×

Habari

Chama cha Kabila chasimamishwa DRC baada ya mali zake kuvamiwa

Serikali ya Jamhuru ya kidemokrasia ya Congo, DRC, imesema imesimamisha chama cha Rais wa zamani Joseph Kabila, siku chache baada...

READ MORE

Nguvu za mungu wa Kigiriki Zeus Unazipata Meridianbet Kasino

Kabla sijakupa kisa cha miungu ya Kigiriki hususani mungu Zeus, unapaswa kuelewa kwamba kwa kutambua historia ya kale hususani ya...

READ MORE

Rais Samia Atuma Salamu za Rambirambi Kufuatia Kifo cha Baba Mtakatifu Francisko

Rais Samia Suluhu Hassan, ameungana na viongozi wengine duniani kutuma salamu za pole kufuatia kifo cha Kiongozi wa Kanisa katoliki...

READ MORE

Papa Francis Afariki dunia Akiwa na Umri wa Miaka 88

Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, amefariki dunia leo Jumatatu akiwa na umri wa miaka 88, hatua inayofunga ukurasa...

READ MORE

Mama wa Kizungu Amlilia Rais Samia Adai Kunyanyaswa Kesi Yakwama Polisi Miezi 6 Bila Hatua- Video

Muwekezaji kutoka Ulaya, Siriviea Vrascam, amefichua hali ya kusikitisha aliyoipitia baada ya kudai kufanyiwa unyanyasaji wa kijinsia na mwanaume aliyejitambulisha...

READ MORE

Meridianbet Yaja Kivingine, Shinda Simu Mpya Ya Samsung A25 Kila Wiki!

Kampuni bora ya michezo ya kubashiri Tanzania, Meridianbet, kwa mara nyingine inazidi kuwapendezesha wateja wake kwa promosheni mpya inayobeba furaha,...

READ MORE

Mtoto Miaka 3 Wa Askari Magereza Afariki Dunia Kwa Kusombwa Na Maji Mtoni – Video

Mtoto wa kiume, Samiu Salim, mwenye umri wa miaka mitatu na nusu, amefariki dunia baada ya kuzama kwenye maji ya...

READ MORE

Waziri Gwajima Akerwa na Udhalilishaji wa Mabinti Chuoni, Achukua Hatua

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima ameeleza kusikitishwa juu ya kitendo cha mabinti...

READ MORE

Global Group Tuwatakia waumini wa dini ya Kikristo Pasaka Njema

Uongozi na wafanyakazi wa Global Group, wanawatakia waumini wote wa dini ya Kikristo Pasaka Njema. Tufuatilie kupitia YouTube ya Global...

READ MORE

Wananchi Ludewa Watakiwa Kuwa Mabalozi Katika Uhifadhi wa Misitu

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amewataka wananchi Ludewa kuwa mabalozi katika uhifadhi wa misitu...

READ MORE

Mazishi ya Aliyekuwa Msanii wa Filamu, Carina Katika Makaburi ya Kisutu (Picha +Video)

Mwanadada Hawa Ibrahim almaarufu Carina, amezikwa leo kwenye Makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam, baada ya kufikwa na mauti...

READ MORE

Jokate Awaongoza Maelfu ya Vijana Kumuunga Mkono Dkt. Samia

KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Jokate Mwegelo akiongoza Matembezi ya Maelfu ya...

READ MORE

Meridianbet Yatoa Msaada wa Vifaa vya Usafi kwa Wakazi wa Mbezi

Kama ilivyo kawaida ya mabingwa wa ubashiri Tanzania, Meridianbet kurejesha kwenye jamii, leo hii waliamua kuwageukia wakazi wa Mbezi Juu...

READ MORE

JWTZ na Jeshi la India Wahitimisha Mazoezi ya AIKAYME

Zoezi  la Africa India Key Maritime (AIKEYME) limehitimishwa kwa mafanikio makubwa ambapo Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ)...

READ MORE

Marekani Yatishia Kujiondoa Kwenye Mazungumzo ya Amani ya Ukraine na Urusi

Marekani, kupitia Waziri wa Mambo ya Nje Marco Rubio, imetangaza kuwa itajiondoa kwenye mazungumzo ya amani kati ya Ukraine na...

READ MORE

Serikali yatangaza kanuni mpya za Maadili ya Uchaguzi wa 2025

DODOMA-Serikali kupitia Gazeti la Serikali Tangazo la Serikali Na. 249 la Mwaka 2025 imetangaza rasmi Kanuni za Maadili ya Uchaguzi...

READ MORE

Rais Samia Kuwa Mgeni Rasmi Uzinduzi Benki ya Ushirika Dodoma

MWENYEKITI wa Bodi ya Benki ya Ushirika (COOP Bank) Prof. Gervas Machimu amesema maandalizi ya uzinduzi wa Benki hiyo yanaendelea...

READ MORE

Naibu Spika Zungu na Profesa Janabi Wapokea Msaada wa Vifaa Vyenye Thamani ya Zaidi ya TSh Bilioni 2.55

Dar es Salaam, Tanzania – Aprili 2025 – Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge...

READ MORE

Global Group Tunawatakia waumini wa dini ya Kikristo Ijumaa Kuu Njema

Uongozi na wafanyakazi wa Global Group wanawatakia waumini wote wa dini ya Kikristo Ijumaa Kuu Njema. “Kama vile mimi nilivyowapenda...

READ MORE

Msemaji wa White House: Msimamo wa Trump Kuhusu Canada Haujabadilika

Msemaji wa Ikulu ya White House ametangaza kuwa Rais wa Marekani Donald Trump bado ana nia ya kuiunganisha Canada na...

READ MORE

Kikwete awasilisha Ujumbe Maalum wa Rais Samia kwa Rais Kapteni Ibrahim Traoré

  MJUMBE Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jakaya Mrisho Kikwete amehitimisha ziara yake kwa kukutana na Rais wa...

READ MORE

Tap Kibingwa Yahitimishwa Wananchi Wakinufaika na Mamilioni

Dar es Salaam, Tanzania – Ijumaa, 19 Aprili 2025: Benki ya Stanbic Tanzania, kwa kushirikiana na Visa, imehitimisha rasmi kampeni...

READ MORE

Simbachawene: Serikali Haiwezi Kubadili Mfumo kwa Shinikizo la Watu Wachache

Waziri wa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, amesema...

READ MORE

Mkuu wa JKT Amshukuru Rais na Amiri Jeshi Mkuu Mafunzo ya JKT

Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Rajabu Mabele, ameishukuru Serikali ya awamu ya sita chini ya uongozi wa...

READ MORE

Vodacom, Jubilee Allianz Tanzania wajipanga ‘Kuinogesha’ NBC Dodoma Marathon, Wakabidhiwa ‘Kits’.

Wadhamini wa mbio za NBC Dodoma Marathon Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania na Kampuni ya Bima ya Jubilee Allianz...

READ MORE

Makalla: Uboreshaji wa Bandari Umeongeza Mapato na Kasi ya Uondoshaji Makontena Bandarini

.   Asema Zaidi ya  shilingi Bilioni 432 zimewekezwa ununuzi vifaa vya kisasa na mifumo •Siku za kuondosha mskasha zimepungua kutoka...

READ MORE

Hali ya Daraja la Somanga, Mtama wilayani Kilwa mkoani Lindi – Picha

Hali ya Daraja la Somanga- Mtama wilayani Kilwa mkoani Lindi likitengenezwa baada ya daraja hilo kukatika jana majira ya asubuhi...

READ MORE

China na Iran Wazidi Kuimarisha Ushirikiano Kufuatia Vikwazo vya Marekani

Baada ya Marekani kuviwekea vikwazo kiwanda cha kusafisha mafuta cha China kwa madai ya kununua mafuta ya Iran, Inan na...

READ MORE

Meridianbet Yazindua Promosheni Mpya – Shinda Simu Mpya Ya Samsung A25!

Meridianbet, kinara wa michezo ya kubashiri nchini Tanzania, inawaletea wateja wake promosheni kabambe ya kushinda simu mpya ya Samsung A25!...

READ MORE

Rais Mwinyi: Tutangaze Fursa Za Uwekezaji Na Kuzingatia Diplomasia Ya Uchumi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi amewasisitiza Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika Nchi mbalimbali...

READ MORE

Mchengerwa: Vipaumbele 14 Vya Tamisemi Hivi Hapa

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema Wizara yake imepanga kutekeleza vipaumbele 14 katika mpango wa bajeti wa...

READ MORE

Dk. Kimei Aweka Rekodi ya Utendaji Vunjo, Wananchi Wampa Maua Yake

MBUNGE wa Jimbo la Vunjo Dkt Charles Kimei ametajwa kuwa kinara wa kuzungumzia mahitaji ya wananchi kwa kuwa miongoni mwa...

READ MORE

Kikwete awasilisha ujumbe wa Rais Samia kwa Rais Jenerali Abdourahamane Tchiani

  Rais Mstaafu wa Tanzania na Mjumbe Maalum wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Jakaya Mrisho Kikwete amefanya mazungumzo na...

READ MORE

Mrembo Asimulia Jinsi Mahakama Ilivyoamuru Mtoto Akapimwe DNA

Hakuna jambo huwaacha watoto njia panda kama ugomvi baina ya wazazi wao maana kuna muda hulazimika kuchagua upande, migogoro ndani...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 17, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

JWTZ Lasaidia Huduma Tiba na Afya Jamhuri ya Afrika ya Kati

Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania limechangia huduma tiba na afya kwenye hospitali ya Jiji la Berberati iliyoko nchini...

READ MORE

Majaliwa Aipa Maagizo Tanroads Ukarabati Wa Barabara Na Madaraja

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa maagizo kwa Mameneja wa Wakala ya Barabara nchini (TANROADS) kufanya ukaguzi wa mara kwa mara...

READ MORE

Mrisho Gambo Aibua Tuhuma Nzito Bungeni, Spika Tulia Aaingilia Kati – Video

Mbunge wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo, ameeleza kuwepo kwa dalili za ubadhirifu wa fedha katika ujenzi wa jengo la...

READ MORE

Serikali Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Malipo ya Watumishi wa Umma Walioondolewa kwa Vyeti Feki

Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora imetoa ufafanuzi wa habari zilizotolewa na Gazeti la Rada...

READ MORE

Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko Aongoza Mazishi ya Mkurugenzi wa TANESCO – Video

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko aongoza Mazishi ya aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme...

READ MORE