×

Habari

Wanajeshi Wa Ukraine Hawaamini Kwama Vita Vitaisha

Wakati Moscow ikizingatia usitishwaji wa vita kwa muda, vikosi vyake vya kijeshi vinaendelea kupambana katika mstari wa mbele. Majadiliano ya...

READ MORE

Kaka wa Naomi Marijani Aanguka Akisoma Wosia wa Dada Yake – (Picha + Video)

  Machozi na huzuni vimetawala nyumbani kwa Ismail Marijani, kaka wa marehemu Naomi Marijani, wakati wa kuaga jeneza lenye sampuli...

READ MORE

Waziri Mkuu Azindua Msikiti Wa Nuuril Hikma Temeke jijini Dar

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Machi 14, 2025 amezindua msikiti wa Masjid Jaami’u Nuuril Hikma uliopo mtaa wa Yombo, Temeke...

READ MORE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Ahitimisha Ziara Yake Mkoani Tabora

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 14, 2025 akiagana na viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM) baada...

READ MORE

Lori La Mizigo Dar Laparamia Gari, Bajaji Na Dalala – (Video +Picha)

Ajali mbaya imetokea asubuhi ya leo Machi 14, 2025 katika eneo jirani na Moshi Bar, Ukonga jijini Dar es Salaam...

READ MORE

Rais mstaafu, Dkt. Jakaya Kikwete Afanya Ziara Tokyo nchini Japan

Rais mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, akiwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Elimu la Kimataifa (GPE), yupo Tokyo nchini...

READ MORE

Majaliwa: Serikali Itaendelea Kuboresha Mazingira Ya Ujasiriamali

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea na mkakati wa kufungua milango ya ujasiriamali kwa kutekeleza sera na programu mbalimbali...

READ MORE

Tundu Lissu, Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Wazuiwa kuingia Angola

Msafara wa Viongozi wa ACT Wazalendo ukiongozwa na Kiongozi wa Chama Dorothy Semu na Makamu wa Kwanza wa Rais wa...

READ MORE

JKT Watangaza Msako Kwa Waliogushi Vyeti na Kujipatia Ajira

Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limetoa onyo kwa baadhi ya vijana wanaogushi cheti cha Jeshi hilo kwa ajili ya kupata...

READ MORE

Jumba La Dhahabu: Msimu Wa Pili Waja Na Msisimko Mpya! – Video

Muigizaji na muongozaji wa filamu nchini, Tuesday Kihangala maarufu kwa jina la Mr. Chuzi, amewataka Watanzania na wapenzi wa filamu...

READ MORE

RC Chalamila Akutana na Mama wa Mbezi, Amhakikishia Nyumba Haitauzwa – Video

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amerudisha tabasamu kwa Bi Beatrice William ambaye amekumbwa na sakata la...

READ MORE

NMB Yaendeleza Utamaduni wa Futari ya Kipekee kwa watoto vituo vitano na Wabunge Dodoma

Moja ya matukio makubwa nchini wakati jua linazama Jumatano wiki hii ilikuwa ni futari ya kukata na shoka iliyoandaliwa na...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Mkutano Wa Dharura Wakuu Wa Nchi Za SADC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya...

READ MORE

Alhamisi Yako ni Murua Ukibeti na Meridianbet

Mechi za Europa League hatua ya mtoani zinaendelea leo ambapo mechi kibao zitakuwa dimbani kuanzia saa 2 usiku kuhakikisha zinapata...

READ MORE

Majaliwa Azindua Kituo Cha Mabasi Nzega Mjini

  WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Machi 13, 2025 amezindua kituo kipya cha Mabasi cha Nzega mjini ambacho ujenzi wake...

READ MORE

Kamati ya Kudumu ya Bunge Ilivyofanyia Ziara Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama imefanya ziara kutembelea ujenzi wa Makao Makuu ya...

READ MORE

Majaliwa: Serikali Itaendeleza Mikakati Ya Kukuza Sekta Ya Mifugo

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea kuweka mikakati madhubuti ya kuhakikisha sekta ya mifugo inakuwa endelevu na yenye...

READ MORE

Kamati ya Bunge Yapongeza PSSSF Kwa Usimamizi Mzuri wa Vitegauchumi Vyake

Kamati ya kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeupongeza Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa Watumishi wa...

READ MORE

Iran yakataa mazungumzo na Marekani kuhusu mkataba wa nyuklia

Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema Iran haipo tayari kwa mazungumzo na Marekani wakati inapewa vitisho na kumtaka Rais Donald...

READ MORE

Bi Regina Ashinda Kesi, Mahakama Yaamuru Akabidhiwe Nyumba

MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Ardhi imefanikiwa kutatua mgogoro wa zaidi ya miaka 20 uliohusisha umiliki wa nyumba, ambayo aliyekuwa Mtaalamu...

READ MORE

Ufafanuzi wa Polisi Kifo cha Mwanafunzi wa Darasa la Tatu Kagera

Jeshi la Polisi mkoani Kagera limefafanya kifo cha Mwanafunzi wa darasa la tatu katika Shule ya Msingi ya Tumsime, iliyopo...

READ MORE

Wanaodaiwa Kumuua Regina na Kumtumbukiza Kweye shimo la Choo Waburutwa Mahakamani

Wanandugu wawili wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam wakikabiliwa na shtaka moja la kumuua kwa...

READ MORE

Aliyekuwa CAG Prof. Mussa Assad Atoa Mafunzo ya Uongozi Chadema

Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Prof. Mussa Assad ametoa mafunzo ya Uongozi kwa Viongozi wa...

READ MORE

Aliukataa Ujauzito Alionipa na Kunituhumu Kwamba Mimi ni Msaliti

Naitwa Pili kutokea Zanzibar, miaka kama sita iliyopita nilikutana na kijana mmoja anayetokea familia ya kitajiri, tulipendana sana na tulifanya...

READ MORE

CPA Makalla Aongoza Ujumbe wa NEC Katika Ziara Nchini China

Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM CPA Amos Makalla ameongoza ujumbe wa NEC ya CCM katika ziara nchini...

READ MORE

Rais Samia Afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Dkt. Moses Kusiluka, uteuzi huo ni kama ifuatavyo: Dkt. Ismael...

READ MORE

Waziri Mkuu Aweka Jiwe La Msingi Mradi Wa Maji Makoremo-Mgongoro

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Machi 12, 2025 ameweka jiwe la msingi la Mradi wa Upanuzi wa Mtandao wa Majisafi...

READ MORE

Meridianbet Kasino Ushindi Mkubwa na Lucky Dolphin

Unambiwa bahari imebeba viumbe vingi vya ajabu, samaki, majini na madini, lakini pia rasilimali zenye utajiri mkubwa kama mafuta na...

READ MORE

Mganga Aliyekutwa Akifuga fisi Jela Miaka 20 Wilayani Bariadi

Mahakama ya Wilaya Bariadi mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela pamoja na kuchapwa viboko 12 Emmanuel John (31),...

READ MORE

DRC Kuzungumza Na M23 Nchini Angola

Ofisi ya Rais wa Angola imetangaza kuwa itawasiliana na vuguvugu la M23 ili kundi hilo na serikali ya DRC wafanye...

READ MORE

Trump: Atakayeshambulia Magari ya Tesla Atakiona – Video

Rais Donald Trump wa Marekani amesema kwamba vitendo vya fujo au uvamizi wowote kwenye ofisi za kampuni ya kuuza magari...

READ MORE

RC Chalamila Atolea Ufafanuzi Changamoto Ya Bi. Martha Na Amana Hospitali – Video

Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila amekutana na kufanya mahojiano na Mganga mfawidhi wa Hospitali ya Amana,...

READ MORE

Shigongo Amshukuru Rais Samia Kwa Mradi Mkubwa wa Maji Maisome

Mbunge wa Buchosa Eric Shigongo ametiza ahadi ya ujenzi wa mradi mkubwa maji ya bomba utakao huduma wakazi 16983 wa...

READ MORE

Mke Wangu Amenisingizia Jambo la Uongo Lililonitia Aibu Kupita Kiasi sana

Jina langu ni Jamal kutokea Pwani, katika maisha yangu, kamwe siwezi kusahau miaka kama saba iliyopita ambapo shemeji yangu alinifungulia...

READ MORE

DC Mwangwala: Elimu ya Kodi Itaisaidia Taifa

Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Raymond Mwangwala akizungumza na maafisa Forodha kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania, hivi karibuni wakati maafisa...

READ MORE

CCM Yaweka Ukomo Nafasi za Ubunge, Uwakilishi na Udiwani wa Viti Maalum

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeweka ukomo wa vipindi viwili vya miaka mitano kwa nafasi za ubunge/uwakilishi na udiwani wa viti...

READ MORE

Rais Samia Awachana Ma-RC Na Ma-DC Wanaotaka Ubunge – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Machi 11, 2025 amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri, Wakuu...

READ MORE

Benki ya Exim Yazindua Huduma ya Lipa ChapChap Kuongeza Malipo ya Kidijitali

Benki ya Exim Tanzania imezindua rasmi huduma yake mpya inayojulikana kama Lipa Chapchap, suluhisho bunifu la malipo ya kidijitali ambalo...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa UNICEF, Ikulu Chamwino Dodoma

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya Mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika...

READ MORE

Ubunifu wa FinTech na Biashara Changa Kupitia “Wazo Challenge” Wahamasishwa

Dar es Salaam 23 Machi 2025: Benki ya Absa Tanzania, kwa kushirikiana na Hindsight Ventures, imezindua Wazo Challenge Tanzania, mpango...

READ MORE