×

Habari

Kurasa za Magazeti ya leo Novemba 26, 2024

  Karibu kusoma kurasa za magazeti ya Leo kupitia @255globalradio na kufuatilia uchambuzi kupitia kipindi cha FRONT PAGE, @godmuya atakupitisha...

READ MORE

Mkakati: CCM Kuhitimisha Kampeni Kwa Kishindo

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kitafunga kampeni zake za uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kishindo, kwa namna ile ile kilivyozindua....

READ MORE

Rais Dkt. Samia Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Msikiti wa Al Ghath Morogoro

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi...

READ MORE

Vodacom Kufungua Fursa za Ajira kwa Vijana Milioni 1 Kupitia Uboreshwaji wa Ujuzi wa Kidijitali Barani Afrika

Kundi la makampuni ya Vodacom barani Afrika (Vodacom Group) limejiunga na watoa huduma wa teknolojia ili kutengeneza fursa kwa vijana...

READ MORE

Tanzania Yashinda: World’s Leading Safari Destination, Eneo Maridhawa Zaidi Kwa Utalii wa Safari Duniani

Hatimaye baada ya mchuano mkali Tanzania imeibuka kuwa eneo linaloongoza zaidi duniani kwa utalii wa safari (hasa za kuona wanyama...

READ MORE

Mume Wangu Aliniacha Baada ya Kukaa Miaka 6 Kwenye Ndoa Kisa Harufu Kali

Jina langu ni Kathure kutokea kwenye kaunti ya Meru, nilikuwa kwenye ndoa kwa muda wa miaka sita, tulikuwa tunaishi kwa...

READ MORE

Vodacom, Sanlam Investments Wazindua M-Wekeza, Uwekezaji Kupitia Simu

Kampuni inayoongoza katika Teknolojia na Mawasiliano, Vodacom Tanzania Plc kwa kushirikiana na Sanlam Investments East Africa Limited, leo wamezindua M-Wekeza,...

READ MORE

Kairuki Yaja na Teknolojia Kutibu Saratani Bila Upasuaji

Dk Fredy Rutachunzibwa wa Kairuki hospitali ambaye ni Mtanzania wa kwanza kufuzu mafunzo ya kutibu saratani kwa kutumia teknolojia ya...

READ MORE

CPA Makalla: Ushindi wa CCM Unatokana na Imani ya Wananchi Kwa Kazi Nzuri

KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC), Itikadi Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla amesema CCM...

READ MORE

Dkt. Samia Atunukiwa Shahada ya Udaktari wa Heshma ya Uongozi

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Mume Adaiwa Kumuua Mkewe Kisa Kunyimwa Unyumba – Video

Jeshi la Polisi Mkoani Ruvuma linamsaka Martin Hyera kwa kosa la kumuua mke wake Luciana Kapinga kwa kumpiga na kitu...

READ MORE

Rais Samia Alivyowasili kwa Treni ya SGR Mkoani Morogoro (Picha + Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan alivyowasili katika Stesheni ya Jakaya Kikwete Mkoani Morogoro ambapo...

READ MORE

Twende na Kasi ya Dunia Ubunifu na Ujasiriamali: Balozi Nchimbi

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewataka wahitimu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe kuendelea...

READ MORE

CCM Hatucheki na Mtu Katika Kushika Dola, Tumejipanga-CPA Makalla

KATIBU wa Halmashauri Kuu ( NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla...

READ MORE

Rais Samia Abishana Na Wamarekani Tanzania Siyo Maskini “Kwao Kuna Umaskini Wa Kutosha” – Video

Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania siyo maskini kama mataifa ya nje yanavyojaribu kuwaaminisha watu.

READ MORE

Wasimamizi Waaswa Kusimamia Viapo Vyao Kuelekea Uchaguzi Wa Serikali Za Mitaa 2024

Kuelekea katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024, Wasimamizi wa vituo vya kupigia kura pamoja na wasimamizi wa vijiji wameapishwa ...

READ MORE

Afisa Tarafa wa Nyaishozi Akawakabidhi Reflectors Maafisa Usafirishaji Akihamasisha Kupiga Kura

Afisa Tarafa wa Nyaishozi, jijini Dar es Salaam, Ndg. Kelvin Berege amekabithi viakisi mwanga (Reflectors) kwa Maafisa Usafirishaji (Bodaboda) wa...

READ MORE

Maelekezo Ya Rais Samia Yaanza Kutekelezwa Katavi

Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Jimbo la Kavuu, Geophrey Mizengo Pinda amekabidhi jumla...

READ MORE

Mafundi Mitambo Walivyopewa Mbinu za Kupata Ajira Kiurahisi

Dar es Salaam, 23 Novemba 2024: Wahitimu wa fani ya ufundi na uendeshaji mitambo mikubwa kutoka Chuo cha IHET, wametakiwa...

READ MORE

Waokoaji Janga la Kariakoo Waendelea Kupigwa Tafu na Wadau

Maneja Mkuu wa Mahesabu OYA  Mr. Alfa Chiwanga  (kushoto) akiwa na  Meneja Rasilimali Watu wa OYA, Regina Maduka wakikabidhi msaada...

READ MORE

Polisi Wafunguka Mbowe na Wanachama Wengine Kukamatwa

Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia wanachama wa CHADEMA ambao ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Aikael Mbowe, Joseph...

READ MORE

Msemaji wa Polisi: Upelelezi Kuhusu Tarimo na Mmiliki wa Jengo Kariakoo Upo katika Hatua Nzuri

Msemaji wa Jeshi la Polisi Makao Makuu Dodoma David A.Misime amesema kuwa kutokana na waandishi wa habari na wananchi katika...

READ MORE

Waziri Mkuu Mgeni Rasmi Mkutano Wa Pamoja Wa Mawaziri Na Viongozi Wa WHO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 21, 2024 ni mgeni rasmi katika mkutano wa pamoja wa Mawaziri na Viongozi wa...

READ MORE

UDSM na Empower Limited Wazindua Mpango Maalum wa Kuwaandaa Viongozi Bora

Dar es Salaam, 22 Novemba 2024: Uongozi wa Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam kilichopo Mlimani jijini leo umeungana na...

READ MORE

Gambo Aunguruma Arusha, Aonya Wenyeviti Serikali Za Mtaa Kutumia Mihuri Kujinufaisha

Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo amewaongoza wanachama na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uzinduzi wa kampeni...

READ MORE

Nyumba 2,500 Zakamilika Msomera Tanga, Usambazaji Wa Umeme Wafikia Asilimia 98

Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) tarehe 21 Novemba, 2024 imefanya ziara ya kikazi...

READ MORE

Balozi Charlotta Marcias: Mtaala Mpya utafanya wahitimu kuwa na ushindani Duniani

Balozi wa Sweden nchini Tanzania, Charlotta Ozaki Marcias ameiomba Serikali ya Tanzania kuendelea kufanya maboresho ya elimu hususani mitaala ili...

READ MORE

Trump Amteua Pam Bondi Kuwa Mwanasheria Mkuu

Saa kadhaa baada ya mteule wake wa kwanza kujitoa, Rais mteule wa Marekani, Donald Trump, ametangaza chaguo lake jipya la...

READ MORE

Netanyahu alaani ICC kwa kutoa waranti ya kukamatwa kwake

Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu amelaani uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita na Uhalifu (ICC) wa...

READ MORE

Gavu: CCM Imejipanga Kuwatumikia Wananchi, Chagueni Wagombea Wetu

KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC) Oganaizesheni na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Issa Gavu amesema Chama Cha...

READ MORE

Public Notice: Request for expression of Interest (EOI) to invest in funds Lands.

Public Notice: Request for expression of Interest (EOI) to invest in funds Lands.

READ MORE

Mbunge Stella Ikupa Afanya ziara Katika Vituo vya Watu wenye Ulemavu

Mbunge wa Viti Maalum, anayewakilisha watu wenye ulemavu Tanzania, Stella Ikupa, amefanya ziara katika vituo vya watu wenye ulemavu, wasafirishaji...

READ MORE

Gavu Aelezea Jinsi Miradi ya Maendeleo Ilivyotekelezwa na Serikali Mkoani Geita

Geita 21 Novemba 2024: Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC) Oganaizesheni na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

READ MORE

Vodacom Wafungua Duka Jipya Stesheni ya SGR Dodoma

Dodoma – 20th Novemba 2024: Vodacom Tanzania Plc imezindua duka lake jipya (Vodashop) katika stesheni ya SGR iliyopo mkoani Dodoma...

READ MORE

Jukwaa La Mtandao wa Petroli na Gesi la Uganda na Tanzania Kupeleka Mbele Mabadiliko Katika Tasnia ya Nishati

Jukwaa la Mtandao wa Petroli na Gesi la Uganda na Tanzania lilifanyika tarehe 22 Novemba 2024 jijini Dar es Salaam,...

READ MORE

Kampeni S/Mitaa Makalla Aacha Ujumbe Mzito Kigamboni

“Niwapongeze wanachama wa CCM wa mkoa wa Dar es Salaam kwa kujitokeza kwa wingi kujiandikisha, Mkoa huu ni miongoni mwa...

READ MORE

BOT Yazifungia ‘Applications 69” za Utoaji wa Mikopo Kidijitali

BENKI Kuu ya Tanzania (BoT) imetangaza application 69 ambazo haziruhusiwi kutoa huduma za mikopo mtandaoni kwa kuwa hazina kibali na...

READ MORE

Makala: Mbowe Anasema Chama Chao Hakina Ilani, Wagombea Watabuni Buni

KATIBU wa Halmashauri Kuu (NEC ) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi,Siasa na Mafunzo CPA Amos Makala amesema amemsikia...

READ MORE

Mwanamke ahukumiwa kifo Kwa Kumuua rafiki yake, Asubiri kesi nyingine 14 za mauji

MWANANMKE mmoja nchini Thailand amehukumiwa kifo katika kesi ya kwanza kati ya msururu wa kesi anazotuhumiwa kuwaua marafiki zake 14...

READ MORE

Rais Samia: Tumepata Somo La Kuchunguza Usalama Wa Maghorofa Ya Kariakoo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu amesema tukio la kuanguka jengo la ghorofa nne katika Mtaa...

READ MORE