Browsing Category
Dar Live
Usiku wa Krismasi, Bongo Fleva vs Singeli Wafanya Balaa Dar Live – Video
BALAA la aina yake limefayika usiku wa kuamkia leo pale Uwanja wa Taifa wa Burudani (DAR LIVE) uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam, ambapo katika usiku wa Krismasi, kulikuwa na bonge moja la shoo iliyosindikizwa na wasanii kibao…
Mzee Yusuf Ana Jambo Lake Dar Live
MWENYE Taarab yake Bongo; Mzee Yusuf, anatarajia kufanya bonge moja la shoo kwenye Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar.
Muandaaji wa shoo hiyo, Rajab Mteta (KP) amesema, Septemba 25,…
Video: Man Fongo, Msaga Sumu, Mzee wa Bwax Uso kwa Uso Dar Live
WANAMUZIKI wa singeli, Man Fongo, Mzee wa Bwax, Msaga Sumu na Malkia Mimah wanatarajiwa kufanya bonge la shoo katika tamasha la Jiji Concert litakalofanyika Jumamosi ya Agosti 22, katika Uwanja wa Taifa wa Burudani DAR LIVE Uliopo Mbaga…
Jiji Concert Kutikisa Dar Live
UNAAMBIWA historia itaandikwa na jiji litasimama kwa saa 24, pale ambapo jukwa la kimataifa la kupanda na kushuka lilipo Kiwanja cha Taifa cha Burudani, Dar Live jijini Dar litakapobeba kijiji cha wasanii kupitia Tamasha la Jiji Concert…
Mahaba ya Mzee Yusuf na Mkewe Wakipafomu Dar Live – Video
IKIWA ni miaka kadhaa imepita akiwa nje ya sanaa ya muziki, hatimaye mfalme wa Taarab, Mzee Yusuf na kundi lake la Jahazi Modern Taarab ameamua kurudi mjini na usiku wa kuamkia leo Agosti 8, ameangusha bonge la burudani katika uwanja wa…
Mzee Yusuf: Njooni Dar Live Muone Mambo!
MFALME wa Muziki wa Taarab, Mzee Yusuf anatarajia kuunguruma Agosti 7, mwaka huu pale kwenye Ukumbi wa Dar Live, Mbagala Zakhem jijini Dar.
Akizungumza na Mikito Nusunusu, Mzee Yusuf amesema, siku hiyo ndiyo mashabiki wake…
Yusuf Mzee Kumwaga Kila Kitu Dar Live
NI miezi kadhaa imepita tangu atangaze kurejea mjini, Mzee Yusuf ambaye pia awali alikuwa Mkurugenzi wa Jahazi Modern Taarab, hatimaye Julai 30, mwaka huu ana jambo lake zito pale Dar Live, Mbagala-Zakhem jijini Dar.
Akistorisha na…
Balaa la Mbosso Christmas Kutikisa Dar Live
MSANII wa Bongo Fleva, kutoka Label ya WCB Wasafi, Mbwana Yusuph Kilungi maarufu kama Mbosso Khan amefunguka kufanya maajabu ya burudani kwa mashabiki wake usiku ya Christmasi, Desemba 25, 2019 katika Uwanja wa Taifa wa…
Mboso: Krismasi Hii Dar Live Patakuwa Hapatoshi
MKALI anayekimbiza kunako Bongo Flevani akitokea Usafini, Mbwana Yusuf Kilungi ‘Mbosso Khan’, ameapa kufanya balaa siku Krismasi Desemba 25, ndani ya Dar Live, Mbagala-Zakhem jijini Dar.
Mbosso ameiambia Mikito Nusunusu kuwa,…
Mbosso: Krismasi Hii Dar Live Hapatoshi!
MKALI anayekimbiza kwenye Bongo Fleva akitokea Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Mbwana Yusuf Kilungi ‘Mbosso Khan’, amefungukia shoo yake atakayoifanya Sikukuu ya Krismasi ndani ya Ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar,…
Wanaoiua Singeli Ndiyo wa Kuiokoa
ZAIDI ya miaka miwili iliyopita, hali ya muziki wa Singeli ilikuwa njema sana kuliko ilivyo leo hapa nchini.
Ni katika kipindi hicho baadhi ya wadau walidhani muziki huo ulikuwa tishio kwa ufalme wa Bongo Fleva.
Dhana zao…
Bongo Fleva, Singeli Kutikisa Leo Dar Live
HATIMAYE! Baada ya kusubiriwa kwa hamu na mashabiki wengi wa Muziki wa Bongo Fleva na Singeli, lile tamasha la Bonsi limewadia ambapo leo Sikukuu ya Idd wakali kibao wanatarajiwa kushuka na kuporomosha burudani mwanzo mwisho ndani ya Uwanja…
Rayvanny, Juma Nature, Mzee wa Bwax, Young Killer Kukinukisha Dar Live
MAMBO ni mengi lakini muda nao ni mchache! Listi inazidi kumwagika kuelekea Vanny Day ndani ya Idd Pili katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar ambapo sasa wakali kibao wanatarajiwa kuliamsha.…
Rayvanny kuimba nyimbo 25 Dar Live
ALICHOPANGA kufanya Rayvanny siku ya Idd Pili pale Dar Live kitalisimamisha jiji, kwa sababu atapiga nyimbo zake 25 bila kupumzika.
Rayvanny anakuja na usiku wa Vanny Day siku ya Idd Pili utakaofanyika Dar Live Mbagala ambako…
Aslay, Kopa kukinukisha Pasaka hii Dar Live
KAMA bado ulikuwa ukijiuliza sikukuu hii ya Pasaka uende kiwanja gani basi jibu simpo sana! Mkali wa Ngoma ya Nibebe, Aslay anatarajiwa kushuka Pasaka hii (Aprili 21, mwaka huu) ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo…
ASLAY KUSHUKA DAR LIVE PASAKA HII
MKALI wa Bongo Fleva aliyewahi kuunda Yamoto Band, Aslay Isihaka anatarajiwa kushuka Sikukuu ya Pasaka ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.
Akizungumza na Showbiz, Meneja wa Dar Live,…
ROSTAM WAFUNGA MWAKA KIBABE DAR LIVE ( PICHA + VIDEO)
WAKALI wawili wasioshikika kwenye Muziki wa Hip Hop Bongo, Roma Mkatoliki pamoja na Stamina wanaounda Kundi la Rostam pamoja na mwanadada, Maua Sama wamefanya shoo ya aina yake mkesha wa Mwaka Mpya iloyotambulika kama Tunafunga Jumla…
USIKU WA MWAMBAO DAR LIVE, HIVI NDIVYO KILIVYONUKISHWA!
USIKU wa kuamkia leo wapenzi wa burudani waliofurika ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live huko Mbagala-Zakhem, walipata uhondo bab'kubwa kwenye onyesho la Usiku wa Mwambao lililokutanisha miamba ya muziki na…
Shoo ya ‘Piga Nikupige’ Dar Live Yaacha Gumzo – Video
USIKU wa mpambano wa bendi tatu za taarabu na wasanii wa singeli uliokwenda kwa jina la Piga Nikupige uliofanyika jana (Jumatano) siku ya Idd Al Haj ulikuwa ni zaidi ya burudani kwa jinsi makundi hayo yalivyofunikana katika kuwanogesha…
USIKU WA PIGA NIKUPIGE… BENDI 3 JUKWAA MOJA IDD HII DAR LIVE
KAMA ulikuwa ukijiuliza ni kiwanja gani utaenda kuburudika katika sikukuu hii ya Idd Mosi (Agosti 22, mwaka huu) jibu lake ni moja tu, Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar, unatarajia kushusha bendi tatu,…
Dar Live Kuja na Usiku wa Piga Pikupige Idd Mosi
KATIKA kusherehekea Sikukuu ya Idd Mosi (Agosti 22, mwaka huu), Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar umekuja na shoo bab’kubwa inayokwenda jina la Usiku wa Piga Nikupige ambapo Bendi za Muziki wa Taarab,…
ZaiiD… WOWOWO Yatikisa Dar Live – Video
Msanii wa Bongo Fleva, ZaiiD ambaye alitambulika kutokana na nyimbo yake iliyoitoa ya WOWOWO usiku wa kuamkia leo amepiga Bonge la Shoo kwenye Ukumbi wa Dar Live pale Mbagala Zakhiem na kuwaacha mashabiki hoi baada ya kupanda jukwaani…
Shoo ya Bure! R.O.M.A, Nature, Man Fongo Kuharibu Jukwaa Dar Live
Global Publishers kupitia shindano la #TusuaMaishaNaGlobal imekuandalia Bonge la Shoo pale Dar Live Mbagala Zakhiem, ni kwa ajili ya kukushukuru wewe msomaji wa magazeti yetu.
Kwenye burudani sasa, jukwaani atakuwepo @romaa2030,…
GLOBAL KUJA NA TAMASHA KUBWA LA SHUKRANI
KAMPUNI ya Global Publishers; wachapishaji wa magazeti ya Ijumaa Wikienda, Uwazi, Risasi, Amani, Ijumaa, Championi na Spoti Xtra, inatarajia kuwakonga nyoyo mashibiki wa burudani na wasomaji wa magazeti yake katika tamasha bab’ kubwa…
Harmonize Amwaga Machozi Dar Live Kisa Diamond – Video
STAA wa Bongo Fleva kutoka Lebo ya WCB, Harmonize 'Konde Boy' amejikuta akimwaga machozi mbele ya jukwaa la Dar Live, Mbagala Zakhiem usiku wa kuamkia jana kwenye shoo ya Usiku wa Kusini ‘KusiNight’.
Hiyo ilikuwa ni baada…
Maajabu ya Huddah Kwenye Shoo ya Harmonize Dar Live- Video
MASTAA 12 akiwemo Ben Pol, Nyandu Toz, Dulla Makabila, Rommy Jones, Huddah Monroe 'The Boss Chick ' Chin Bees pamoja na Queen Darleen walimmsindikiza staa mwenzao kunako Muziki wa Bongo Fleva, Harmonize katika shoo ya Sikukuu ya Idd…
SHOO YA QUENN DARLEEN USIPIME USIKU WA KUSI (PICHAZ +VIDEO)
MWANAMUZIKI anayefanya vizuri akiwa chini ya Lebo ya ‘WCB’, ‘Queen Darleen’ amefanya shoo ya aina yake katika Usiku wa Kusi Idd Pili ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo MBagala Zakhem jijini Dar.
YOUNG KILLER, YOUNG D KIMENUKA DAR LIVE – (VIDEO + PICHAZ)
'MADOGO' wakali wa Bongo Fleva, Young Killer na Yaoung D, wamekinukisha vilivyo usiku wa kuamkia leo baada ya kila mmoja wao kupiga shoo ya aina yake katika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live, Mbagala Zakhiem na kuwaacha mashabiki…
MAN FONGO, MSAGA SUMU WATIFUANA DAR LIVE – PICHAZ
WAKALI wa Muziki wa Singeli Bongo, Man Fongo na Msaga Sumu usiku wa kuamkia leo wametifuana kwa kila mmoja wao kupiga bonge la shoo katika kuadhimisha Sikukuu ya Idd El Fitri ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo…
KUSINIGHT: MASTAA 12 KUMSINDIKIZA HARMONIZE IDD DAR LIVE LEO
MASTAA 12 akiwemo Ben Pol, Nyandu Toz, Dulla Makabila, Rommy Jones, Huddah ‘The Boss Chick’ Chin Bees pamoja na Queen Darleen wanatarajiwa kumsindikiza staa mwenzao kunako Muziki wa Bongo Fleva, Harmonize katika shoo ya Sikukuu ya Idd…
Nenda Dar Live Ushuhudie Kombe la Dunia 2018
WAPENZI wa soka hapa nchini, watapata nafasi ya kushuhudia ‘live’ michuano ya Kombe la Dunia itakayofanyika nchini Urusi kupitia luninga kubwa wakiwa sehemu tulivu katika Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini…
Asahd: Mwaka Mmoja Anaogelea Umaarufu!
USIKU wa Juni 23, 2016, akiwa ndani ya Studio za Televisheni ya Marekani ya ABC katika Kipindi cha Jimmy Kimmel Live, DJ ambaye pia ni rapa, DJ Khaled aliweka wazi kuwa mkewe, Nicole Tuck anatarajia kujifungua na angependa aoneshe…
Mastaa wa Kike Wafungukia Mastaa wa Kiume Kuoa Nje!
DAR ES SALAAM: Kufuatia upepo wa mastaa wa kiume Bongo, kuwa na uhusiano na hata kuoa warembo kutoka nje ya Bongo, baadhi ya mastaa wa kike nchini, wamefungukia suala hilo na kueleza maoni yao.
Hivi karibuni, mastaa wa kiume…
MWISHO WA UBISHI… MAN FONGO ALIVYOKINUKISHA DAR LIVE
WAPENZI wa burudani usiku wa kuamkia leo walipata uhondo wa aina yake ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live wakati wakali wa kutoa burudani, Man Fongo na Sholo Mwamba pamoja wakali wengine walipoonyesha makali yao.…
MWISHO WA UBISHI… SHOLO MWAMBA AANDIKA HISITORIA
MKALI wa Muziki wa Singeli Bongo, Sholo Mwamba usiku wa kuamkia leo ameandika historia ya aina baada ya kupiga bonge la shoo lilokwenda kwa jina la MWISHO WA UBISHI ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem…
JAHAZI, TMK KUTOANA JASHO PASAKA DAR LIVE
KUNDI la Muziki wa Taarab, Yah TMK Modern, Aprili Mosi (Sikukuu ya Pasaka) linatarajiwa kutoana jasho na kundi kongwe la muziki huo,Jahazi Modern katika shoo bab’kubwa ya Usiku wa Mwisho wa Ubishi itakayofanyika ndani ya Uwanja wa Taifa…
Sholo Aingia ‘Chimbo’ Kisa Shoo Pasaka Dar Live
PRESHA inazidi kupanda na kushuka kuelekea Aprili Mosi (Sikukuu ya Pasaka) ambapo mkali wa Singeli, Sholo Mwamba yupo ‘chimbo’ akijifua kukabili shoo bab’kubwa ya Usiku wa Mwisho wa Ubishi itakayofanyika siku hiyo, ndani ya Uwanja wa…
MAN FONGO, SHOLO WATAMBIANA
SIKU zikiwa zinah-esa-bika kufikia Aprili Mosi (Sikukuu ya Pasaka), wakali wawili wanaotikisa katika Muziki wa Singeli Bongo, Sholo Mwamba na Man Fongo wameanza kuta- mbiana kufun- ikana kila mmoja katika bonge la shoo la Usiku wa…
Sholo Aomba Radhi, Aahidi Makubwa Pasaka
KUFUATIA kuingia mitini katika tamasha la Mwaka Mpya, Mkali wa Singeli, Sholo Mwamba ameweka wazi kuwa kilichotokea ni kwamba aliponzwa na tamaa baada ya kupata dili lingine hivyo anawaomba radhi mashabiki wake huku akiahidi…
Yah TMK Waipiga Mkwara Jahazi
Kundi la Muziki wa Taarab Yah TMK
KUNDI la Muziki wa Taarab linakuja kasi katika anga la burudani, Yah TMK wamechimba mkwara wa maana kwa wapinzani wao Jahazi Modern kuelekea mchuano mkali wa Nani Mkali Wako utakaofanyika Aprili…