×

Habari

Mongella Asisitiza Umuhimu Kuzingatia Katiba, Utunzaji Siri

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, ndugu John Mongella, amewasili Kigoma na kufanya kikao – kazi na...

READ MORE

Prof. Mkenda Azindua Kituo cha Afya Cha Makoga Wanging’ombe

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda ameendelea na siku ya pili ya ziara ya kukagua utekelezaji wa...

READ MORE

Mashindano ya Mapishi ya Kitaa Festival Yatikisa Manzese, Washindi Wapatikana

Tamasha la Kitaa Festival la Kampuni ya Coca-Cola limeanza rasmi Jumamosi hii, likiwatembelea wakazi wa Manzese Bhakresa jijini Dar es...

READ MORE

Majaliwa Akutana Na Katibu Mkuu Wa Umoja Wa Mataifa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Gutierres kwenye Makuu ya umoja huo na...

READ MORE

Mtoto wa Museveni Aachana na mpango wake wa kuwania urais

Mtoto wa kiongozi wa muda mrefu nchini Uganda Yoweri Museveni alisema Jumamosi kuwa ameachana na mpango wake wa kuwania urais...

READ MORE

Tamasha la Utamaduni la Wanyakyusa Kutikisa Kijiji Cha Makumbusho

TAMASHA la Utamaduni wa Mtanzania Jamii ya Wanyakyusa, linatarajiwa kuanza Septemba 27 hadi 29, 2024 katika eneo la Kijiji Cha...

READ MORE

Meridianbet Yapeleka Tabasamu Mbezi

Tabasamu limefikishwa ndani ya Mbezi kwa udhamini wa Meridianbet kwani leo mabingwa hao wa michezo ya kubashiri wamefika maeneo ya...

READ MORE

CCM Yapongeza Hotuba ya Rais Samia Akiwa Kilimanjaro

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimempongeza Rais DK Samia Suluhu Hassan kwa hotuba yake aliyoitoa Kilimanjaro ya kukemea vitendo vya utekaji...

READ MORE

Chini ya Rais Dkt. Samia, Tanzania yashika Nafasi ya Sita Duniani Ongezeko la Watalii

Zama Mpya za Fursa Chini ya uongozi wa maono wa Rais Samia Suluhu Hassan, Tanzania inashuhudia ongezeko kubwa la watalii...

READ MORE

Waziri Mkuu Atua Marekani Kwenye Mkutano Wa Baraza Kuu La UN, Apokewa Na Balozi Katanga – Video

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Septemba 20, 2024 amewasili nchini Marekani na kupokelewa na Balozi wa Tanzania Mjini New York, nchini...

READ MORE

Dkt. Abbasi: Rais Samia Anaienzi Historia ya Majimaji Kivitendo

Rais wa Awamu ya Sita Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aneelezwa kuwa mmajimui wa Kiafrika anayeenzi mchango wa wapigania uhuru...

READ MORE

Ulinzi Waimarishwa Mchezo Wa Yanga Vs CBE New Amaan Complex Zanzibar

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Kamishna Msaidizi wa Polisi, ACP Elisante Mmari amesema Jeshi la Polisi kwa...

READ MORE

TMSA Kutoa Tuzo Kwa Wanamasoko Bora Tanzania Kwa Mwaka 2024

Tuzo za Masoko za mwaka 2024 zinatarajiwa kuwa miongoni mwa matukio yenye ushawishi mkubwa zaidi katika sekta ya masoko mwaka...

READ MORE

Shigongo: Ni Muhimu Wananchi Kushiriki Uchaguzi, Chagueni Viongozi Wenye Sifa – Video

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amewaagiza wananchi kuhakikisha wanachagua viongozi bora na wenye sifa katika uchaguzi wa Serikali ndogo za...

READ MORE

Ni Balaa! Cheki Jamaa Alivyoondoka na Milioni 20 Kimasihara

Mshindi wa nne wa droo kubwa ya kampeni ya Vodacom Tanzania Plc ‘Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi’ George Thobias...

READ MORE

Kampuni Inayoongoza kwa Ubunifu wa Kutengenezaji wa Mabegi Yenye Ubora Yatua Hapa nchini

 Ijumaa Septemba 20, 2024: Katika kuhakikisha Watanzania wanapata bidhaa bora, Kampuni ya Denri Afrika, inayoongoza kwa ubunifu katika utengenezaji wa...

READ MORE

Rais Dkt. Samia akutana na IGP pamoja na Makamishna wa Jeshi la Polisi Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Septemba 20 amefanya mazungumzo na Mkuu wa Jeshi...

READ MORE

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu lakamata watu watano kwa tuhuma za kuwaua watu wawili

Jeshi la Polisi Mkoa wa Simiyu limewakamata watu watano kwa tuhuma za kujichukulia sheria mkononi kwa kuwakamata na kuwaua watu...

READ MORE

Waziri wa Nchi Dkt. Ashatu Kijaji: Nishati Safi Inamuondolea Adha Mtoto Wa Kike

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Ashatu Kijaji amesema uwepo wa Nishati Safi ya...

READ MORE

Jeshi la Polisi Tanga Wazuia Mkutano wa Chadema Sababu za Kiusalama

Jeshi la Polisi Wilaya Tanga wamezuia mkutano hadhara uliotarajiwa kufanyika leo 20/09/2024 Tanga Mjini, mgeni rasmi akiwa Makamu Mwenyekiti Bara...

READ MORE

Rais Mwinyi Aipongeza Airpay Uzinduzi wa Mifumo ya Kidijitali ya ZEEA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Kampuni ya Airpay Tanzania kwa kudhamini...

READ MORE

Jinsi Mume Alivyomuokoa Mkewe Asifanyiwe Upasuaji

Kutana na kijana Efeso Mwenda kutoka Busia nchini Kenya, alipatwa na hali ya kuhuzunisha pale mke wake mjamzito alipopata matatizo...

READ MORE

Makamu wa Rais Awasili Arusha kuwa Mgeni Rasmi Kongamano la Nne la Uhuru

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango amewasili mkoani Arusha na kupokelewa na...

READ MORE

CCM Yaiomba KTI Kuendelea Kushirikiana na Serikali Kuwezesha Vijana na Wanawake

Katibu wa NEC Mambo ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa (MCC) Ndg. Rabia Abdallah Hamid, Septemba 19, 2024 Chini Uingereza...

READ MORE

RC Makonda Kukabidhi Majina Ya Watumishi Wala Rushwa Mkoa Wa Arusha

Mbele ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa, Mkuu ww...

READ MORE

Putin atembelea kiwanda cha droni huko St. Petersburg

Rais wa Russia Vladimir Putin siku ya Alhamis alitembelea kiwanda cha kutengeneza ndege zisizo na rubani na vifaa vya umeme...

READ MORE

Mchengerwa: Serikali Ya Rais Samia Imejenga Hospitali Zaidi Ya 129 Ndani Ya Miaka Mitatu

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za Mitaa TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amesema katika kipindi cha...

READ MORE

Naibu Waziri Katimba Awaagiza Wakurugenzi Na Waganga Wakuu Kutekeleza Maagizo Ya Rais Samia

Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI  Zainab Katimba amezitaka halmashauri nchini kufuata maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano...

READ MORE

Naibu Waziri Kihenzile”Jengo Hili la Abiria la Uwanja wa Ndege Arusha Litarahisisha Utoaji wa Huduma Kwa Abiria”

Naibu Waziri wa Uchukuzi David kihenzile amesema kukamilika kwa jengo la abiria katika kiwanja cha ndege cha Arusha kutawezesha abiria...

READ MORE

Boniface Jacob Apandishwa Kisutu, Asomewa Mashtaka Mawili ya Kusambaza Taarifa za Uongo

Meya mstaafu wa manispa a kinondoni Bonifqce Jacob amefikishwa mahakamani leo na kusomewa mashtaka yake mbele ya Hakimu Mkazi Mfawidhi,...

READ MORE

Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania Ilivyoshinda Tuzo ya Ubora Katika Usalama

Johannesburg, Afrika Kusini, tarehe 19 Septemba 2024, Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania kupitia Kiwanja cha Kimataifa cha Julius Nyerere...

READ MORE

Tupo Mtaani Kwako ya ACB Bank Yazinduliwa

Kampeni mpya ya Tupo Mtaani iliyoletwa na Benki ya ACB imekuwa gumza. Hiyo ni baada ya Benki ya ACB kuzindua...

READ MORE

Waziri Mkuu Kumwakilisha Rais Samia kwenye Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Alhamisi, Septemba 19, 2024) kwenda Marekani ambako atamwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Awaapisha Viongozi Wateule Ikulu Jijini Dar Es Salaam

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha Ndugu Nenelwa Joyce Mwihambi kuwa Jaji wa...

READ MORE

NMB yajitosa kuidhamini Yanga dhidi ya CBE CAF CL

KUELEKEA pambano la marudiano raundi ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF CL 2024/25), dhidi ya CBE ya Ethiopia,...

READ MORE

Dawa Hii Ilinisaidia Kumtibu Mzee Wangu Aliyekuwa Anasumbuliwa na Kisukari

Kutokana na mtindo wa maisha kwa dunia ya sasa ulioletwa na mageuzi ya viwanda, watu wengi wamekuwa wakikumbwa na magonjwa...

READ MORE

CCM Yasisitiza Uhusiano wa Kimataifa Kuimarisha Uchumi na Maendeleo ya Watu

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi amesema kuwa Serikali na Nchi ya Tanzania, chini...

READ MORE

Waziri Jerry Silaa Ateua Watendaji wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry William Silaa amewateua Watendaji wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari, kwa...

READ MORE

Tume Za Haki Za Binadamu Watoa Tamko Kukamatwa Kwa Boniface Jacob Wa Chadema – Video

Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshtushwa na kitendo cha kukamatwa kwa aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Ubungo,...

READ MORE

Dkt. Biteko Awataka Wananchi Kigoma Kutunza Vyanzo vya Maji

Mwaka 2022/23 Serikali kupitia Mamlaka ya Maji Kibondo ilitenga zaidi ya Shilingi Bilioni 1.49 kwa ajili ya ujenzi wa tanki...

READ MORE