×

Global TV Online

Diamond Aanika Hadharani Mimba ya Tanasha – Video

STAA wa muziki wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amethibitisha kuwa mpenzi wake wa sasa ambaye ni raia wa Kenya, Tanasha...

READ MORE

VIDEO: NIMEMFUNIKA DIAMOND Kwenye BAILA, Mimi MKALI” – KASSAM

 Mwanamuziki chipukizi kwenye game ya Bongo Fleva, KASSAM amesema yeye ni mkali kuliko, LAVALAVA, japo watu wana wafananisha kwa...

READ MORE

KIKWETE ALIVYOTEMBELEA MAONYESHO YA SABASABA – VIDEO

Rais mstaafu wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameungana na Watanzania katika maonyesho ya 43 ya  kimataifa ya biashara yanayoendelea katika viwanja...

READ MORE

Rais Kenyatta Amaliza Ziara Yake Chato, Arejea Kenya – Video

Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta, ammaliza ziara yake ya siku mbili nchini Tanzania na kurejea nchini mwake. Katika ziara yake...

READ MORE

LEMA: “Nilishangilia TAIFA STARS IFUNGWE, Ni Ya CCM, MAKONDA Kashasema” – Video

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, anaendelea na mikutano yake ya hadhara jimboni kwake ambapo leo Julai 05, amezungumzia Timu...

READ MORE

#LIVE: Nabii Natasha Afanya Mkutano Mkubwa wa Injili Tabata – Video

     Nabii Lucy Natasha kutoka nchini Kenya kwa kushirikiana na Mchungaji Peter Nyaga, wamefanya Kongamano la kiroho katika viwanja vya...

READ MORE

JPM: Kenyatta ‘Aniombe Radhi’, Hatukukubaliana Watufunge Mabao 3-2- Video

RAIS  John Magufuli, leo Julai 05, amempokea Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta, ambaye amewasili  nchini kwa ziara binafsi ya siku...

READ MORE

Rais Kenyatta Atua Chato, Amtaja Jaguar, Taifa Stars – Video

RAIS wa Kenya, Uhuru Kenyatta,  ameshawasili nchini leo Ijumaa, Julai 5, 2019 na kutua katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...

READ MORE

Wazee wa Chadema Wampongeza JPM, Wamuomba Hiki… – Video

Baraza la Wazee (CHADEMA), kupitia kwa Mwenyekiti wake, Mwenyekiti wa Baraza hilo, Hashim Juma Issa limeweka wazi kuwa Tume huru...

READ MORE

MIZUKA ya THE MAFIK Wakitambulisha NGOMA Yao, USIPIME! – Video

Katika kipindi cha Bongo 255, leo Wanamuziki wanaounda kundi la The Mafik, wametambulisha ngoma yao mpya inayoitwa ‘BOBO’. The Mafik...

READ MORE

Nabii Natasha wa Kenya Alivyopokelewa kwa Shagwe Bongo – Video

Nabii Lucy Natasha, kutoka nchini Kenya, ametua nchini usiku wa Julai 03, na kupokelewa kwa shangwe katika Uwanja wa Ndege...

READ MORE

Polisi Waua ‘Majambazi’ Sugu, Mambosasa Amfungukia Msaidizi wa Zitto – Video

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwauwa liliodai ni majambazi sugu wawili na kukamata silaha mbili...

READ MORE

JPM Atua Chato, Akunwa na Hili… – Video

RAIS John Magufuli leo amewasili nyumbani kwao Chato ambako amewapongeza wananchi wa huko kwa kufanya kazi kwa bidii na kuwasisitizia...

READ MORE

KAGAME: Mwanaume Aliyeitoa RWANDA Machinjioni Mpaka Peponi – Video

Paul Kagame alizaliwa Oktoba 23, 1957, Rwanda, akakulia ukimbizini, akatembelea kucha, akaonja adha ya kuwa mkimbizi, baaday akaa kiongozi wa jeshi,...

READ MORE

VIDEO: CHADEMA WATOA TAMKO, TUNDU LISSU KUVULIWA UBUNGE

Siku mbili baada ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, kutangaza kumvua ubunge aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, Chama...

READ MORE

Atembea Kwa MIGUU Mikoa 8 Akimuenzi Nyerere – Video

KIJANA anayejulikana kwa jina la Ramadhani Salum Mohamed mkazi wa Mbeya amewka Historia ya aina yake na ya kizalendo baada...

READ MORE

Harusi ya MC Pilipili: Tazama Baby Wake Akipambwa – Video

Unaambiwa hayawi hayawi, mwishowe yamekuwa! ile siku ya harusi ya mchekeshaji maarufu nchini, Emmanul mathias aka MC Pilipili na mchumba...

READ MORE

Amuua Mdogo Wake, Kisa Anaitwa Sana Jikoni

JESHI la Polisi mkoani Mara linamsaka Mniko Chacha (20) mkazi wa Kijiji cha Kitagutiti Kata ya Mbogi Wilaya Tarime mkoani...

READ MORE

BREAKING: BoT Yakabidhiwa Madini Yaliyokamatwa Yakitoroshwa – Video

Benki kuu ya Tanzania (BOT), leo Juni 29, imekabidhiwa madini, fedha na vito mbalimbali viliyotaifishwa na serikali vilipokuwa vinatoroshwa nje...

READ MORE

Watanzania 9 Wauawa Mpakani na Msumbiji, Sirro Atoa Tamko – Video

RAIA tisa wa Tanzania  na raia wawili wa Msumbiji wameuawa na watu wasiojulikana huku Watanzania wengine sita wakijeruhiwa vibaya katika...

READ MORE

NEC Taifa Yatembelea Miradi Mikubwa Ya Serikali – Video

Ujumbe wa Kamati Kuu Taifa wa CCM, umefanya ziara ya kutembelea miradi mikubwa ya inayotekelezwa na serikali ya awamu ya...

READ MORE

Zitto: Bunge Liibane Serikali Kuhusu Mikopo – Video

MBUNGE wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), Zitto Kabwe, amesema kuna umuhimu wa Bunge kuipangia serikali ya kiasi cha fedha inachotakiwa kukopa...

READ MORE

Pedi, Pampas, Zamgusa Bashe, Aishauri Serikali – Video

MBUNGE  wa Nzega Mjini (CCM), Hussein Bashe,  ameishauri Serikali ya Tanzania kuruhusu wakulima wa pamba kuuza moja kwa moja zao...

READ MORE

Wabunge Wapiga Kura, Waipitisha Bajeti Kuu ya Serikali 2019/2010 – Video

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Juni 25, wamepiga kura ya maoni na kupitisha Bajeti Kuu...

READ MORE

RAIS MAGUFULI AZINDUA GHALA NA MITAMBO YA GESI KIGAMBONI, VIJIBWENI, DAR – Video

       RAIS John Magufuli amemruhusu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kwenda nchini Misri...

READ MORE

NDUGAI: “Huyu Kijana Hajitambui, HAJIELEWI, Anamdanganya RAIS Hadharani” – Video

Spika wa Bunge, Job Ndugai, amemjibu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kufuatia kauli aliyoitoa leo mbele...

READ MORE

Rostam Afunguka Kilichomrudisha Nchini, Amtaja Magufuli- Video

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Taifa Gas Tanzania Ltd. mfanyabiashara Rostam Aziz, amemshukuru Rais John Magufuli kwa...

READ MORE

LIVE: JPM Azindua Ghala, Mitambo ya Gesi Kigamboni – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo June 25, 2019, anazindua ghala na Mitambo ya...

READ MORE

VIDEO: SPIKA NDUGAI, Wabunge WAFUNGUKA Baada Ya Taifa Stars KUCHEZEA KICHAPO…

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job ndugai na baadhi ya wabunge walioshiriki kwenda kuipa sapoti timu...

READ MORE