×

Habari

Vee Money kuja na Trey Songz

Msanii mwenye ‘title’ kubwa Afrika Mashariki,Vanessa Mdee Vanessa Mdee ‘Vee Money. Stori: Boniphace Ngumije BAADA ya msanii mwenye ‘title’ kubwa...

READ MORE

Zitto Kabwe: Escrow Inaendelea Kulitafuna Taifa

Mbunge wa Kigoma mjini na Kiongozi Mkuu wa Chama Cha ACT Wazalendo,  Zitto Kabwe. Kwanini Rais Magufuli hafanyii Kazi suala...

READ MORE

Diwani wa Chadema Temeke afukuzwa uanachama kwa tuhuma za rushwa

  September 19, 2016 Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA jimbo la Temeke kimemfukuza uanachama Diwani na Mwenyekiti wake kutoka...

READ MORE

Magufuli Atembelea Ofisi Ndogo Za CCM Lumumba, Dar

  Mwenyekiti wa  CCM Rais Dk. John Magufuli akiwasalimia wananchi waliojitokeza katika Mtaa wa Lumumba, Dar es Salaam, wakati akitoka...

READ MORE

Efm Wasepa Na Kijiji Toroka Uje Tabata Dar

  Msanii wa Singeli aitwaye Dogo Nigga akiwarusha vilivyo wakazi wa Tabata Dar katika tamasha hilo. Mmoja wa wasikilizaji wa radio...

READ MORE

DTB yamwaga manoti Ligi Kuu Bara

Malinzi (kushoto) na Mabusi wakisaini mkataba. Kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Bidhaa na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania, Nandi...

READ MORE

Majaliwa Kuzindua Mahakama ya Kisasa Kibaha

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande Othman akizungumza na wanahabari (hawapo pichani). …Akionesha  wanahabari kitabu chenye malengo ya mpango mkakati...

READ MORE

Mtalii Auawa Na Tembo Malindi, Kenya

 Sehemu ya hema kwa nje alikofikia mtalii aliyeuawa. Tembo anayesadikiwa kumuua mtalii huyo.Sehemu ya mbele ya hoteli ya Swara Camp....

READ MORE

Tanzania Mpya, Uongozi Makini

Ramani ya nchi ya Tanzania. Uongozi ni hali ya muhusika mmoja kuwa na dhamana, madaraka na uwezo wa kuwaongoza wengine....

READ MORE

WCB Waliingia Makubaliano Na Saida Karoli

Sehemu ya picha zikimuonesha mwanamuziki Diamond akiwa na Felician Mutakyawa. Meneja Sallam kutoka WCB kupitia akaunti yake ya Instagram ameonyesha...

READ MORE

Video: Aunt Lulu Afanya Ufuska Kweupe!

Staa wa Filamu za Kibongo na mtangazaji, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’. Kujitoa ufahamu! Ndivyo alivyofanya Mtangazaji Lulu Semangongo ‘Aunt Lulu’...

READ MORE

Mkuu wa Mkoa Wa Morogoro Aipokea ‘Fursa’ ya Clouds Media

Mkuu wa Mkoa wa Morogoro, Stephen Kebwe, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Darasa la Fursa linaloendeshwa na Clouds Media mapema jana...

READ MORE

Radi Yaua Wawili Na Kujeruhi Watano

Mwonekano wa radi baada ya kupiga. SHINYANGA watu wawili wamepoteza maisha na wengine watano kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi...

READ MORE

JK Avutiwa Na Wimbo Wa Matatizo Wa Harmonize

Msanii wa muziki, Harmonize (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Rais Mstaafu Jakaya Kikwete na mke wake Mama Salma...

READ MORE

Video Mpya Ya Diamond Platnumz ft. Rayvanny – Salome

Staa wa muziki nchini, Diamond Platnumz ameachia nyimbo ambayo amemshirikisha msanii mwenzake ambaye yupo katika lebo yake ya WCB Wasafi,...

READ MORE

Basi La Timu Lapinduka Na Kuua Wanne

Mwonekano wa basi baada ya kupata ajali likiwa bado eneo la tukio. NORTH CAROLINA, MAREKANI. Watu wanne wamefariki dunia baada...

READ MORE

Ndoto Yangu Kushinda Grammy- Vanessa Mdee

Vanesaa Mdee Mwanamuziki wa kike anayesumbua ndani na nje ya Bongo, Vanessa Mdee ‘Vee Money’ amesema ana ndoto kubwa. Ndoto...

READ MORE

Watu 29 Wajeruhiwa Kwenye Mlipuko New York, Marekani

Jose Vasquez mmoja wa majeruhi wa shambulio hilo.  Kikosi cha uokoaji kikiwa kimembeba mmoja wa majeruhi.Eneo la tukio.Baadhi ya vitu...

READ MORE

Siku Za Mwisho Za Uhai Wa Samuel Doe

Rais Samuel Doe katika moja ya ziara zake akiwa rais. Alfajiri ya Aprili 12, 1980, kikundi kidogo cha wanajeshi 17...

READ MORE

Samatta Kuiongoza Genk Leo Dhidi Ya Anderlecht

Mbwana Samatta katika moja ya matukio awapo uwanjani. BAADA ya kuanza vibaya hatua ya makundi ya Europa League kwa kufungwa...

READ MORE

Ngassa Kutua Fanja FC

Mrisho Ngasaa wakati akitumikia timu yake ya zamani. KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa leo anatarajiwa kuwa na...

READ MORE

Jela Miaka 30 Kwa Kubaka Juu Ya Kaburi

MAHAKAMA ya Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi imemhukumu Ally Rashid maarufu kwa jina la Ally Mwizi kifungo cha miaka 30...

READ MORE

Museveni, Kenyatta Wamuunga Mkono Rais Magufuli

Rais Magufuli akipokea msaada wa fedha taslimu zilizotolewa na Rais Museveni RAIS John Magufuli amepokea taarifa ya maafa yaliyosababishwa na...

READ MORE

A-Z Oparesheni Ya Mauaji Ya Gaidi Osama Bin Laden 2011

Osama Bin Laden enzi za uhai wake. Mwaka 2001, mwezi desemba katika milima ta Tora Bora baada ya mapambano ya...

READ MORE

FT: Kutoka Uwanja Wa Uhuru, Azam 0-1 Simba

Mchezo umemalizika hapa kwa kwenye Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam, Simba imepata ushindi wa bao 1-0. Mfungaji ni...

READ MORE

Fiesta Yawapagawisha Wabunge Na Mawaziri Dodoma

 Mwanamuziki Vanessa na Jux wakitumbuiza kwenye tamasha hilo.Baadhi ya waheshimiwa wabunge waliohudhuria tamasha hilo akiwemo Profesa Maji Marefu (wa pili...

READ MORE

Mwinyi Achangisha Shilingi Bilioni Moja Dar Za Waathirika Kagera

Rais  Mstaafu wa Awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi akizungumza jambo baada ya matembezi hayo. Baadhi ya wadau wakikabidhi mfano...

READ MORE

Serengeti VS Congo-Brazzaville Kupambana Kesho Taifa

Kocha wa Serengeti Boys Bakari Shime(kulia) akiwa na Kocha wa Congo-Brazzaville Ekarik Basile walipokutana mapema leo kuzungumzia mchezo wa kesho....

READ MORE

Lulu Diva: ‘Mgonjwa’ Wa Kioo (Mpaka Home)

       Muuza sura kwenye video za Kibongo, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’ akiwa nyumbani kwake Mitaa ya Kinondoni Vijana jijini Dar. Na...

READ MORE

Wananchi Waliopo Dar es Saalam Kupatiwa Matibabu Bure

Tangazo linaloonesha taarifa muhimu kuhusu tukio hilo la matibabu bure. Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es Saalam iliyo...

READ MORE

Nuh: Siwezi Kurudiana Na Shilole Ng’o

Staa wa Bongo Fleva anayetamba na Wimbo wa Jike Shupa, Naftari Mlawa ‘Nuh Mziwanda’. MSANII wa Bongo Fleva anayetamba na Wimbo...

READ MORE

Nyota Ya Rais Magufuli Yazidi Kung’ara

Rais John Pombe Magufuli ASILIMIA 96 ya Watanzania wanakubali utendaji wa Rais John Magufuli tangu alipoingia madarakani Novemba mwaka jana,...

READ MORE

Wema Kumburuza Diamond Mahakamani

Msanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu. STORI: IMELDA MTEMA NA MAYASA MARIWATA, Msanii wa filamu Bongo, Wema Sepetu anaandaa utaratibu...

READ MORE

Ndugai Kuwashtaki Mawaziri Watoro Kwa Rais Magufuli

Rais John Pombe Magufuli akiwa na Spika wa Bunge Job Ndugai (picha na maktaba) DODOMA Spika wa Bunge, Job Ndugai...

READ MORE

Mbowe Aibwaga NHC Mahakamani

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe.   Mahakama Kuu ya Tanzania, Kitengo cha Ardhi, imetupilia mbali...

READ MORE