×

Habari

Aliyemla Nyama mwanaye huyu hapa

Issa Mnally, UWAZI DODOMA: Unyama! Hali bado si shwari kwenye Kitongoji cha Sekule, Kijiji cha Mongoroma, Kondoa mkoani hapa kufuatia...

READ MORE

Treni zagongana na kuua 12 Italia

Andria, Italia  Treni mbili zimegongana kusini mwa nchi ya Italia na kuua watu 12 eneo la tukio na wengi wao...

READ MORE

Polisi Wakamata Vyeti Bandia, Leseni za Biashara na Silaha Dar

Kamishina wa Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam, Simon Sirro akiongea na wanahabari (hawapo pichani). Akionesha bunduki iliyokamatwa. Kamanda Sirro...

READ MORE

Mkazi wa Mwanza akabidhiwa kitita chake cha sh. Mil. 20/=na Vodacom

Mkazi wa Mkolani jijini Mwanza na Mshindi wa Promosheni ya Vodacom Shomari Almas(kushoto) akipokea Sh 20 Milioni kutoka kwa Meneja...

READ MORE

Kituo cha Foreplan Clinic cha Tabib Mwaka Chafutiwa Usajili

Serikali imekifungia kituo cha tiba asilia cha Foreplan kinachomilikiwa na Juma Mwaka kwa kukiuka masharti ya kibali alichopewa kujitangaza kuwa...

READ MORE

Ethiopia Yazima Mitandao Yote ya Kijamii

SERIKALI nchini Ethiopia imefunga mitandao yote ya kijamii ya mitandao ya Facebook, Twitter, Instagram na Viber baada ya kuvuja kwa...

READ MORE

RC Makonda Ayafanyie Kazi Haya

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Paul Makonda. Na Leonard Msigwa MWAKA 1918 wakati Vita ya Kwanza ya Dunia...

READ MORE

Huawei Yawakumbuka Watoto Yatima Jijini Dar

KAMPUNI ya Mawasiliano ya Huawei nchini kupitia Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni pamoja na Ofisi ya Polisi Mkoa...

READ MORE

Jamani Mara; ukatili huu mpaka lini?

Bhoke Matiko akiugulia mkono. Na Igenga Mtatiro, Uwazi MARA: Jamani Mara; ukatili huu hadi lini? Hayo ni baadhi ya maneno...

READ MORE

Wimbi la maiti kubadilishwa latikisa!

   Siku maiti ya Brain ilipozikwa kimakosa. Na Joseph Ngilisho, UWAZI ARUSHA: Katika hali isiyokuwa ya kawaida, wimbo la miili...

READ MORE

Kuanza kwa Mahakama ya Uhujumu Uchumi, mafisadi watimkia nje

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohammed Chande Othman Na Hashim Aziz, UWAZI Dar es Salaam: Matumbo joto! Wakati Serikali ya Awamu...

READ MORE

Mkuu wa mkoa aamuru mkandarasi akamatwe

Na Mwandishi Wetu BAADHI ya wananchi wa Songwe mkoani Mbeya wameeleza kero yao kwa Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Amos...

READ MORE

Kazi ya Serikali ya Magufuli imeanza rasmi Julai Mosi

Nianze kwa kumshukuru Mungu kwa kutuweka hai hadi hii leo ninapoandika makala haya, hivyo ahimidiwe milele. Baada ya kusema hayo...

READ MORE

Ukweli Kuhusu Maiti Zinazozikwa na Manispaa

Na Hashim Aziz Yapo madai mbalimbali kwamba maiti zinazokosa ndugu na kulazimika kuzikwa na manispaa, huwa hazipewi heshima inayostahili, ikiwa...

READ MORE

Helen Kijo Bisimba: CUF, CCM zitafute msuluhishi!

Katika sehemu ya kwanza ya mahojiano haya wiki iliyopita tulisoma jinsi Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za...

READ MORE

Serikali Iangalie Upya Tamko Lake

NIMESEMA mara kadhaa na sioni tatizo kurudia. Ninamuunga mkono Rais Dk. John Pombe Magufuli ingawa sina imani na Chama Cha...

READ MORE

Hofu Kukamatwa kwa Gwajima, Waumini Washangaa

Askofu Gwajima. KIONGOZI mmoja wa Kanisa la Ufufuo na Uzima ambaye hakutaja jina lake kwa madai ya kuwa siyo msemaji,...

READ MORE

Hatimaye Mrithi wa David Cameron Apatikana

Theresa May. Mwanamama Theresa May amekuwa mgombea pekee ndani ya chama tawala cha Conservative nchini Uingereza, aliyebakia katika kinyanganyiro cha...

READ MORE

Daktari feki anaswa chumba cha wagonjwa mahututi

Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linamshikilia mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Zakaria Benjamini mkazi wa Tungi Manispaa ya Morogoro...

READ MORE

Polisi Yakamata Gamba la Kasa, Meno ya Tembo 666

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai, CP Diwani Athuman, akisoma taarifa kuhusu tukio hilo. …Akiendelea kuwasiliana na wanahabari (hawapo...

READ MORE

DHL delivers black rhino Eliska to Africa

DHL delivers black rhino Eliska to Africa Female Eastern black rhino Eliska transported from Czech Republic to Tanzanian sanctuary as...

READ MORE

Boko Haram 6 wakamatwa ndani ya kanisa

Lagos, Nigeria WATU sita kati ya 100 wanaoaminika kuwa ni memba wa kundi la kigaidi la Boko Haram waliokuwa wakitafutwa...

READ MORE

Watu 3200 wakusanyika na kupigwa picha za utupu!

          Sehemu ya umati wa watu 3,200 waliohudhuria tukio hilo. Hull, Uingereza WATU zaidi ya 3200 wamekusanyika na kusherehekea...

READ MORE

Mapigano yazuka tena Juba, Sudan Kusini

Umoja wa Mataifa umehimiza viongozi wa kisiasa kutuliza wanajeshi wao Juba, Sudan Kusini MAPIGANO yamezuka tena nchini Sudan Kusini saa...

READ MORE

Airtel na VETA Yaitambulisha VSOMO kwa Makundi ya Vijana Arusha

    Kaimu Katibu Tawala mkoa wa Arusha, Mushashu Anaclet (wa pili kushoto) akiongea wakati wa kutambulisha mpango wa mafunzo ya...

READ MORE

Vijana Acheni Kulalamikia Ajira Wakati Uwezo wa Kujiajiri Mnao- Mhe. Mavunde

Picha/Habari na Cathbert Kajuna wa Kajunason Blog Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Vijana, Kazi na Ajira, Antony Mavunde Jumamosi...

READ MORE

Rais Magufuli na Hatma ya CCM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Pombe Magufuli. Na Leonard Msigwa “MIMI nang’atuka, lakini ninaendelea kuamini kuwa...

READ MORE

Maandamano ya Wamarekani Weusi Yapamba Moto

  Wamarekani Weusi waliouawa na polisi Marekani, Alton Sterling (kushoto) na Philando Castile (kulia) enzi za uhai wao. Maandamano ya Wamarekani...

READ MORE

Dole la Kati Lililomponza Mhe. Sugu

Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Mr Sugu’ akiwaonesha wabunge wa CCM dole la kati Bungeni Dodoma hivi...

READ MORE

Mhasibu Mkuu wa Jeshi la Polisi asimamishwa kazi kwa kufanya malipo hewa

KATIBU  Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Meja Jenerali Projest Rwegasira amemsimamisha kazi Mhasibu Mkuu wa Jeshi...

READ MORE

Whitedent yaja na Bahati Nasibu ya Suzuki Alto K10

Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Adelhelm Meru akizungumza jambo katika hafla hiyo. Dkt. Adelhelm Meru akiweka...

READ MORE

NEMC Yakifungia kiwanda cha 21st Century

Mratibu wa Baraza la Usimamizi wa Mazingira Kanda ya Mashariki (NEMC), Jaffar Chimgege, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani),...

READ MORE

Washindi wa droo kubwa ya Shinda Nyumba wakabidhiwa zawadi zao

Dadi Tematema akimpokelea dinner set Herman Haule wa Dodoma. Dadi Tematema akitoa ushuhuda wa ndugu yake aliyekuja kumpokelea zawadi aitwae...

READ MORE

Watoto 4 wa familia moja wateketea kwa moto wakiwa usingizini

HUZUNI imetanda katika wilaya ya Kongwa mkoani Dodoma, baada ya ajali ya moto wa kibatari kuteketeza watoto wanne wa mama...

READ MORE

Waziri Mkuu wa India kuwasili hapa nchini leo

WAZIRI Mkuu wa India, Narendra Modi anawasili leo hapa nchini kwa ajili ya ziara ya kitaifa ya siku mbili kwa...

READ MORE

Watu 11 mbaroni kwa madawa ya kulevya

Stori: STEPHANO MANGO, RISASI JUMAMOSI RUVUMA: Watu tisa wanakishikiliwa na jeshi la polisi mkoani hapa kwa tuhuma za kukutwa wakifanya...

READ MORE

Dereva wa Basi la City Boy Akabiliwa na makosa 30 ya Kuua

MMOJA wa madereva waliosababisha ajali ya mabasi ya City Boy Jumatatu iliyopita katika kijiji cha Maweni wilayani Manyoni, Jeremiah Semfungwe...

READ MORE

Rais Magufuli ateua mkurugenzi mpya wa TACAIDS

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Leonard Lutegama Maboko kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa...

READ MORE

Wasomaji Dar Walichangamkia Ijumaa Muonekano Mpya!

Msomaji wa Gazeti la Ijumaa (kushoto) akinunua kwa muuzaji wa magazeti ya Global, Hadija Rashid. Msomaji wa Ijumaa akinunua gazeti...

READ MORE

Maneno ya Rais Obama, Mastaa wa Marekani kuhusu mauaji ya watu weusi

KUFUATIA kuongezeka kwa matukio ya mauaji ya watu weusi nchini Marekani, Rais wa Nchi hiyo, Barack Obama na mastaa wakiwemo...

READ MORE