×

Global TV Online

VIDEO: TABORA Yazizima Shoo Ya DIAMOND Wasafi FESTIVAL 2019

 USIKU wa kuamkia leo Julai 22, 2019 staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz,  amefanya shoo ya aina yake kwenye...

READ MORE

VIDEO: LAVALAVA Amwaga MACHOZI Stejini Tabora

 HIT MAKER  wa ngoma ya SAULA, Lavalava, amejikuta akizidiwa na furaha kutokana na shangwe za mashabiki wake na kumwaga...

READ MORE

VIDEO: VITUKO Vya RC MWANRI Stejini Wasafi Festival “SUKUMA NDANI”

 Mkuu wa mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri, ameibuka usiku wa kuamkia leo Jumatatu, Julai 22, 2019 kwenye shoo ya...

READ MORE

VIDEO: RC MWANRI Alivyo KANYAGA Mbele ya DIAMOND Ukumbini!

 MKUU wa Mkoa wa Tabora, Aggrey Mwanri leo amejikuta akiwavunja watu mbavu baada ya kumuita mwanamuziki Diamond Platinumz, mbele...

READ MORE

VIDEO: Povu la Mbunge MSUKUMA, Baada Ya MAKAMBA Kutumbuliwa

 MBUNGE wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku ‘Msukuma’, leo Jumapili, Julai 21, 2019 ameongea na Global TV Online kwa njia...

READ MORE

VIDEO: UTASHANGAA!!! BABU wa MIAKA 100, HAJAOA, Hana MTOTO..

 Babu mwenye umri wa miaka zaidi ya 100 anayefahamika kwa jina la Sungura ambaye anaishi Msasani Soko la samaki...

READ MORE

VIDEO: DIAMOND Amejibu Kumvisha PETE TANASHA

 STAA wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’amefunguka juu ya kumvisha pete mpenzi wake Tanasha Donna Oketch.

READ MORE

EXCLUSIVE: Mbunge Mteule Jimbo la Tundu Lissu, Afunguka Mazito! – Video

MBUNGE Mteule wa Jimbo la Singida Mashariki, lililokuwa likiwakilishwa na,  Tundu Lissu, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Miraji ...

READ MORE

VIDEO: Walichofanya RUBY, MUMEWE Wasafi Festival Muleba, Usipime!

 MSANII wa muziki Bongo, Ruby na mumewe mtarajiwa Kusah, wamefanya balaa la kufa mtu katika steji ya Wasafi Festival iliyoanzia...

READ MORE

VIDEO: MOSE IYOBO Afunga BARABARA Wakielekea MULEBA Wasafi Festival

Dansa maarufu Bongo, Mose Iyobo, kutoka WCB na Wenzake wamefunga BARABARA kwa kusimama njiani na kucheza wimbo wa Diamond Platnumz...

READ MORE

VIDEO: Mwanamke Auawa Kikatili, Akutwa Uchi/Polisi Wafunguka

MWANAMKE  aliyetambulika kwa jina moja la Khadija amepatikana akiwa amefariki maeneo ya Sinza-Afrika Sana, jijini Dar es Salaam,  akiwa hana...

READ MORE

UCHAMBUZI: RAIS JPM KUTEMBELEA GEREZA LA BUTIMBA , HII IMEKAAJE? | GLOBAL RADIO

 Karibu katika uchambuzi wa Magazeti leo July 17 kwenye 255 Front Page ya Global Radio, uchambuzi unaokujia kila siku...

READ MORE

VIDEO: MFUNGWA Amshtaki ASKARI Kwa MAGUFULI – “ATATUUA ONDOKA NAE”

 Miongoni mwa wafungwa wa Gereza la Butimba jijini Mwanza ambaye alikuwa wa kwanza kuzungumza ni Kalikenya Nyamboge aliyesema: “Mheshimiwa...

READ MORE

VIDEO: RAIS MAGUFULI AZINDUA HUDUMA ZA TIBA HOSPITALI YA BUGANDO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli anazindua Huduma za Tiba Katika Hospitali ya...

READ MORE

VIDEO: Msukuma Aomba Askari wa Kike Kwa Rais Magufuli

 MBUNGE wa Geita Vijijini, Joseph Kasheku Msukuma,  leo ameomba polisi wa kike kwa Rais John Magufuli kwa ajili ya...

READ MORE

LUGOLA: ‘Magufuli Mtoto wa Mungu, Wahuni Washindwe na Walegee’ – VIDEO

 WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amemwelezea Rais John Magufuli kuwa ni mtoto mwadilifu wa Mungu na...

READ MORE

Magufuli Azindua Nyumba za Polisi Magogo, Geita – Video

  RAIS John  Magufuli  leo amezindua nyumba 15 za makazi ya askari wa Jeshi la Polisi katika eneo la Magogo...

READ MORE

VIDEO: HUYU HAPA NDIYE MSHINDI WA MISS KINONDONI 2019

 Mrembo Queen Mugase ameibuka mshindi wa Miss Kinondoni 2019 baada ya kuwazidi warembo wengine 17, mashindano hayo yalifanyika eneo...

READ MORE

VIDEO: Rais MUSEVENI Apokelewa na Mwenyeji wake Rais JPM Chato

 Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni atafanya ziara binafsi ya siku moja nchini Tanzania, leo Julai 13, ambapo atamtembelea...

READ MORE

Maskini Mtoto Huyu! Miaka 8 Anatembelea Tumbo – Video

Binti Warda mwenye umri wa miaka 8 anaetembea kwa kutumia tumbo, si kwa kupenda yeye bali hana uwezo wa kusimama...

READ MORE

SAFARI YA MWISHO YA MWANDISHI WA GLOBAL, MRESSY – VIDEO

ALIYEKUWA mwandishi wa Global Publishers ambaye alikuwa akiandikia Magazeti ya Michezo ya Champion na Spoti Xtra, Ibrahim Mressy, amezikwa leo...

READ MORE

JPM Asimama Barabarani Kusikiliza Kero za Wananchi – Video

Rais Dkt John Magufuli, ameanza ziara yake Mkoani Kagera mapema leo ambapo amesimama barabarani na kuzungumza na wananchi wa mkoa...

READ MORE

RC GAMBO Asimama Na CAG Upotevu Wa Vitabu Vya Mapato MERU

 Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) nchini Tanzania kwa mwaka 2017/18, ilibaini vitabu vitatu...

READ MORE

Diamond Alamba Shavu Jingine WASAFI FESTIVAL – Video

MSANII  wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul maarufu ‘Diamond Platnumz’, amesema haamini kuwa uhaba wa kondomu za kike ni...

READ MORE

JPM Ashuka Ghafla Barabarani, Amuita Dereva Daladala! – Video

RAIS  Dkt.  John Magufuli, amewataka madereva wanaoendesha vyombo vya usafiri wa abiria kuzingatia sheria na taratibu za usalama barabarani wakati...

READ MORE

Fainali: Miss Kinondoni Kutikisa Dar Jumamosi Hii – Video

Fainali ya shindano la Miss Kinondoni inatarajiwa kufanyika Jumamosi hii ya Julai 13, katika ukumbi wa Life Park uliopo Mwenge...

READ MORE

HISTORIA YA OPERATION ENTEBBE ILIVYOTIKISA – VIDEO

Siku ya tarehe 27 June 1976, ilianza kama siku nyingine yeyote ndani ya uwanja wa ndege wa kimataifa katika mji...

READ MORE

MAJERUHI WA AZAM HOI KITANDANI AZUNGUMZA – VIDEO

MAJERUHI wawili kati ya watatu walionusurika katika ajali iliyosababisha vifo vya watu saba wakiwemo watano ambao walikuwa wafanyakazi wa Azam...

READ MORE

JPM Azindua Hifadhi ya Taifa Burigi, Ampongeza Faru Rajabu – Video

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, amempongeza faru Rajabu, ambaye ni mtoto wa Faru John,...

READ MORE