×

Dar Live

Usiku wa ya Kale ni Dhahabu… Taarab kutikisa Dar Live

Na Mwandishi Wetu KWA mara ya kwanza muziki wa Taarab unatarajiwa kutikisa kesho Jumamosi kwenye Ukumbi wa Dar Live uliopo...

READ MORE

Usiku wa uswazi… Wakali wa Singeli, Mduara Kutikisa leo Dar Live

Msaga Sumu Stori: Andrew Carlos WAKALI wa nyimbo za Mduara, Singeli, Mchiriku na Bongo Fleva wanatarajiwa kutikisa leo (Aprili 23),...

READ MORE

Kibao Msambwanda, Singeli kutawala Kesho Dar Live

Msaga Sumu akitawala jukwaa la Dar Live. ANDREW CARLOS MASHABIKI wa Kibao Msambwanda, Singeli, Bongo Fleva, Mduara na Mchiriku wanatarajia...

READ MORE

Usiku wa Uswazi Dar Live, Msagasumu, Nature na Snura, Kukinukisha

Juma Nature Gabriel Ng’osha WAKALI wa Muziki wa Mchiriku, Mduara na mwingineo, Snura Mushi ‘Snura’ Msagasumu na Juma Nature, Aprili...

READ MORE

Leo Ndiyo Leo Jahazi Dar Live

Mzee Yusuf Na Mwandishi Wetu HATIMAYE! Ile siku iliyokuwa ikisubiriwa na wapenzi wa burudani imewadia ambapo kundi lisilo na mpinzani...

READ MORE

Jahazi Kuitambulisha Albamu mpya Dar live

Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KUNDI la muziki wa Taarab, Jahazi Modern, linatarajiwa kutambulisha albamu yake ya Kaning’ang’ania Ng’ang’anu, Machi...

READ MORE

Yamoto kutumbuiza kwenye uchangiaji damu Dar leo

Yamoto Band wakikamua wakifanya makamuzi kwenye jukwaa la Dar Live. Stori:  Mwandishi Wetu Makamu wa Rais, Samia Salum Hassan anatarajiwa...

READ MORE

Kazi Ipo Dar Live Kesho!

Twanga UNAJUA kwa nini Hassan Rehani Bitchuka mwimbaji mahiri wa Mlimani Park Ochestra wana Sikinde anaitwa ‘Super Sterio’? Shaaban Dede na Msondo Music Band...

READ MORE

Bendi kongwe kufunika Valentine’s Day Dar Live

Mwandishi Wetu, Dar es SalaamBENDI kongwe za muziki wa dansi nchini, The African Stars ‘ Twanga Pepeta,’ Sikinde, Msondo Ngoma...

READ MORE

Kopa, Chocky Kufunika Valentine Dar Live

Ali Chocky Mwandishi Wetu, RISASI ZIKIWA zimesalia siku tatu tu kufikia Februari 14, (Valentine’s Day), mastaa wa Muziki wa Dansi...

READ MORE

Twanga, Msondo, Sikinde kuwasha moto Valentine’s Day Dar Live

The African Stars ‘Twanga Pepeta,’ Mwandishi Wetu, Risasi Jumamosi WAKONGWE wa Muziki wa Dansi, The African Stars ‘Twanga Pepeta,’ Sikinde, Msondo...

READ MORE

Vee Money, Khadija Kopa kuwadindikiza jahazi Dar Live

Vanessa Mdee ‘Vee Money’ STAA wa Bongo Fleva, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ pamoja na Malkia wa Taarab, Khadija Kopa wanatarajiwa...

READ MORE

Samatta kupongezwa Dar Live leo

Mchezaji Bora wa Mwaka 2015 kwa Wachezaji wa Ndani, mchezaji wa Taifa Stars na Klabu ya TP Mazembe ya DRC...

READ MORE

Ratiba ya Buraudani Dar Live

READ MORE

Christian Bella Aweka Rekodi Mpya Dar Live!

Christian Bella akipagawisha mashabiki waliofika Dar Live kwenye shoo ya mkesha wa kuukaribisha mwaka mpya 2016.Malaika Band wakifanya yao.Mashabiki wakiserebuka…wakichukua...

READ MORE

Dar Live na Shangwe za Kuukaribisha Mwaka Mpya 2016

Christian Bella akipanda jukwaani kuwasalimia mashabiki. Mashabiki wakijiachia kwa kucheza muziki dakika chache kabla ya kuanza mwaka  mpya 2016 Ni...

READ MORE

Shoo ya Utangulizi Mkesha wa Mwaka Mpya Dar Live noma sana!

Malaika Band wakikamua shoo ya utangulizi ndani ya Dar Live. Makamuzi yakiendelea….mpiga Drama akifanya yake. ….mpiga gita naye akitoa vionjo...

READ MORE

Bella kufunika Dar Live leo

READ MORE

Global TV Online: Dimond Platnumz Alivyopagawisha Dar Live

Fungamwaka Concert… Dimond Platnumz Alivyopagawisha Dar Live – Part 1Fungamwaka Concert… Dimond Platnumz Alivyopagawisha Dar Live – Part 2

READ MORE

Diamond aweka historia tena Dar Live

Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leoDiamond akicheza na mashabiki wake waliofurika Dar Live.Akicheza...

READ MORE

Diamond Funga Mwaka Concert…. Acha Kabisa! 

Mfalme wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akifanya yake usiku huu Dar Live. Mashabiki wakifurahia. Diamond akiendelea...

READ MORE

Wakali Dancers wafunika Krismasi Dar Live

Kundi linalobamba Afrika Mashariki kwa miondoko ya kucheza, Wakali Dancers wakikamua jukwaani Sikukuu ya Krismasi ndani ya Uwanja wa Taifa...

READ MORE

Diamond agawa zawadi kwa watoto Dar Live!

Diamond Platinumz akiwasalimia mashabiki wake waliofika Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live kusherehekea sikukuu ya X-Mass. Maasai Warriors wakifanya yaoWatoto...

READ MORE

Jipatie tiketi ya bure shoo ya Diamond Krismasi, Dar Live

Staa wa Bongo Fleva, Diamond Platinumz. UNATAKA kwenda shoo ya Diamond, Krismasi hii? Kama ndiyo, sasa unaweza kujipatia tiketi ya...

READ MORE