×

Featured Stories

Lungi Maulanga, Achezea Kichapo ‘Hevi’ Kutoka Kwa Mpenzi

Muigizaji wa kitambo Bongo, Lungi Maulanga. Muigizaji wa kitambo Bongo, Lungi Maulanga, anadaiwa kuchezea kichapo ‘hevi’ kutoka kwa mpenzi wake...

READ MORE

Majaliwa Kuzindua Mahakama ya Kisasa Kibaha

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). …Akionesha  wanahabari kitabu chenye malengo ya mpango mkakati...

READ MORE

Mama wa Mangwea awa Kivutio Fiesta Moro

Mwanamuziki staa wa Bongo Fleva, Belle 9,  akifanya yake stejini wakati  wa shoo za Fiesta 2016 kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini...

READ MORE

Video: Aunt Lulu Afanya Ufuska Kweupe!

Staa wa Filamu za Kibongo na mtangazaji, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’. Kujitoa ufahamu! Ndivyo alivyofanya Mtangazaji Lulu Semangongo ‘Aunt Lulu’...

READ MORE

Siku Za Mwisho Za Uhai Wa Samuel Doe

Rais Samuel Doe katika moja ya ziara zake akiwa rais. Alfajiri ya Aprili 12, 1980, kikundi kidogo cha wanajeshi 17...

READ MORE

Jela Miaka 30 Kwa Kubaka Juu Ya Kaburi

MAHAKAMA ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi imemhukumu Ally Rashid maarufu kwa jina la Ally Mwizi kifungo cha miaka 30...

READ MORE

A-Z Oparesheni Ya Mauaji Ya Gaidi Osama Bin Laden 2011

Osama Bin Laden enzi za uhai wake. Mwaka 2001, mwezi desemba katika milima ta Tora Bora baada ya mapambano ya...

READ MORE

Mwinyi Achangisha Shilingi Bilioni Moja Dar Za Waathirika Kagera

Rais  Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi akizungumza jambo baada ya matembezi hayo. Baadhi ya wadau wakikabidhi mfano...

READ MORE

Wema Kumburuza Diamond Mahakamani

Msanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu. STORI: IMELDA MTEMA NA MAYASA MARIWATA, Msanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu anaandaa utaratibu...

READ MORE

Zombe na Wenzake Washinda Kesi, Christopher Bageni Kunyongwa

Aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa Wilaya ya Kinondoni,  SP Christopher Bageni (kushoto) baada ya kuhukumiwa kunyongwa akiagana na aliyekuwa Mkuu...

READ MORE

Picha za Trump na Flaviana Matata Zaibua Mambo Bongo

DAR ES SALAAM: Zikiwa zimesalia takriban siku 53 kufika Novemba 8, mwaka huu, siku ya Uchaguzi wa Urais wa Marekani,...

READ MORE

Video: Serikali Yatoa Tamko Madereva Kutekwa DRC

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini Katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mindi Kasiga akizungumza...

READ MORE

Madereva Kutoka Tanzania Watekwa Nchini DRC

Baadhi ya magari yanayodaiwa kuchomwa moto. Chama cha Wamiliki wa Magari ya Mizigo nchini Tanzania (TATOA) kinaripoti kwamba, waasi wa Mai...

READ MORE

Ester Kiama Atajwa Kujiuza, ang’aka (Video)

Muigizaji mrembo anayepanda kwa kasi kwenye gemu la filamu Bongo, Ester Kiama akifanya mahojiano na Boniface Ngumije (kushoto). Na Boniface Ngumije/Amani...

READ MORE

Mama Mzazi Asimulia Bintiye Alivyozikwa Akiwa Hai (Video ipo hapa)

Richard Bukos na Issa Mnally,  Risasi MCHANGANYIKO PWANI: Huu ni unyama asilimia mia! Ndivyo alivyoanza kusimulia mama wa marehemu Amina...

READ MORE

Prof. Ndulu: Pato la Taifa Limeongezeka

Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Prof. Benno Ndulu akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). Baadhi ya wanahabari wakifuatilia mkutano huo....

READ MORE

Vodacom Yaendelea Kufanikisha Wiki Ya Usalama Barabarani

Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini, Kamanda Mohammed Mpinga (kulia) akikabidhiwa stika na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa...

READ MORE

Wakurugenzi Manispaa, Miji Na Halmashuri Waapishwa Dodoma

Baadhi ya wakurugenzi wa halmashauri za wilaya wakila kiapo wakati  kukabidhiwa majukumu yao katika ofisi za Waziri wa Nchi, Ofisi...

READ MORE

Jamhuri Yajibu Kesi Ya Dada’ke Msuya

UPANDE wa Jamhuri leo umetoa majibu ya hoja ya kutaka kufutiwa mashtaka ya mauaji inayomkabili mke wa marehemu bilionea Erasto...

READ MORE

Jahazi, Msagasumu Waacha Historia Dar Live Jana

KUNDI la Muziki wa Taarab lisilo na mpinzani Bongo, Jahazi Modern sambamba na Mfalme wa Singeli, Msaga Sumu jana waliandika...

READ MORE

Taarifa Rasmi Ya Serikali Kuhusu Tetemeko La Ardhi Mkoani Kagera

1 Tukio la tetemeko: Tarehe 10/09/2016 saa 9 na dakika 27 mchana kumetokea tetemeko la ardhi mkoani Kagera.   Kitovu...

READ MORE

Mzee Mwinyi Aongoza Eid El Hajj Kitaifa Kinondoni Dar

RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi, leo amewaongoza waumini wa Kiislamu katika kusherehekea sikukuu ya Eid El...

READ MORE

Waziri Majaliwa Aongoza Sala ya Idd El Hajj Mwembe Yanga, Dar

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa hotuba yake katika swala ya Idd El Hajj iliyoswaliwa kwenye Viwanja vya Mwembe Yanga, Temeke...

READ MORE

Wakazi wa Bukoba Walala Nje ya Nyumba Baada ya Tetemeko Kutokea Mara ya Pili

BUKOBA: September 10, 2016 lilitokea tetemeko la ardhi Kagera kanda ya ziwa Tanzania lenye kipimo cha ritcha 5.7 na kusababisha...

READ MORE

Waziri Mkuu Aongoza Maelfu Kuaga Miili ya Waliofariki kwa Tetemeko Kagera

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa jana ameongoza maelfu ya waombolezaji kuaga miili ya watu waliofariki kutokana na tetemeko la ardhi...

READ MORE

Waziri Mkuu Kuongoza Kuagwa Waliokufa kwa Tetemeko Bukoba

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa leo anatarajiwa kuongoza waombolezaji kuaga miili ya watu 16 waliopoteza maisha kwenye tetemeko la ardhi...

READ MORE

Video: Highlights Za Premier League Wikiendi Hii Hizi Hapa…

Premier League iliendelea wikiendi hii, Jumamosi ya Septemba 10, 2016 Manchester United iliambulia kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Manchester...

READ MORE

Tekemeko la Ardhi Laikumba Kanda ya Ziwa, Nyumba Zaporomoka

  Leo Septemba 10, 2016, tetemeko kubwa la ardhi lenye ukubwa wa Ritcha 5.7 limeikumbuka mikoa ya Kanda ya Ziwa...

READ MORE

Gondwe akamata malori saba yakisafirisha madini usiku!

Mkuu wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Godwin Gondwe amekamata malori saba yakisafirisha madini ya chuma aina  dolomite yanayotumika kutengeneza...

READ MORE