×

Global TV Online

Soul Food: Nabii Elisha, Joachim Wafanya Maombi Ya Shukurani -Video

Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Jesus Miracle Power Nabii, Dr.Joachim Kimanza ambaye pia ni rais wa Manabii Tanzania, pamoja na...

READ MORE

JPM:Tutafungua Chekechea, Shule za Msingi na Sekondari Karibuni – Video

RAIS  John Magufuli ameeleza nia yake ya kufungua shule za Awali, Msingi na Sekondari baada ya kuona hali ya ugonjwa...

READ MORE

Mauaji ya Watu Weusi: Trump Hali Tete Marekani – Video

MCHAMBUZI wa Masuala ya Kidiplomasia, Dkt. Goodluck Ng’ingo, amesema kuwa kifo cha George Floyd ni mauaji ya kukusudia, yule askari...

READ MORE

VIDEO: CHADEMA Yafungua Milango Kwa Wanaotaka Kugombea Urais

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ) kimefungua milango kwa wanachama wa chama hicho wanaotaka kugombea nafasi ya Urais katika...

READ MORE

Video: MAYWEATHER, DRAKE Kulipia Ghalama za Mashizi Ya George Floyd

 George Floyd, raia mweusi wa Marekani ambaye kifo chake kimesababisha maandamano makubwa Marekani, alifariki dunia.

READ MORE

Video: Prof Safari Aanika Udhaifu Vyama Vya Upinzani Nchini

ALIYEKUWA Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Prof Abdallah Safari, amesema vyama vya upinzani vina ubinafsi na...

READ MORE

Global Habari Juni 2 – CCM Kutokomeza Rushwa Uchaguzi Mkuu 2020

 Katibu wa Itikadi na Uenezi, CCM Humphrey Polepole amesema Chama hicho kimeazisha kituo cha taarifa za Uchaguzi Mkuu 2020...

READ MORE

LIVE: NINI CHAKUFANYA PINDI UNAPOPITIA WAKATI MGUMU KWENYE MAISHA

Ni katika kipindi cha Darasa na Mtangazaji Lucas Masungwa pamoja na Mkurugenzi wa Global Group Erick Shigongo akizungumzia mambo ya...

READ MORE

MAJABU! MAPANGO yanayoaminika KUONDOA SHIDA ZA WATU -Video

 Mkoani Morogoro katika wilaya ya Gairo ndani ya shamba la miti la Ukaguru yanapatikana Mapango amabyo wenyeji wa maeneo...

READ MORE

Video: Jionee Maajabu Ya Barabara Za Juu Ubungo “Tunampa ‘Big Up’ Magufuli”

 Mei 30, 2020, barabara za juu (Flyover) zinazojengwa katika makutano ya Barabara za Morogoro, Sam Nujoma na Mandela (Ubungo...

READ MORE

Rais Magufuli Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi Ikulu ya Chamwino – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Mei 30, 2020 ameweka jiwe la msingi la...

READ MORE

Rais JPM Aungana na Wajeda Kuchanganya Zege Ikulu – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Ijumaa, Mei 29, 2020, amekagua maendeleo ya ujenzi...

READ MORE

Wakili Kambole: Watuhumiwa Mauaji Hupewa Mawakili Bure – Video

WATU  wenye makosa ya mauaji ndiyo pekee wanaopewa bure mawakili  na serikali, pia rais anapokuwa madarakani hawezi kushtakiwa na hata...

READ MORE

Video: MWIJAKU Amuomba TANASHA MSAMAHA Kuhusu MTOTO

 KWA mara ya kwanza Muigizaji Mwijaku, ametoa ufafanuzi kuhusiana na kauli yake ya kusema kuwa mtoto wa mwanamuziki Diamond...

READ MORE

Madaktari Waambukizwa Corona Tanzania, Hali Halisi ni Hii – Video

Chama cha Madaktari Tanzania (MAT) kimesema kinafanya uchambuzi ili kubaini tiba mbadala ambazo zimetumika kwenye kukabiliana na virusi vya corona...

READ MORE

Mume Amzika Mkewe Kimya Kimya, Maiti Yafukuliwa, Ndugu Waanika Mazito – Video

Katika hali isiyokuwa ya kawaida mwanaume aliyetambulika kwa jina la Sultan Mohamed ana shikiliwa na Jeshi la Polisi baada yakufiwa...

READ MORE

Kikongwe Akatwa Miguu Kimaajabu, Ndugu Wamekufa, Mwanae Amtelekeza – Video

  GLOBALJAMII WIKI HII: Tulipata nafasi ya kukutana na Bibi Mwenye umri Wa miaka 65 ambaye kwa sasa anasumbuliwa na...

READ MORE

Balaa La Mwanamke Aliyepigwa Kwa Kufumaniwa – Video

 Ikiwa Ni siku chache zimepita tangu kusambaa kwa video ikimwonesha Mwanamke mmoja ambaye jina lake halikuweza kufahamika akichezea kichapo...

READ MORE

Polepole: Uchaguzi wa 2015 Tulichelewa Kuwakata, Mwaka Huu Mapema – Video

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema katika Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015, chama...

READ MORE

Global Habari Mei 24 -Maambukizi Ya Corona Yapungua Nchini

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, leo Mei 24, 2020 akizungumza na waumini wa dini ya kiislam mara baada ya kumaliza...

READ MORE

Global Habari Mei 23 – Askari Aliyeokoa Mtoto Apandishwa Cheo

 Jeshi jeshi la zima na uokoaji Mkoani Ngara limemtunukia cheo cha Koplo Askari wa jeshi hilo Dennis Minja baada...

READ MORE

VIDEO: “Mmepaniki, Sikuja CHADEMA wakati wa Kura za maoni” – Mbunge Lijualikali

 Mbunge wa Kilombero (CHADEMA) Peter Lijualikali leo Mei 23, 2020 ameongea na waandishi wa habari na kuanika madudu mbalimbali...

READ MORE

POLEPOLE AWALIPUA MBOWE, ZITTO – Video

KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole, amesema amewashangaa viongozi wa upinzani ambao walikuwa wakikosoa...

READ MORE

Matiko: Ningekuwa Waziri Tusingehangaika na Madawati – Video

  MBUNGE wa Tarime Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Esther Matiko,  amesema angekuwa Waziri wa...

READ MORE

Magufuli Amwapisha Dkt. Mollel, Aanika Mazito – Video

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo Mei 21 2020 anawaapisha Viongozi mbalimbali...

READ MORE

Magufuli – “Kenyatta Kanipigia Simu, Corona Imepungua, No Lockdown”

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo Mei 20, 2020 amezungumza na Wananchi wa Maeneo...

READ MORE

Kiwanga: Kilio cha Lijualikali ni Usanii, Kilombero Wamemchoka – Video

  MBUNGE wa Mlimba kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Suzan Kiwanga leo Jumatano, Mei 20, 2020, amefunguka kuhusu...

READ MORE

Balozi Wa Kenya: Adui wa Tanzania na Kenya Ni Corona Virus – Video

     BAADA ya kutokea kwa sintofahamu ya kufungwa kwa mipaka kati ya Tanzania na Kenya, hatimaye ubalozi wa...

READ MORE

Video: Msukuma Awavaa Chadema – “Wenye Akili Wameondoka”

KATIKA kipindi cha 255 Front Page, leo Mei 19, wachambuzi wamezungumza kwa njia ya simu na Mbunge wa Geita, Joseph...

READ MORE

Gwajima Aichambua Corona, Awalipua Chadema, “Magufuli Safi” – (Picha + Video)

ASKOFU na Mchungaji kiongozi wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amesema kuwa amewachukia viongozi wa Chama cha Demokrasia...

READ MORE

Rais Magufuli: “Tanzania Hakuna Cha Lockdown, Wala Baba Yake Lockdown” -Video

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe leo Jumapili, Mei 17, 2020 amehutubia Taifa, juu...

READ MORE

Global Habari Mei 15 – Takukuru Yaokoa Bilioni 11 Za Vyama Vya Ushirika

 Taasisi yakuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU imefanikiwa kuokoa kiasi cha Shiling Bilion 11.3 baada yakufanyia uchunguzi ripoti ya...

READ MORE

Video: Madam Ritha Aongea Kumlipa Mshindi BSS

 KWA mara ya kwanza Mkurugenzi wa Kampuni ya Benchmark Production inayoandaa shindano la Bongo Star Search, Madam Ritha, amejitokeza...

READ MORE

Mfugaji Aangua Kilio: “Magufuli niokoe, Bora Ninywe Sumu” – Video

Mfugaji Kutoka Wilaya ya Kiteto Mkoani Manyara, ameomba kuonana na Rais Magufuli, ili aweze kumsaidia kupata ng’ombe wake zaidi 300...

READ MORE

Mazishi ya ASP Masoud Simanzi Kubwa- Video

Mamia ya wananchi huko mjini Tabora wamejumuika katika mazishi ya aliyekuwa Afisa mrakibu msaidizi wa Jeshi la Polisi ASP MASOUD...

READ MORE