×

Habari

Rwanda Yaikubalia SADC Kujadili Mzozo Wa DRC

  Rwanda Jumapili imekubaliana na pendekezo la kufanyika kwa mkutano utakaosimamiwa na SADC na Jumuiya ya Afrika Mashariki kujadili mzozo...

READ MORE

Benki ya Stanbic Yatoa Msaada Kituo cha Watoto Wenye Mahitaji Maalumu Arusha

Benki ya Stanbic Tanzania imekabidhi msaada wa meza 20 kwa kituo cha watoto wanaoishi na ulemavu wa mtindio wa ubongo...

READ MORE

Mchekeshaji Maarufu Wa Tiktok Atembelea Kwao Senegal, Alamba Dili Na UNICEF – Video

Khaby Lame, kijana mwenye asili ya Senegal na mchekeshaji maarufu zaidi duniani kwenye mtandao wa TikTok, ameteuliwa kuwa Balozi Mwema...

READ MORE

Mtanzania Asimulia Alivyoshiriki Uandaaji Wa Filamu Ya Hollywood – Mufasa: The Lion King

Mtayarishaji na mzalishaji wa video na filamu mwenye uzoefu wa muda mrefu nchini Tanzania, Mussa Ally, maarufu kama Kaka Mussa,...

READ MORE

Netanyahu Kukukutana na Trump White House Kuwajadili Hamas

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu anatarajiwa kukutana na Rais wa Marekani, Donald Trump katika Ikulu ya White House, Jumanne...

READ MORE

Makalla: Miaka 48 ya CCM Imeleta Mapinduzi Makubwa katika Jamii

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema kina mengi ya kujivunia katika kuadhimisha miaka 48 ya chama hicho, kwani kimeendelea kuleta mapinduzi...

READ MORE

Trump Atoa Amri Jeshi Liwapige Magaidi wa Islamic State

Rais wa Marekani, Donald Trump, amesema kuwa ni yeye aliyeidhinisha mashambulizi ya anga ya Jeshi la Marekani nchini Somalia jana,...

READ MORE

Walimu 122 Waitwa Kazini Temeke, Mji Kibaha na Kinondoni, Majina Yapo Hapa

Sektretarieti ya ajira imetangaza majina 122 kuingia katika ajira mpya serikalini Februari Mosi 2025. Kwa mujibu wa tangazo hilo lililochapishwa...

READ MORE

Mkuu Wa Shule Ajiua Kwa Sumu Shinyanga, Polisi Wathibitisha – Video

Mkazi wa Kijiji cha Chambo, Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Zaharani Patrombeyu (44), ambaye alikuwa mkuu wa Shule ya Sekondari...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Februari 2, 2025

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Mlacha Ajishindia Mil. 5 ya Magift ya Kugift Wengine Waondoka na Milioni Milioni

Kampuni ya mtandao wa Mawasiliano ya YAS Tanzania, ikishirikiana na kitengo cha Mixx by Yas ,Leo hii Feb 3  2025,...

READ MORE

Nchimbi:CCM Na PP Kuimarisha Uhusiano wa Tanzania na Ethiopia

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema urafiki kati ya CCM na Prosperity Party,...

READ MORE

Wanafunzi Waliopata Division One St Mary’s Kwenda Kutalii Mikumi

WANAFUNZI 30 wa shule ya St Mary’s Mbezi waliopata daraja la kwanza kwenye matokeo ya kidato cha nne  mwaka huu...

READ MORE

UN: Watu 700 Wameuawa DRC Ndani Ya Siku 5

  Umoja wa Mataifa (UN) umetoa wito wa kukomesha vita mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), ambako mapigano...

READ MORE

Polisi Arusha Washiriki Mazoezi ya Pamoja na Vyombo vingine vya Ulinzi

Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya Ulinzi na Usalama Mkoani humo leo Februari 01,...

READ MORE

Hamas Yatangaza Kuuawa Kwa Makamanda Wao

  HAMAS, wamethitibisha habari ya kuuawa kwa makamanda wake kadhaa katika mashambulizi ya Israel kwenye eneo lililozingirwa kila upande la...

READ MORE

Meridianbet Yawageukia Mama Ntilie Muhimbili

Ni siku nyingine tena ya Ijumaa ambapo wakali wa ubashiri Meridianbet waliamua kufunga safari na kwenda hadi Muhimbili kwa lengo...

READ MORE

Ajali Nyingine Ya Ndege Marekani Yalipuka Angani

Ndege ndogo ya matibabu aina ya jet, iliyokuwa ikimbeba mtoto mgonjwa, mama yake, na watu wengine wanne, ilianguka katika kitongoji...

READ MORE

Mahakama ya kijeshi Uganda Yapigwa marufuku kusikiliza kesi za kiraia

Mahakama ya juu nchini Uganda imeamuru kesi zote zinazowahusu raia katika mahakama ya kijeshi zisitishwe mara moja kusiskilizwa na zihamishwe...

READ MORE

Jinsi ya Kujua Kiasi cha Maji Kinachofaa kwa Mwili Wako, Soma Hapa

Maji ni msingi wa afya ya mwili. Yana jukumu la kusafisha sumu mwilini, kusaidia mmeng’enyo wa chakula, kulinda afya ya...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Mkutano wa Dharura wa Wakuu wa Nchi Zimbabwe (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya...

READ MORE

Binti Aliyepata Scholership India Arudi Na Ugonjwa Mwaka 1 Kabla Ya Kuhitimu – Video

  Ni huzuni kwa Leyla Shabani Mrosa (23), msichana mwenye ndoto kubwa aliyefanya vizuri kwenye masomo hadi kupata scholarship ya...

READ MORE

Mkulima wa Manyara Aliyejishindia Gari na Magift ya Kugift Apelekewa Mpaka Kijijini Kwake

Ibrahim Njeja, mkulima kutoka Manyara, akipiga picha na mke wake baada ya kupokea gari aina ya Kia Seltos aliloshinda katika...

READ MORE

Trump: Mgogoro Wa DRC, Rwanda Ni Tatizo Kubwa

    Rais wa Marekani, Donald Trump amesema mgogoro unaoendelea kati ya Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ni...

READ MORE

Makalla: Teknolojia Inayotumika Kujenga Skuli za Zanzibar Ipelekwe Bara

Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu CPA Amos Makalla amesema Zanzibar kunajengwa shule au jina...

READ MORE

Kesi ya Dkt. Slaa, Mahakama ya Kisutu Yasema Imefungwa Mikono Kuendelea Nayo…

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema imefungwa mikono kusikiliza kesi ya kusambaza taarifa za uongo inayomkabili aliyekuwa Katibu Mkuu wa...

READ MORE

Rais Samia Alivyowasili Zimbabwe kuhudhuria Mkutano wa SADC

Matukio mbalimbali ya kuwasili kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Uwanja wa Ndege...

READ MORE

Katibu Mkuu wa CCM, Dkt. Nchimbi Awasili Ethiopia kwa Ajili ya ziara ya Kikazi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa...

READ MORE

Marekani: Kisanduku Cheusi Ajali Ya Ndege iliyosababisha Vifo 67 Chapatikana

Mamlaka nchini Marekani zimesema zimefanikiwa kukipata kisanduku cheusi cha ndege ya abiria iliyogongana na helikopta ya kijeshi ya Black Hawk...

READ MORE

Mtoto Wa Zuma Atiwa Mbaroni Kwa Tuhuma Za Ugaidi

MTOTO wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma, Duduzile Zuma-Sambudla, amekamatwa na kufikishwa mahakamani kujibu mashtaka ya ugaidi....

READ MORE

Stanbic Yatoa Wito wa Uwekezaji Katika Sekta ya Nishati na Ushirikiano wa Kikanda

Kadiri Afrika Mashariki inavyoelekea katika zama mpya za mageuzi ya sekta ya nishati, Tanzania inachukua nafasi muhimu katika kuunda mustakabali...

READ MORE

Kundi la waasi wa M23 Latishia kusonga mbele hadi Kinshasa

Kundi la waasi wa M23 Alhamisi limeapa kusonga mbele kuelekea mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Kinshasa, huku...

READ MORE

TRA Yahamishia huduma zake katika jengo la Diamond Plaza

Kufuatia ajali ya moto iliyotokea leo Januari 30, ambayo imeathiri jengo la Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) lililopo Kariakoo, mamlaka...

READ MORE

Dkt. Biteko Aongoza Waombolezaji Kuaga Miili Ya Wanafunzi Waliofariki Kwa Radi Geita

Leo Januari 30, 2025 mkoani Geita, maelfu ya waombolezaji wamejitokeza kuaga miili ya wanafunzi saba wa Shule ya Sekondari Businda...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Chakula Cha Mchana Na Walioshiriki Uokoaji Jengo Kariakoo (Picha + Video)

Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki chakula cha mchana na watendaji wa vikosi mbalimbali pamoja na watu walioshiriki katika shughuli ya...

READ MORE

Meridianbet Yapeleka Msaada Zahanati ya Alimaua

Katika kuendelea kuisadia jamii kwenye mahitaji mbalimbali, Meridianbet waliamua kufika katika zahanati ya Alimaua na kutoa msaada wa mashuka ambapo...

READ MORE

Rais Samia Ashiriki Kikao cha Dharura EAC

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa 24 wa Dharura wa Wakuu wa...

READ MORE

Exim Bank Yapanua Wigo Wake kwa Kuipokea Canara Bank Tanzania

Exim Bank Tanzania imekamilisha rasmi ununuzi wa Canara Bank Tanzania! Huu ni ununuzi wa tatu ndani ya miaka sita, ikizidi...

READ MORE

Mahakama Yamhukumu Raia wa Canada Kwa Kuisababishia Hasara Serikali

MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imemtia hatiani Abdi Warsam Raia wa Canada mwenye asili ya Somalia na kuamuliwa kurudisha kiasi...

READ MORE