×

Habari

Uganda Yazidi Kukumbwa na Mlipuko wa Ebola

Idadi ya visa vya Ebola nchini Uganda imeongezeka hadi 14 wiki hii, kwa mujibu wa Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia...

READ MORE

Wananchi wa Arusha Ni Mwendo Wa Kula Nyama Bure leo

  Vijana wajasiriamali wanaojishughulisha na uchomaji wa nyama Mkoani Arusha wameeleza kuendelea vyema na maandalizi ya Usiku wa nyama Choma...

READ MORE

Makalla : Hakuna Mtu Kupita Bila Kupingwa

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kimefanya mabadiliko katika mchakato wa upatikanaji wa wagombea kuelekea uchaguzi mkuu, hakuna kupita bila kupingwa...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu, Dar – Picha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini...

READ MORE

Kipa Wa Zamani Wa Simba, Yanga Auwawa Kwa Kuchomwa Moto

Taarifa za kusikitisha zilizotufikia zinadai kwamba aliyewahi kuwa golikipa wa Klabu ya Simba miaka ya nyuma, raia wa Jamhuri ya...

READ MORE

Asilimia 90 Ya Kipato Cha Mwanamke Hutumika kwa Ajili Ya Familia

Katika kusherehekea Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na...

READ MORE

Meridianbet Foundation Yaongeza Mchango Wake kwa Elimu

Meridianbet Foundation, sehemu ya Golden Matrix Group (NASDAQ: GMGI), imezindua kampeni ya kimataifa ya uchangiaji vitabu, ambayo inalenga kusaidia maktaba...

READ MORE

Waziri Mkuu Aongoza Matembezi Hisani Na Uzinduzi Wa Maadhimisho Ya Miaka 50 Ya Tet

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameongoza matembelezi ya hisani na uzinduzi wa maadhimisho ya miaka 50 ya Mamlaka ya Elimu Tanzania...

READ MORE

Biteko Akutana na Mtendaji Mkuu wa Rashal Energies, Inayojenga Bomba la Gesi Kisemvule-Mbagala  

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, amekutana na kufanya mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa kampuni ya...

READ MORE

Aliyejifanya Luteni Wa Jeshi Simiyu Apandishwa Kizimbani – Video

Nchambi Nsungwa Mapanda kwa jina maarufu Emanuel Gangala (24) mkazi wa mtaa wa sima katika halimshauri ya mji wa Bariadi...

READ MORE

Rais Samia Kuisuka Upya Muhimbili, Mipango Yaiva Na Huduma Zote Zitatolewa Ndani Ya Jengo Moja

Serikali imedhamiria kuboresha Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kuijenga upya ili kuwezesha huduma zote kutolewa ndani ya jengo moja litakalokuwa...

READ MORE

Mabadiliko Katika Sheria za Uchaguzi Sasa Kuruhusu Wafungwa Chini ya Miezi 6 Kupiga Kura

Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), CPA Amos Makalla, amesema mabadiliko katika...

READ MORE

Trump kuwatimua chuoni wanaounga mkono Wapalestina

Rais Donald Trump wa Marekani, ametishia kusitisha ufadhili wa serikali ya shirikisho kwa vyuo vikuu au taasisi zozote za elimu...

READ MORE

Ifahamu Simu Mpya ya Infinix Zero Flip Min Tri-Fold Yenye Uwezo wa Kujikunja Mara Tatu

Infinix inakaribia kuzindua toleo jipya la simu itayofahamika kwa jina la Infinix ZERO Flip Min Tri-Fold yenye uwezo wa kujikunja...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Mkutano wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama SADC kwa njia ya mtandao

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ambae pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi...

READ MORE

Macron: Nani anaamini Urusi ya leo itaishia tu Ukraine?

Rais Emmanuel Macron amewakumbusha viongozi wenzake kwamba “hatma ya Ulaya haiwezi kuamuliwa na Washington au Moscow” na kuwatanabahisha kuwa enzi...

READ MORE

Serikali Inatambua Umuhimu Wa Kukuza Usawa Wa Kijinsia Na Uwezeshaji Wanawake – Majaliwa

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kongamano la Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani Kanda ya Kusini, yanayofanyika katika viwanja...

READ MORE

Dereva Wa Teksi Akamatwa Kwa Tuhuma Za Mauaji Morogoro

Mwanaume mmoja aliyefahamika kwa jina la Omary Seleman Mwanamtwa (61), mkazi wa Morogoro ambaye ni dereva wa teksi, anashikiliwa na...

READ MORE

‘Wapambe’ Wa Riek Machar Wakamatwa Sudan Kusini

Vikosi vya Sudan Kusini vimemkamata Waziri wa Mafuta na maafisa kadhaa wakuu wa kijeshi waitifaki wa Makamu wa Kwanza wa...

READ MORE

Meridianbet Yasapoti Wanawake, Wiki ya Wanawake

Kuelekea wiki ya siku ya wanawake Duniani ambayo ni Jumamosi hii, Meridianbet wakali wa ubashiri Tanzania leo hii wameamua kuwafikia...

READ MORE

Watu 14 Wajeruhiwa Maandamano Ya Msumbiji

Watu 14, wakiwemo watoto wawili, wamejeruhiwa nchini Msumbiji baada ya polisi kutumia risasi za moto na gesi ya kutoa machozi...

READ MORE

Ajali Ya Treni Yasababisha Maandamano Makuba

Maandamano makubwa yanaendelea nchini Ugiriki huku serikali ikikabiliwa na shinikizo la kura ya kutokuwa na imani kufuatia ajali mbaya ya...

READ MORE

Waziri Mkuu Ashiriki Iftari Na Benki Ya Nmb Pamoja Na Watoto Wanaoishi Kwenye Mazingira Magumu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Machi 05, 2025 ameshiriki hafla ya Iftari na Benki ya NMB pamoja na watoto wanaoishi katika...

READ MORE

Miaka Minne Ya Rais Samia Moi Yaimarisha Huduma Za Ubingwa, Ubingwa Bobezi

Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imepiga hatua kubwa katika kuboresha huduma zake, hususan kwa kupanua wigo...

READ MORE

Rais Samia alivyowaandalia Iftar viongozi wa dini na Wazee wa Mkoa wa Dar – Picha

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Dkt. Samia Suluhu Hassan Machi 5, 2025 aliwaandalia Iftar viongozi wa dini na...

READ MORE

Korea Kaskazini Yalaani Uchokozi Wa Kijeshi Wa Marekani

Mar 04, 2025 07:43 UTC, Korea Kaskazini yalaani uchokozi wa kijeshi wa Marekani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Korea...

READ MORE

Profesa Philemon Sarungi afariki dunia

Mwanasiasa mkongwe nchini aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Rorya mkoani Mara na aliyewahi kuwa waziri kwenye wizara mbalimbali, Profesa...

READ MORE

Wananchi Jitokezeni Kujiandikisha Daftari la Wapiga Kura

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimehamasisha wanachama wake kujitokeza kwa wingi kwenye shughuli ya kuboresha taarifa zao kwenye daftari la mpiga...

READ MORE

Jukwaa Linaloongoza Katika Huduma za Usafiri, Lathibitisha Kutoa Punguzo kwa Abiria

Dar es Salaam, Tanzania – Bolt, jukwaa linaloongoza katika huduma za usafiri wa mtandaoni, linathibitisha rasmi kwamba punguzo linalotolewa kwa...

READ MORE

Rais Samia Awatakia Wakristo Kheri katika kipindi hiki cha Kwaresima

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewatakia wakristo nchini kheri katika kipindi hiki cha kwaresima...

READ MORE

Majaliwa Aweka Jiwe La Msingi Ujenzi Wa Bwawa La Kidunda

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Machi 05, 2025 ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa mradi wa Bwawa la Kidunga...

READ MORE

Rais Trump Azomewa Bungeni, Apata Wakati Mgumu Kuhutubia, Mbunge Atolewa Ukumbini – Video

Rais wa Marekani, Donald Trump, usiku wa kuamkia leo, Machi 5, 2025, alikumbana na upinzani mkali wakati wa hotuba yake...

READ MORE

EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta ya Petroli na Dizeli

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa...

READ MORE

Jinsi Wanawake Wanavyoweza Kuepuka Aibu ya Kukaa Muda Mrefu Bila Kuolewa

Unajua hapa duniani kila mwanamke ana ndoto ya kuolewa na mwanaume mzuri ampendaye ambaye anaona anamfaa kuanzisha naye familia na...

READ MORE

Rais wa Baraza la Taifa na Bunge la Jamhuri ya Cuba Awasili nchini

Rais wa Baraza la Taifa na Bunge la Jamhuri ya Cuba, Esteban Lazo Hernandez, amewasili nchini kwa ziara ya kikazi...

READ MORE

Kenya Yakabiliana Na Mlipuko Wa Ugonjwa Usiojulikana Katika Jimbo La Kisii

Wizara ya Afya nchini Kenya imetangaza kuwa, imo mbioni kupambana na mlipuko wa ugonjwa usiojulikana ambao umeathiri zaidi ya watu...

READ MORE

CCM Yawaonya Wanaojipitisha Majimboni na Utenguzi wa Wajumbe

Katibu wa NEC, Itikadi Uenezi na Mafunzo CCM, Amos Makalla ametoa maelekezo kwa watendaji wa chama hicho ngazi zote nchini...

READ MORE

NBC Yajizatiti Kushirikiana na Halmashauri Kudhibiti Upotevu wa Mapato, Kuunga Mkono Agizo la Rais Samia

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imesisitiza dhamira yake ya kushirikiana na halmashauri pamoja na mamlaka zote za tawala za...

READ MORE

CPA Makalla: Lissu na Wenzake Hawana Mamlaka ya Kuzuia Uchaguzi

KATIBU wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapunduzi (CCM),CPA Amos Makala amewataka Watanzania kupuuza madai ya Chama...

READ MORE

DC Temeke na Mbunge Kilave Wawafunda Bodaboda Kuiheshimu Kazi Yao

Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda pamoja na Mbunge wa Jimbo hilo Dorothy Kilave wamewaasa maafisa usafirishaji kwa njia...

READ MORE