×

Global TV Online

Rais Magufuli Anazungumza na Marais Wastaafu – Video

Rais Dkt John Magufuli amewalika baadhi ya viongozi waandamizi wa zamani wakiwemo marais, makamu wa rais, maspika, mawaziri wakuu na...

READ MORE

MAISHA Halisi ya Kichuya Bibi, Mama Wafunguka – Video

Kiungo Mshambuliaji wa Simba Shiza Ramdhani Kichuya amefunguka kuhusu Maisha yake halisi tangu amekua mpaka kufikia hapo alipofikia ikiwa Mlezi...

READ MORE

SPOTI HAUSI: Simba Yasajili Wachezaji Watano wa Yanga

 Kipindi cha Spoti Hausi kipo hewani tena leo ambapo pamoja na mambo mengi yaliyochambuliwa kuhusu Kombe la Dunia pia...

READ MORE

Breaking News: Muuza Genge Ajinyakulia Pikipiki, Zawadi Kibao Zatolewa

Droo ya kwanza ya shindano la Tusua Maisha na Global, imefanyika na kurushwa live na kituo cha runinga cha Global...

READ MORE

Video: BOCCO Afunguka Baada ya Kuchukua Tuzo Mchezaji Bora VPL

 Vodacom ambao ni wadhamini wakuu wa ligi wamempatia kitita sha shilingi milioni 12 Bocco kama zawadi kutokana na kitengo...

READ MORE

FULL VIDEO: Usiku wa Tuzo za VPL 2017/18 Mlimani City

 Mshambuliaji wa klabu ya Simba, John Bocco, ameibuka mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara...

READ MORE

Rais Magufuli Azindua Upanuzi wa Huduma za TTCL

 Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), limetoa gawio la Sh1.5bilioni kwa Serikali, fedha zilizotokana na faida ya Sh28.5 bilioni ya...

READ MORE

DIAMOND, Star Times Waungana Kuipaisha WASAFI TV – Video

Msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni mmiliki wa kituo cha runinga cha Wasafi TV, Diamond Platnumz, ametangaza rasmi kuwa...

READ MORE

LIVE BUNGENI: Waziri Mpango Akiwasilisha Bajeti ya Serikali 2018 / 2019

Jumla: Tsh 32.48 trilioniMapato ya ndani: Tsh 20.89 trilioni (64.3%)Mapato yatokanayo na KODI: Tsh 18.0 trilioni (13.6% ya pato la...

READ MORE

LIVE SPOTI HAUSI: Mastaa Simba, Yanga Wanaidharau SportPesa (Video)

 WIKIENDI iliyopita tulishuhudia Gor Mahia ya Kenya ikiandika historia ya kuchukua Ubingwa wa SportPesa Super Cup kwa miaka miwili...

READ MORE

Wanafunzi, Wafanyakazi UDSM Waliofariki Ajalini Waagwa – Video

Miili ya miili ya wafanyakazi na wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) waliofariki kwa ajali baada ya...

READ MORE

MAGAZETI JUNI 13: Amka na Global TV Kila Siku Alfajiri (Video)

 Hapa tumekuwekea uchambuzi wa kurasa za mbele na za nyuma za magazeti yote ya Tanzania leo, Juni 13, 2018....

READ MORE

GLOBAL HABARI: SERIKALI YAWATAKA VIONGOZI WA DINI WASIKUBALI KUCHONGANISHWA

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka viongozi wa dini kutowatumia watu tofauti nje ya taasisi zao kwa ajili ya kuwasemea...

READ MORE

EXCLUSIVE: Isha Mashauzi Amkana Mpenzi Wake!

 Kupitia Mahojiano Maalum ndani kipindi cha Beauty and styles Isha Mashauzi ambaye ndiye alikuwa mgeni maalum alifunguka Mengi kadiri...

READ MORE

Video: Alichokisema SALAMBA Kuhusu Fainali ya Simba Vs Gor Mahia

 Mchezaji Adam Salamba amezungumzia sababu za yeye kuchelewa kujiunga na timu ya Simba ambapo amesema alipatwa na msiba wa...

READ MORE

Video: Shabiki Aliamsha Dude Mkutano wa Yanga, Polisi Wambananisha!

 Mwanachama maarufu wa Yanga kwa jina la JITU, aliyekuwa miongoni mwa wanachama wa Yanga waliokwenda mahakamani kupinga mkutano huo...

READ MORE

Video: Mtoto Mchambuzi Aishauri Simba Cha Kufanya Kushinda Fainali SportPesa

 Mtoto Kenedy Heri amechambua timu zote zilizoshiriki michuano ya Sport Pesa 2018 nchini Kenya na kutoa ushauri kwa timu...

READ MORE

Shuhudia Mazishi ya Maria na Consolata Leo – Video

 MIILI ya mapacha Maria na Consolata Mwakikuti (20) waliofariki dunia Jumamosi iliyopita katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa, imeagwa...

READ MORE

Misa ya Kuwaombea Marehemu Maria na Consolata Kabla ya Mazishi – Video

 MIILI ya mapacha Maria na Consolata Mwakikuti (20) waliofariki dunia Jumamosi iliyopita katika Hospitali ya Mkoa wa Iringa, imefanyiwa...

READ MORE