×

Habari

Johan Borgstam, Mjumbe Maalum wa Umoja wa Ulaya Afanya Ziara Nchini

Johan Borgstam, Mjumbe Maalum wa Umoja wa Ulaya (EUSR) kwa Mkoa wa Maziwa Makuu, ametembelea Tanzania kuanzia tarehe 10 hadi...

READ MORE

Rais wa Zamani Wa Ufilipino Akamatwa

Rais wa zamani wa Ufilipino, Rodrigo Duterte amekamatwa kwa hati maalum kutoka Mahakama ya Uhalifu wa Kivita (ICC) kufuatia tuhuma...

READ MORE

Wakuu Wa Usalama Barabarani Watakiwa Kusimamia Sheria Na Kanuni Za Usalama Barabarani Kikamilifu

Wakuu wa Usalama Barabarani wa Mikoa na Wilaya wametakiwa kuongeza kasi katika usimamizi wa Sheria, kanuni na taratibu za Usalama…

READ MORE

Zelensky Atua Saudia Kukutana Na Mwakilishi Wa Trump

Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky amewasili jijini Jeddah, Saudi Arabia na kupokelewa kwa heshima zote na Mrithi wa Kiti cha...

READ MORE

Ni biashara ndogo tu ila imeyabadili Kabisa maisha yangu!

Katika familia yetu tumezaliwa watoto 12, wakiume tukiwa saba, huku wa kike wakiwa ni watano. Tuliishi upendo kama ndugu maana...

READ MORE

Kamati Kuu ya CCM Yapitsha Majina ya Wagombea Nafasi Mbalimbali

Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), chini ya Mwenyekiti wake na Rais wa Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

Watu Wawili Wathibitika kuwa na Maambukizi ya Mpox, Waziri Mhagama Afunguka

Watu wawili (2) wamethibitika kuwa na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Mpox nchini Tanzania. Hayo yamebainishwa na Waziri wa...

READ MORE

Nicole Apandishwa Kizimbani, Akosa Dhamana, Apelekwa Segerea

Joyce Mbaga (32) maarufu kwa jina la (Nicole Berry) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam...

READ MORE

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Amekutana na Kufanya Mazungumzo na Balozi wa India

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa India hapa nchini...

READ MORE

Safari 1,054 Za Futwa Kisa Mgomo Ujerumani

Mgomo mkubwa wa wafanyakazi wa viwanja vya ndege nchini Ujerumani umeendelea, ukisababisha kufutwa kwa maelfu ya safari za ndege za...

READ MORE

Israel Yasitisha Usambazaji Wa Umeme Ukanda Wa Gaza

Israel imesitisha usambazaji wa umeme katika Ukanda wa Gaza katika juhudi za kushinikiza Hamas kukubali kuongezwa muda wa awamu ya...

READ MORE

Imagine Mnyama Paka Anakupa Ushindi Mkubwa Kasino, Je Anatoaje Ushindi?

Huenda umewahi kuona au kusikia stori nyingi kuhusu paka, Meridianbet kasino yamtandaoni inakuletea mkutano na paka wa kuvutia wanaowapa wachezaji...

READ MORE

Polisi Waimarisha Ulinzi Hukumu Ya Yoon Ikitarajiwa Kusomwa

Polisi wamemwagwa kwa wingi mitaani ambapo vituo vya treni za chini ya ardhi pamoja na angalau shule moja vitafungwa kutokana...

READ MORE

TFF Yavifungia Viwanja Vitatu Vya Ligi Kuu Kwa Kutokidhi Vigezo

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limevifungia viwanja vya Jamhuri (Dodoma), CCM Kirumba (Mwanza), na Liti (Singida) kutumika kwa...

READ MORE

NMB Yabuni mfumo wa Kidijitali wa Kusimamia Matumizi ya Fedha za Umma

Picha: Mpigapicha Wetu Mfumo wa kidijitali wa kusimamia matumizi ya fedha za umma waja. Benki ya NMB, kwa kushirikiana na...

READ MORE

Yanga Na TANESCO Waligharamia Mazishi Ya Shabiki Aliyefariki Kwa Shoti Ya Umeme Uwanjani Mkapa

Shabiki wa Yanga kutoka jijini Mbeya, Herman Sungura, aliyefariki dunia Machi 8, 2025, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar...

READ MORE

Kwaya ya Gethsemane Ilivyoomboleza Kwenye Kumuaga Hayati Prof. Philemon Sarungi

Waimbaji wa Kwaya ya Gethsemane Group Kinondoni GGK – SDA ya Jijini Dar es Salaam wakiimba nyimbo za faraja wakati...

READ MORE

Aliyetaka Kujitoa Mhanga Ikulu Apigwa Risasi

Mtu mwenye silaha amejeruhiwa kwa kupigwa risasi na maafisa wa Secret Service nje ya Ikulu ya White House, Marekani, tukio...

READ MORE

Kiongozi Mpya Wa Canada, Amkosoa Trump Kuhusu Ushuru

Mark Carney amechaguliwa kuwa kiongozi mpya wa chama tawala nchini Canada, Liberal Party, baada ya kuwashinda wapinzani wake watatu. Ushindi...

READ MORE

Benki ya Stanbic Yatoa Elimu ya Fedha Kwa Watoto wa Wateja

Benki Binafsi ya Stanbic imefanikiwa kuendesha kwa mafanikio Akademi yake maarufu ya Ustawi wa Fedha, mpango unaolenga kukuza uelewa wa...

READ MORE

Majaliwa Amwakilisha Rais Dkt. Samia Ibada Ya Kumweka Wakfu Rev. Canon Mlula

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Machi 09, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ibada ya kumweka wakfu na kumweka...

READ MORE

Je, Hujui Fedha Zako Zinakwenda Wapi? Mbinu Hii Nyepesi Itakusaidia

Jina langu Paulo kutoka Mbeya, katika maisha yangu hadi sasa nimefikisha umri wa miaka 41, nimefanya kazi sana katika kampuni...

READ MORE

Serikali Ya DRC Yatangaza Zawadi Ya Shilingi Bilioni 13 Kwa Kukamatwa Kwa Viongozi Wa M23

Hali ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) inaendelea kuwa mbaya, huku serikali ikitangaza zawadi ya dola milioni...

READ MORE

Rais Samia Ateta na Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Cleopa David Msuya – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameteta jambo na Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Cleopa David...

READ MORE

Meridianbet Inakupa Machaguo Zaidi ya 1000 Leo

Mechi kali leo hii Duniani zinaendelea na Meridianbet wapo tayari kuhakikisha hawakuachi hivyo hivyo, na ndio maana wameamua kukupatia ODDS...

READ MORE

Mashambulizi Ya Urusi Yaua Takriban Watu 25 Ukraine

Takriban watu 25 wamefariki katika wimbi jipya la mashambulizi ya Urusi nchini Ukraine, maafisa wa Ukraine wameripoti, huku mzozo huo...

READ MORE

Rais Samia Kuongoza Kikao Cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) Kesho

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitakuwa na kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), kitakachofanyika Machi 10, 2025 Jijini Dodoma....

READ MORE

Rais Samia Ajumuika kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini, wazee Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amejumuika na viongozi kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini,...

READ MORE

SBL Yatambuliwa Katika Tuzo za Rising Woman kwa Kukuza Usawa wa Kijinsia

Serengeti Breweries Limited (SBL) imetambuliwa katika tuzo maarufu za Rising Woman, zilizoandaliwa na Mwananchi Communications Limited, kwa mchango wake mkubwa...

READ MORE

Rais Samia: Tanzania Imepiga Hatua Kubwa Katika Usawa Wa Kijinsia

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan,...

READ MORE

NMB, Save the Children wazindua Programu ya Ujuzi kwa Maendeleo ya Ujasiriamali na Ajira

  SERIKALI imeipongeza Benki ya NMB kwa kuzindua Programu Maalum ya Ujuzi kwa Maendeleo ya Ujasiriamali na Ajira kwa Vijana...

READ MORE

SICPA Yawakumbuka kwa Msaada Wagonjwa Katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road

Dar es Salaam, 11 Machi 2025: Katika kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Wanawake, SICPA Tanzania, kampuni ya teknolojia inayoiwezesha Serikali...

READ MORE

Dkt. Slaa Atinga Maadhimisho ya Bawacha Siku ya Wanawake Duniani Mlimani City

Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilbord Slaa ambaye hivi karibuni alitamka kuwa atarejea katika...

READ MORE

Majaliwa: Vijana Wenye Elimu Ya Dini Ni Nguzo Muhimu Ya Maendeleo

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema vijana wenye elimu na maarifa ya dini ni nguzo muhimu ya ustawi na maendeleo katika...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Akishiriki Maadhimisho Ya Siku Ya Wanawake Duniani (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewataka wazazi na walezi kuhakikisha wanalea kizazi chenye maadili...

READ MORE

ODDS KUBWA na Machaguo Zaidi ya 1000 Yapo Hapa

Jumamosi ya leo ni siku ya wewe kuondoka na tabasamu kubwa kabisa ndani ya Meridianbet kwani kuanzia pale EPL, LALIGA,...

READ MORE

Rais Samia Alivyowasili Arusha Kuongoza Maadhimisho Siku Ya Wanawake Duniani

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluh Hassan amewasili Mkoani Arusha na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa...

READ MORE

Yanga Yatoa Tamko Mchezo Dhidi Ya Simba Uko Pale Pale

Hali ya mpambano kati ya Simba SC na Yanga SC imechukua sura mpya ya sintofahamu. Simba SC wamesema hawatacheza mechi...

READ MORE

Makalla: Rais Samia Ameweka Historia ya Maendeleo

Katibu wa NEC, Itikadi  Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameweka historia ya maendeleo kwa...

READ MORE

Mabinti Zaidi ya 3000 Wawezeshwa Program ya Kompyuta, Code Like A Girl

Dar es Salaam, 7 Machi 2025: Kuelekea wiki ya Wanawake Duniani, Vodacom Tanzania imewapa vyeti wasichana walioshiriki Program ya Code...

READ MORE