×

Habari

Ummy Mwalimu Atoa Onyo kwa Wazazi wa Wanafunzi Wanaomaliza STD VII

Mhe. Ummy Ally Mwalimu ambaye ni Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto katika Serikali ya Awamu ya...

READ MORE

Hatimaye Mtatiro ‘Amchana’ Prof. Lipumba, Amuita ni Jemedari Aliyekimbia Vita

Dar es Salaam: Mwenyekiti wa Kamati ya Uongozi ya CUF, Julius Mtatiro amesema aliyekuwa mwenyekiti wa chama hicho, Profesa Ibrahim...

READ MORE

Kortini kwa Kumtisha Rais Magufuli Kupitia WatsApp

Mfanyabiasha  Leonard Materu (31) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akikabiliwa na mashitaka ya kutuma ujumbe wa kumtishia...

READ MORE

Anaswa Akiuza Wasichana Kama Vitumbua

Musoma: Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara linamshikilia Julita Lucas (30), mkazi wa kijiji cha Masinki Wilaya ya Serengeti kwa...

READ MORE

Tecno Kutoa Phantom 6 Septemba Hii, Itathibitisha Ubora Wake?

SIYO suala jipya kwamba Bara la Afrika limegubikwa kwa kishindo na ulimwengu wa Smartphone (vijana wa mjini wanaziita simu janja)....

READ MORE

Rais Magufuli Aridhia Kusaini Miswada Mitano Kuwa Sheria za Nchi

Na Eleuteri Mangi-Maelezo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ameridhia na kusaini Miswada mitano kutumika...

READ MORE

Jeshi la Magereza Lawasilisha Taarifa za Utekelezaji wa Sheria ya Bodi za Parole

Jeshi la Magereza nchini limekabidhi rasmi ripoti ya taarifa ya utekelezaji wa sheria ya bodi za Parole kwa Mwenyekiti wa...

READ MORE

PICHA: Rais JPM Atembelea Eneo Lililokuwa na Nyumba za Magomeni Kota

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiongozana na Waziri wa Ardhi Mhe John Lukuvi, Mkuu...

READ MORE

Serikali Yakanusha Kuhusu Makamu wa Rais Kujiuzulu

YAH: KUKANUSHA TAARIFA INAYOSAMBAZWA KWENYE MITANDAO MBALIMBALI YA KIJAMII Ofisi ya Makamu wa Rais inakanusha taarifa inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii...

READ MORE

TV za Sony Bravia Hazitoweza Kuonesha Video za Youtube Baada ya Septemba 30

Runinga za Sony Bravia zilizotengezwa mwaka 2012 hazitoweza kuonyesha tena kanda za video za YouTube baada ya Septemba 30. Vifaa...

READ MORE

Mzee Mwinyi Mgeni Rasmi Sikukuu Ya Eid-El-Adh-Ha

Stori: Denis Mtima RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Sherehe za Sikukuu...

READ MORE

Matukio Ya Bungeni Mjini Dodoma Leo

 Baadhi ya Wabunge wakiingia katika ukumbi wa bunge kuhudhuria mkutano wa nne(4) wa  bunge la kumi na moja (11) la...

READ MORE

Tamko la ACT-Wazalendo Kuhusu Hali ya Nchi ya Kisiasa

DAR ES SALAA, JUMANNE, 06 SEPTEMBA 2016 Utangulizi Jana Jumatatu, 5 Septemba 2016, Kamati Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo ilikutana...

READ MORE

Katibu Mkuu wa UN, Kofi Annan Azomewa

Wanaharakati wa Kibudha nchini Myanmar wamemzomea na kumkemea Katibu Mkuu wa Zamani wa Umoja wa Mataifa, Kofi Annan. Bw Annan...

READ MORE

Salum Mwalimu na Wafuasi 18 wa Chadema Waachiliwa kwa Dhamana

Mahakama ya Hakimu Mkazi Simiyu imewaachia kwa dhamana Naibu Katibu Mkuu wa Chadema (Zanzibar), Salum Mwalimu na wafuasi wengine 18...

READ MORE

Simulizi: Msamaha Wa Mama – 03

MWANDISHI/MTUNZI Saed Bin Salim Kutokana na mapenzi ya mama aliyonayo kwangu, alipanga zamu ya kulala kitandani kwa wiki moja moja....

READ MORE

Simulizi: Msamaha Wa Mama- 02

MWANDISHI/MTUNZI Saed Bin Salim Machozi yalishaanza kunitoka, mama naye tayari alikuwa anabubujikwa na machozi kwa nilichomuambia. “Mama yangu mimi nateseka...

READ MORE

Naibu Waziri Tamisemi, Selemani Jafo Anusurika Kifo Ajalini Mbeya

   Gari la Naibu Waziri wa Tamisemi likionekana baada ya kugongwa katika ajali hiyo. Gari lililoigonga gari la Naibu Waziri...

READ MORE

Hatimaye Polisi Yawakamata Majambazi 3 Hatari Dar

Kamanda wa Polisi kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Simon Sirro akizungumza na wanahabari leo jijini Dar. Silaha nzito...

READ MORE

Miss Ilala 2016 Kulamba Mil.1 Ijumaa Hii

Mratibu wa Miss Ilala 2016, Tickey Kitundu akizungumza na waandishi wa habari leo. Washiriki wa Miss Ilala wakiwa wamejipanga pamoja...

READ MORE

Lindi, Arusha Kufungua Dimba Airtel Rising Stars Taifa

Afisa Uhusiano Airtel Tanzania Jane Matinde akiongea wakati wa kuchezesha droo ya fainali za taifa ya michuano ya vijana chini...

READ MORE

Picha 10: Dereva wa Kirikuu Anusurika Kifo Baada ya Gari Lake Kuwaka Moto

Gari lilivyokuwa kwa ndani baada ya kuwaka motoAskari wa Kikosi Maalum cha Zima Moto pamoja mashuhuda wa tukio hilo.Gari lilivyowaka.MashuhudaMashuhuda. ...

READ MORE

Dkt International Tanzania Yazindua ‘Trust Community Maternity Homes’

Meneja Masoko wa DKT International Tanzania Sialouise Shayo akionyesha baadhi ya bidhaa kwa waandishi wa habari zinazopatikana kwenye Kliniki mpya...

READ MORE

Polisi Wafyatua Risasi & Mabomu ya Machozi Kuwatawanya Wafuasi wa Lipumba

Jeshi la Polisi limelazimika kufyatua risasi angani na kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya wanachama wa Chama cha Wananchi (CUF) wanaodhaniwa...

READ MORE

Uhuru Kenyata: Hakuna Mvutano wa Kiuchumi Kati ya Tanzania na Kenya

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya Jumamosi alikanusha ripoti za vyombo vya habari kwamba kuna mvutano baina ya Kenya na Tanzania....

READ MORE

Magazeti ya Leo Septemba 5, 2016

  

READ MORE

Simulizi: Msamaha Wa Mama

Na Saed Bin Salim Mwanzo Kumbukumbu….. Mama! Kila siku nakuuliza kuhusu baba yangu yuko wapi hunijibu na kunambia utanambia! utanambia!...

READ MORE

Wabunge wa Upinzani Sasa Kutatua Mgogoro na Naibu Spika

Kambi rasmi ya upinzani imepanga kufanya vikao vya kujadili suluhu ya kudumu ya mgogoro na Naibu Spika, Dk Tulia Ackson...

READ MORE

Mtandao Hatari wa Majambazi Wanaswa Dar

Jeshi la Polisi limedaiwa kukamata watu watatu wanaodhaniwa kuwa ni majambazi wakiwa na silaha nzito za kivita ikiwemo bunduki moja...

READ MORE

CUF Watoa Waraka Kwa Rais Magufuli

Chama Cha Wananchi CUF leo kipitia mkutano wake na wanahabari kimejibu kauli zilizotolewa na Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John...

READ MORE

Simulizi ya Msamaha wa Mama

Na Leonard Msigwa/GPL Kuanzia kesho tarehe 05-09-2016 tutaanza kuweka mfululizo wa simulizi ya kusisimua inayoitwa Msamaha wa Mama mtunzi wake...

READ MORE

Asha Baraka: Nimedhamiria Kutoa Mamilioni Kuuinua Muziki wa Dansi

Mkurungezi wa Kampuni ya ASET na mmiliki wa bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’, Asha Baraka amesema amedhamiria kuuinua tena...

READ MORE

Rais JPM Ahutubia Wananchi wa Zanzibar

Viongozi mbalimbali wakiwa wamejipanga kumsubiri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli kuhutubia mkutano wa hadhara...

READ MORE

Papa Amtangaza Mama Theresa Kuwa Mtakatifu

VATICAN: Maelfu ya watu wameshuhudia ibada ya kutawazwa kuwa mtakatifu, Mama Teresa ambaye ametangazwa na Papa Francis leo. Raia huyo...

READ MORE

Bella, Man Fongo, Kibao Msambwanda Watifuana Dar Live

Kibao Msambwanda ni sheedah ndani ya Dar Live. Christian Bella akifanya yake stejini. Bella akitunzwa na shabiki. Mashabiki wakipagawa na...

READ MORE