×

Entertainment

Mgongano wa Kifikra Bongo Muvi ni Kaburi Jipya la Tasnia Hiyo

Na Ally Katalambula|IJUMAA WIKIENDA Aprili 20, mwaka huu wasanii wa filamu za Kibongo nchini walifanya maandamo ya amani sambamba na...

READ MORE

#GlobalCelebrities: Future Azungumzia Uhusiano Wake Na Ciara Kwa Sasa, Uongozi Wa Donald Trump & Mengine.

Baada ya kuachana na aliyekuwa girlfriend wake wakati huo Ciara, Future amefanya interview na jarida la Billboard Magazine na kufunguka baadhi ya...

READ MORE

Kwa mbio za Diamond, Kiba ana haya ya kufanya!

STORI: Na Andrew Carlos | RISASI JUMATANO| Risasi Vives ALLY Saleh Kiba, ni msanii mkubwa katika ukanda wa Afrika Mashariki....

READ MORE

Fid Q Kajivika Mabomu kwa Joh Makini

 JOHN JOSEPH| CHAMPIONI IJUMAA| MAKALA WIMBO unaokuwa mzuri na umekamilika kuanzia sauti, uimbaji, utayarishaji na ikiwezekana video nzuri ni rahisi...

READ MORE

Q Chilla Kundi Moja na Akina Harmonize… How Comes?

MAKALA: NA ANDREW CARLOS | IJUMAA |ShowBiz NAJARIBU kumfikiria Aboubakar Shaban Katwila wengi wamezoea kumuita Q Chief ama Q Chillah...

READ MORE

Mastaa Wakauka Sehemu za Bata

Na WAANDISHI WETU| RISASI MCHANGANYIKO| HABARI DAR ES SALAAM: Kufuatia msala wa kutuhumiwa kujihusisha na utumiaji au biashara ya madawa...

READ MORE

TID: Mimi Mnyama Nisameheni

Na DENIS MTIMA| GAZETI LA UWAZI| HABARI Msanii mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Khaleed Mohamed ‘TID’, aka Mnyama,...

READ MORE

Asha Baraka: Karate ilimpa umaarufu Tabora Girls

Mwandishi: Boniphace Ngumije | CHAMPIONI| STAA ANAYEFUNGUKA MPENZI msomaji wa kolamu hii inayohusu maisha ya mastaa, karibu katika safari nyingine...

READ MORE

Sekeseke la Mastaa na Unga ni Fundisho

NA ANDREW CARLOS |IJUMAA | SHOW-BIZ ZIKIWA zimepita siku mbili tangu Mahakama ya Hak­imu Mkazi Kisutu ya jijini Dar es Sa­laam...

READ MORE

Makonda Atibua 40 ya Mdogo wa Tiffah…

Na WAANDISHI WETU| AMANI| HABARI DAR ES SALAAM: Ikiwa imebakia saa 72 ifike 40 ya mtoto wa pili wa Mbongo...

READ MORE

Sabby: Ndoa Ilinipotezea Muda

IJUMAA WIKIENDA | Over Ze Weekend DUH! Kwa mara ya kwanza tangu ndoa yake ivunjike mwaka jana, msanii wa filamu...

READ MORE

Daimond Amshikia Panga Manaiki

  Na WAANDISHI WETU| RISASI JUMAMOSI| HABARI DAR ES SALAAM: Ilitokea lakini haikuandikwa! Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’...

READ MORE

‘Zigo’ Lampagawisha Bob Junior Kinoma!

Stori: Na Andrew Carlos | IJUMAA | ShowBiz Ama kweli kuna watu wamejaaliwa! Msanii wa muziki Bongo, Bob Junior hivi...

READ MORE

Husna: Niacheni Nile Makombo Yangu Mwenyewe!

Stori: Imelda Mtema | RISASI JUMAMOSI | Dar es Salaam MREMBO aliyewahi kunyakuwa Taji la  Miss Kinondoni 2011, Husna Maulid...

READ MORE

Mo Music Kwenye Ujasiriamali

STORI: GABRIEL NG’OSHA | RISASI | MIKITO NUSUNUSU MSANII wa Bongo Fleva, Moshi Katemi ‘Mo Music’ ambaye alitamba na Wimbo...

READ MORE

Masele Chapombe Azawadiwa Mtaa

Masele na Mkewe. STORI: GABRIEL NG’OSHA | RISASI | MIKITO NUSUNUSU WAKAZI wa Goba jijini Dar, wamemzawadia  Mchekeshaji, Cypriane Masele...

READ MORE

Usifanye Biashara Ili Mradi, Lenga Kifanikisha

UNAPOAMUA kuingia katika biashara ni lazima uwe na malengo ya kibiashara na si kuianzisha na kuiendesha ilimradi. Aidha, unatakiwa ujipime...

READ MORE

Tabia Hizi 10 za Wanawake Ndani ya Nyumba Hazifai

Katika kuangalia tabia za wanawake, nakuja na orodha ya wanawake ambao kama mwanamume unafaa kuwa chonjo nao kwani watayafanya maisha...

READ MORE

Hawa Ndiyo Vijana 5 Wanaotikisa kwa Mkwanja Duniani

Bado kuna watu hawaamini kama mtu anaweza kuwa bilionea akiwa na miaka midogo. Wanachokiamini ni kwamba ili uwe bilionea, ni...

READ MORE

Mlifeli mipango 2016? fanyeni haya 2017!

JUMAMOSI ya kwanza ndani ya mwaka 2017. Tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuvuka 2016 na kufika salama 2017. Tumuombe baraka zake...

READ MORE

Njia za uzazi wa mpango

Ili watoto wakue vizuri baada ya kuzaliwa, ni lazima wapate mahitaji muhimu na ya lazima, ikiwemo kunyonyeshwa maziwa ya mama...

READ MORE

Iweje elimu, pesa zako viwe sababu ya kuwadharau wenzako?

Kipindi cha nyuma niliwahi kuzungumzia baadhi ya tabia  ambazo naamini kila binadamu anazo ila jinsi zinavyotumika ndivyo zinavyoweza kuleta madhara...

READ MORE

Namna Bora ya Wapendanao Kusherehekea Sikukuu

WENGI bado wana dhana kwamba sikukuu ni kusherehekea kwa kunywa, kula. Wapo ambao bado wanaamini sikukuu huwa haikamiliki bila kupiga...

READ MORE

Aina za Madawa ya Kulevya na Athari Zake kwa Mtumiaji

Tatizo la madawa ya kulevya limetokea kuwa janga kubwa duniani kote, watu wengi wameathirika na janga hili. jinsia zote wanaume,...

READ MORE

Shoga:Usisahau choroko nazo mboga

KILA inapofika siku ya leo Jumanne nikiwa mzima wa afya huwa namshukuru Mungu, natumai na wewe hufanya hivyo. Wiki iliyopita...

READ MORE

Acha kulia! Kufilisika na kukwama siyo mwisho wa maisha!

Leo nimeamua kuzungumza na wale ambao kwa namna moja au nyingine wamejikuta wakianguka na kupoteza kila kitu ambacho waliwahi kujikusanyia....

READ MORE

Sayansi Yasema Binadamu Hafi, Hubadilika!-2

ILIPOISHI WIKI ILIYOPITA: Baadaye, mtoto huyu aliondoka na wazazi wake wa sasa huku akiacha maswali yasiyo na majibu. Baadaye wazazi...

READ MORE

Kwani kuna gharama gani mke akimtii mumewe?

AMANI ya Bwana iwe nanyi watu wa Mungu. Jumamosi nyingine tunakutana katika kilinge chetu, kupeana elimu katika masuala mbalimbali ya...

READ MORE

Kumuombea mwenzako mabaya kuna faida gani?

Neno wivu katika kamusi ya Kiswahili sanifu ya Taasisi ya uchunguzi wa Kiswahili ya Chuo kikuu cha Dar-es-Salaam limetafsiriwa kuwa...

READ MORE

Sayansi Yasema: Binadamu hafi, hubadilika!

MWandishi wetu, Amani KWA zaidi ya miongo miwili sasa (miaka 10), wanasayansi wamekuwa wakijitahidi kutafuta jibu la swali la, je!...

READ MORE

Kwa nini ukubali kukatishwa tamaa na waliojikatia tamaa?

Ni wiki nyingine tulivu kabisa tunakutana kupitia safu hii nikiamini kwamba umzima na unaendelea kupambana kuhakikisha maisha yako yanakuwa mazuri....

READ MORE

Penzini, kazini, nyumbani, kila kona stress, duh!

MPENZI msomaji karibu tena kwenye Jamvi la XXLove. Ni Jumatatu nyingine tena tumepewa kwa kudra za Mwenyezi Mungu kwa ajili...

READ MORE

Usaliti ni mgumu kufutika akilini, bora usisaliti kabisa!

Kwa tuliokuwa pamoja wiki iliyopita, tulijifunza kuhusu wapendanao kufichana vyanzo vyao vya fedha. Nilihitimisha mada yangu kwa kueleza kuwa wapendanao...

READ MORE

Njia 6 kukusaidia kupata kazi kirahisi

Ni matumaini yangu kwamba msomaji wangu uko safi na unaendelea vyema na majukumu yako. Leo ningependa tuzungumzie mbinu za kutafuta...

READ MORE

Utatakaje upendwe wakati mwenyewe hujipendi?

Uhali gani msomaji wangu wa kona hii nzuri? Ni matumaini yangu kwamba u mzima wa afya njema. Nakuka-ribisha kwa moyo...

READ MORE

Mjue mpenzi mkorofi

NAAM ni siku nyingine tena tumekutana katika kona yetu hii ya Sindano za Mahaba. Kwa wale wazima kama mimi ni...

READ MORE

Shoga; chakula ni siri yako na mumeo!

Awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia afya njema iliyoniwezesha kuandaa hiki nilichoamua kuzungumza nawe kupitia safu yetu hii....

READ MORE

‘Ni vizuri mwanaume, amfiche mkewe vipato vyake’

Ukipata bahati ya kukaa kwenye vijiwe vingi vya wanaume, kauli za ‘mwanamke usimueleze kila kitu’ huwa zinatawala. Wanaambizana kwamba ili...

READ MORE

Hivi utaishi maisha ya kuungaunga hadi lini?

Wiki hii msomaji wangu nataka kuzungumzia tabia ya wale ambao wapowapo tu, hawafanyi chochote kuyaboresha maisha yao badala yake wamekuwa...

READ MORE

Ushauri wa wote amenitumia meseji niachane naye!

HABARI ya kazi anko. Naitwa Cecy wa Dar, naomba ushauri. Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22. Tatizo langu...

READ MORE