×

Habari

Spika wa bunge la Afrika Kusini achukua likizo kufuatia tuhuma za rushwa

Spika wa Bunge la Afrika Kusini Nosiviwe Mapisa-Nqakula, alisema Alhamisi kwamba atachukua likizo maalum, kutokana na uchunguzi wa tuhuma za...

READ MORE

TRA Yapeleka Elimu ya Mlango Kwa Mlipakodi Shinyanga

  Timu ya maofisa kutoka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) idara ya Elimu kwa Mlipakodi na Mawasiliano wamefunga kambi katika...

READ MORE

Kampeni Ya Rais Dk. Samia Yazidi Kuungwa Mkono, Oryx Gas Yafikisha Huduma Ya Kisasa Soko la Feri

NAIBU SPIKA wa Bunge Hassan Zungu, amewahakikishia Mama Lishi na Baba lishe katika Soko la Samaki la Kimataifa Feri kuwa...

READ MORE

ACT Wazalendo Watishia Kujitoa Serikali Ya Umoja Wa Kitaifa Zanzibar, Ado Shaibu Afunguka – Video

Katibu mkuu chama cha ACT Wazalendo Ado Shaibu leo Machi 22, 2024 amefanya mahojiano na @255globalradio na @globaltvonline na kudai...

READ MORE

Rais Hussein Ali Mwinyi Aondoka Zanzibar Kushiriki Mashindano ya Tajweed ukumbi wa JNICC, Dar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi Machi 22, 2024 ameondoka Zanzibar na kuwasili Jijini...

READ MORE

Waziri Nape Ateua Wajumbe wanne wa Bodi ya TCRA

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amewateua Wajumbe wa Bodi ya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA),...

READ MORE

TMA Yatoa Elimu Namibia Kuhusu Hali ya Hewa

Tanzania kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imewanoa watumishi wa Taasisi ya Hali ya Hewa kutoka Nchini Namibia...

READ MORE

Majaliwa Awataka Mawakili Na Maafisa Sheria Kuzingatia Weledi

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka Maafisa Sheria na Mawakili wa Serikali nchini kutekeleza majukumu kwa kuzingatia weledi, usawa na uadilifu...

READ MORE

Museveni Amteua Mtoto wake Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi (CDF)

RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amemteua Mtoto wake Jenerali Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi (CDF) Nchini Uganda akichukua...

READ MORE

Kijana: Ajali Imekatisha Ndoto Zangu, Nisaidieni Nipo Kitandani Miaka 4 Mgongo, Nyonga Havifanyi Kazi- Video

Kijana Michael Charles Nyawanda (35), mkazi wa Mtaa wa Nyasula, Bunda mkoani Mara anasumbuliwa na tatizo la mgongo pamoja na...

READ MORE

Dkt. Mahera Akemea Watumishi wa Afya Wenye Lugha Chafu

NAIBU Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Dkt. Charles Mahera amekemea tabia ya baadhi...

READ MORE

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Machi 22, 2024

Gazeti lako bora la Championi linalotoka mtaani mara mbili kwa wiki, Jumatatu na Ijumaa, sasa limekuja kivingine. Tunatoa zawadi kwako...

READ MORE

Tigo Yachaguliwa Kuwania Tuzo Ya ITU WSIS 2024 Kupitia Mradi Wa UCSAF

Kampuni ya mtandao wa simu ya Tigo imechaguliwa kuwania Tuzo ya ITU WSIS 2024 kupitia mradi wa UCSAF (Mfuko wa...

READ MORE

Dance Club Yazindua Kampeni Simba Na Yanga Kuelea Robo Fainali Club Bingwa Afrika

Dar es Salaam, 21 Machi 2024: Baa ya Dance Club iliyopo Mwenge Mpakani jijini Dar es Salaam, imezindua kampeni maalum...

READ MORE

Watu 1404 Waathirika Na Mafuriko Kilosa Mkoani Morogoro, Nyumba 351 Zimefurika Maji

Morogoro, 21 Machi 2024: JUMLA ya watu 1404 wameathirika na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha katika Wilaya ya Kilosa mkoani...

READ MORE

Mahafali Kidato cha Sita Yafaana Sengerema Sekondari!

Licha ya kufanya vizuri kwenye Matokeo ya kidato cha sita mwaka 2023 kwa kufuta daraja la nne na sufuri shule...

READ MORE

Rubani Ahukumiwa Kifungo Cha Miezi 10 Jela Kwa Kufika Kazini Akiwa Amelewa

Rubani mmoja wa Shirika la Ndege la Delta, amehukumiwa kifungo cha miezi 10 Jela kwa kufika kazini akiwa amelewa. Mnamo...

READ MORE

Wanafunzi Waomba Serikali Kupata Miti ya Matunda Mashuleni

Wanafunzi wa shule ya msingi Matwiga iliyokoa Kata ya Misheni wilayani Sengerema Mkoa wa Mwanza wameiomba Serikali ielekeze nguvu kupanda...

READ MORE

Mpango Aimwagia Sifa Wizara Ya Maji, Aisifu Kwa Chenji Kubaki

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Isdor Mpango ameipongeza Wizara ya Maji kwa utekelezaji mzuri...

READ MORE

Kamati ya Bunge Yafurahishwa na Kasi ya Utekelezaji wa Miradi ya Nishati

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali inayotekelezwa chini ya wizara ya...

READ MORE

Taifa Gas Yaendesha Kampeni Maalumu Ya Matumizi Ya Gesi Wakati Wa Ramadhani

Taifa Gas imezindua kampeni maalum wakati wa mwezi wa Ramadhani inayojulikana kama “Ramadhan Iftar Campaign” inayolenga kuhimiza matumizi ya gesi....

READ MORE

Dkt. Mpango aimwagia sifa Wizara ya Maji, aisifu kukamilisha mradi na chenji kubaki

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango ameipongeza Wizara ya Maji kwa utekelezaji...

READ MORE

Jokate Mwegelo Atembelea Ubalozi Wa Tanzania Nchini Korea Kusini

KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Jokate Mwegelo, atembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Korea Kusini na...

READ MORE

Serikali Yatangaza Tahasusi (Combination) 65 Za Kidato Cha Tano, 2024

SERIKALI kupitia Ofisi Ya Rais Tamisemi @ortamisemi imekamilisha zoezi la awali la kuingiza kwenye kanzidata taarifa zilizo kwenye Fomu za...

READ MORE

TANROADS Njombe Yaeleza Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita Kipindi cha Miaka Mitatu Sekta ya Ujenzi

Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na jitihada za ujenzi wa miundombinu...

READ MORE

Video: Mke Wa Bakhresa Wa Tabata Aliyechomwa Moto Afunguka Mazito, ”Walimchoma Tumboni Bisibisi”

Kijana Gidion Sanaa almaarufu Bakhresa aliyekuwa akijishughulisha na kazi ya kuendesha bodaboda, ameuawa kikatili kwa kupigwa na kuchomwa moto akituhumiwa...

READ MORE

Balozi Nchimbi; Watanzania Wajivunia Miaka 3 ya Uwezo Mkubwa Wa Rais Dkt.Samia

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa Watanzania wote kwa ujumla wao wanajivunia...

READ MORE

Dorothy Afunguka Zitto Kabwe Kugombea Urais 2025 – Video

Kiongozi Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Dorothy Semu amefunguka tetesi za aliyekuwa Kiongozi Mkuu wa chama hicho, Zitto Kabwe...

READ MORE

Msanii wa Vichekesho Umar Iahbedi Issa Maarufu kwa jina la Mjegeje Afariki

Msanii wa vichekesho Umar Iahbedi Issa maarufu kwa jina la Mjegeje @mzeewamjegejetz amefariki dunia leo Alfajiri katika Hospitali ya Mwananyamala...

READ MORE

Trump Kumfukuza Mwana Mfalme wa Uingereza, Prince Harry Kuishi Marekani

Mgombea urais Donald Trump amesema kama atashinda urais Novemba mwaka huu atamfukuza mwana mfalme wa Uingereza, Prince Harry iwapo atakuwa...

READ MORE

Kamati Ya LAAC Yaitaka Tamisemi Kufanya Uchunguzi Fedha Za Miradi Ya Mkoa Wa Manyara

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC) imeielekeza Ofisi ya Rais – TAMISEMI Kufanya, ufuatiliaji...

READ MORE

Majina ya watakaounda baraza la mpito kwa Haiti yawasilishwa

Viongozi wa nchi za Karibiani wanasema makundi yote na vyama vya kisiasa, isipokuwa kimoja, vimewasilisha majina ya watu walioteuliwa kwa...

READ MORE

Mwanamke kutoka Rwanda Afikisha Miaka 26 Akiwa na Maambukizi ya Ukimwi

Mwanamke kutoka Rwanda, Muneza Sylivie mwanzilishi wa shirika la RRP+ la wenye virusi vya ugonjwa wa Ukimwi, amefahamisha kuwa amemaliza...

READ MORE

Waziri Jafo Akutana Na Naibu Katibu Mkuu Mndeme, Dodoma

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Dkt. Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na...

READ MORE

VodaBima Kupanua Wigo Wa Bima Kidijitali

Kupatikana kwakutumia ya simu ya mkononi Kuongeza uharaka wa upatikanaji wa bima nchini Dar es Salaam – Machi20, 2024.Katika jitahada...

READ MORE

Hifadhi ya Taifa Saadani Yatakiwa Kuwa na Mpango Mahususi wa Maeneo ya Uwekezaji

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeielekeza Menejimenti ya Hifadhi ya Taifa Saadani kuandaa mpango mahususi...

READ MORE

Balozi Dkt. Nchimbi Ateta na Mwenyekiti Mpya wa Mkutano wa Makatibu Wakuu wa FLMS

Mkutano wa 11 wa Vyama Rafiki vya Ukombozi Kusini mwa Afrika (FLMS), unaowakutanisha wajumbe wake, ambao ni pamoja na Katibu...

READ MORE

Dkt. Biteko Ashiriki Sherehe Ya Kuwekwa Wakfu Na Kusimikwa Askofu Mpya Jimbo La Mafinga

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko leo anashiriki Sherehe ya kuwekwa Wakfu na Kusimikwa kwa Askofu...

READ MORE

Watuhumiwa Wa Uhalifu Pamoja Na Dawa Za Kulevya Wakamatwa Arusha

Jeshi la Polisi mkoani Arusha limesema hali ya ulinzi na usalama mkoani humo kwa mwezi Februari hadi sasa ni shwari...

READ MORE

Dk. Nchimbi Awasili Zimbabwe Mkutano Wa Vyama Vya Ukombozi Kusini Mwa Afrika

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, akiambatana na baadhi ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu...

READ MORE