×

Habari

Uchaguzi Chadema Kanda ya Pwani Leo Ndiyo Leo

Unachoweza kusema ni leo ndiyo leo katika uchaguzi wa kichama na mabaraza mbalimbali ya Kanda ya Pwani  Chadema, ambao unafanyika...

READ MORE

Waziri Masauni Awakumbusha Wazazi Jukumu la Kuwaandaa Watoto Kusimamia Maendeleo ya Uchumi wa Nchi

  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amewasihi wazazi kuwahamasisha na kuwasimamia watoto kusoma vizuri ili...

READ MORE

Rais Dk. Samia Apongeza Walimu 5000 Arusha Kupatiwa Bure Mitungi ya Gesi

RAIS Dk.Samia Suluhu Hassan amepongeza walimu 5000 wa shule za msingi na Sekondari Jijini Arusha kupatiwa mitungi ya gesi ya...

READ MORE

Mtangazaji Dida Shaibu Afariki Dunia

Mtangazaji maarufu nchini, Khadija Shaibu almaarufu Didah amefariki dunia jioni ya leo, Oktoba 4, 2024. Taarifa za kifo cha Didah...

READ MORE

Mabosi Wote wanatumia Phantom V Fold2 5G, Unaionaje

Ukitaka kuitwa boss kwa uhakika itabidi uwe na hili tambo! Kwa sasa PHANTOM V Fold2 5G ni simu pekee kwa...

READ MORE

Mzee Warioba Afunguka Kuhusu Uongozi Wa Rais Samia, Wapinzani Kuandamana – Video

WAZIRI Mkuu Mstaafu  na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jaji Joseph Warioba, amesema bado...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Azindua Tume Ya Rais Ya Marekebisho Ya Kodi Ikulu, Dar – (Picha +Video)

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan leo Oktoba 4, 2024 akizindua Tume ya Rais ya...

READ MORE

Vyama vvya Upinzani kuazisha upya kesi ya kumuondoa madarakani Rais Cyril Ramaphos

Mahakama ya Kikatiba ya Afrika Kusini imesema Alhamisi mwezi ujao itasikiliza kesi iliyowasilishwa na Vyama viwili vya Upinzani kuanzisha upya...

READ MORE

Whozu Ft Zuchu – Attention (Lyrics Video)

Msanii wa Bongo fleva nchini Oscar Lello ‘Whozu’,  wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Attention’ amemshirikisha malkia mpya wa...

READ MORE

Watu zaidi ya 78 Wafariki Baada ya Boti Kuzama Ziwa Kivu, Mashariki mwa Congo

Watu zaidi ya 78 kufikia leo Oktoka 4, 2024 wamefariki dunia huku wengine wengi wakiwa hawafahamiki walipo baada ya boti...

READ MORE

Ushirikiano Wa Tanzania Na Japani Kuwezesha Ujenzi Wa Flyover Morocco – Dar

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali ya Tanzania inaendelea kuimarisha ushirikiano na Japani hususan katika Sekta ya miundombinu...

READ MORE

Naibu wa Rais Kenya Akimbilia Mahakamani Kuzuwia Kutimuliwa

Naibu wa Rais wa Kenya Rigathi Gachagua amekuwa akikabiliwa na tuhuma mbalimbali, ikiwemo ukosefu wa nidhamu na kumhujumu mkuu wake...

READ MORE

Waziri Masauni Aweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Kituo Cha Polisi Wilaya ya Chemba

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Kituo cha Daraja...

READ MORE

Alvaro Morata Amfokea Meya wa Eneo Analoishi Kisa Kumpost Mitandaoni

Mshambuliaji nyota wa klabu ya AC Milan na nahodha wa timu ya taifa ya Hispania, Álvaro Morata (31) ameonesha kuchukizwa...

READ MORE

Waziri Mkuu: Lishe Bora Ni Kipaumbele Cha Serikali

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kuwa suala ya lishe ni kipaumbele muhimu kwa Serikali katika kuwezesha utekelezaji wa mipango...

READ MORE

Rais Samia Afanya Mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Abbot

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi na Afisa...

READ MORE

Mwanamuziki wa Nyimbo za Injili Solly Moholo Afariki

MSANII mkongwe wa nyimbo za Injili kutoka Afrika Kusini, Solomon Molokoane, almaarufu Solly Moholo, amefariki dunia akiwa na umri wa...

READ MORE

Polisi Dar Yanasa Madereva Waliotelekeza Lori na Kutoroka na Madini

Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limefanikiwa kuwakamata watuhumiwa  11 Kwa tuhuma mbali mbali za kihalifu ikiwepo...

READ MORE

Yanga Princess Hawatanii Wanataka Kombe

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa malengo makubwa ni kutwaa taji la Ngao ya Jamii kwa Wanawake baada ya kufanikisha hesabu...

READ MORE

Chanzo: Denzel Washington Aliwahi Kufokeana Vikali na Diddy Kwenye Party

Wakati ‘msala’ wa staa mkubwa wa muziki duniani, Sean ‘Diddy’ Combs ukizidi kuchukua sura mpya kila kukicha, taarifa zinaeleza kuwa...

READ MORE

Messi Ashinda Ubingwa wa 46 Akiwa na Inter Miami

Mshambuliaji wa Inter Miami ya Marekani na Timu ya Taifa ya Argentina, Lionel Messi (37) usiku wa kuamkia leo Alhamisi...

READ MORE

Bashe: Madiwani Simamieni Vyama Vya Msingi Visiwadhulumu Wakulima

Madiwani wa Kata ya Chiwale, Wilaya ya Newala Mkoani Mtwara wameelekezwa kusimamia Vyama vya Msingi vya Ushirika ili visiwadhulumu wakulima...

READ MORE

Rais Joe Biden: Israel Isishambulie Maeneo ya Nyuklia ya Iran

Rais wa Marekani Joe Biden amesema kuwa haungi mkono shambulio katika maeneo ya nyuklia ya Iran kufuatia mashambulizi ya makombora...

READ MORE

TCRA Yasitisha Leseni ya Kampuni ya Mwananchi

  Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesitisha kwa muda wa siku 30 leseni za huduma za maudhui mtandaoni za kampuni...

READ MORE

Waziri wa Kilimo Atoa saa 24 kwa RV Kulipa Madeni ya Wakulima

WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe ametoa saa 24 kwa kampuni ya RV inayonunua mazao Masasi mkoani Mtwara kulipa madeni ya...

READ MORE

Kamishna Msaidizi Wa Ardhi Morogoro Apiga Marufuku Watendaji Wa Vijiji Kuuza Ardhi Kiholela

Wananchi wa vijiji vya Msolwa Kalengakelo na kitongoji cha Mkuyuni katika kijiji cha Chisano halmashauri ya Wilaya ya Mlimba mkoani...

READ MORE

Waziri Aweso na Wadau Walivyojadili Jinsi ya Kuimarisha Usalama wa Maji Jijini Dar

03 Oktoba 2024, Dar es Salaam, Tanzania: Leo, Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) inaandaa mjadala wa meza ya pande zote...

READ MORE

Meya Songoro Mnyonge Apongeza Wafanyabiashara Masokoni Kutengewa Mkopo wa Bil. 30

Dar es Salaam, 3 Oktoba 2024: Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Mstahiki Songoro Mnyonge, ameipongeza Benki ya Biashara ya DCB,...

READ MORE

RC Chalamila “Serikali Imechukua Hatua za Haraka Kupunguza Tatizo la Ukosefu wa Maji Dar”

-Asema Rais Samia amefanya uwekezaji katika sekta ya maji zaidi ya Bilioni 490. -Mitambo ya bilioni 6 kufungwa ili kumaliza...

READ MORE

Stanbic Yatoa Mafunzo ya Masuala ya Kifedha Shule ya Msingi Makulu, Dodoma

Kitengo cha Financial Fitness Academy kilichoendeshwa na Benki ya Stanbic kupitia Biashara Incubator kimefanyika mafunzo katika Shule ya Msingi Makulu...

READ MORE

“Kodi Haina Hiari, Ni Lazima Kwa Kila Mtanzania”-Chalamila

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ametoa wito kwa wadau wote kuungana kuhakikisha kila mlipa kodi...

READ MORE

EWURA Yatangaza bei Mpya ya Petroli na Dizeli kuanzia leo Oktoba 2, 2024

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo ya bidhaa za mafuta ya Petroli, Dizeli...

READ MORE

Marekani Yasaidia Israel kuyadungua Makombora ya Iran

MAREKANI usiku wa kuamkia leo Oktoba 2, 2024 imetungua makombora ya masafa marefu ya Iran yaliyofyatuliwa nchini Israel, Pentagon imesema....

READ MORE

Aliyeachika Ndoa Mbili Kisa Harufu Kali Aolewa na Mwanaume wa Kizungu

Mrembo Zuwena Stacy, 29, alikuwa na tatizo lililofanya maisha yake kukosa amani. Tatizo hilo ni kuwa mwili wake ulikuwa ukitoa...

READ MORE

Iran Yarusha Zaidi ya Makombora 150 ndani ya Israel

Iran Jumanne imefanya shambulizi kubwa la makombora dhidi ya Israel, hatua ambayo inaashiria kusambaa kwa mzozo kati ya Israel na...

READ MORE

Kurasa za Magazeti ya leo Oktoba 2, 2024

Nafasi za kazi kila siku Tanzania, Serikalini, Makampuni na Taasisi mbalimbali tembelea website yetu ya Global Publishers muda wote bonyeza...

READ MORE

Dkt.Nchimbi Ashiriki Mazishi ya Mama Wa Aboubakary Liongo

Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo tarehe 01 Octoba, 2024 ameshiriki mazishi ya Mama wa Aboubakary Liongo...

READ MORE

Waziri Mkuu Arejea Nchini Akitokea New York nchini Marekani

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Octoba 01, 2024 amerejea akitokea New York nchini Marekani, ambapo alimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Matukio Katika Picha Mahakama ya Kisutu Kesi ya Meya wa Zamani ‘Boni Yai’ Iliposikilizwa

Dar es Salaam, 1 Oktoba 2024: Hivi ndivyo hali ilivyokuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini leo wakati Meya wa...

READ MORE

Ndege ya Kwanza Kutengenezwa Tanzania, Skyleader 600 Yaanza Rasmi Safari Zake

Kampuni ya Airplanes Africa Limited (AAL) yenye makao yake Morogoro, imetangaza kuwa ndege tatu za kwanza zilizotengenezwa Tanzania, zinazojulikana kama...

READ MORE