×

Global TV Online

Breaking News: MAKONTENA ya MAKONDA Yapigwa Mnada – Video

  Makontena yaliyoingizwa nchini na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, yamepigwa mnada tena leo Jumamosi, Septemba...

READ MORE

Mobeto, Dullvan, Barnaba Wateuliwa Kuwa Mabalozi – VIDEO

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewateua Mwanamitindo Maarufu Bongo, Hamisa Mobeto, Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Barnaba pamoja na Mchekeshaji maarufu,...

READ MORE

BREAKING: NECTA Wakizungumza na Waandishi Muda Huu

 Baraza la Mitihani la Taifa NECTA Limekutana na waandishi wa habari kuzungumza mambo mbalimbali ambayo yapo katika Baraza hilo.

READ MORE

MSHINDI WA PIKIPIKI APATA MCHECHETO, ASAHAU NAMBA YAKE YA SIMU

Mambo ni motooo! Hivyo ndivyo unavyoweza kusema kufuatia mchecheto wa ushindi alioupata Ramadhan Mohamed baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa...

READ MORE

RUMANDE SAA 48, LUGOLA AZUIA POLISI KUTII MAAGIZO HAYA -Video

 WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amefanya ziara katika Kituo cha Polisi Mabatini ikiwa ni utaratibu...

READ MORE

Waziri Mwakyembe Atembelea Studio Za Global TV Online

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe leo ametembelea Kampuni ya Global Group ambayo ndani yake kuna...

READ MORE

IBADA ya Kuuaga Mwili wa Mama wa Mbunge Sugu, Muhimbili – Video

MWILI wa mama mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu), Bi. Desderia Lungu Mbilinyi umeagwa leo Jumanne, Agosti...

READ MORE

Alichosema Kocha Yanga Baada Ya Ushindi – Video

Kocha anayeshika nafasi ya  Mkuu wa Yanga, Noel Mwandilabaada ya mechi dhidi ya Mtibwa Sugar amewapongeza wachezaji wake kwa kuibuka...

READ MORE

SIMBA RAMADHAN AJINYAKULIA PIKIPIKI MPYA TUSUA MAISHA NA GLOBAL

 Wakati washindi wa droo ya saba na nane wa Shindano la Tusua Maisha na Global wakitarajiwa kukabidhiwa zawadi zao,...

READ MORE

USIKOSE KUTAZAMA KIPINDI CHA ONLINE TUITION, JUMANNE SAA 8 MCHANA

Global TV Online, kituo chako bora cha runinga ya mtandaoni, kinazidi kukudondoshea vitu exclusive ambavyo huwezi kuvipata sehemu nyingine yoyote....

READ MORE

GLOBAL HABARI AUG 19: MAGARI YATEKETEA KWA MOTO KAGERA

MAGARI kadhaa yameteketea kwa moto leo baada ya lori la mafuta la kampuni ya Ratco kufeli breki na kugonga magari...

READ MORE

Alichokisema Duma Katika Uzinduzi Wa Filamu Yake Mpya -Video

Msanii nguli wa filamu nchini, Daudi Michael ‘Duma’ usiku wa Agosti 18 (jana) amefanya uzinduzi wa filamu yake mpya inayoitwa...

READ MORE

Esha Buheti Afunguka Mazito Usiku wa ‘Nipe Changu’ -Video

STAA wa filamu za Kibongo, Esha Buheti,  amesema kuwa hana bifu staa wa muziki wa Bongo Fleva,  Ali Kiba, kwa ...

READ MORE

Calisah Aibuka na Kampuni Ya Kuwasadia Wanawake Kupata Mimba -Video

MWANAMITINDO maarufu Bongo, Calisah, amesema kwa sasa anamiliki kampuni mbili,  moja ni ya kukuza wanamitindo wachanga Bongo na nyingine ni...

READ MORE

GLOBAL HABARI AUG 18: JPM Awafunda Watumishi Wake – Video

 Rais Dkt. John Magufuli amewapiga marufuku viongozi wa halmashauri ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza kuwanyang’anya bidhaa wafanyabiashara wadogo...

READ MORE

Shoo Ya Sheta, Maua Sama na Billnass ‘Komaa Concert 2018’ -Video

 TAMSHA la “KOMAA CONCERT 2018, la kituo cha redio cha Efm na TV-E  linafanyika leo  katika viwanja vya Tanganyika...

READ MORE

VIDEO: JPM Alivyomuumbua Hadharani Jamaa “Hakuna GPA ya 32”

Rais Dkt John Magufuli amefika Mkoani Mwanza kwa ajili ya ziara yake ya kikazi leo Agosti 18, 2018. Akiwa Njiani...

READ MORE