×

Habari

Instagram Yabadili Mwonekano wa Ukubwa wa Picha

Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa mitandao ya kijamii hususan Instagram, utakuwa umeshagundua kwamba kuna mabadiliko yanayoendelea kwenye App hiyo...

READ MORE

Chadema Yapitisha 23 Kuwania Ujumbe wa Kamati Kuu

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jumapili Januari 19, 2025 kimewapitisha makada wake 23 kuwania ujumbe wa Kamati Kuu. Hatua...

READ MORE

Mateka wa Israel Waachiwa na Wapiganaji wa Hamas

Kufuatia makubaliano ya kusitisha mapigano kati ya Israel na wapiganaji wa Hamas wa Palestina, watu waliokuwa wakishikiliwa mateka kutoka pande...

READ MORE

Rais Samia Aongoza Kikao cha Dharura cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha...

READ MORE

Rais Samia Na Nchimbi Kupeperusha Bendera CCM – Video

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na mgombea urais kwa tiketi ya CCM,...

READ MORE

Ushindi Bab Kubwa Kupitia Malipo ya Kidigitali ‘Tap Kibingwa’ Ya Stanbic

Dar es Salaam, Tanzania, 15 Januari 2025: Benki ya Stanbic Tanzania imezindua rasmi mpango wake mpya, kampeni ya “Tap Kibingwa,”...

READ MORE

Rinazon Ministry Ukombozi kwa Wanandoa

Rinazon Ministry ni huduma ya kiroho ambayo imekuwa na mkombozi mkubwa kwa wanandoa katika kustawisha ndoa zao na kuzitibu ndoa...

READ MORE

Majaliwa: Rais Samia Ameimarisha Amani Kupitia 4R, na Ameongoza kwa mafanikio – Video

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amepongeza juhudi na uongozi bora wa Rais Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Serikali Yakusanya Trilioni 105.26 ndani ya Miaka 4 – Video

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema kuwa katika kipindi cha kuanzia Novemba 2020 hadi Oktoba...

READ MORE

Watu zaidi ya 70 Wapoteza Maisha na wengine kujeruhiwa baada ya lori la mafuta kusababisha mlipuko

Watu zaidi ya 70 wamepoteza maisha na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya lori la mafuta kupinduka na kusababisha mlipuko, tukio...

READ MORE

Maelfu ya watu waandamana kabla ya kuapishwa kwa Trump

Maelfu ya watu wengi wao wanawake waliandamana mjini Washington jana Jumamosi Januari 18, 2025, kulalamika dhidi ya kuapishwa kwa Rais...

READ MORE

Kilimanjaro International Marathon 2025 Yazinduliwa Moshi

Msimu wa 23 wa mbio za kimataifa za Kilimanjaro Premium Lager International Marathon 2025 umezinduliwa mwishoni mwa wiki katika Hoteli...

READ MORE

Wasira Ashinda Kwa Kishindo Umakamu Mwenyekiti Tanzania Bara

WAJUMBE wa Mkutano Mkuu maalum wa chama Cha Mapinduzi,(CCM), unaoendelea jijini Dodoma wamemchagua kwa kishindo  Stephen Masato Wasira, kuwa Makamu...

READ MORE

Rais Samia Na Viongozi Wengine Wa CCM Wapiga Kura Kumchagua Makamu Mwenyekiti

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga...

READ MORE

Mwenyekiti wa CCM na Rais Dkt. Samia Aongoza Mkutano Mkuu Maalum wa Chama

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Mkutano...

READ MORE

Sharifa Suleiman Mwenyekiti Mpya Bawacha, Awabwaga Washindani wake

 Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chadema (Bawacha), Sharifa Suleiman ameshinda nafasi ya uenyekiti wa baraza hilo atakaloliongoza...

READ MORE

Mwenyekiti wa CCM Dkt. Samia Alivyoongoza Kikao Cha Halmashauri Kuu Taifa Dodoma

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, jana tarehe...

READ MORE

Mganga Mkuu wa Serikali Atenguliwa, Dk. Grace Magembe Achukua nafasi yake

Rais Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Prof Tumaini Joseph Nagu aliyekuwa Mganga Mkuu wa Serikali. Taarifa iliyotolewa na Katibu...

READ MORE

Dkt. Slaa Akosa Dhamana, Kuendelea Kusota Rumande Hadi Januari 23

Kesi ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa (76) ataendelea...

READ MORE

Rais Samia Afanya uteuzi, uhamisho na utenguzi wa viongozi

Rais Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, uhamisho na utenguzi wa viongozi mbalimbali, soma taarifa kamili iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano...

READ MORE

Rais Samia Aongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Dodoma

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao...

READ MORE

Watumiaji wa Yas Wazidi Kunufaishwa na Magift ya Kugift

Dar es Salaam 17 Januari 2025: Kampuni ya mtandao wa mawasiliano ya Yas Tanzania, imekabidhi zawadi kwa washindi wa  Promosheni...

READ MORE

Dorothy Semu Atangaza nia ya Kugombea Urais 2025

Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu ametangaza nia ya kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...

READ MORE

Baada ya Kuumizwa Sana na Mapenzi, Hatimaye Mbinu Hii Imenipatia Mume

Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 34 nilikuwa kwenye mahusiano miaka mitano huko nyuma, imekuwa miaka miwili tangu uhusiano...

READ MORE

Serikali Yatoa tamko kuhusiana na tetesi za uwepo wa ugonjwa wa Marburg

Serikali kupitia Wizara ya Afya inayoongozwa na Waziri Jenista Mhagama, imetoa tamko rasmi kuhusiana na tetesi za uwepo wa ugonjwa...

READ MORE

Nafasi za Kazi 13 Chuo Cha Elimu Ya Biashara (CBE)

Maombi yanakaribishwa kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uzoefu unaofaa ili kujaza nafasi ya kazi kwa mkataba wa mwaka 1...

READ MORE

Joti Aikumbuka Picha Yake Maarufu Akiwa Na Mpoki “Maisha Yalikuwa Magumu” – Video

Mkongwe kwenye tasnia ya uchekeshaji nchini Joti amefunguka kupitia Global Tv na kuelezea baadhi ya picha zilizomuonesha akiwa amepauka pamoja...

READ MORE

Israel na Hamas wa Palestina Wakubaliana kusitisha mapigano Gaza

Israel na wapiganaji wa Hamas wa Palestina, wamekubaliana kusitisha mapigano katika Ukanda wa Gaza, baada ya miezi 15 ya vita...

READ MORE

Waziri Mkuu Amwakilisha Rais Samia Katika Sherehe Za Uapisho Wa Rais Wa Msumbiji

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa  Januari 15, 2025 ameshiriki sherehe za uapisho wa Rais wa Msumbiji akimwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia...

READ MORE

Dkt. Samia Afanya Uteuzi wa Viongozi Mbalimbali – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali ambapo amemteua Mhandisi Ramadhani...

READ MORE

FBI Wavamia Nyumbani Kwa Ex wa Jennifer Lopez Kisa Moto

Maafisa wa Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) kutoka Los Angeles, kwa mara nyingine wamevamia nyumbani kwa staa mkubwa wa...

READ MORE

Polisi yawasaka walioiba kwenye Toyota Alphard jijini Arusha – Video

ARUSHA-Jeshi la Polisi mkoani Arusha linafanya uchunguzi na kuwatafuta watu wote waliohusika katika tukio la wizi ndani ya gari aina...

READ MORE

Trump Atangaza Mipango ya Kuunda Idara ya Mpya ya Mapato ya Nje

Rais mteule Donald Trump Jumanne ametangaza mipango ya kuunda idara mpya inayoitwa Idara ya mapato ya nje kukusanya ushuru na...

READ MORE

Dk Biteko Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Miaka 60 ya CBE

  NAIBU Waziri Mkuu, Dk Doto Biteko anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya miaka 60 tangu kuanzishwa kwa Chuo...

READ MORE

Shinda Mkwanja na Expanse Tournament

Milioni moja taslimu ipo inakusubiri pale tu ukiingia kwenye kinyang’anyiro cha kushiriki shindano la mabingwa la Expanse ambapo mshindi ataondoka...

READ MORE

Rais Samia Asikishwa na kifo cha DC wa Mbozi, mkoa wa Songwe, Esther Alexander

Rais Samia Suluhu Hassan amesikishwa na kifo cha DC Mbozi, mkoa wa Songwe, Esther Alexander kilichotokea leo Januari 14, 2025...

READ MORE

Deogratius Mahinyila Ashinda nafasi ya Uenyekiti Bavicha – Video

Deogratius Mahinyila ameshinda nafasi ya Uenyekiti wa Baraza la Vijana Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) baada ya kupata kura...

READ MORE

Watu Watatu Washikiliwa Kwa Tuhuma za Mauaji ya Watu Wawili

Tukio la mauaji na majeruhi lililotokea Januari 10, 2025, katika Kitongoji cha Shitanda, Kijiji cha Luhanga, Wilaya ya Mbarali, mkoani...

READ MORE

Siri ya Wimbo Chanzo wa Rehema Simfukwe Yatobolewa Hadharani

Dar es Salaam, 12 Januari 2025: Mwanamuziki maarufu katika muziki wa Injili nchini, Rehema Simfukwe amevunja ukimya kwa mara ya...

READ MORE

Lori Laua 11 Walioenda Kushuhudia Ajali Kata ya Segera Wilayani Handeni – Video

Wanakijiji 11  wa kijiji cha Chang’ombe kilichopo kwenye kata ya Segera wilayani Handeni, leo Januari 14, 2025 wamefariki dunia na...

READ MORE