×

Habari

Wanajeshi 104 wauawa wakitka kumpindua rais wa Uturuki

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan (ktikati) baada ya kujitokeza. Istanbul, Uturuki Naibu Nkuu wa Jeshi la Uturuki ametangaza kwa...

READ MORE

Maandalizi Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Yaiva

Na Bashir Nkoromo Maandalizi ya Mkutano Mkuu Maalum wa CCM uliopangwa kufanyika Julai 23, 2016 mjini Dodoma yamezidi kuiva. Taarifa...

READ MORE

Huyu ndiye mgombea mwenza wa Donald Trump

MGOMBEA wa Urais wa Marekani kwa tiketi ya Chama cha Republican, Donald Trump amemteua Gavana wa Jimbo la Indiana, Mike...

READ MORE

A-Z Yaliyojiri kwenye jaribio la mapinduzi kwa rais Uturuki

Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan (ktikati) baada ya kujitokeza. 07:15 Shirika la Reuters limemnukuu afisa wa serikali ya Uturuki...

READ MORE

Ulinzi UDSM ni sifuri

Ulinzi getini. Waandishi wetu, Risasi Jumamosi DAR ES SALAAM: Ulinzi na usalama wa maelfu ya wanavyuo wa Chuo Kikuu cha...

READ MORE

Dos Santos: Mmoja wa viongozi ving’ang’anizi matajiri Afrika!

JE, una umri usiozidi miaka 36 tangu uzaliwe?  Kama jibu ni “ndiyo’ basi ujue ulizaliwa baada ya Rais Jose dos...

READ MORE

Muhimbili wafanikiwa kuweka betri kwenye moyo wa mtoto

Na John Stephen, MNH Dar es Salaam, Tanzania.Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)-Muhimbili jana imefanya upasuaji mkubwa wa moyo...

READ MORE

Matokeo Ya Kidato cha Sita… Bofya hapa Kuyatazama

Baraza la mitihani Tanzania(NECTA) imetangaza matokeo ya kidato cha sita 2016, na Kuzitaja shule zilizo fanya vizuri zaidi Kitaifa na...

READ MORE

Waziri Nape afanya msako wa filamu na stika za TRA maduka ya Kariakoo

Baadhi ya maduka yakiwa yamewekwa chini ya ulinzi kwa kuuza bidhaa za filamu na muziki zilizoingia nchini kinyume na sheria...

READ MORE

Watumishi watatu w Jeshi la Polisi wasimamishwa kazi kwa kufanya malipo hewa

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Projest Rwegasira amewasimamisha kazi watumishi watatu wa Jeshi...

READ MORE

TRA, NMB Hukusanya Kodi Sh. Bil 19.8 kwa Mwezi

Meneja Huduma za Ziada wa Benki ya NMB, Stephen Adili akizungumza na waandishi kuhusu  mfumo mpya wa ulipaji kodi unaofanywa...

READ MORE

Taifa La Tanzania Kuombea Kwa Siku 1001

Askofu na Mwenyekiti wa Good News For All Ministry (Great Vision 2000) DK. Charles Gadi leo amezungumza na wanahabari kuhusu...

READ MORE

Samuel Sitta ahamishwa nyumba ya Serikali, ahamia Manzese!

ALIYEKUWA Spika wa Bunge la tisa, Samuel Sitta, ameondolewa kwenye nyumba aliyokuwa akiishi baada ya Serikali kugoma kumlipia kodi ya...

READ MORE

Ufaransa ‘kimenuka’ tena… 80 wauawa kwa shambulizi

    Paris, Ufaransa Ufaransa kimenuka tena! Watu 80 wameripotiwa kufa ikiwa ni pamoja na watoto 18 katika shambulizi la kigaidi...

READ MORE

Taarifa ya uvumi kuwa Serikali imeshusha 30% ya mishahara ya madaktari

Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na Uvumi katika Mitandao ya Kijamii kuwa Serikali imeamua kushusha Mishahara ya Madaktari kwa...

READ MORE

Kahama: Kibinti miaka 13 chaolewa, chatorokea polisi

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Shinyanga, Mika Nyange. KAHAMA: Kibinti chenye umri wa miaka 13 (jina linahifadhiwa) mkazi wa Kijiji...

READ MORE

Kampuni ya Simu ya Tigo Kudhamini Tamasha la Fiesta 2016

 Ofisa Mkuu wa Biashara wa Kampuni ya Simu ya Tigo, Shavkat Berdiev (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari...

READ MORE

Waziri Mkuu Uingereza Achagua Mawaziri Wapya

Waziri mkuu mpya wa Uingereza, Theresa May. WAZIRI mkuu mpya wa Uingereza, Theresa May, ameanza kuchagua mawaziri wapya huku akiwaacha...

READ MORE

Makazi Mapya ya David Cameron

David Cameron. Makazi mapya ya Cameron. Cameron akiingia kwenye makazi yake mapya. Ulinzi katika makazi mapya ya Cameron. Makazi mapya...

READ MORE

Hizi ndizo Airports 10 Bora zaidi Barani Africa

1.Cape Town International Airport, South Africa (CPT) 2.Johannesburg O.R. Tambo International Airport, South Africa (JNB) 3.Algiers Houari Boumediene International Airport,...

READ MORE

Shirika la Ndege la Etihad Latunukiwa Tuzo 3 Kwa Ubora wa Huduma za Anga

Makamu wa Rais wa Huduma wa Shirika la Ndege la Etihad, Sajida Ismail, Makamu wa Rais wa Uhusiano wa shirika...

READ MORE

Airtel yasaidia wadau wa Elimu, Afya na Kilimo mkoani Tabora

Ayub Kim, Mraditi wa kitengo cha miundo mbinu Milllenium Promise Tanzania,  akitoa mafunzo ya komputa kwa baadhi ya wanafunzi wa...

READ MORE

Sumaye Kugombea Uenyekiti Chadema

Frederick Sumaye. WAZIRI Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye, amekubali ombi la viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya...

READ MORE

Kijana mlemavu wa miaka 20 afungiwa ndani kwa miaka 11

KATIKA hali isiyokuwa ya kawaida kijana mwenye tatizo la ulemavu wa viungo na akili, amegundulika kufungiwa ndani kwa zaidi ya...

READ MORE

IS Wathibitisha Kifo cha Kamanda Wao Omar Shishani

Omar Shishani. Kundi la Islamic State limethibitisha kifo cha mmoja wa makamanda wake wa ngazi za juu kijeshi, Omar Shishani....

READ MORE

Kituo cha Polisi Chavamiwa Kenya

MAAFISA wa Polisi wapatao 6 wanahofiwa kufariki dunia baada mtu mwenye silaha anayedaiwa kuwa mwanamgambo wa Al-Shabaab kukishambulia Kituo cha...

READ MORE

Picha: Ajali ya DPP kwenye msafara wa Waziri Mwakyembe

MSAFARA wa Waziri wa Sheria na Katiba Dr. Harrison Mwakyembe jana ulipata ajali baada ya gari lililokua limembeba Mkurugenzi wa...

READ MORE

Wafanyabiasha Afrika Mashariki Kukuza Biashara

       Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki Kikanda na Kimataifa Dkt. Suzan Kolimba akihojiwa na wanahabari....

READ MORE

Njombe kidedea Kampeni ya Usafi, yatwaa Toyota Land Cruiser

         Waziri wa afya, Jinsia Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akisoma hotuba katika hafla hiyo. Mkuu wa Mkoa wa Dar...

READ MORE

Juno Yatuma Picha ya Kwanza ya Jupita

Muonekano wa picha ya kwanza ya Sayari ya Jupita. Chombo cha anga za juu cha Shirika la Marekani la NASA...

READ MORE

Serikali yafuta usajili wa magazeti 473

Leo Serikali kupitia Wizara ya Habari iliyochini ya Nape Nnauye imesema kuwa imefuta usajili wa magazeti 473 kupitia tangazo lililochapishwa...

READ MORE

Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki Hafsa Mossi Auawa

Hafsa Mossi. Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki kutoka Burundi, Hafsa Mossi ameuawa na watu wasiojulikana mjini Bujumbura leo. Bi....

READ MORE

Cameron Kuachia Ngazi Leo Uingereza

David Cameron . Theresa May leo anakuwa waziri mkuu wa pili mwanamke katika historia ya nchi ya Uingereza baada ya...

READ MORE

Kisa kuzimwa simu, njemba ala kichapo

NA RICHARD BUKOS, RISASI MCHANGANYIKO DAR ES SALAAM: Njemba moja ambayo ilifahamika kwa jina la utani kama Mzee wa Ndole,...

READ MORE

Kisa wivu, amnyonga mkewe mjamzito gesti

Gesti aliponyongewa. Na: Gabriel Ng’osha na Mayasa Mariwata,  RISASI Mchanganyiko INAUMA SANA! Mapenzi ni jambo hatari zaidi katika maisha ya...

READ MORE

Mtoto wa kigogo mbaroni kwa tuhuma za kumbaka denti form 1

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Zubery Mwombeji. NA STEPHANO MANGO, RISASI MCHANGANYIKO RUVUMA: Justine Ambrose (30) ambaye ni mtoto...

READ MORE

Acha ujuha, dai risiti!

Sasa ninalazimika kudai risiti kwa kila huduma, maana mambo yamekuwa ndivyo sivyo kabisaaa. Yaani mambo yaliyokuwa bure zamani siku hizi...

READ MORE