×

Global TV Online

Video: Corona Update, Ongezeko La Wagonjwa, Rais Atoa Tamko…Dunia Yazizima

Ni mjadala juu ya ongezeko la wagonjwa wa Corona ambapo hadi sasa Tanzania imeripoti visa 147, ambapo rais Dkt John...

READ MORE

RC Makonda: Kuanzia Jumatatu Wanaopanda Daladala Lazima Kuvaa Barakoa – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema, kuanzia Jumatatu, Aprili 20, 2020 kila anayepanda daladalaa na anayekwenda...

READ MORE

Shilole Profile: Kuzaliwa, Elimu, Uigizaji, Mfanyabiashara -Video

 Zuwena Yusuph Mohammed (anayejulikana kwa jina lake la kisanii kama Shilole au “Shishi Baby” na Shishi Trump; amezaliwa 20...

READ MORE

Inasikitisha! Mtoto Miaka 14 ‘Apoteza Macho’ – Video

KUPITIA kijana Ali unaweza kuamini misemo mbalimbali inayotumiwa na baadhi ya watu “Ukiumwa na ukapata nafasi ya kuwaona wanaoumwa basi...

READ MORE

Jiji la Arusha Kufunga Maduka 400 – Video

HALMASHAURI ya jiji la Arusha imepanga kufunga maduka zaidi ya 400 ya wafanyabiashara iwapo watashidwa kulipa deni la sh. milion...

READ MORE

Part 3: Agizo La JPM Kwa Mfanyabiashara Mwenye Mgogoro Na TRA Limefikia Hapa – VIDEO

GLOBAL TV imefunga safari mpaka eneo la biashara la Kariakoo na kufika dukani kwa mfanyabiashara maarufu eneo hilo anayetambulika zaidi...

READ MORE

Mtoto Akutwa Amefariki Mtoni, Baba Asimulia “Aliniomba Mia” – Video

Tukio la kusikitisha la mtoto Adam aliyekutwa kwenye mto akiwa amefariki mkoani Tanga, Global TV imefika eneo la tukio na...

READ MORE

Mama Mwenye Mapacha 8, Ajifungua Watatu – Video

GLOBAL JAMII imepata nafasi ya kukutana na mama mwenye watoto nane ambaye pacha wake watatu wa mwisho alijifunguawatoto njiti katika...

READ MORE

Musukuma Awanasa Wapulizia Dawa ‘Feki’ ya Corona

MBUNGE wa Geita, Joseph Kasheku ‘Musukuma’ amekamata vijana wanaodai kuwa wametumwa kuja kupuliza dawa ya kujikinga na Corona katika stendi...

READ MORE

Mshindi wa BSS Azungumza Madam Ritha “Sikutegemea” – Video

Mshindi wa Bongo Star Search (2019) Meshack Fukuta, amepiga stori na Global TV Online na kuelezea kwa kina kuhusiana na...

READ MORE

‘Magogo’ Yamponza kKigogo Mwingine – Video

Mfanyabiashara na Mkurugenzi wa Kampuni ya Salsabil Investment Limited, Abdulrahman Omary amepandishwa kizimbani katika mahakama ya hakimu mkazi Kisutu akikabiliwa...

READ MORE

Manara: Kwa Uwekezaji Wetu, Ngumu Kuchukua Ubingwa Afrika – (Picha + Video)

MSEMAJI wa timu ya Simba SC,  Haji Manara, leo Jumatano, Aprili 8, 2020 amefika katika ofisi ya Global Group zilizopo...

READ MORE

Video: Mshindi BSS Hajalipwa Pesa Zake – Waziri

 NAIBU Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Juliana Shonza, leo Aprili 08, jijini Dodoma, amesema kwamba mshindi wa...

READ MORE

Mume Amuua Mkewe na Kujinyonga Watoto Wakishuhudia – Video

MWANAUME mmoja mwenye umri wa miaka 40, mkazi wa mkoani Manyara amemuua mke wake na kisha na yeye kujiua kwa...

READ MORE

Global Habari Apr 05: Moshi Kupulizia Dawa Magari Ya Abiria -Video

 Ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Serikali katika kujikinga na maambukizi dhidi ya virusi vya Corona, Serikali Mkoani Kilimanjaro...

READ MORE

KIJANA Aliyeamua Kufikisha UJUMBE wa CORONA kwa NJIA Hii -Video

 KUFUATIA ongezeko la wagonjwa wa Corona nchini, kijana huyu ameamua kutumia staili ya tofauti kufikisha ujumbe kwa watanzania.

READ MORE

Corona: Masanja Mbele ya DC Katambi “Hata Kanisani Nafanya” – Video

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi amemsamehe mchekeshaji Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ baada ya kuitikia wito wake alioutoa wa...

READ MORE

Exclusive: Metacha Afunguka Kufukuzwa Azam “Niliitwa na Kocha Simba”

METACHA Mnata, mlinda mlango namba mbili wa Yanga amesema kuwa sababu kubwa iliyomfanya ajiunge ndani ya Yanga ni ushindani wa...

READ MORE

Maalim Azungumzia Corona, Madeni Nchi Changa Yasimamishwe – Video

MWENYEKITI  wa ACT-Wazalendo, Maalim Seif Sharrif Hamad, leo Aprili 4, 2020,  ametoa rai kwa Watanzania kuchukua tahadhari zote dhidi ya...

READ MORE

Exclusive: Nicole wa Harmonize Afunguka Kulala Naye Siku 3 – Video

Exclusive interview na Video Vixen wa Harmonize, aitwaye Nicole Joyberry. Hii ni baada ya kuibuka kwa varangati na baby wa...

READ MORE

Kubenea Aanika Mazito Asema ‘Bado Nipo Chadema’ – Video

  MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),  amesema licha ya tetesi kusambaa kuwa anataka...

READ MORE

Video: Simanzi Maziko ya Marin Hassan wa TBC – Video

MWILI wa aliyekuwa mtangazaji mwandamizi wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Marin Hassan Marin,  umezikwa leo asubuhi huko Mwanakwerekwe,  Zanzibar....

READ MORE

Kigogo ACT Ajiondoa “Zitto Kabwe Hafai Kuwa Rais” – Video

Aliyekuwa Mwenyekiti wa ACT Wazalendo, Yeremia Kulwa Maganja, ametangaza kujivua uanachama wa chama hicho, kwa kile alichodai haungi mkono baadhi...

READ MORE

Simanzi! Safari ya mMwisho ya Marin Hassan wa TBC – Video

INASIKITISHA! Simanzi, vilio na majonzi vimetawala kwenye tasnia ya habari kufuatia kifo cha mwandishi mwandamizi wa habari kutoka Shirika la...

READ MORE

Video: Majaliwa Aelezea Mipango ya Serikali, Covid-19

 WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa, leo Aprili 01, 2020, ameelezea mipango ya serikali katika kipindi hiki ambacho dunia inapambana na...

READ MORE