×

Habari

Ajali Mbeya: Magari 5 Yapata Ajali, Mmoja Afariki Dunia, Mashuhuda Wasimulia – Video

Wakati taifa bado linaomboleza vifo vya wanafunzi sita waliopoteza maisha kwenye ajali ya hivi karibuni huko Chunya, mkoa wa Mbeya...

READ MORE

NMB Yamwaga Mamilioni Maonyesho ya Kitaifa NaneNane

  BENKI ya NMB imekabidhi Sh milioni 100 kwa Wizara ya Kilimo ili kusaidia kwenye maandalizi ya maonyesho wakulima, wafugaji...

READ MORE

Mama Mjamzito Apoteza Makazi Magomeni, Afunguka Mazito – Video

Katika hali isiyotarajiwa, nyumba ya familia ya Mzee Kombo Mkabala iliyopo Mtaa wa Idrisa, Magomeni jijini Dar es Salaam, imevunjwa...

READ MORE

Kitabu cha ‘Moyo Wangu Unavuja Damu’ Kimezinduliwa

Kitabu kipya kiitwacho Moyo Wangu Unavuja Damu kimetambulishwa rasmi sokoni katika Makao Makuu ya Global Group, Sinza – Mori, ikiwa...

READ MORE

CCM Yapitisha Marekebisho ya Katiba kwa Kishindo – Video

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiongozwa na Mwenyekiti wake Dkt. Samia Suluhu Hassan, kimepitisha kwa kishindo marekebisho ya Katiba yake ya...

READ MORE

CCM Yapendekeza Marekebisho Madogo ya Katiba Kuboresha Mchakato wa Kura za Maoni – Video

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimependekeza marekebisho madogo ya Katiba yake ya mwaka 1977 (toleo la Mei 2025), ili kutoa mamlaka...

READ MORE

Dkt Biteko Aongoza Mbio za NBC Dodoma Marathon, Mil 700 Zakusanywa Kuokoa Maisha ya Mama na Mtoto

NAIBU Waziri Mkuu, Dk. Dotto Biteko leo ameongoza washiriki zaidi ya 12,000 wa mbio za NBC Dodoma Marathon zilizofanyika kwenye...

READ MORE

Mkutano wa Wajasiriamali wa Afrika-Asia Wasisitiza Maendeleo ya Vijana

Zaidi ya wajumbe wapatao 750 wamekusanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa ajili ya mkutano wa wajasiriamali vijana...

READ MORE

Tammy Slaton Ashtua Dunia kwa Mwonekano Mpya Baada ya Kupunguza Uzito

Mwigizaji maarufu wa Marekani, Tammy Slaton, ameacha mashabiki wake midomo wazi baada ya kuonesha mabadiliko makubwa ya mwonekano kufuatia safari...

READ MORE

Brigitte Macron Apambana na ‘Uongo wa Mtandaoni’ Katika Mahakama ya Marekani

Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mkewe Brigitte Macron wamefungua kesi ya madai ya kashfa dhidi ya Mwanaharakati kutoka Marekani,...

READ MORE

JK Kinara Maandalizi Ya Kongamano La TICAD 9 Nchini Japan

Na Mwandishi Maalumu Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ni miongoni mwa Watu Mashuhuri (Eminent Persons) kutoka bara la Afrika...

READ MORE

CCM Yaitisha Mkutano Mkuu Maalumu Kesho kwa Njia ya Mtandao, Makalla Afafanua – Video

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza rasmi kuitisha Mkutano Mkuu Maalumu utakaofanyika kesho Jumamosi, Julai 26, 2025, kwa njia ya mtandao....

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Maadhimisho ya Siku ya Mashujaa Mtumba, Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza maadhimisho ya Siku...

READ MORE

Aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu Wa TISS, Kanali Mstaafu Dkt. Hassy Kitine Afariki

Aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), Kanali Mstaafu Dkt. Hassy Kitine, amefariki dunia akiwa na...

READ MORE

RC Chalamila Awaomba Radhi Watumiaji Wa Mwendokasi

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amewaomba radhi watumiaji wa magari ya Mwendokasi kwa adha wanazokumbana nazo...

READ MORE

Raila Odinga: Handshake Haikuwa ya Maslahi Binafsi, Sikutegemea Chochote

Kiongozi wa upinzani nchini Kenya Raila Odinga, amesema katika mahojiano na kituo kimoja cha habari nchini humo NATION, kuwa makubaliano...

READ MORE

Mpox Yasambaa Magharibi mwa Kenya, Vifo Viwili Vyaripotiwa Busia

Ugonjwa wa Mpox Wasambaa Kenya Magharibi mwa Kenya sasa ndio kitovu cha mlipuko wa ugonjwa wa Mpox huku kaunti za...

READ MORE

Meridianbet Yaja Na Tsh 10,000,000 Kila Wiki, Ni Loyalty Pays.

Je, wewe ni mpenzi wa michezo ya kasino? Je, unatumia muda wako kwenye michezo ya Slots, Roulette, Blackjackau Poker? Basi...

READ MORE

Vipindi vya Mashindano ya Miss Universe 2025 Kuanza Kuonekana Kwenye Runinga

Dar es Salaam 25 Julai 2025: Vipindi vya mashindano ya Miss Universe Tanzania 2025 vinatarajia kuanza kuonekana kuanzia leo Julai...

READ MORE

Waziri Bashungwa Amwakilisha Rais Samia Mkutano Wa Wakuu Wa Nchi 

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia...

READ MORE

Malori Yapigwa Cheni, Varangati Laibuka ‘Maofisa’ Watimua Mbio

Dar es Salaam 24 Julai 2025: Katika hali isiyokuwa ya kawaida watu waliojitambulisha kutoka mamlaka ya serikali walilazimika kukimbia eneo...

READ MORE

Serikali Yavunja Ukimya: Watoa Huduma wa Mwendokasi Kupigwa Chini – Video

Serikali kupitia Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), imetangaza kuanza mchakato wa kuwaondoa watoa huduma waliopo sasa kwenye Barabara Kuu...

READ MORE

Waziri Mkuu Ahitimisha Ziara Ya Belarus

Aalika wenye viwanda, makampuni, wafanyabiashara kuwekeza nchini WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amehitimisha ziara yake ya kikazi ya siku mbili nchini...

READ MORE

KCCT na Kilombero Sugar Watoa Mafunzo na Kuwatunuku Vyeti Wakulima 734

Morogoro, Julai 2025 — Taasisi ya Kilombero Community Charitable Trust (KCCT), kwa kushirikiana na Kampuni ya Kilombero Sugar Company Limited...

READ MORE

Rais Samia Mgeni Rasmi Maadhimisho Ya Mashujaa Kesho

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko ametoa wito kwa vyombo vya habari kushirikiana na Serikali katika...

READ MORE

Russia Yatikiswa na Ajali ya Angara Airlines, Watu 49 Wahofiwa Kufariki

Kamchatka, Russia – WATU 49 wanahofiwa kupoteza maisha baada ya ndege ya abiria aina ya Antonov An-26 kuanguka leo asubuhi,...

READ MORE

Stanbic Yaandaa Jukwaa La Kihistoria Kuhusu Uwekezaji Na Uhamasishaji Mitaji Ukanda Wa Afrika Mashariki

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa CIC Asset Management Limited, Humphrey Gathungu (katikati), akizungumza wakati wa Mkutano wa Taasisi za Uwekezaji Afrika...

READ MORE

Ijumaa Ya Furaha Inarejea Kwa Kishindo Kupitia Meridianbet

Wakati wengi wakihesabu saa kuelekea wikendi ya mapumziko kila ifikapo ijumaa, kwa mashabiki wa michezo ya namba, hii ni fursa...

READ MORE

Rais Wa TLS Awapigia Kelele Vijana “Sheria Zinazotungwa Zinawafunga Mikono”

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface Mwabukusi, ameibua hoja nzito juu ya hatma ya vijana nchini, akieleza...

READ MORE

Rais Kagame Amteua Dkt. Justin Nsengiyumva Kuwa Waziri Mkuu Mpya Wa Rwanda

Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Paul Kagame, amefanya uteuzi mkubwa kwa kumteua Dkt. Justin Nsengiyumva kuwa Waziri Mkuu mpya wa...

READ MORE

Lukuvi: Wizara Zingine Ziige Mfano Wa Wizara Ya Afya Kuhamia Mtumba

Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu William Lukuvi ameipongeza Wizara ya Afya kwa kuchukua uamuzi...

READ MORE

Jab Yaendelea Kutoa Vitambukisho Kwa Waandishi Wa Habari Waliokidhi Vigezo

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari-JAB,  Wakili Patrick Kipangula akimkabidhi Kitambulisho cha Uandishi wa Habari...

READ MORE

Rais Ruto Asema Hatang’atuka Kwa Shinikizo la Maandamano

Rais William Ruto amepinga wito unaozidi kumtaka ajiuzulu kupitia nyimbo zinazoongezeka za ‘Ruto Must Go’ katika maandamano ya mitaani na...

READ MORE

Mbaroni Kwa Tuhuma Za Kumbaka Bibi Wa Miaka 78

Jeshi la Polisi mkoa wa Lindi linamshikilia mwanaume aitwaye Araba Samali Chichonyo (57), mkazi wa Kijiji cha Juhudi “A”, Kata...

READ MORE

Waziri  Mkuu Azuru  Chuo  Kikuu Cha Kilimo  Belarus

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametembelea Chuo Kikuu cha Kilimo cha Belarus (Belarusian State Agrarian Technical University – BSATU) na kufanya...

READ MORE

Hayati Mkapa Akumbukwa kwa Kuimarisha Muungano na Uchumi

Hayati Benjamin William Mkapa, Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atabaki kuwa mfano wa...

READ MORE

Miaka 25 Ya Vodacom Kuadhimisha Uunganishwaji Kidijitali

Katika kuadhimisha robo karne ya uwepo wake nchini na mafanikio makubwa tangu kuanzishwa kwake, Vodacom Tanzania PLC imeanzisha kampeni kabambe...

READ MORE

Mfalme wa Rock na Heavy Metal, Ozzy Osbourne Afariki Akiwa na Miaka 76

Mwanamuziki nguli wa Rock na Heavy Metal, Ozzy Osbourne, maarufu kama ‘Prince of Darkness’, amefariki dunia akiwa na umri wa...

READ MORE

Majaliwa Akutana Na Waziri Mkuu Wa Belarus, Wasaini Makubaliano Muhimu Ya Ushirikiano

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Belarus, Alexander Turchin na kujadiliana naye masuala ya uwekezaji, biashara, nishati,...

READ MORE

CCM Yatangaza Tarehe ya Kura ya Maoni kwa Ubunge na Udiwani Kufanyika Agosti 4, 2025

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza rasmi kuwa kura za maoni kwa wagombea wa nafasi za Ubunge, Udiwani na Uwakilishi zitafanyika...

READ MORE