONGOZI wa Klabu ya Simba kupitia kwa kamati yake ya usajili inayoongozwa na mwenyekiti wake, Zakaria Hans Poppe, umelitolea ufafanua...

READ MORE

Cannavaro: Akirudi Manji, Mtatutambua

WAKATI mabosi wa Yanga wakiwa kwenye mipango ya kumpa mwekezaji klabu yao, beki na nahodha wa timu hiyo, Nadir Haroub...

READ MORE

Mo Ibrahim Akomba Milioni 50 Simba

UONGOZI wa Klabu ya Simba umempatia kiasi cha milioni 50 kiungo wake Mohamed Ibrahim ‘Mo’ kwa ajili ya kuongeza mkataba...

READ MORE

Ngassa Awaibukia Mbeya City Kudai Mkwanja

LICHA ya kutua Ndanda FC, kiungo mshambuliaji Mrisho Ngassa amepanga kurejea kwenye timu hiyo kwa ajili ya kudai malipo yake...

READ MORE

Simeone: Tutamruhusu Griezmann Aondoke

KOCHA wa Atletico Madrid, Diego Simeone amesisitiza kwamba klabu yake inaweza kumuuza staa wake, Antoine Griezmann kama walivy-ofanya kwa Diego...

READ MORE

Straika mpya Yanga afunguka atakavyomweka benchi Chirwa

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Yohana Nko­mola, amefunguka kuwa atahakikisha anapambana na washambuliaji wa timu hiyo ak­iwemo, Mzambia Obrey Chirwa ili...

READ MORE

Ajibu Apangua Programu za Lwandamina Yanga

KUKOSEKANA kwa nyota kadhaa kwenye kikosi cha Yanga hivi sasa akiwemo Ibrahim Ajibu, imesab­abisha programu za kocha wa timu hiyo,...

READ MORE

Lwandamina Akabidhiwa Striker Hatari wa Kimataifa

WAKATI zikiwa zimebaki siku nne pekee kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa Desemba 15, Kocha wa Yanga, George Lwandamina...

READ MORE

BARA WAKIENDELEA HIVI, WATAENDELEA KUWASHANGAA ZANZIBAR

SI vibaya kusema kuwa tuna hadithi nyingi sana na kitu kibaya zimekuwa hazina mwisho. Mwendelezo wake pia haueleweki na si...

READ MORE

Mchezo Umeisha, Ngoma Anarudi Yanga

YANGA inasita kuwapa mikataba washambuliaji wawili wa kigeni walio katika rada zake, lakini kwa hali ilivyo kuna uwezekano straika Donald...

READ MORE

Mudathir Yahaya Mchezaji Bora Novemba

  KIUNGO wa Singida United, Mudathir Yahaya amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Novemba, 2017 wa Ligi Kuu Bara akiwapiku Asante...

READ MORE

Bosi wa Ndemla Akwama Kutua Bongo

BOSI wa Klabu ya AFC Eskelistuna ameshindwa kuwasili nchini wiki hii kumalizana na Simba kuhusu usajili wa timu hiyo, Said...

READ MORE

Lwandamina Amfungulia Milango Straika Yanga SC

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mzambia, George Lwandamina amemruhusu straika wake, Matheo Anthony kuondoka klabuni hapo ili akatazame maisha sehemu nyingine...

READ MORE

Kikosi Cha Bilioni Moja Cha Mo Simba

BAADA ya Jumapili iliyopita mfanyabiashara bilionea na mwanachama wa Simba, Mohammed Dewji ‘Mo’ kushinda tenda ya kuwa mwekezaji mkubwa ndani...

READ MORE

Omog Apewa Siku 10 Mapumziko

UONGOZI wa Klabu ya Simba, umempa kocha mkuu wa timu hiyo, Joseph Omog siku zaidi ya siku kumi za mapumziko...

READ MORE

Yanga Yasubiri Kumtambulisha Sraika Mghana, Mbadala wa Ngoma

WAKATI zikiwa zimebaki siku tisa pekee kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa, Kamati ya Usajili ya Yanga chini ya...

READ MORE

Wabunge wa Tanzania Wawachapa Wenzao wa Burundi

KATIKA Michuano ya East Africa Parliamentary Games inayoshirikisha Vilabu vya Mabunge ya nchi za Afrika Mashariki, mechi iliyopigwa katika Uwanja...

READ MORE

Straika Simba Aomba Barua Asepe

MSHAMBULIAJI wa Simba, Jamal Mnyate, ameomba barua kwa uongozi wa timu hiyo itakayomruhusu kuondoka na kwenda kwenye klabu nyingine kucheza...

READ MORE

Tshishimbi Fiti, Kuanza Kazi na Mbao FC

KIUNGO wa Yanga, raia wa Dr Congo, Kabamba Tshishimbi, yupo fiti na huenda akaanza mazoezi mepesi ya gym leo asubuhi....

READ MORE

Ajibu Azua Hofu Yanga, Lwandamina Apagawa

WAKATI uongozi wa Yanga hivi sasa ukiwa katika harakati zake za kuhakikisha unakiimarisha kikosi chake ili kiweze kufanya vizuri katika...

READ MORE

Bi Hindu Alivyomkacha Mzee Kilomoni na Kutimkia kwa Mo Dewji

MUDA mfupi baada ya Klabu ya Simba kufanya mabadiliko juu ya uendeshaji wa timu hiyo na kumpatia nafasi mfanyabiashara bilionea,...

READ MORE

Omog Ampa Mkataba Mpya Juuko

KOCHA Mkuu wa Simba, Joseph Omog, raia wa Cameroon, ameuelekeza uongozi wa timu hiyo umpe mkataba mpya wa kumbakisha klabuni hapo,...

READ MORE

Daktari Wa India Amtibu Kapombe, Kurejea Wiki Hii

BEKI wa kulia wa Simba, Shomary Kapombe, wiki hii anatarajiwa kurejea nchini baada ya kwenda India kutibiwa majeraha yanayomsumbua tangu...

READ MORE