×

Global TV Online

NAPE Awatetea Akina DIAMOND, ALIKIBA Bungeni “Sheria Ibadilishwe” – Video

IKIWA ni siku chache tangu kuwasilishwa kwa Bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2019 /20, wabunge wameendelea kutoa...

READ MORE

#BREAKING! MTANDAO wa Madawa ya Kulevya WANASWA – Video

JESHI  la polisi nchini,  kupitia kitengo cha kuzuia na kupambana na dawa za kulevya,  linawashikilia watu saba ambao wanadaiwa wapo...

READ MORE

Mbunge Ataka ‘Mwigulu Style’ Iwe Vazi la Taifa – Video

Mbunge wa Iramba Magharibi Dr. Mwigulu Nchemba amependekeza kuwa mtindo wa mavazi ambao yeye amekuwa akiuvaa mara kwa mara utumike...

READ MORE

DARAJA LINALOTIKISA KWA MIZIMU NA MASHETANI KUTOKEA!

White Rock Bridge ni Daraja Lililopo Katika Ziwa la White Rock (White Rock Lake) Dallas Texas Kaskazini Mashariki mwa MarekanI,...

READ MORE

Maajabu! Mto Ambao Ukinywa Maji Yake Unazaa Mapacha – Video

Kama ulikuwa hujui Tanzania ni nchi iliyobarikiwa sana katika bara la Afrika, moja kati ya mikoa unaodhihirisha kuwa tumebarikiwa ni...

READ MORE

JPM: Tshisekedi Naomba Ukashughulikie Shida za Watu wa DRC – Video

Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Felix Antoine Tshisekedi,   amemaliza ziara ya kitaifa ya siku mbili nchini akiwa...

READ MORE

RAIS TSHISEKEDI AMUOMBA JPM – VIDEO

RAIS Felix Antoine Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo {DRC} amemaliza ziara yake ya kitaifa ya siku mbili nchini...

READ MORE

BREAKING: RAIS TSHISEKEDI AKAGUA BANDARI YA DSM – VIDEO

Rais wa Kongo, Felix Tshisekedi amepongeza ujenzi wa miundo mbinu inayoendelea nchini katika maeneo mbali mbali ikiwemo bandari ya Dar...

READ MORE

BAJETI KUU YA SERIKALI YAWASILISHWA BUNGENI – VIDEO

WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amewasilisha bungeni bajeti kuu ya Serikali ya shilingi Trilioni 33.1 ambapo amesema...

READ MORE

VIDEO: ALIYOSEMA AFISA MTENDAJI MKUU CRESCENTOUS MAGORI KWENYE MKUTANO NA WANAHABARI

Jana tarehe 12 June kilifanyika kikao cha Bodi ya Simba Sports Club Company Limited. Kikao hiki kilifikia maazimio mbali mbali...

READ MORE

JPM Awajaza Mamilioni Wabunifu wa Mtambo wa Kufua Umeme – Video

Rais John Magufuli ameliijia juu Shirika la umeme nchini (Tanesco) kwa kushindwa kuwaunga mkono wabunifu waliobuni mtambo mdogo wa kufua...

READ MORE

JPM Magufuli Awachana Wizara, Tanesco Kutowajibika – Video

Rais Dkt. John Magufuli awakanya viongozi wa Wizara ya Nishati na Tanesco kwa kushindwa kuwasaidia wabunifu wa kufua umeme kutoka...

READ MORE

PART 1: Mwandishi wa Habari za UCHUNGUZI, Mazito Aliyopitia, Yatakugusa! – Video

Huyu ni mwandishi wa habari kutoka nchini Tanzania ambaye amejikita kwenye uandishi wa habari za kichunguzi na utafiti wa mambo...

READ MORE

JPM Kuongoza Mkutano wa Kimataifa na Kihitosria – Video

RAIS  John Magufuli anatarajiwa kuwa Mwenyekiti wa Jumuia ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika (SADC) kuanzia Agosti 17 mwaka huu...

READ MORE

ZITTO Alipuka JPM Kuwatumbua Mawaziri Wake – Video

Kiongozi wa chama cha ACT Wazalendo Zitto Kabwe na Mshauri wa chama hicho Maalim Seif leo wamekutana na waandishi wa...

READ MORE

Familia Yarejesha ‘Uhai’ wa Captain Komba, Yamuombea Msamaha – Video

FAMILIA ya aliyekuwa gwiji wa sanaa nchini, Kapteni Jonh Komba, inatarajia kuzindua taasisi ya kumbukumbu ya kuenzi sanaa yake na kuanzisha...

READ MORE

Dkt. Ndumbaro Atoboa Siri Nzito… Vita ya China na Marekani – Video

NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt Damas Ndumbaro amesema kuwa ugomvi kati ya Marekani...

READ MORE

Naibu Waziri Aanika Mazito Wabongo Kuteswa, Kuuawa Uarabuni – Video

NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt Damas Ndumbaro amesema kuwa baadhi  ya Watazania wanaokwenda...

READ MORE

Makonda Noma! Awakabidhi Walimu Ofisi za Kimataifa – Video

HATIMAYE kilio cha muda mrefu cha walimu wa shule ya msingi Vijibweni Wilaya ya Kigamboni kufanya kazi chini ya miti,...

READ MORE

CHADEMA Walipuka TENA “NEC Wanavuruga Uchaguzi” – Video

Kufuatia barua iliyotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) juzi Juni 6, kuhusu kusitisha ajira za muda kwa watumishi...

READ MORE

Naibu Waziri Ndumbaro Kuhusu Ushoga: “Sio Makonda tu, Hata Trump” – Video

NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt Damas Ndumbaro amesema kuwa baadhi  ya Watazania wamekuwa...

READ MORE

KILUWA ALIYECHEZEA SHARUBU za JPM, LUKUVI Yamkuta Ikulu – Video

  Mfanyabiashara Mohammed Kiluwa amejikuta kwenye wakati mgumu baada Rais Dkt. John Magufuli kuamru eneo lake la hekari 1,000 alilonunua...

READ MORE

Kisa Wasanii, Musukuma Awalipua TRA kwa JPM, Maagizo Mazito Yatolewa – Video

RAIS Dkt John Pombe Magufuli leo Ijumaa, Juni 7, 2019 amekutana na wafanyabiashara watano atano kutoka Wilaya zote 139 nchini...

READ MORE

JPM: Natamani Niwe na MABILIONEA 100 – Video

RAIS John Magufuli leo amesema anatamani wakati akimaliza utawala wake na kuondoka madarakani, Tanzania iwe imeshatengeneza wafanyabiashara wazawa mabilionea zaidi...

READ MORE

Ikulu: JPM Atoa Siku 30 Kwa Wafanyabiashara Hawa – Video

Rais Dk Magufuli leo Juni 7, amekutana na wafanyabiashara kutoka wilaya zote hapa nchini, pamoja na wajumbe wa Baraza la...

READ MORE

SAMUEL ETO’O Atua Nchini, Kufungua Mashindano Ya 5-Aside Kesho – VIDEO

BALOZI  wa Castle Africa 5s nchini Tanzania, Ivo Mapunda  leo Juni 6, 2019 amewaongoza watanzania kumpokea  mshambuliaji wa zamani wa...

READ MORE

VIDEO: Harmonize Akiimba Kimakonde, Agawa Zawadi Kama Zote

Msanii kutoka lebo ya WCB, Harmonize jana alikiwasha maeneo ya Mtwara katika sherehe za Idd Mosi kwakushusha bonge moja la...

READ MORE