×

Habari

Naibu rais wa Kenya Rigathi Gachagua aondolewa na baraza la seneti

  BUNGE la seneti nchini Kenya Alhamisi lilipiga kura na kuidhinisha kuondolewa ofisini kwa Naibu Rais Rigathi Gachagua, kutokana na...

READ MORE

Waziri Kikwete Aongoza Zoezi la Kuwapa Wauguzi Majiko na Mitungi ya Gesi ya Kupikia Kutoka Oryx

Wauguzi 200 katika Halmashauri ya Wilaya Chalinze Mkoani Pwani ambao wanaohudumia wamama wenye watoto njiti wamepatiwa mitungi ya gesi ya...

READ MORE

Majaliwa: Tanzania Yajiandaa Kurusha Satelaiti

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa Serikali inaendelea kutekeleza wa Mpango mkakati wa miaka mitano 2024/25 – 2029/30 wa Anga...

READ MORE

Mchezo Wa Kasino Unaokupa Mkwanja Ni Wildfire

Washindi wanaibuka kila siku kupitia mchezo wa kibabe wa kasino wa Wildfire, Mchezo ambao unatoa mamilionea kila siku hivo kazi...

READ MORE

Majaliwa Amwakilisha Rais Dkt. Samia Kilele Kongamano La Tehama

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Oktoba 17, 2024 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Kilele cha Kongamano la Nane...

READ MORE

Bunge la seneti nchini Kenya Kuamua Mswada wa Kutimuliwa kwa Naibu Rais Gachagua – Live Video

Bunge la seneti nchini Kenya, baadaye leo jioni linatarajiwa kupiga kura ya ndio au la, ya kumuondoa ofisini Naibu Rais,...

READ MORE

Panda, Sloti Mpya inayo patikana kwenye tovuti ya Meridianbet yenye kukupa Msisimko huku ikikupa ushinde mkubwa. Mchezo huu mpya unapatikana...

READ MORE

Waziri Mkuu Amwakilisha Rais Dkt Samia Maziko Ya Baba Wa Katibu Mkuu Kiongozi

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo Oktoba 16, 2024 amemwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika maziko ya Mzee Jeremiah...

READ MORE

Tanzania Yashinda Tuzo ya Kimataifa ya IEEE CTU

Tanzania kupitia mradi wa Digital Inclusion Project unatekelezwa na shirika la Internet Society Tanzania(ISOC-TZ) katika mikoa ya Dar es salaam,...

READ MORE

CPA Makalla Apanga Mstari Kujiandikisha Katika Daftari la Mkaazi la Uchaguzi Serikali za Mitaa

Katibu wa NEC-Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa CPA Amos Makalla ameshiriki zoezi la kujiandikisha kwenye daftari la wakaazi...

READ MORE

Madereva Wanaotumia Lugha Chafu Kwa Abiria Waonywa

Jeshi la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Nchini limewataka madereva kufuata sheria za Usalama Barabarani ambapo limewataka madereva hao kutoa...

READ MORE

Vitisho vya Mabomu Vyazua Taharuki Safari za Ndege India

Ndege zisizopungua 10 za mashirika tofauti ya ndege nchini India, zimelazimika kusitisha safari zake za ndege, kuchelewesha ratiba na kubadili...

READ MORE

Mchengerwa: Orodha Ya Wapiga Kura Itawekwa Wazi Ili Wananchi Waikague

Baadhi vyama vimekuwa vikitaka kupata takwimuza uandikishaji kila siku kutoka kwa waandikishaji. Nitoe ufafanuzi juu ya jambo hili ni kwamba...

READ MORE

Jenerali Mkunda, Chalamila Na Waziri Tax Walivyofika Kuuaga Mwili Wa Jenerali Mbuge Lugalo – Video

Mwili wa marehemu Meja Jenerali mstaafu Charles Mbuge umeagwa Jana Oktoba 15, 2024 nyumbani kwake Tabata Segerea ukiongozwa na Mnadhimu...

READ MORE

Amsons Group Yanunua kiwanda cha Mbeya Cement na Kiwanda cha Bamburi Cement nchini Kenya

KAMPUNI ya Amsons Group hivi karibuni ilinunua kiwanda cha Mbeya Cement na kiwanda cha Bamburi Cement nchini Kenya kwa zaidi...

READ MORE

Mahakama Kenya yaamua kesi ya Gachagua iendelee – Video

Naibu Rais wa Kenya Rigathi Gashagua atakabiliana na Seneti katika kesi ya kutaka kuondolewa madarakani, baada ya mahakama ya juu...

READ MORE

Tamasha la Kimataifa la Vyakula Kufanyika Jijini Dar es Salaam Oktoba 19-20

Meneja Masoko Mwandamizi wa Kampuni ya Coca-Cola Tanzania, Kabula Nshimo (kushoto), akisalimiana na Mratibu wa Tamasha maarufu la vyakula ‘International...

READ MORE

Msafara wa Vodacom Twende Butiama 2024 Wahitimisha Safari Yake kwa Mafanikio

Msafara wa kihistoria wa Vodacom Twende Butiama 2024 umekamilika rasmi Oktoba 13, 2024 kwa mafanikio makubwa, ukihitimishwa wilayani Butiama, kijijini...

READ MORE

CDF Mkunda Alivyowavisha Nishani Mbalimbali Majenerali, Maafisa na Askari wa JWTZ

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania ‘CDF’ Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Mhe Rais na...

READ MORE

Makonda sasa kutekeleza ndoto za Dk. Samia katika Tiba Utalii kwa Vitendo

TAASISI ya Moyo ya (JKCI), imeanza kambi ya siku nne ya kupima na kutibu maradhi ya moyo kuanzia kesho kwa...

READ MORE

Shambulio la Israel Lebanon Lasababisha Vifo 21 na Majeruhi 8

Takribani watu 21 wameuawa na wengine nane kujeruhiwa vibaya, katika shambulio la angani la Israel kaskazini mwa Lebanon Shambulio hilo...

READ MORE

Kigamboni Wakoshwa na Tamasha la Vyakula Asili la Cocacola Kitaa Food Fest

Wakazi wa Kigamboni siku ya jumapili waliweza kufurahia ladha za vyakula mbalimbali vya asili kupitia kampeni ya ‘Coca-Cola Kitaa Food...

READ MORE

Afisa Mtendaji Mku Nmb Awafunda Wahitimu ‘Form Four’ Charlotte Sekondari

KUELEKEA mitihani ya Taifa ya Kidato cha Nne itakayofanyika Novemba 11, 2024, wahitimu wa Shule ya Sekondari Charlotte iliyopo Tungi...

READ MORE

Mastaa wa ‘Huba’ Wanogesha Maadhimisho ya Miaka 40 ya SGA

SGA, kampuni ya ulinzi binafsi inayoongoza nchini Tanzania, imeadhimisha miaka 40 ya huduma kwa kuandaa mashindano ya kuvutia ya soka...

READ MORE

Fedha Zangu Zote za Kustaafu Zilikuwa Zinateketea, Nikaamua Kuchukua Uamuzi Huu

Nilistaafu na kupata kiinua mgongo changu, hivyo nikaanza kujenga jengo kijijini kwangu, ilikadiriwa kugharimu Ksh2.1 milioni fedha ambayo haikuwa shida...

READ MORE

Rais Samia Apokea Mwenge Wa Uhuru Kwenye Kilele Cha Maadhimisho Mbio Za Mwenge Mwanza – (Picha +Video)

  RAIS wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 14, 2024 amewaongoza Viongozi na Wananchi mbalimbali kwenye kilele cha...

READ MORE

Chadema: Sio Kila Mradi Wa Serikali Unapaswa Kupingwa – Video

Viongozi kutoka Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wamepongeza utekelezaji wa mradi wa Treni ya mwendokasi SGR na wameeleza kuwa...

READ MORE

DC Arusha Aongoza Washiriki Wa Land Rover Festival Kwenye Upandaji Wa Miti Jijini Arusha

Mkuu wa Wilaya ya Arusha, Felician Gasper Mtahengerwa ameongoza washiriki zaidi ya 500 wa Land Rover festival 2024 kwenye zoezi...

READ MORE

Rais Samia Akishiriki Ibada Ya Misa Takatifu Ya Kumbukizi Ya Hayati Julius Nyerere – (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan akishiriki Ibada ya Misa Takatifu ya Kumbukizi ya Baba...

READ MORE

Katimba Awataka Wasimamizi Wa Uchaguzi Kuendelea Kuhamasisha Wananchi Kujiandikisha

Naibu Waziri, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Zainab Katimba amewaelekeza wasimamizi wa uchaguzi katika mamlaka za serikali za Mitaa kuendelea...

READ MORE

Majaliwa: Uwekezaji Mkubwa Umefanyika Sekta Ya Hali Ya Hewa

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea na jitihada za kufanya uwekezaji mkubwa katika sekta ya hali ya hewa nchini...

READ MORE

Vodacom Yazindua Wiki ya Huduma kwa Wateja kwa Kupeleka Huduma Mtaani

Dar es Salaam, Oktoba 07, 2024 – Kampuni ya Mawasiliano na Teknolojia Vodacom Tanzania imezindua rasmi maadhimisho ya Wiki ya...

READ MORE

Sekta Binafsi ya Ulinzi Yapongezwa Kwa Huduma Bora

Jeshi la Polisi limeeleza kuridhishwa na huduma bora inayotolewa na sekta binafsi ya ulinzi ambayo imesaidia kuendeleza usalama wa raia...

READ MORE

Tanzania, Wataalam wa “Visit Finland” Wabadilishana Uzoefu Kutangaza Utalii Duniani

Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Hassan Abbasi, amekutana na kubadilishana uzoefu wa mikakati ya kutangaza utalii...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Azungumza Na Wananchi Wa Pasiansi Mkoani Mwanza – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu akizungumza na Wananchi wa Pasiansi Mkoani Mwanza, leo tarehe 12...

READ MORE

Mwongozo wa Kusimamia Miradi ya Kimkakati Kusaidia Kuongeza Mapato Katika Halmashauri

ILI kukabiliana na changamoto za usimamizi duni wa miradi, ukosefu wa utaalamu wa kutosha miongoni mwa watumishi, kuchelewa kukamilika kwa...

READ MORE

Land Rover Festival Yateka Jiji la Arusha Magari 1000+, Polisi Nao Wamo (Picha +Video)

Msafara wa magari aina la Land Rover kwenye Tamasha la Land Rover 2024 kutokea King’ori kuelekea Viwanja vya Kisongo ambapo...

READ MORE

Mhagama Azindua Kituo cha Tiba na Utafiti wa Saratani, Asema Saratani Imeendelea Kuwa Tishio

WAZIRI wa Afya, Jenista Mhagama amezindua Kituo cha Tiba na Utafiti wa Saratani cha Shifaa na kuahidi kuwa serikali itaendelea...

READ MORE

TCRA yawahimiza vijana kuchangamkia fursa za kidijitali

  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewahimiza vijana nchini kuchangamkia fursa za kidijitali ikiwemo akili bandia (Artificial Intelligence), kwa kubuni...

READ MORE