×

Entertainment

Kiza Kinene: Ujio Mpwa Wa Nandy Na Nyimbo Za Mapenzi

FEBRUARI 3,  2019, mwanamuziki Nandy alichia video ya Hazipo, wimbo ambao umeandikwa na Jay Melody na kutengenezwa na studio za...

READ MORE

Harmonize Anapata Wapi Jeuri Kujitoa Wasafi

Miongoni mwa majina ya watu maarufu wanaozungumziwa zaidi mwisho wa mwaka 2019, Yupo Harmonize ambaye amekuwa homa kila kona ya...

READ MORE

Marlaw ataja ukimya wake, hatima yake na Besta

MWANAMUZIKI  Lawrence Marima maarufu kama Marlaw ambaye aliwahi kutamba na wimbo wa ‘Bembeleza’,  leo Septemba 19 2019,  amefika studio za...

READ MORE

Mwanamke Mwingine Amemshitaki Chris Brown

MWANAMKE  mmoja anayetambulika kwa jina la Danielle Griffin amemshitaki Chris Brown baada ya kuteseka na maumivu ya macho kwa kipindi...

READ MORE

Celine Dion Afunguka Kifo cha Mume, Ujio Wake Mpya

JUMATANO Septemba 18, Celine Dion alifanya mahojiano na gazeti moja la burudani na kuzungumzia  mambo kadhaa ukiwemo ujio wa albamu...

READ MORE

Whozu: Staa wa Komedi Tangu Instagram Hadi Bongo Fleva

MWANZONI mwa miaka ya 2000 wakati watoto waliozaliwa miaka ya tisini wanakua, ilikuwa mara chache sana kukutana na wachekeshaji vijana...

READ MORE

NIPE , NIKUPE NDO’ UTAMU WA PENZI!

NI IJUMAA nyingine tulivu kabisa mpenzi msomaji tunakutana tena kwenye uwanja wetu maridhawa kabisa kupeana elimu ya uhusiano baada ya...

READ MORE

 ASALI HAIONJWI KWA JIRANI

NIMEKUJA tena shangingi wa mashangingi wote wa mjini, shangingi lililopigana vita na kuwa sugu la kuwafunda wengi.   Habari zenu,...

READ MORE

BORA MONDI WA MBAGALA KULIKO WA MADALE

WANAOUCHEZEA muziki wa Bongo Fleva hawajui historia yake na hawawafahamu waliotoka jasho na damu kuufanya ukubalike na uwe biashara.   ...

READ MORE

AKILI ZA KICHAGA NDANI YA KICHWA CHA UWOYA

MACHO yake yanaweza kukubabaisha kwa jinsi yalivyo mazuri, ukamchukulia poa. Mwonekano wake wa kipekee, umbo la kike la kuvutia vinaweza...

READ MORE

‘BETIKA’ LAWAPAGAWISHA WAZEE WA KUBETI TABATA DAR

NI wiki ya tano sasa imetimia tangu Gazeti la Betika liingie mtaani ambapo safari hii wazee wa kubeti katika mitaa...

READ MORE

BETIKA LATUA MIKONONI MWA ZAHERA

WAKATI mamilioni ya wanamichezo wenye umri wa miaka 18 na zaidi wakiendelea kuingiza kipato kupitia michezo ya kubahatisha na kutabiri...

READ MORE

HUSTAHILI KUTESEKA KWA AJILI YA MAPENZI, CHUKUA HATUA

NI WAKATI mwingine mzuri ninapokukaribisha mpendwa msomaji wangu na mada tutakayoijadili leo ni kama inavyojieleza hapo juu. Nimekuwa nikipokea ujumbe...

READ MORE

Mambo 6 Ya Kuyazingatia Kabla Ya Kuanza Biashara 2019

TUNAPOELEKEA kuuanza mwaka mwi ngi n e wa 2019, nina uhak­ika nyote mna­tambua kuwa kuna umbali mkubwa kati ya wazo...

READ MORE

PESA INAPOGEUKA KIUNGANISHI KWENYE MAPENZI, HESABU MAUMIVU

IJUMAA imewadia, karibu msomaji wangu kwenye uwanja huu na kama kawaida, mada ya leo ni kama inavyojieleza hapo juu. Uhusiano...

READ MORE

GLOBAL WALIVYOTOA SHUKRANI KWA MAVENDA, WASOMAJI WAKE

JUMAPILI ya juzi, Julai 15 ilikuwa ni siku ya burudani mwanzo mwisho kwa wakazi wa Jiji la Dar wa Salaam...

READ MORE

Penzi Bora Linajengwa Na Imani, Ishughulikie!

KWA mapenzi ya Mungu, tunakutana hapa kwa mara nyingine tena. Kwa ajili ya kupeana darasa la uhusiano. Kwa hakika, kupitia...

READ MORE

Ripoti Maalum Ni kweli kuna dawa za kuongeza nguvu za Kiume – 4

NI wiki ya nne tukiendelea kuwaletea mada hii ambayo wataalamu mbalimbali wa afya ya binadamu wanatuelimisha kuhusiana na matatizo ya...

READ MORE

Ripoti Maalum: Usagaji Unavyowaathiri Wasichana Tanzania-2

WIKI iliyopita katika ripoti hii maalum tuliongelea maana nzima ya usagaji na sababu zinazopelekea mpaka wanawake wengi kujikuta wakitumbukia huko....

READ MORE

MCHAWI WA BONGO MOVIE NI SISI WENYEWE – SHAMSA

NI uwezo wake wa kufanya kweli awapo mbele ya kamera, ndiyo umempa jina na umaarufu mkubwa kunako kiwanda cha kuzalisha...

READ MORE

CHID BENZ: ISHU YA MADAWA NI KIKI?

MWANZONI mwa mwezi Julai, mwanamuziki mwenye jina kubwa kwenye tasnia ya Muziki wa Hip Hop, Bongo, Rashid Makwiro ‘Chid Benz’...

READ MORE

VANESSA MDEE NA JUX ACHENI KUTUZUGA!

  Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunizawadia pumzi yake ambayo imeniwezesha kuandika barua hii ya leo inayokufikia wewe msomaji...

READ MORE

ALIKIBA HAKAMATIKI ‘YOUTUBE’, HAKAMATIKI MTAANI

    NAMBA hazidanganyi. Toka Alikiba aachie wimbo wake mpya wa Seduce Me, takribani siku mbili zilizopita, mapokezi yamekuwa makubwa...

READ MORE

KIPUSA YA KIBA… NOMA SANAAA!

  BAADA ya ukimya wa muda mrefu wa kutoachia ngoma mpya, staa wa Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’...

READ MORE

MKWARA WA ‘INSTA’ UTAVUNJA UKIMYA WA KIBA?

  MWAKA 2007, kijana Ali Salehe Kiba alitikisa kwa mara ya kwanza nafsi za wapenzi wa muziki wa kizazi kipya....

READ MORE

MAPINDUZI HASI YA MUZIKI, KUTOKA KIPAJI MPAKA KIKI!

Mabadiliko ya muziki yametokea duniani kote! Yanayotokea Tanzania ni kivuli chake tu. Mseleleko huu wa mabadiliko, chanzo chake kikubwa ni...

READ MORE

NAY WA MITEGO NA WEWE UNATAKA KIKI

  NI True Boy tena, Emmanuel Elibariki maarufu kwa jina la Nay wa Mitego. Safari hii amekuja na kibao chake...

READ MORE

Sitti Mtemvu Nilivuliwa Taji La Miss Tanzania Ila Nilikuwa na Umri stahiki (Video)

Sitti Mtemvu akipongezwa na baba yake, Aliyekuwa mbunge wa Temeke Abbas Mtemvu baada ya kuvishwa taji la Redd’s Miss Tanzania...

READ MORE

Wasanii na Swaga za Kiswanglish Kwenye ‘Interview’

Na Ally Katalambula|IJUMAA WEKIENDA|GPL April 17 mwaka huu Msanii wa Bongo Fleva anayechipukia kwa kasi kwenye sayari ya muziki wa...

READ MORE

Mgongano wa Kifikra Bongo Muvi ni Kaburi Jipya la Tasnia Hiyo

Na Ally Katalambula|IJUMAA WIKIENDA Aprili 20, mwaka huu wasanii wa filamu za Kibongo nchini walifanya maandamo ya amani sambamba na...

READ MORE

#GlobalCelebrities: Future Azungumzia Uhusiano Wake Na Ciara Kwa Sasa, Uongozi Wa Donald Trump & Mengine.

Baada ya kuachana na aliyekuwa girlfriend wake wakati huo Ciara, Future amefanya interview na jarida la Billboard Magazine na kufunguka baadhi ya...

READ MORE

Kwa mbio za Diamond, Kiba ana haya ya kufanya!

STORI: Na Andrew Carlos | RISASI JUMATANO| Risasi Vives ALLY Saleh Kiba, ni msanii mkubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki....

READ MORE

Fid Q Kajivika Mabomu kwa Joh Makini

 JOHN JOSEPH| CHAMPIONI IJUMAA| MAKALA WIMBO unaokuwa mzuri na umekamilika kuanzia sauti, uimbaji, utayarishaji na ikiwezekana video nzuri ni rahisi...

READ MORE

Q Chilla Kundi Moja na Akina Harmonize… How Comes?

MAKALA: NA ANDREW CARLOS | IJUMAA |ShowBiz NAJARIBU kumfikiria Aboubakar Shaban Katwila wengi wamezoea kumuita Q Chief ama Q Chillah...

READ MORE

Mastaa Wakauka Sehemu za Bata

Na WAANDISHI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| HABARI DAR ES SALAAM: Kufuatia msala wa kutuhumiwa kujihusisha na utumiaji au biashara ya madawa...

READ MORE

TID: Mimi Mnyama Nisameheni

Na DENIS MTIMA| GAZETI LA UWAZI| HABARI Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Khaleed Mohamed ‘TID’, aka Mnyama,...

READ MORE

Asha Baraka: Karate ilimpa umaarufu Tabora Girls

Mwandishi: Boniphace Ngumije | CHAMPIONI| STAA ANAYEFUNGUKA MPENZI msomaji wa kolamu hii inayohusu maisha ya mastaa, karibu katika safari nyingine...

READ MORE

Sekeseke la Mastaa na Unga ni Fundisho

NA ANDREW CARLOS |IJUMAA | SHOW-BIZ ZIKIWA zimepita siku mbili tangu Mahakama ya Hak­imu Mkazi Kisutu ya jijini Dar es Sa­laam...

READ MORE

Makonda Atibua 40 ya Mdogo wa Tiffah…

Na WAANDISHI WETU| AMANI| HABARI DAR ES SALAAM: Ikiwa imebakia saa 72 ifike 40 ya mtoto wa pili wa Mbongo...

READ MORE

Sabby: Ndoa Ilinipotezea Muda

IJUMAA WIKIENDA | Over Ze Weekend DUH! Kwa mara ya kwanza tangu ndoa yake ivunjike mwaka jana, msanii wa filamu...

READ MORE