×

Global TV Online

Zahera Ajitetea Baada ya ‘Kupigwa’ na Polisi – Video

KOCHA Mkuu wa timu ya Yanga, Mwinyi Zahera, amesema tatizo la jana kufungwa mabao 2-0 na timu ya Polisi Tanzania...

READ MORE

DJ Stve B Asumbuliwa na Figo, Aomba Msaada wa Matibabu – Video

DJ mkongwe nchini ambaye amewahi kufanya kazi kwenye vituo mbalimbali vya radio, DJ Steve B a.k.a DJ Skills, anasumbuliwa na...

READ MORE

Mama wa Mbalamwezi Asimulia Kifo cha Mwanae – Video

KUFUATIA mmoja wa wasanii wa Bongo Fleva wanaounda Kundi la The Mafik, aitwaye ‘Mbalamwezi‘ kufariki dunia usiku wa kuamkia leo,...

READ MORE

VIDEO: RAIS MAGUFULI AMPOKEA RAIS RAMAPHOSA IKULU, DAR

 Jinsi Rais wa Afrika Kusini, Matamela Cyril Ramaphosa alivyowasili katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam, na kupokelewa...

READ MORE

Mtoto Ajinyonga Akipika Ugali, Mama Mzazi Asimulia – Video

Binti wa miaka 16 aliyefahamika kwa jina la Maria amekutwa amejinyonga hadi kufa akiwa kwenye harakati za kuandaa chakula cha...

READ MORE

Mti wa Maajabu, Ukiupanda Mtu Anakufa, Mke Hazai – Shehe Aanika – Video

UKISTAAJABU ya Musa utayaona ya Firauni! Mti unaoitwa ‘Germany Tree’ unaofahamika zaidi kwa jina la Mti Chonganishi, ni aina ya...

READ MORE

Prof. Kabudi Akabidhiwa Uenyekiti Baraza la Mawaziri SADC – (Video + Picha)

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Profesa Palamagamba Kabudi amekabidhiwa uenyekiti wa Baraza la...

READ MORE

Mobeto: Nipo Singo, Mama Yangu Havai Suruali – Video

Mwanamitindo Hamisa Mobeto, amesema kwa sasa hana mpenzi (yupo ‘single’), hii ni kutokana na u-bize wa kazi  nyingi alizokuwa nazo....

READ MORE

Makonda Kuzungumza na Wadada Walioumizwa Kimapenzi – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda,  amesema kuna mpango wa kuanzisha kanzidata (database)  ya ndoa zote zilizopo...

READ MORE

GLOBAL HABARI AUG 10: WATU ZAIDI YA 60 WAPOTEZA MAISHA MORO

 Watu zaidi 60 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 70 kujeruhiwa kufuatia ajali ya moto iliyotokea asubuhi ya leo...

READ MORE

VIDEO: IBADA ya EID EL HAJ, KUSWALIWA JUMATATU NYAMAGANA

 Sheikh mkuu mkoa wa Mwanza Hassan Kabeke ametangaza Ibada ya Eid Alhaji kwa mkoa wa Mwanza mwaka huu itaswaliwa...

READ MORE

MASHUHUDA WASIMULIA Chanzo Cha MOTO – “Ulianza kwa Mama Ntilie”

 Baadhi ya mashuhuda wa tukjio la ajali ya moto iliyotokea maeneo ya Msamvu Mkoa wa Morogoro wameelezea jinsi moto...

READ MORE

VIDEO: UTACHEKA! DUDE ATAPELIWA, ASIMULIA ILIVYOKUWA..!

 Ni ngumu sana kuamini kama Nguli wa kuigiza michezo ya utapeli, Kulwa Kikumba, Dude, anayenga’ra kupitia tamthilia yake ya...

READ MORE

Q Chief Afunguka Kusainiwa Wcb – Video

 Somo la Kuanguka na kunyanyuka tena ndilo alilosoma mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva, Q Chief, ambaye baada ya kuanguka...

READ MORE

VIDEO: TCRA Yatoa TAMKO Yanayotokea MITANDAONI

 Waziri wa Ujenzi na Mawasiliano wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Sira Ubwa ameipongeza mamlaka ya Mawasilino nchini TCRA...

READ MORE

VIDEO: DKT SHEIN AFUNGA MAONESHO YA VIWANDA YA SADC

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi la Zanzibar, Dkt Ali Mohamed Shein, leo Agosti 08, anafunga rasmi...

READ MORE

VIDEO: “TANZANIA Ni NCHI Ya Pili KUPANDIKIZA FIGO Afrika” – WAZIRI UMMY

 Tanzania inatarajia kupokea wageni kutoka nje ya nchi kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo ya...

READ MORE

Wasafi Festival Yaacha Historia Dodoma – Video

 USIKU wa kuamkia leo Agosti 8, 2019,  ilifanyika shoo ya nne ya Wasafi Festival 2019 mkoani Dodoma, Uwanja wa...

READ MORE

VIDEO: GIGY MONEY ‘ASEPA NA KIJIJI’ DODOMA WASAFI FESTIVAL

 USIKU wa kuamkia leo Agosti 8, 2019 msanii wa Bongo Fleva. Gigy Money,  amefanya shoo ya aina yake ambayo...

READ MORE

EXCLUSIVE NA BARNABA CLASSIC | 255 GLOBAL RADIO

Ndani ya Bongo 255 ya Global Radio leo, Kwa upande wa wageni Maiki imemilikiwa na Mwanamuziki wa Bongo Fleva Barnaba...

READ MORE

VIDEO: SIKU 18 ZA KIFO CHA NAOMI, FAMILIA IMEAMUA HAYA!

IKIWA ni siku takribani 18 zimepita, tangu igundulike kuwa mwanaume mmoja anayefahamika kwa jina la Hamis, amemuua mkewe, Naomi Marijani,...

READ MORE