×

Habari

Wanafunzi wa Kike Uingereza Wana Matatizo ya Akili Zaidi

TAFITI zimefanyika kwenye vyuo mbalimbali nchini Uingereza na kubaini kuwa zaidi ya theluthi moja (mmoja kati ya watatu) ya wanafunzi...

READ MORE

Njemba Avamia Makao Makuu ya Trump, Apanda Ghorofa 21 kwa Saa 3

Polisi wakijitahidi kumtoa njemba huyo aliyepanda juu ya ghorofa. Njemba huyo katika haakati za kukwea jengo hilo la ghoofa 58....

READ MORE

JPM Kujenga Daraja Kama la Kigamboni la Kuunganisha Busisi na Kigongo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  tarehe 10 Agosti, 2016 ameanza ziara ya siku mbili...

READ MORE

Mtuhumiwa Auawa Akiwa Mahabusu Ndani ya Kituo cha Polisi

MKAZI wa Kwere wilayani Babati Mkoa wa Manyara, Mohamedy Pagweje (29), amepigwa na kufa na mtu anayedaiwa kuwa hana akili...

READ MORE

Ziara ya Rais Magufuli Mkoani Mwanza

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John Mongella...

READ MORE

Makonda: Nataka Kuihamisha Stendi ya Ubungo…

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewapiga marufuku mawakala wanaotoza faini za kuegesha magari vibaya katika Kituo...

READ MORE

Kitwanga, JPM Wakutana Uso kwa Uso

Rais John Magufuli jana alikutana ana kwa ana na rafiki yake, Charles Kitwanga ikiwa ni siku 80 baada ya kumvua...

READ MORE

Hatimaye Dk. Mwaka Atiwa Mbaroni

Jeshi la Polisi Kanda ya Dar es Salaam limefanikiwa kumtia nguvuni tabibu Juma Mwaka, maarufu Kama Dokta Mwaka, baada ya...

READ MORE

Watoboa Treni na Kuiba Dola 750,000 India

India Wezi nchini India wametoboa shimo kwenye treni iliyokuwa imebeba pesa na kuiba dola 750,000. Treni hiyo ilikuwa ikipita Kusini...

READ MORE

Waziri Ngonyani ataka fidia ya bilioni moja

Naibu Waziri  wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi, Mhandisi Edwin  Ngonyani. Dar es Salaam NAIBU Waziri  wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi,...

READ MORE

Kenya Yaruhusu Uhusiano wa Kimapenzi Baina ya Binamu

Mahakama Kuu nchini Kenya imehalalisha uhusiano wa kimapenzi baina ya mabinamu kwa kile kilichoelezwa kuwa sababu inakubalika katika baadhi ya...

READ MORE

Kesi ya Anayedaiwa Kuiibia Serikali Mil. 7 kwa Dakika Yaahirishwa

Washtakiwa, Mohamed Yusufali “Choma” na Samwel Lema wakizungumza na wakili wao mara baada ya kesi hiyo kuhiishwa. Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Makame Mbarawa Azindua Treni ya Pili Dar

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa amezindua treni ya pili ya abiria jijini Dar es Salaam, inayofanya...

READ MORE

Picha ya Yesu Akitokwa Damu Msalabani Yaonekana Kanisani Nigeria

Picha ya Yesu msalabani inayodaiwa kutokwa damu. Mwanga mkali kanisani baada ya picha ya Yesu kudaiwa kuonekana. Kanisa Katoliki la...

READ MORE

Tigo, Kupatana Kushirikiana Kuwezesha Biashara kwa Mtandao

 Meneja Miradi wa Tigo, Anthony Njau (katikati), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya Tigo Dar es...

READ MORE

Man Fongo: Bangi, kukaba sasa basi

Stori: Gabriel Ng’osha MKALI wa Singeli anayetamba na Wimbo wa Hainaga Ushemeji, Amani Hamisi maarufu kama Man Fongo, amefunguka kuwa...

READ MORE

Shigongo: Hizi ndizo mbinu za kufanikiwa

    Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Eric Shigongo akifundisha wanasemina waliohudhuria somo hilo. Na Denis Mtima, RISASI Mchanganyiko DAR...

READ MORE

Hili la Kusagana, Mastaa Mnapaswa Kulikemea

Malkia Said a.k.a Malkies, binti wa miaka 19 aliyefunguka kuwa ni msagaji. KWENU mastaa wa kike Bongo, nawasalimu kwa umoja...

READ MORE

Tundu Lissu ameyasema haya leo

Leo mchana, Jumanee Agosti 9, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefnya mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es...

READ MORE

Mama: Jada alibamizwa ukutani, akapoteza kumbukumbu

Makala: Gladness Mallya MSANII maarufu wa filamu Tanzania, Gladness Steven ‘Jada’ hivi sasa hali yake ni mbaya, akiwa anaishi na...

READ MORE

Wafanyakazi wa Optima Aviation Wavamia Ofisi za NSSF Dar Wakidai Mafao Yao

Waliokuwa wafanyakazi wa Kampuni ya Optima Aviation wakiwa nje ya Ofisi za NSSF Posta jijini Dar. Wakiendelea kusimama nje ya...

READ MORE

Mume: askofu anatishia…

Na Gladness Mallya, RISASI mchanganyiko DAR ES SALAAM: KJN/8419/2016 KUTISHIA KUUA KWA MTANDAO ni RB iliyofunguliwa na Donald Kisanga (30)...

READ MORE

Mwanamke Aliyegoma Kula Chakula kwa Miaka 16 Aachiliwa Huru

Bi. Irom Sharmila Mwanaharakati nchini India Irom Sharmila anakamilisha mgomo wake leo wa kukataa kula chakula kwa miaka 16 ikiwa...

READ MORE

Nape amteua Hassan Abbas kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO)

Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye amemtangaza  Bw.Hassan Abbas kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO  na Msemaji...

READ MORE

Magari ya Milionea Mtoto Yaozea Polisi

Lwitiko Adamson Mwakasala ‘Tiko’ Na Richard Bukos na Issa Mnally, UWAZI DAR ES SALAAM: Jeshi la Polisi Tanzania, linaendelea kushikilia...

READ MORE

Mauaji ya mtoto chooni!

Marehemu Lawrence Mkondya enzi za uhai wake DAR ES SALAAM: Kama ni kweli, huu ni unyama! Jeshi la Polisi Kanda...

READ MORE

Kuhamia Dodoma ghafla kutafanyika bila madhara?

WIKI chache zilizopita, Rais Dk John Magufuli alifufua ‘ndoto’ za mwaka 1973 za kuhamia Dodoma, zilizoanzishwa na aliyekuwa kiongozi wa...

READ MORE

Mbunge Haule: Vijana tumeonesha siasa siyo mchezo mchafu

Wiki iliyopita safu hii ilizungumza na Mbunge wa Jimbo la Mikumi, Joseph Haule, maarufu kama Profesa J na kuzungumza naye...

READ MORE

Mtoto mlemavu amlilia JPM

Rais Dk. John Magufuli ‘JPM’ Na Igenga Mtatiro, UWAZI MARA: Mtoto mwenye ulemavu wa ngozi (albino),  Maria Maiya Marwa (15)...

READ MORE

Mwanajeshi afungwa… mwaka 1997 atoka 2016, afa!

Ahamad Idd Fundikira akionesha jeraha enzi za uhai wake. Na Leonard Msigwa, UWAZI Dar es Salaam: Mwanajeshi mmoja, Ahamad Idd...

READ MORE

Hatua 5 za Kumfikisha Kortini Mwenye Makosa ya Mtandao

Na Hashim Aziz Septemba Mosi, 2015, Sheria ya Makosa ya Mtandao (The Cybercrimes Act, 2015) ilianza kutumika rasmi nchini Tanzania,...

READ MORE

Waangua kilio mbele ya mkuu wa mkoa

ARUSHA: Wafanyakazi wa Kampuni ya Sheil Engineering ya Korea inayotengeneza barabara ya njia nne ya Sakina na Tengeru wamejikuta wakiangua...

READ MORE

Wanafunzi 80 Kilimanjaro Wasimamishwa Masomo kwa Ujauzito

WANFUNZI 80 wa shule za msingi na sekondari mkoani Kilimanjaro wamesimamishwa masomo katika kipindi cha kuanzia mwezi January hadi Julai...

READ MORE

Njemba Washindana Kunywa Mizinga 8 ya Konyagi na Viroba

Njemba akiwa amezimia baada ya kulewa. MWANDISHI WETU, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Hii ni ajabu na kweli! Vijana wawili waliofahamika...

READ MORE

Mzungu Dar Afumwa Live Akilawitiwa na Vijana 3

Mzungu akilawitiwa, OFM wamfumania. MWANDISHI WETU, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Ushoga? Mzungu mmoja ambaye jina lake halikuweza kupatikana mara moja...

READ MORE

Shigongo Aeleza Mbinu za Kufanikiwa Kwenye Kipindi Kigumu

Mkurugenzi Mtendaji wa Global Publishers Ltd, Eric Shigongo, akihutubia katika ukumbi wa Victory Christian Centre ulioko Mbezi Beach jijini Dar...

READ MORE

Treni ya Express Kuelekea Kigoma

Mmoja wa abiria akipanda ndani ya Behewa Dar es Salaam jana akielekea Kigoma kwa kutumia usafiri wa haraka  (EXPRESS), ambaye...

READ MORE

Waziri Mkuu Majaliwa, Askofu Gwajima Wakutana Live

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu Josephat Gwajima wa Kanisa la Uzima na Ufufuo katika hafla ya harusi ya...

READ MORE

Polisi wamfungia kazi Dk. Mwaka!

Tabibu Juma Mwaka ‘Dk. Mwaka’ MWANDISHI WETU, WIKIENDA DAR ES SALAAM: Mara tu baada ya Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo...

READ MORE