×

Habari

Mahakama Kuu Yatupilia Mbali Ombi la Mbunge wa Kisesa Mpina

Mahakama Kuu, Masijala ya Dar es Salaam, imetupilia mbali ombi lililowasilishwa na Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina la kuomba Mahakama...

READ MORE

Tanzania Yawekeza Kimkakati Katika Sekta Ya Tehama Ili Kukuza Uchumi Wa Kidijitali

Tanzania ina mifumo kadhaa ya kisheria na udhibiti inayoongoza sekta ya mawasiliano na TEHAMA ili kuhakikisha huduma ya intaneti ya...

READ MORE

WCF Watoa Elimu ya Fidia Kwa Waajiri

Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) umeendelea kutoa elimu kuhusu masuala ya fidia kwa wafanyakazi wanaoumia, kuugua au kufariki kutokana...

READ MORE

Nchi Wanachama Wa Red Cross Ukanda Wa Afrika Mashariki Na Bahari Ya Hindi Washiriki Mkutano Tanzania

Mkutano wa Red Cross na Crescent Network ni Mkutano unaohusisha Nchi wananchama wa Red Cross ukanda wa mashariki na bahari...

READ MORE

Serikali ya Zanzibar na Tigo Zantel Wazindua Mfumo wa Pamoja wa Kidigitali kwa Serikali

Zanzibar, 19 Septemba 2024 — Katika hatua muhimu kuelekea kuboresha utawala wa kidigitali, Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar (eGAZ) kwa...

READ MORE

Mkutano wa Accelerate Africa 2024 kufanyika Arusha

Jumatano, Septemba 18, 2024: Mkutano wa Accelerate Africa 2024 unatarajiwa kufanyika Novemba 28 hadi 29 mwaka huu katika Hoteli ya...

READ MORE

Tanzania to Host ICC Men’s T20 World Sub Regional Africa Quafier A

Dar es Salaam, Tanzania – 14th Septemba 2024: The ICC Men’s T20 World Cup Sub Regional Africa Qualifier A willtake...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Akutana na Kuzungumza na Princess Sophie

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Princess Sophie (Duchess of...

READ MORE

Boniface Jacob Akamatwa na Jeshi la Polisi, DCP David Misime Afunguka!

Jeshi la Polisi limeeleza kuwa limemkamata na linamshikilia Meya wa Zamani wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob almaarufu Boni Yai....

READ MORE

Dkt. Nchimbi Ashiriki Kikao Cha Baraza Kuu la UVCCM

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi leo ameshiriki kikao cha kawaida cha Baraza Kuu...

READ MORE

Kundi lenye uhusiano na Al Qaeda lashambulia uwanja wa ndege wa Bamako na kuua wanajeshi

KUNDI la lenye uhusiano na Al-Qaeda Jumanne lilidai kuhusika na shambulizi baya katika mji mkuu wa Mali, Bamako, ambapo wapiganaji...

READ MORE

Kariakoo Festival Yafunguliwa, Nmb Yaahidi Udhamini Mnono

MDHAMINI Mkuu wa Tamasha la Kariakoo ‘Kariakoo Festival 2024,’ Benki ya NMB, imeahidi maboresho na udhamini mnono zaidi wa tamasha...

READ MORE

Waziri Ndumbaro Atangaza Neema Ya Mikopo Kwa Wasanii Na Wanafasihi Walio Rasimishwa

Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo,  Dkt. Damas Ndumbaro amewataka wabunifu wa kazi za sanaa na fasihi kujirasimisha na kurasimisha...

READ MORE

Rais Samia Atoa Tamko Kuhusu Kifo Cha Mzee Ali Kibao, Awataja Viongozi Wa Upinzani – Video

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameungana na Watanzania katika kulaani mauaji ya aliyekuwa kiongozi...

READ MORE

Mwana wa Mfalme wa Uingereza Atua Dar

Mwana wa Mfalme wa Uingereza (Duchess of Edinburgh) Sophie Hellen Rhys-Jones leo Septemba 17, 2024 ametembelea Kituo cha Afya Magomeni...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Afanya uteuzi wa viongozi mbalimbali

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa viongozi mbalimbali kwa mujibu wa Taarifa...

READ MORE

Simba la Mikeka ya Kubashiri LEONBET Yaingia Rasmi Tanzania

KAMPUNI mpya ya kimataifa ya michezo ya kubashiri ya mitandaoni na kwenye Kasino ya LEONBET imeingia rasmi katika soko la...

READ MORE

Piga Penati Ushinde Mamilioni Kutoka Meridianbet

  Promosheni ya Expanse Kasino ya Mtandaoni bado inaendelea na sasa wachezaji wote wanaweza kujishindia zawadi ya Mamilioni na bonasi...

READ MORE

Waziri Mkuu Ahimiza Usimamizi Wa Maadili Mema Kwa Jamii

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa viongozi wa dini na Watanzania kwa ujumla wahakikishe wanasimamia na kuimarisha maadili mema...

READ MORE

Rais Samia Awasili Mkoani Kilimanjaro, kufunga Mkutano Mkuu wa Jeshi la Polisi

Rais Dkt. Samia anatazamiwa kuwa mgeni rasmi katika kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi na...

READ MORE

Waziri Mkuu Amwakilisha Rais Dkt. Samia Hassan katika Baraza la Maulid

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 16, 2024 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Baraza la Maulid yanayofanyika kitaifa...

READ MORE

Afisa Uwekezaji na Msimamizi wa Dawati TIC Akutana na Wawekezaji

  Afisa Uwekezaji na Msimamizi wa dawati la Mashariki ya kati wa kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) amekutana na ugeni...

READ MORE

NMB Yapiga Jeki Zahanati ya Kijiji Cha Ivilikinge Wilayani Makete

Benki ya NMB imekabidhi vifaa tiba ikiwemo vitanda na mashuka katika Zahanati ya Kijiji cha Ivilikinge wilyani Makete mkoani Njombe...

READ MORE

JWTZ Waibuka Mshindi wa Jumla Mashindano ya Majeshi (BAMMATA)

Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania Luteni Jenerali, Salum Haji Othuman amemuwakilisha Mkuu wa Majeshi ya...

READ MORE

Mbinu Rahisi Nilizotumia Kuvuta Wateja na Kuongeza Mtaji Kwenye Biashara

Ukweli ni kwamba kila binadamu anapenda kuona anakua katika biashara ambayo anaifanya, anapenda kuona biashara yake inaongezeka mtaji, biashara yake...

READ MORE

Trump Anusurika Kuuawa kwa Mara ya Pili Akicheza Gofu Kwenye Uwanja Wake

MGOMBEA urais wa chama cha Republican, Donald Trump, alikuwa salama baada ya kile FBI ilisema inaonekana ni jaribio la mauaji...

READ MORE

Dkt. Biteko: Tuvumiliane Na Kuheshimiana Kama Watanzania – Video

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewaasa Watanzania kuishi kwa kuvumiliana, kuheshimiana na kupendana kama ilivyoagizwa...

READ MORE

Mashindano ya Tanzania Ladies Open Golf Tournament 2024 Yahitimishwa Arusha, NBC Yaahidi Maboresho Zaidi

Mashindano ya siku tatu ya Gofu ya Tanzania Ladies Open Golf Tournament yamehitimswa mwishoni mwa wiki jijini Arusha huku wadhamini...

READ MORE

Halotel Yatoa Msaada Katika Kituo cha Watoto Yatima Cha ‘Human Dreams’

Wafanyakazi wa kampuni ya Halotel Tanzania wakiwa katika picha ya pamoja. Kampuni ya mawasiliano ya Halotel Tanzania ikishirikiana na Ubalozi...

READ MORE

Utata Waibuka kuhusu kifo cha Mganga Mfawidhi Tabora, Polisi Wafunguka – Video

UTATA umeibuka kuhusu kifo cha Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Ulyankulu, Kaliua mkoani Tabora, Dk. Disma Chami, aliyetoweka siku...

READ MORE

Ubalozi Wa Tanzania Nchini Uholanzi Watia Fora Tamasha La Mabalozi Mjini The Hague

  Ubalozi wa Tanzania umetia fora kwenye Tamasha la Mabalozi 2024 (Embassy Festival) nchini Uholanzi lililovutia watazamaji zaidi ya 50,000...

READ MORE

Nwanko Kanu Alivyoshiriki Uzinduzi wa Safari ya Butiama Kumuenzi Mwalimu Nyerere

Mbio za kuelekea Butiama mkoani Mara alipozaliwa muasisi wa taifa la Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere ambaye ni Baba wa...

READ MORE

Osha Yawezesha Wachimbaji, Wapondaji Kokoto Dar

Wajasiriamali wadogo wapatao 500 wanaojihusisha na uchimbaji na uchakataji kokoto Jijini Dar es Salaam wamewezeshwa vifaa kinga na kupatiwa mafunzo...

READ MORE

Benki ya NBC Yashiriki Mbio za Ruangwa Marathon, Yasisitiza Dhamira yake Kuchochea Ukuaji sekta ya Michezo Nchini

  Benki ya Taifa ya Biashara NBC imeshiriki msimu wa pili wa mbio za Ruangwa Marathon 2024 huku ikisisitiza dhamira...

READ MORE

Mkurugenzi wa NBC Ataja Suluhisho Uimarishaji Huduma ya Bima Jumuishi Nchini.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) Bw Theobald Sabi, amesisitiza umuhimu wa teknolojia, elimu kwa umma pamoja...

READ MORE

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Awavisha Nishani Mbalimbali Majenerali

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Mhe Rais na Amiri...

READ MORE

Hospitali ya Kijitonyama Yaishukuru Meridianbet kwa Msaada

Wakali wa ubashiri Tanzania nzima, imeendelea kuonesha moyo wa kujali jamii kwa kutoa msaada wa mashuka kwa Hospitali ya Kijitonyama,...

READ MORE

Rais Dkt. Samia Afunga Mkutano Mkuu Wa Maafisa Waandamizi Wa Jeshi La Polisi Kwa Mwaka 2024 – Video

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan leo tarehe 17 Septemba, 2024 anafunga Mkutano Mkuu...

READ MORE

Mikataba Ya Sh. Bilioni 50.9 Yasainiwa Kuwezesha Nishati Safi Ya Kupikia

  Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema Serikali inafanya kila jitihada kuhakikisha kunakuwa na unafuu...

READ MORE

DCB Yajivunia Kutoa Mikopo ya Zaidi ya Shilingi Bilioni 740 Tangu Ilipoanzishwa

BENKI ya Biashara ya DCB imesema itaendelea kusimamia misingi ya kuanzishwa kwake ambayo ni kusaidia miradi endelevu ya kupunguza umasikini,...

READ MORE