×

Global TV Online

Breaking News: Muuza Genge Ajinyakulia Pikipiki, Zawadi Kibao Zatolewa

Droo ya kwanza ya shindano la Tusua Maisha na Global, imefanyika na kurushwa live na kituo cha runinga cha Global...

READ MORE

Video: BOCCO Afunguka Baada ya Kuchukua Tuzo Mchezaji Bora VPL

 Vodacom ambao ni wadhamini wakuu wa ligi wamempatia kitita sha shilingi milioni 12 Bocco kama zawadi kutokana na kitengo...

READ MORE

FULL VIDEO: Usiku wa Tuzo za VPL 2017/18 Mlimani City

 Mshambuliaji wa klabu ya Simba, John Bocco, ameibuka mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara...

READ MORE

Rais Magufuli Azindua Upanuzi wa Huduma za TTCL

 Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), limetoa gawio la Sh1.5bilioni kwa Serikali, fedha zilizotokana na faida ya Sh28.5 bilioni ya...

READ MORE

DIAMOND, Star Times Waungana Kuipaisha WASAFI TV – Video

Msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni mmiliki wa kituo cha runinga cha Wasafi TV, Diamond Platnumz, ametangaza rasmi kuwa...

READ MORE

LIVE BUNGENI: Waziri Mpango Akiwasilisha Bajeti ya Serikali 2018 / 2019

Jumla: Tsh 32.48 trilioniMapato ya ndani: Tsh 20.89 trilioni (64.3%)Mapato yatokanayo na KODI: Tsh 18.0 trilioni (13.6% ya pato la...

READ MORE

LIVE SPOTI HAUSI: Mastaa Simba, Yanga Wanaidharau SportPesa (Video)

 WIKIENDI iliyopita tulishuhudia Gor Mahia ya Kenya ikiandika historia ya kuchukua Ubingwa wa SportPesa Super Cup kwa miaka miwili...

READ MORE

Wanafunzi, Wafanyakazi UDSM Waliofariki Ajalini Waagwa – Video

Miili ya miili ya wafanyakazi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) waliofariki kwa ajali baada ya...

READ MORE

MAGAZETI JUNI 13: Amka na Global TV Kila Siku Alfajiri (Video)

 Hapa tumekuwekea uchambuzi wa kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Juni 13, 2018....

READ MORE

GLOBAL HABARI: SERIKALI YAWATAKA VIONGOZI WA DINI WASIKUBALI KUCHONGANISHWA

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka viongozi wa dini kutowatumia watu tofauti nje ya taasisi zao kwa ajili ya kuwasemea...

READ MORE

EXCLUSIVE: Isha Mashauzi Amkana Mpenzi Wake!

 Kupitia Mahojiano Maalum ndani kipindi cha Beauty and styles Isha Mashauzi ambaye ndiye alikuwa mgeni maalum alifunguka Mengi kadiri...

READ MORE

Video: Alichokisema SALAMBA Kuhusu Fainali ya Simba Vs Gor Mahia

 Mchezaji Adam Salamba amezungumzia sababu za yeye kuchelewa kujiunga na timu ya Simba ambapo amesema alipatwa na msiba wa...

READ MORE

Video: Shabiki Aliamsha Dude Mkutano wa Yanga, Polisi Wambananisha!

 Mwanachama maarufu wa Yanga kwa jina la JITU, aliyekuwa miongoni mwa wanachama wa Yanga waliokwenda mahakamani kupinga mkutano huo...

READ MORE

Video: Mtoto Mchambuzi Aishauri Simba Cha Kufanya Kushinda Fainali SportPesa

 Mtoto Kenedy Heri amechambua timu zote zilizoshiriki michuano ya Sport Pesa 2018 nchini Kenya na kutoa ushauri kwa timu...

READ MORE

Shuhudia Mazishi ya Maria na Consolata Leo – Video

 MIILI ya mapacha Maria na Consolata Mwakikuti (20) waliofariki dunia Jumamosi iliyopita katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa, imeagwa...

READ MORE

Misa ya Kuwaombea Marehemu Maria na Consolata Kabla ya Mazishi – Video

 MIILI ya mapacha Maria na Consolata Mwakikuti (20) waliofariki dunia Jumamosi iliyopita katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa, imefanyiwa...

READ MORE

LIVE: Baraza la Waislamu (BAKWATA) Wanazungumza Muda Huu

 Baraza Kuu la Waislam Tanzania (BAKWATA) leo Juni 02, 2018 wanazungumza na waandishi wa Habari katika mkao yao makuu...

READ MORE

GLOBAL TV: KUHAMIA KWENYE VING’AMUZI

BAADA ya kutamba kwa muda mrefu, chaneli namba moja online kurusha live matukio yote yanayotikisa Tanzania kisha wengine wakafuata baadaye,...

READ MORE

Video: Alichokizungumza KINANA Baada ya Kukabidhi Ofisi Leo

 Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahhman Kinana leo Mei 31, 2018 amekabidhi ofisi kwa Katibu Mkuu...

READ MORE

Mwili wa Mbunge Bilago Waagwa, Karimjee Dar- VIDEO

MWILI wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Buyungu mkoani Kigoma (CHADEMA), Kasuku Bilago aliyefariki dunia juzi Jumamosi, umeagwa Viwanja vya...

READ MORE

BREAKING NEWS: CCM Yakanusha Kujiuzulu Kwa Kinana -Video

   CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimekanusha habari zilizoenea kwamba Katibu Mkuu wake, Abdulrahman Kinana, amejiuzulu. Kwa mujibu wa Katibu...

READ MORE

Mhudumu wa Hoteli Akamatwa na Sare za Polisi Dar – Video

Jeshi la Polisi Kanda Maalum linamshikilia Erick Francis (30) muhudumu wa Hotel ya Sleep Inn na mkazi wa Mwananyamala kwa...

READ MORE

LIVE MAGAZETI MEI 26: MCHUNGAJI MKANYAGA WATU DAR YAMKUTA

 UCHAMBUZI wa magazeti yote ya Tanzania leo, Mei 26, 2018 kutoka Global TV ONLINE. Ni yale ya Hardnews, Udaku...

READ MORE