×

Global TV Online

MWILI WA DKT. MENGI WAAGWA KARIMJEE – VIDEO

MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi, umeagwa leo Mei 7, katika viwanja vya Karimjee...

READ MORE

VIDEO: KUAGWA KWA MWILI WA MENGI VIWANJA VYA KARIMJEE DSM -VIDEO

Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi, unatarajiwa kuagwa leo Mei 07, katika viwanja vya Karimjee...

READ MORE

MSAFARA WA MWILI WA DKT MENGI KUELEKEA LUGALO – VIDEO

SIMANZI, vilio na majonzi vimetawala kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakati wakiupokea mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa...

READ MORE

LIVE: MWILI WA DKT MENGI WAWASILI AIRPORT, VILIO VYATAWALA!

MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi,  umewasili nchini katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...

READ MORE

ROSE NDAUKA “WASANII Wanaopotosha Jamii Wajifunze” – Video

 MSANII na Mfanyabiashara, Rose Ndauka amezindua saloon ambayo itakua inashughulika na kila kitu ikiwemo makae up, kunyoa, kusuka kwa...

READ MORE

Kamanda Milanzi Afunguka Kuwakamata Shamim na Mumewe -Video

 Blogger maarufu nchini, Shamim Omary Mwasha (41) na mumewe Abdul Nsembo(45) wanashikiliwa na Mamlaka ya Kupambana na Kuzuia Dawa...

READ MORE

VIDEO:HOTUBA ya Rais JPM akiweka JIWE la msingi Ujenzi wa MAKTABA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli bado anaendelea na ziara yake ya kikazi mkoani mbeya...

READ MORE

JPM: Wananchi Watibiwe Hata Kama Hawana Pesa – Video

Rais Dkt John Magufuli akizindua hospitali katika Kata ya Mwakibete mkoani Mbeya amewataka watoa huduma za afya kutoa huduma hata...

READ MORE

Rais MAGUFULI ‘Ampukutisha’ Pesa Diwani – Video

RAIS  Dkt John Magufuli ‘amempukutisha’ pesa kiasi cha shilingi laki tano, Diwani wa Inyala mkoani Mbeya baada ya diwani huyo...

READ MORE

RAIS Magufuli Atoa Maagizo Haya kwa Wafanyakazi – Video

Rais Dkt John Magufuli amesema haelewi sababu za bodi za mishahara nchini Tanzania kutokutana kwa maelezo kwani yeye hana tatizo...

READ MORE

VIDEO: DIAMOND HAWEZI KUKATAA KOLABO YANGU-BABA DIAMOND

 BABA wa msanii wa Bongo Fleva Naseeb Abdul ‘Diamond Platinumz’, mzee Abdul Juma akiwa kwenye mahojiano na +255 Global...

READ MORE

JPM Aanika Kinachoutesa Moyo Wake – Video

RAIS  John Magufuli ameeleza masikitiko yake kufuatia timu za soka za taifa ambazo ni timu ya wakubwa (Taifa Stars) na...

READ MORE

JPM Atoboa SIRI ya Mwakyembe Kutaka Kuuawa kwa Sumu

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida Rais John Magufuli ametoboa siri ya Mbunge wa Kyela ambaye pia ni Waziri wa Habari,...

READ MORE

RC Chalamila: Bora Kuwepo Chama Kimoja cha ‘Magufuli Ruling Party’ – Video

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila,  amesema kuwa haoni sababu ya kuwa na mfumo wa vyama vingi vya siasa...

READ MORE

ZAHERA Afunguka Alivyoiua AZAM – Video

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera, amefunguka namna alivyokuwa amejipanga kupata matokeo na kuiangamiza timu ya Azam kwa bao 1-0,...

READ MORE

JPM Kutatua Kitendawili cha Ujenzi Kituo cha Daladala Uyole – Video

RAIS  John  Magufuli amewataka wananchi wa Uyole mkoani Mbeya kuwa wavumilivu wakati akitafuta njia ya kutatua ombi lao la kupewa...

READ MORE

LIVE: KINACHOENDELEA BUNGENI Muda Huu

KIKAO  cha 17 cha Mkutano wa 15 wa Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano Tanzania, kinaendelea katika Makao mMakuu...

READ MORE

PRETTY KIND: “NILIKATIA TAMAA GARI YANGU KWA UCHAKAVU”

 Msanii wa filamu na video vixen, Suzan Michael maarufu kama Pretty Kind amefunguka kuwa alikuwa kashaikatika tamaa gari yake...

READ MORE

JPM: “HIYO SADAKA NILIYOIKUSANYA MKAIHESABU VIZURI, NILITAMANI NIWE PADRI” – VIDEO

 Rais Magufuli leo ametoa hotuba katika Ibada ya kumsimika Askofu Mkuu Mteule, Gervas Nyaisonga kuwa Askofu Mkuu wa kwanza...

READ MORE

VIDEO: TAZAMA Rais JPM Alivyopita na Beseni kukusanya SADAKA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Aprili 28, 2019 amejishusha na kuwa muumini...

READ MORE

RC Chalamila: Wamefukua Kaburi la Albino, Wameiba Mifupa – Video

MKUU wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila,  awetaka wananchi wa mkoa huo kutoshiriki vitendo vya kishirikina vinavyosababisha ubakaji, ulawiti na...

READ MORE

JPM Amfuatilia Aliyelawiti Mtoto, Abaini Amehukumiwa Kufungwa Maisha – Video

RAIS Dkt. John Magufuli amefuatilia malalamiko kuhusu mtoto aliyelawitiwa na mzee wa miaka 53 na kubaini kwamba mtu huyo alihukumiwa...

READ MORE